ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. GE2025 Mbeya: CCM imekusanya wanafunzi wa shule ya msingi ili wajaze kumbi za kampeni

    Kwa hali tulipofika sasa hivi tunaenda kulibomoa taifa letu kuanzia taifa la leo hadi taifa la kesho, CCM haiona ajabu tena kuwabeba watoto wa shule ya msingi ili waje kwenye mikutano yao ya kampeni ili mradi tu mahali paonekane pamejaa watu. Nchi wamejimilikisha, bado hofu inawatanda, wakati...
  2. S

    GE2025 Paul Makonda amwaga machozi akielezea sababu iliyompelekea kugombea ubunge, asema taifa linahitaji viongozi watakaotimiza kusudi la Mungu

    Wakuu Muendelezo wa hekaheka na vibweka hadi uchaguzi utakapopita tutakuwa tumeshuhudia mengi === Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, ameeleza nia yake ya kuwania nafasi hiyo ya ubunge ni kuwatumikia wananchi wa jiji hilo. Makonda ameeleza...
  3. GE2025 Aliyekatwa CCM nakutimkia Act- Wazalendo awashukuru wananchi

    Aliyekuwa diwani wa kata ya Kitangiri wilayani Ilemela jijini Mwanza Donnard Ndaro na kukatwa kwenye mchakato wa kutetea nafasi yake kupitia chama cha mapinduzi CCM ambae kwa hivi sasa anatetea nafasi yake kupitia chama cha ACT wazalendo amewashukuru wananchi wa kata hiyo kwa jitihada za...
  4. R

    TANZIA Mwenyekiti Mstaafu CCM Moshi Mjini, Alhaji Shamba Afariki dunia

    Mwenyekiti mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Moshi Mjini, Alhaj Omar Shamba, amefariki dunia ghafla Septemba 22, 2025 akiwa nyumbani kwake Alhaj Shamba aliwahi kuhudumu kama Mwenyekiti wa CCM Moshi Mjini kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia mwaka 2017 hadi 2022, ambapo alishindwa...
  5. Kwanini CCM wanaidharau na kutaka kuikomoa Arusha?

    Kwa wanaojua namna wana Arusha wanavyojitambua na walivyo na historia ya kuchagua upinzani ukiondoa mwaka 2020 ambapo Magufuli aliwafanyia ujambazi, anashangaa maana na mantiki ya CCM kuweka Daudi Albert Bashite kama mgombea wao. Sidhani kama anaweza kupata kura hata moja kama kura...
  6. GE2025 Kitendo cha CCM kumuweka ndani Lissu ili kulegeza uchaguzi kumemuinua zaidi Lissu kuliko wangemuacha na kupambana naye uraiani

    Kipindi cha nyuma Lissu hakuwa na wafuasi wengi kama ilivyo hivi sasa ,ndio maana hata alipogombea urais 2020/2025 dhidi ya Magufuli alibwaga kirahisi tu kulinganisha na Magufuli dhidi ya Lowasa 2015/2020. Na mpaka kufikia mwanzoni mwa mwaka huu bado hakuwa na kundi kubwa kiasi hicho kuanzia...
  7. GE2025 Dkt. Bashiru: CCM ndio chama pekee chenye nguvu ya kupambana na rushwa

    Mratibu wa kampeni wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwa mikoa ya Kanda ya Kati, Dk Bashiru Ally, amesema CCM ndio chama pekee chenye uwezo wa kupambana na rushwa na matumizi mabaya ya madaraka. Akizungumza Septemba 21, 2025, kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika Uwanja wa Parking, Nzega Mjini, kwa...
  8. GE2025 CCM waliopo humu kipindi hiki cha mfungo wanataka nini?

    CCM imefungia huu mtandao kwa muda wa siku 90. Ila wapiga kelele maarufu wa CCM naona nao wamegoma kupumzika bado wapo humu wana randa randa. Hii inaashiria hata na wao hawakubaliani na uongozi wa Serikali iliyopo na inayotaka kuingia ya CCM ndio maana kwenye ule uzi wa michango kwa ajili ya...
  9. M

    GE2025 Kama Kuna mtu anaamini Watanzania hawana uwezo wa kuitoa CCM ni mjinga

    Nasema hivi CCM isipomsikiliza Polepole basi viongozi wengi wa sasa wa CCM watashuhudia chama chao kinafutwa na wataishia magerezani. Hii video nimeikuta mitandaoni, huyu ni mmoja aliyeamua kujirekodi na kufanya hivi ambaye sikutarajia kama kuna askari watakuja mbele kabla ya muda...
  10. GE2025 Felista Njau apanda mtumbwi ili kumnadi Rais Samia

    Sema CCM wana siasa za kishamba sana. Hivi kwanini Marekani au nchi zilizoendelea hatuoni theatrics kama hizi. Kama ni kweli alikuwa anataka kuwafikia wapiga kura kulikuwa na haja gani ya kujirekodi akiwa amepanda mtumbwi? Hizi ni dalili ya chama ambacho soon kinaenda kuingia kwenye bed rest...
  11. Poleni na Kifo cha CCM, ila mimi sijalia

    Poleni na kifo ila mimi sijalia. Nalia na ndugu wa Ali kibao, nalia na ndugu wa Mdude, nalia na wamama hospitali wanapambania afya zao na za watoto wao, nalia na watanzania wanapambana usiku na mchana ila wanakutana na kodi za ajabu kwenye kila kitu. Nalia na waTanzania walio na wanaouawa...
  12. GE2025 CCM naipenda mpaka natamani nikijichanja nitoke damu ya kijani!

    Hivi haya ni mapenzi ya kweli kwa chama au ndio uchawa aonekane kwamba yeye naye yupo? Ila Hao wote ata mimi nikiwapa elfu mbili mbili utawasikia Mkalukungone Mwamba hakuna kama wewe Dunia hii😝😝 Wakuu, ukiwa na mtoto hakikisha anasoma na hana njaa ya kuja kukuaibisha kama hivi, ni fezea...
  13. H

    Kosa kubwa la waTanzania ni kuwaamini viongozi mamluki wa CCM

    Mwenye asili haachi asili yaani wapinzani kuwaamini viongozi wastaafu wa CCM au waliokimbia CCM ni kosa ka jina na hawatokaa waiongoze nchi hii kwa hao ni mamluki na wako kazini kuichafua CCM kwa maslahi ya CCM . Ya wapasa wapinzani wasimame wao wenyewe wasitegemee kina Warioba, Butiku...
  14. GE2025 Jimbo la Mchinga watu walizuiwa kuchukua fomu za ubunge, ili Salma Kikwete apite bila kupigwa. Ukweli wote huu hapa!

    Nimemsikiliza huyu mzee ameongea kwa uchungu sana na ameonyesha namna nchi inavyoendeshwa hovyo sana. Anaeleza namna ambavyo mipango ilivyopangwa Mke wa Kikwete Salma Kikwete uchaguzi wa mwaka huu 2025 katika jimbo la Mchinga apite bila kupigwa kwenye kura za maoni na ndicho kilichotokea. Soma...
  15. GE2025 Wanachama 7 wa CHADEMA wajiunga CCM

    Kwahiyo wameona kampeni ya No reforms no Election kwao ni ngumu? Au ndio wale CCM wanavalishwa nguo za CHADEMA kionesha umma kutulisha tango pori?! Yaani CHADEMA avumilie kote huko aje kuhama leo? Msitufanye watu wajinga bana😂🤣🤣 ========= Katibu Mkuu wa UWT Ndg. Suzan Peter Kunambi (MNEC)...
  16. H

    Watawala wa Tanzania, viongozi wa CCM na WanaCCM, Wanaimba Amani na Umoja, Lakini Mioyo na Matendo Yao Yanadhihirisha Walivyojaa Ushetani na Uharamia

    Kwa hakika, na kwa jina la Mungu wa Ibrahim, aishiye milele, hakuna chama kilichojaa watu wanafiki, watu ambao ni watumishi waaminifu wa shetani, katika Ulimwengu mzima, kuizidi CCM. Ukiwasikia viongozi wa CCM na Serikali yao, kila mahali wanajinadi kuwa wao ni wahubiri wa amani, wao ni walinzi...
  17. Kuna watu hata humu JF na mtaani wanajifanya wajanja sana na waelewa ila Wazazi wao wanasombwa na Malori waende kwenye mikutano ya CCM

    Wale Wazazi wanao sombwa na malori kule bushi wana watoto wao mijini na wengine hata ni members wa JF. Ila sasa ukiwakuta huko mjini au humu utawaona ni watu waliopiga hatua kubwa ya upeo wa fikra kumbe ni full wajinga tu. Sasa kupiga hatua ya upeo kuna maana gani kama Wazazi wako wanasombwa...
  18. K

    GE2025 29 Oktoba tunashirikije uchaguzi ikiwa haya hayajafanyiwa kazi?

    Watu wa Tanzania! Sasa ni wakati wa kuandamana na kutoa sauti yetu kwa nguvu ili kuzuia uchaguzi wa udanganyifu tarehe 29 Oktoba 2025. Hapa kuna hoja kuu zinazothibitisha kuwa tunahitaji kubadilisha hali hii mbaya kabla ya kura kupigwa bila haki. Jitokeze kwa wingi na tuungane pamoja! 1...
  19. GE2025 Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Ahamasisha Wafanyabiashara Mbeya Kupiga Kura Oktoba 29

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kupitia Mkoa wa Mbeya amekutana na makundi mbalimbali ya wafanyabiashara ndogondogo zaidi ya 3000 jijini Mbeya na kuwaomba kujitokeza kupiga kura Oktoba 29, 2025 Rais Samia, Wabunge na Madiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
  20. W

    GE2025 Olesendeka: Kosa ambalo CCM haifanyi ni kumleta mgombea Urais ambae rekodi yake haijathibitika kuwa anaweza kuongoza Nchi hii

    Aliyekuwa Mbunge wa Simanjiro na mwanasiasa mkongwe, Christopher Olesendeka, amesema wagombea wa Urais wa Tanzania kutoka vyama vya upinzani hawawezi kulinganishwa na mgombea wa CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Akizungumza katika kampeni za ubunge jimbo la Mbulu Mjini mkoani Manyara hivi karibuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…