ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Tunduru:Diwani wa CCM adaiwa kuuwawa kwenye mapigano baina ya wakulima na wafugaji

    Hili tatizo halitaisha👇
  2. M

    Mnaowaza serikali (CCM) kupinduliwa muache kuota ! Jeshi ni mali ya Ccm, Hakuna Backup ya serikali nyingine na hakuna mfumo wa majimbo.

    1. JESHI NA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA Njia mojawapo ya kawaida ya mapinduzi ya serikali ni jeshi kuingilia siasa na kuiondoa serikali iliyopo madarakani kwa kutumia nguvu. Kwa mfano walichofanya kina Ibrahim Traore wa Burukina Faso. Hata hivyo, katika muktadha wa Tanzania, Baada ya...
  3. CCM inatumia mfumo wa Frog boiling effect kuendesha nchi

    Frog boiling effect au boiling frog syndrome ni maelezo ya dhana ya kisaikolojia kuwa binadamu anaweza kuvumilia jambo baya akifanyiwa kwa taratibu (awamu kwa awamu) kuliko jambo hilohilo akifanyiwa kwa ghafla kwa wakati mmoja. Maelezo ya dhana hiyo yanaonesha kuwa kuna chura aliwekwa Kwa...
  4. Mfanyabiashara Dodoma Adai Kuchomewa Duka la Sh Milioni 120, Amtuhumu Mtumishi wa CCM na kumtishia kupotezwa

    Mfanyabiashara wa nguo jijini Dodoma, Essau Andrew maarufu Andrew Fashion, amedai kuchomewa duka lake lenye thamani ya Sh milioni 120 miezi miwili iliyopita, akimtuhumu mtumishi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Raymond Mosi, kuhusika na tukio hilo na baadaye kumtishia kupotezwa anapodai haki yake...
  5. E

    Godfrey Malisa: Kwa nini nilipinga uteuzi wa Samia CCM

    Mwanazuoni, mwandishi wa vitabu na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Godfrey Malisa, anasema msimamo wake wa kuhoji uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa chama hicho Januari 2025 ulitokana na kile anachodai kuwa ni ukiukwaji wa Katiba ya CCM na Katiba ya Jamhuri ya...
  6. E

    Godfrey Malisa: Kwa nini nilipinga uteuzi wa Samia CCM

    Mwanazuoni, mwandishi wa vitabu na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Godfrey Malisa, anasema msimamo wake wa kuhoji uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa chama hicho Januari 2025 ulitokana na kile anachodai kuwa ni ukiukwaji wa Katiba ya CCM na Katiba ya Jamhuri ya...
  7. K

    Msishangie kila kitu wana CCM . Kuna mpango wa kuvunja mihula kunufaisha wachache. Woga wenu mtaishia pabaya

    Sio kila kitu cha kushangilia wapambe wa Mama wale wale walio mwondoa Nchimbi sasa wameanza taratibu za kutaka kumuongezea muda baada ya 2030. Kwa ufupi wanachama wote wa CCM sasa hawana nguvu hata ya kuongea wamekuwa machawa tu. Kitakachotokea kwaababu ni kwamba humo humo watamaliza Mama na...
  8. John Bina ni kada wa CCM alimshauri Samia kuua waandamaji hafai kuwa kuwa rais wa Femata

    Wachimbaji wadogo mlisikia John Bina akishauri waandamaji wanaopinga taifa lao kuibia rasilimali zao wauliwe. Leo hii yeye kwa kiburi anajinasibu ni mwenyekiti wa Femata. Shirikisho la wachimbaji wadogo hapa Tanganyika. Wachimbaji wengi waliuliwa na kwa risasi Oktoba 29. John Bina hafai hata...
  9. WALEZI WA MIKOA NI KITU GANI ? Nani anakishauri CCM ?

    Nasikia walikaa NEC wakakubaliana waanzishe kitu kinaitwa walezi wa Mikoa , mshauri wao sijui hua ni nani unaweza fikiri hakuna wasomi kule
  10. Inawezekana hata raisi,serikali na CCM ni mateka wa kikundi ambacho kipo.

    RIP pole pole wala sio kuzunguka kama alivyosema nyuma ya pazia kuhusu serikali Sisi tunaweza kuona nchi ina serikali na raisi ila mfahamu ina watu wachache ambao wanaweza kujionesha wapo na sisi na ni watu wa watu kumbe ndio wakoloni aka masultani,wafalme,mungu watu na n.k.ambao uwezi kuona...
  11. Miaka 27 bila Mwl Nyerere; Je CCM bado inaiishi falsafa yake ya kimapinduzi?

    Leo imetimia miaka 27 tangu Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere atutoke October 14, 1999. Moja ya urithi aliotuachia ni Chama Cha Mapinduzi. February 5, 1977, TANU na ASP zilipounganishwa kuzaa CCM mwalimu alisema; “Kuanzishwa kwa Chama Cha Mapinduzi ni kitendo cha watu waliodhamiria kuleta...
  12. CCM hawana Mifumo ya kulinda Viongozi wao wa Juu. Je, Samia Suluhu na Mwigulu wanalindwa kweli?

    Tunaweza kuona Viongozi wa juu wa CCM na Serikali wakipatwa na majanga ya kawaida kama yanayompata Mlalahoi wa Nangurukuru. Je, kuna Kiongozi Tanzania anaweza jivunia Usalama ukiacha kutembea na Askari wenye bunduki feki zisizo na risasi? Je, Tanzania ni kiongozi gani mwenye ulinzi japo nusu wa...
  13. CCM mtandao watajuta milele kuruhusu Magufuli awe Rais wa Tanzania

    Bila Hayati Magufuli kuwa Rais wa Tanzania wengi tungekuwa bado tunaamini Tanzania ni nchi masikini sana isiyoweza kujenga reli yake ya umeme, isiyoweza kukomesha tatizo la mgao wa umeme . Bila Magufuli kuwa rais Mh Jakaya Kikwete angekuwa anaonekana mzee wa maana Sana ndani ya nchi na hata...
  14. R

    Mwandishi Mohamed Said: Mfanyakazi wa Serikali hatakiwi kuwa mwanachama wa CCM

    Mwandishi Mohamed Said amezungumzia mwenendo wa kisiasa nchini na kueleza kuwa mtumishi wa serikali hatakiwi kuwa mwanachama wa chama tawala, Chama cha Mapinduzi (CCM). "Mfanyakazi serikali leo hatakiwi kuwa mwanachama wa CCM, lakini hii imekuwa ni shida sana" Akizungumzia katika mahojiano...
  15. Kikao cha CCM Majuzi, Uteuzi Ulikua Gereshaa, Paulo kaambiwa Azunguke NCHI nzima, Maandalizi ya Nafasi ya Juu !!

    Kuna Ujinga na upumbavu unaendelea kusukumwa na Wahuni , wahuni ambao walimdanganya Magufuli ateke na kuua wapinzani, Wahuni ambao walimdanganya Magufuli awaruhusu shambulio la kumuua Lissu !!. Wahuni hao, kwa sababu mambo yamebadilika Ghafla, wameamza jaramba la kukuweka Paulo kwenye URAIS...
  16. B

    Mikakati ya kulipa deni la taifa huwa ikoje? maana tunakopa sana ,tunasema miradi ya maendeleo.trillion 114 siyo mchezo wazee

    Muhtasari wa Hali ya Deni la Taifa Kufikia Machi 2026, deni la taifa ni Sh114.34 trilioni. Deni la nje: Sh75.89 trilioni Deni la ndani: Sh38.44 trilioni mwananchi.co.tz Ongezeko la mwaka mmoja (2025–2026) ni asilimia 8.97. Kwa kipindi cha miaka 10 (2016–2026), deni limeongezeka kutoka Sh38.07...
  17. CCM bado inahitajika Tanzania, hata kama watu wengi wameichoka

    CCM ni old version kwa ajili ya old version people. Watanzania bado sana kuingia kwenye Dunia mpya. Nina mashaka kwamba hawa wahitimu wa masomo ya uhandisi na famasia ambao walipaswa wawe wavumbuzi hawatagundua kitu chochote kipya. Si kwamba hawana akili ila akili zao wamezikabidbi kwa Mitandao...
  18. CCM inatekeleza ilani ya uchaguzi kulingana na ratiba zake na vipaumbele vya waTz, na sio kwa mihemko ya wanasiasa na wanaharakati waliopoteza uelekeo

    Nimeona ni vizuri sana kwa wadau wa Jf, na wananchi wote kwa ujumla, walau kufahamu jambo hili vizuri na kwa uchache, ili hatimae kau na uelewa wa pamoja kuhusu mambo mbalimbali yanayoendelea kwa maslahi mapana ya taifa letu. CCM ndio iliyopewa dhamana ya na umma kuongoza nchi hii, na kupitia...
  19. Humphrey Polepole hata kama hautapatikana umelifumbua macho taifa lako. CCM mtandao ni wezi na wauaji.

    Kifo cha hayati JPM? Ulitamka wazi kuwa wamehusika ili waliibie taifa letu. Hapo ndipo Watanzania wakapata ukweli kuwa wapinzani na wasio wapinzani wanauuliwa na CCM mtandao ambao wamemuweka Samia Madarakani. Ulitamka mambo mengi mazito ambayo yaliyafanya watanganyika watake kulikomboa taifa...
  20. CCM mnagawa tu uongozi sijui ni mkumbo,sifa au mnahisi kuna mnao wakoma mnasahau hao mnao wapa uongozi ni watu wanao simamia mustakabali wa taifa

    Uongozi ndani ya CCM kwa sasa sio vigezo tena nadhan kwa sasa ni mkumbo na uchawa matokeo yake taifa linapoteza kabisa sifa na heshima pamoja na uwajibikaji, nchi inanuka wizi ,rushwa,ubadhirifu na mauaji .
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…