chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. PreGE2025 Kubenea: Tundu Lissu alishiriki kumkataa Lowassa CHADEMA

    Mbunge wa zamani wa Ubungo (CHADEMA), Saed Kubenea amedai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alishiriki kumkataa Hayati Edward Lowassa asimamie Chama hicho.
  2. PreGE2025 Ni wakati muafaka sasa kwa G55 kushika hatamu ya uongozi CHADEMA baada ya Lissu kupoteza uelekeo na kukamatwa

    Kwasababu uongozi wa Lisu hakubaliki kwa wanachadema na agenda zake za kuwatenga wanachadema na michakato ya kidemokrasia, zinapingwa na wanachadema wengi kuelekea uchaguzi mkuu wa October. Na ndio maana unaona amekamatwa na polisi na hakuna mwanachadema anaeshtuka, anaesikitika wala kubabaika...
  3. CHADEMA in autolysis

    CHADEMA IN AUTOLYSIS This is precisely what is precipitating in CHADEMA HEAVY WEIGHTA IN LOGGERHEADS The Riverr between them is turning out to be the fourth global rift valley that only cosmic powers can return optimal If a person analysed the raise, vibrancy and fall of NCCR and CUF, it is...
  4. PreGE2025 Patrobas Katambi ameomba mdahalo na viongozi wa CHADEMA

    Patrobas Katambi Naibu Waziri Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu ameomba mdahalo na viongozi wa CHADEMA. Akisema waonge hoja kwa hoja Lissu awe kulia John Heche awe kushoto Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio...
  5. Jinsi Vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi vinavyaendelea kuripoti tukio la kukamatwa kwa Tundu Lissu huko Mbinga, Tanzania

    Kwa nini Polisi wamefanya Operesheni ya Kumteka Lissu na Kuvuruga Mikutano ya Chadema huko Tanzania Kusini? VIDEO: Purukushani za tukio la kukamatwa kwa Lissu na wenzake (Angalizo: Video ina ukakasi) Picha: Lissu akiwa anadondoka baada ya kulimwa ngwara Swali Pasua Kichwa Watanzania...
  6. Ni kwanini ziara za CHADEMA maeneo mbalimbali nchini ni kama vile hazikufanyika tu

    Yaani hazina impacts zozote zaidi ya kupuuzwa na kupingwa na wanachadema wenyewe. Halafu inaonekana, kadiri walivyokua wanazunguka huko mikoani, na ile spiriti yao ya kupiga makelele ilikua inashuka taratibu na hatimae inapotea kabisa sambamba na walichokua wanahubiri. Kwakweli hata mapokezi...
  7. PreGE2025 No Reform No Election yaingia Mbamba Bay, Hakika Siku ya Mwisho kila goti litapigwa

    Haya maeneo ambayo Chadema inapita kwenye Kanda ya Kusini ikiwemo Mbamba Bay, yalijaa watu walioamini kwamba CCM ni dini, na kwamba ukiondoka ccm utahukumiwa na Mungu siku ya kiama. Kazi inayofanywa na Chadema ni kazi iliyotukuka, ni kama kuwaondoa Wananchi hawa kwenye Makaburi meusi ya fikra...
  8. PreGE2025 Mwanachuo: CHADEMA haiwezi kuzuia uchaguzi, msimamo wetu CCM ni kushinda kwa kishindo

    Katibu Uhamasishaji wa UVCCM Seneti ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Iringa, Akida Mnyamisi Akida akizungumza katika mahojiano maalum na kituo cha redio cha Nuru FM.
  9. Mrema wa TLP, Lipumba wa CUF, Mbowe wa Chadema, na Maalim Seif wa ACT , hawa hawakuwa wapinzani ila walikuwa ni double Agent

    Kama mlikuwa manjua Tanzania kuna upinzani basi mlikuwa mnajidanganya Sana Mrema Mbowe Lipumba Maalim Seif These guys, walikuwa double Agent so kuweni makini vijana sasa tunaelekea katika ukombozi wa kweli .
  10. PreGE2025 Serikali yawaonya wanaotaka kufanya fujo uchaguzi mkuu

    Serikali ya Tanzania imewaonya watu waliojipanga kuleta fujo, kujihusisha na rushwa ama kuleta sitofahamu katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, kuwa ipo macho na haitatoa mwanya wa kufanyika hila hizo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George...
  11. PreGE2025 CHADEMA Musoma Mjini wataka Julius Mwita aombe radhi ndani ya siku 14 baada ya kuipinga "No Reforms No Election"

    Wakuu, Wanachama wa CHADEMA Jimbo la Musoma mjini kimemtaka Julius Mwita aombe radhi ndani ya siku 14 kwa kupinga kampeni ya ‘No Reforms, No Election’ na kuidhalilisha kampeni ya tonetone, la sivyo atafutiwa uanachama na kuzuiwa kushiriki jukwaa lolote la chama hicho. Makada hao wamelaani...
  12. PreGE2025 Lissu ataja mambo wanayoyataka ili CHADEMA ishiriki uchaguzi

    Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema, amesema chama chake hakitashiriki Uchaguzi Mkuu ujao bila kufanyika mabadiliko sita muhimu ya mfumo wa uchaguzi, akisisitiza kauli yao ya “No Reforms, No Election” akiwa katika Operesheni ya Kanda ya Kusini wilayani Namtumbo, Ruvuma. Mambo hayo sita ni...
  13. CHADEMA: Mbinu 10 za kimkakati za kuibua mageuzi ya kweli Tanzania – kwa Hekima, Busara, na Uswahiba na Wananchi

    Utangulizi. Katika mazingira ya sasa ya kisiasa nchini Tanzania, ambapo vyombo vya dola hutumika kudhibiti maandamano, vyombo vya habari vinakandamizwa, na wanasiasa wa upinzani hukumbwa na vitisho, utekaji na hata mauaji—ni muhimu sana kwa vyama vya upinzani, hasa CHADEMA, kuangalia upya mbinu...
  14. Kuelekea Uchaguzi mpya 2025 CHADEMA itakuwa imegawanyika na ajabu mchakato upo kwa msajili wa vyama!!

    Wakuu hali si.......hali!! Kutokana vuta nikuvute iliyopo katika CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO kwa sasa ni zao la uchaguzi mkuu uliofanyika hikaribuni ndani ya CHADEMA na Antipas Tundu Lisu kuibuka mshindi kwa kishindo na mbwaga mpinzani wake Ndugu Aikaeli Freeman Mboe kwa kishindo kikubwa...
  15. PreGE2025 Pale Wasafi anayejielewa ni ni Edo tu, CHADEMA wanateswa na denial

    Oscar Oscar una Intelligence duni na huna maturity kwenye Political Science. It is better to shut up kuficha Ujinga. Big Up Edo, huwa napenda kukusikiliza na most of the time upo kwenye Present Moment and realistic: Baadhi ya Wanachama wa CHADEMA wapo kwenye DENIAL ya kukubali kuwa Lissu ndio...
  16. PreGE2025 Mchome amuomba Msajili kutengua maamuzi ya Baraza Kuu la CHADEMA kwa kukiuka Katiba

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Mwanga, Lembrus Mchome amesema amemuomba Msajili wa vyama vya siasa kutengua maamuzi ya Baraza Kuu la chama hicho yaliyofanyika kwenye kikao cha Baraza Kuu kilichofanyika Januari 22, 2025 kwa kuwa kilikuwa na kasoro...
  17. PreGE2025 Julius Mwita: Hakuna aliye nyuma ya G55, haya ni mawazo yetu!

    Wakuu, CCM B mfitufanye wajinga bana, mnakataa wenyewe makubaliano yenu utafikiri sio nyinyi mlioshiriki kuyaweka halafu mnasema hakuna aliye nyuma yenu, na hao wauza majimbo pembeni hapo? :BearLaugh: :BearLaugh: ===== "G55 ni kundi la wagombea ubunge wa mwaka 2020 na watia nia wa mwaka 2025...
  18. PreGE2025 Julius Mwita: Chama hakijatujibu waraka wetu, wapambe wanatuita waasi

    Wakuu, "Serikali na Bunge wamepaka rangi sheria ya uchaguzi kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwa tume huru ya Taifa ya uchaguzi na ndio maana sisi tunaunga mkono No reforms ili kuwe na chaguzi huru, za haki na za amani ili kila mmoja akigombea aone anaweza kushinda. Sisi hatupingani na chama...
  19. PreGE2025 Kanda ya kusini: Tundu Lissu azidi kuwasha Moto. Sikujua kama Ruvuma ni ngome ya CHADEMA

    Kanda ya kusini: Tundu Lissu azidi kuwasha Moto. Sikujua kama Ruvuma ni ngome ya CHADEMA. Hapa ni Namtumbo
  20. Kumweleza Ukweli, Mtu Anayedanganywa ni Kumsaidia!, Asante Balozi Dr. Nchimbi Kuwaambia Ukweli CHADEMA

    Wanabodi Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe. Juzi na jana, Wahariri zaidi ya 200, ambao ni wanachama wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, toka vyombo vya habari vyote nchini, tumekutana kwa siku mbili mjini Songea mkoani Ruvuma, kwenye mkutano Mkuu Maalum wa Uchaguzi wa TEF, ambapo wana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…