ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Ushauri: CCM kwa kushirikiana na vyombo vya dola, viweke mkakati kuaminisha umma kuwa siasa si jambo zuri,na wapinzani hawaaminiki

    Pamoja na kwamba tayari mkakati umeshaanza kufanya kazi, nashauri uimarishwe. Lengo kuu iwe kuaminisha umma kwamba shughuli ya siasa si nzuri, ni ya kupoteza muda tu na inaweza kumuharibia mtu maisha. Lengo kuu ni kuondoa kundi kubwa la watu, hasa watumishi wa umma na wafanyabiashara na wasomi...
  2. F

    TAKUKURU Ikimaliza Kuichunguza CHADEMA Watumie Ripoti ya Wizi wa Mali za CCM ya Bashiru Kuichunguza CCM pia

    Katika kuendeleza mashambulizi dhidi ya CHADEMA na Mbowe, serikali ya CCM imeiagiza TAKUKURU kuchunguza tuhuma za ubadhilifu wa fedha ndani ya CHADEMA. Mbali na ripoti ya CAG kueleza wazi kuwa kulikuwa na kasoro kadhaa katika taarifa za fedha za vyama vyote, vikiwemo CCM na CUF, TAKUKURU...
  3. ‘Fair comments’ kuhusu CCM, Vyama mbadala na Uchaguzi wa Oktoba

    Kwenye siasa za Tanzania, kuna watu wanafanya wanachofanya kwa kuwa tu wanalipwa, kuna wengine kwa sababu ya ushabiki tu, wengine changamoto ya uelewa wa mambo, na wachache kwa sababu wanaelewa wanachokifanya na wanajua umuhimu wake kwao wenyewe, jamii na hatima ya Tanzania. Kwa bahati mbaya...
  4. J

    Tetesi: Wabunge wa viti maalumu wa CCM kutakiwa kugombea majimboni, bunge lijalo viti hivyo ni kwa wanawake wasomi wenye maono

    Ndio taarifa zinazosikika jijini Dodoma kwamba wabunge wote wa viti maalumu na wale wa kuteuliwa sasa wameshapata uzoefu wa kibunge hivyo chama kitawataka wakatafute majimbo wagombee. Bunge lijalo linategemewa kuwa na wabunge wa viti maalumu wote wapya waliosheheni sifa za kisomi na ubobezi...
  5. Kwa kauli za huyu Mbunge wa Upinzani nakiomba sasa chama chake kianze kujiandaa kisaikolojia kwa Maumivu!

    Ni Mbunge ambaye kwa Wiki hii ya Pili sasa amekuwa akionyesha ' Ukomavu ' wake Kisiasa lakini ' Ucha Mungu ' mkubwa uliojawa na Hekima hadi Busara kwa upande Watendaji wa Chama Tawala ( sasa Wastaafu ) Lakini kama hiyo haitoshi kwa Kauli zake za Leo Bungeni ni kama ameshajua hatorejea tena...
  6. J

    Nimejipa jukumu la kuiombea CHADEMA katika kipindi hiki kigumu wanachopitia, bila upinzani imara CCM itayumba

    Ukiwa juu ya siasa za vyama utaona wazi namna wananchi watakavyoihitaji Chadema kuliko makamanda wa Ufipa wanavyowahitaji. Kwa kuwa chama kikuu cha upinzani kinapita katika wakati mgumu na mimi naamini kwamba Siasa siyo uadui, basi kwa hiyari yangu mimi Yohana nimejipa mzigo wa kuiombea Chadema...
  7. T

    GE2020 Zipo dalili za CCM kupita ktk msukosuko mkali sana

    Asubuh ya leo Napenda kuwafungua macho viongoz wa chama changu ccm kuwa chama chetu kuna uwezekano mkubwa kikawa ktk msukosuko mkubwa wakichama ambapo itakuwa ngumu kuudhibiti. Hakuna mtu mwenye akili asie juwa ccm ni chama cha siasa ila pia ni chama chenye dola ila hili halitompa nguvu...
  8. J

    Prof. Patrick Lumumba: Tanzania chama cha siasa ni CCM tu hivyo vingine ni vikundi vya wanaharakati visivyo na Filosofia wala Falsafa

    Mchambuzi wa maswala ya siasa duniani aliyesoma chuo kikuu cha Dsm Prof Patrick Lumumba amesema CCM ni chama cha siasa kilicho na filosofia na falsafa. Prof Patrick amesema Chadema na Cuf ni vyama vichanga ambavyo bado viko katika harakati za " kutengeneza" filosofia na falsafa za taasisi zao...
  9. K

    Kwako Katibu na Mwenyekiti wa CCM Kisarawe

    Hongereni kwa majukumu, Kumekuwa na mchezo mchafu wilayani juu ya mchakato wa uchaguzi ngazi ya udiwani. Kuna makundi fulani yanayoundwa na madiwani wanomaliza muda wao yanaanda orodha ya wajumbe wa chama matawini kutoka mifukoni mwao na kuwaacha wajumbe halali waliochaguliwa wenye vigezo vya...
  10. Ikitokea mkanusurika kifo mtasimama kwa ajenda gani kupambana na Ccm?

    Nauliza hili swali kwa wale wamiliki wa chama ambacho kimejaa husuda dhidi ya taifa letu. Maana hapo awali walikuwa wakisema tunahitaji tupate rais ambae ni mzalendo na mchapa kazi. Sasa Mungu amesaidia JPM amepatikana na kwa uzalendo na ushujaa amedhibiti rushwa na ubadhirifu. Kwa uzalendo na...
  11. R

    GE2020 CCM Zanzibar imekata pumzi. Iko tayari kukubali yaishe??

    Asalam aleykum JFs Hivyo ndivyo tunaweza kusema kuwa pumzi sasa ndani ya ccm na serikali yake imekata. Iko tayari kukubali yaishe. Katika moja ya habari inayosambaa mitandaoni kupitia Tv online ya Dar Mpya inaonesha katibu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akiongea na waandishi wa habari...
  12. J

    Je, bila Upinzani imara CCM itayumba? Nani atarushiwa madongo bungeni ili kujitafutia umaarufu?

    Uwepo wa upinzani katika mfumo wa kisiasa kuna faida na hasara zake. Moja ya faida ni ile ya kuusingizia upinzani kila wakati mambo yanavyokwenda ndivyo sivyo. Hata kwenye dini pasingekuwepo shetani basi sifa na shutuma zote zingekuwa zinapelekwa kwa Mungu lakini sasa uovu huelekezwa kwa...
  13. CHADEMA Jifunzeni kwa CCM

    Kuna baadhi ya mambo mnafanya hayaendani kabisa na mantiki ya taasisi imara amabyo imeundwa kwa misingi inayoeleweka. Hii kila wiki kamati kuu imekutana na kutoa tamko haileti maana zaidi inaonekana ni kama vile mawazo ya mtu mmoja sasa akitaka kuyahalisha ndio inaitwa kamati kuu zinapogwa blah...
  14. B

    GE2020 Prof. Rwekaza Sympho Mukandala: Hatma ya CCM 2020 bado haijulikani

    Siasa na Utawala Profesa Rwekaza Sympho Mukandala anazungumzia kigezo muhimu na kikubwa cha siasa na uongozi na kubaki madarakani kwa muda muafaka, Ni je wananchi wanafuraha? Prof. Mukandala anasema haitoshi baba wa nyumba kuleta nyama, samaki na chakula kila siku nyumbani lakini familia...
  15. J

    Ukiwa bepari "uchwara" kifikra usijiunge na Chadema maana utalizwa kama mtoto, nenda chama cha Wakulima na Wafanyakazi CCM

    Nakupa tu angalizo kama wewe ni mgeni siasa. Ukiyasoma vizuri malengo ya Chadema na katiba yake huwezi kumkosoa Mbowe maana havunji taratibu yoyote ndani ya chama. Tatizo vijana wengi huvamia siasa za vyama bila kujua malengo ya chama husika. Kwa mfano CCM iliasisiwa ili kuwatumikia Wakulima...
  16. Chadema imekosa hoja za kupambana na CCM na kwa mantiki hii wamekubali matokeo mapema

    Wahenga walishasema asiyekubali kushindwa si mshindani. Ila kukubali kushindwa hata kabla mtanange haujapigwa ni ishara mbaya sana. Chadema kama chama kikuu cha upinzani sasa kinaonyesha dalili zote kuwa kimenyoosha mikono juu. Kama ni vitani sasa wameka silaha chini na wameshakuwa mateka...
  17. S

    Utafika wakati wataona viongozi na wanasiasa wa CHADEMA kuhamia CCM hakusaidi na watalazimika kutafuta mbinu nyingine ambayo nayo haitasaidia

    Ukweli ndio huo na sababu kuu ni kuwa nguvu ya upinzani ni matokeoa ya CCM na serikali zake kuwaangusha watanzania tofauti na ahadi zao kwenye kampeni. Mifano na mambo haya: 1.Ahadi ya milioni 50 kwa kila kijiji imewashinda kuitekeleza 2.Ahadi ya kuboresha masilahi ya watumishi wa umma...
  18. Ni wakati wa vijana tunaoamini katika mabadiliko ya kweli, kuiunga mkono CCM maana inatabirika na inaaminika

    Katika kundi ambalo kwa kawaida na ni nature yake kutaka mabadiliko ni kundi la vijana, vijana wengi kokote wamekuwa chachu ya kuhimiza mabadiliko, na kwa kulitambua hilo baadhi ya watu, makundi, vyama wamekuwa wakiwatumia vibaya vijana ili kutimiza malengo yao. Nafahamu vijana wengi wa...
  19. Diwani wa CCM kata ya Kijichi kizimbani kwa kupokea rushwa ya Tsh. Milioni 1

    DIWANI wa Kata ya Kijichi halmashauri ya Manispaa wa Temeke kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM), Elias Mtarawanje (29), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Temeke akikabiliwa na mashtaka mawili likiwamo la kupokea rushwa ya Sh. Milioni moja kutoka kwa Yusuf Omary. Diwani huyo amefikishwa...
  20. Kuiondoa CCM madarakani ni jambo rahisi sana

    Nashangaaga mtu akisema CCM kutoka madarakani haiwezekani. Watu tusikae kwa kukariri serikali Ikiweza kusambaza civil Education kwa Jamii nzima basi CCM bye bye. Sisi vijana ambao tunaipenda Chadema kinachotuharibia nikutokupiga kura. My advice: Chadema naomba muwasistize vijana kupiga kura...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…