ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Joshua Nassari: CCM ni limbuyu (mbuyu mkubwa)

    Kijana Joshua Nasari amekiri kwamba CCM ni mbuyu mkubwa (limbuyu). Anasema wakati wote akiwa opposition hawakuwahi kuangusha mbuyu huu. Swali langu ni je, alipokuwa anagombea Arumeru na kushinda alikuwa anakishinda chama gani?
  2. M

    Je, hizi chaguzi za ndani CCM zimetuletea faida au zina athari kwa mwenendo wa chama?

    JE, HIZI CHAGUZI ZA NDANI CCM ZIMETULETEA FAIDA AU ZINZ ATHARI KWA MWENENDO WA CHAMA? NITOE PONGEZI NA SHUKRANI ZANGU KWA UCHAGUZI WA HAKI, WENYE UTULIVU NA WA BUSARA ULIOTEKELEZWA NA CHAMA CHETU USHAURI WANGU: CHAGUZI WA NDANI: Uchaguzi umekwenda vizuri na wanachama wamefanya Maamuzi yao...
  3. GE2020 CHADEMA kiliwekeza kwenye majina ya watu badala ya chama. Maeneo ambayo wabunge wao walijiunga CCM hawana wagombea wa maana

    Chama imara hujenga brand name ya chama siyo majina ya watu. CHADEMA huhangaika sana kujenga majina ya watu badala ya chama. Utasikia ohh Mbowe, ohh Mdee, ohh Lissu hakuna zaidi ya hao! Sasa kuna yale maeneo wabunge wa CHADEMA waliohamia CCM kuna ombwe kubwa. Wameweka watu wa ajabu ajabu sababu...
  4. S

    Hii ni moja ya sababu kwanini CCM hii na serikali yake wanapaswa kuondolewa madarakani katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu

    POLICE WAKAMATA WANACHAMA WA ACT WAZALENDO MASASI Ziara ya mwenyekiti wa ACT WAZALENDO ndugu Maalim Seifu Sharifu Hamad leo alifika Masasi na kufanya kikao cha ndani mara baada ya kuondoka ukumbini hapo police walivamia na kukamata wanachama na viongozi 14 pamoja na mtoto-ACT Wazalendo on...
  5. J

    GE2020 Rekodi mpya: Mapacha kuwa wabunge wa kuchaguliwa kwa tiketi ya CCM

    Rekodi mpya inaweza kuwekwa ya mapacha kuwa wabunge kwenye bunge lijalo. Mapacha hao ni Kulwa Biteko aliyeongoza kura za maoni jimboni Busanda na Doto Biteko ambaye ni Waziri wa Madini aliyeongoza kura za maoni jimboni Bukombe. Maendeleo hayana vyama!
  6. J

    Cecil Mwambe: Mimi ni CCM mwenzenu nilirudishwa bungeni na Spika Ndugai kuigiza

    Wajumbe waliopiga kura za maoni jimboni Ndanda walimbana vilivyo mtia nia Cecil Mwambe juu ya uhalali wa uanachama wake ikizingatiwa kuwa baada ya kupokelewa na komredi Polepole, Mwambe alirudi tena bungeni kuitumikia Chadema. Mwambe alikiri kurudi kwake CCM na kupokelewa na Polepole lakini...
  7. Z

    Kwa mtindo huu, wagombea wa CCM watashinda kwa kulazimisha matokeo

    Nakosoa mtindo uliotumika katika kura za maoni. Wagombea wote waliopitishwa ni wale waliotoa pesa ya kutosha kwa wajumbe wa majimbo. Bei za wajumbe zilianzia shilingi 30,000 hadi 100,000 kutegemea jimbo lenyewe. Wanaoshinda katika kura za maoni ndo wanategemewa kwa kiasi kikubwa kupitishwa...
  8. F

    Mwenyekiti wa CCM umetuumbua

    Moja kwa moja kwenye mada; kitendo cha Mwenyekiti wetu kusema kura zote ziwe za wazi na zote zitangazwe hadharani kweli kimetuumbua makada wengi mno. Sasa mtaani hatuna amani kila ukipita unasikia 4 mara 2 mara zero. Kwa kweli Mwenyekiti wetu tunakupenda sana ila kwa hili umetuumbua sana sisi...
  9. TAKUKURU, hakuna wajumbe wa CCM mliowakamata?

    Inafahamika huu msimu wa uchaguzi ndo msimu wa rushwa kwenye siasa. Wagombea wanaotoa rushwa ni wengi mno..na wajumbe wanaodai rushwa wengi zaidi...sasa cha kushangaza hakuna taarifa za kukamatwa wajumbe hata moja. Zinakuwepo taarifa za kukamatwa wagombea lakini wajumbe hakuna...
  10. GE2020 Uchaguzi Bukoba Vijijini Wagubikwa na rushwa, Wanne Wadakwa na TAKUKURU, Kura za Lweikiza shakani

    Jana tarehe 21/07/2020, katika harakati za wajumbe kupiga kura Bukoba Vijijini kwa wajumbe waliotia nia Ubunge kupitia CCM, kulitokea utofauti asubuhi ambapo mbunge Rweikiza alituma vijana wake kutoa rushwa na kukamatwa jana ile ile Asubuhi. Naamini TAKUKURU watalitolea taarifa sakata hili...
  11. S

    GE2020 Wajumbe wa Kamati ya Uchaguzi CCM jimbo la Butiama mtalaaniwa

    Wajumbe wa Kamati ya Uchaguzi wa CCM jimbo la Butiama, mmefanya kitendo kibaya sana. Katika kura za maoni mmeshindwa kumuenzi Baba wa Taifa Mwl. Nyerere kwa kumchagua mtoto mmoja wa Baba wa taifa kweli mmeshindwa? Familia ya Baba wa Taifa imetoa wagombea wawili katika hao mmeona hakuna...
  12. Ningekuwa ni Mwenyekiti wa CCM Taifa, kwa kuokoa muda, kuangalia ustawi wa chama na kutozalisha 'makundi', ningefanya haya upesi tu

    Kama GENTAMYCINE ningekuwa ni Mwenyekiti wa CCM Taifa baada ya huu 'Mchakato' mzima wa Kura za Maoni ambazo zimefanyika kwa Uwazi zaidi huku zikionyesha kabisa kuwa wana CCM ' wameamua ' bila ' Ngendembwe / Hila ' zozote katika Kikao cha Maamuzi cha mwisho cha ' Watia Nia ' kwa nafasi ya Ubunge...
  13. GE2020 CCM mpitisheni Makonda amalizie kazi aloianza, Wananchi bado tunamuhitaji

    Sipendi kabisa ushabiki wa vyama vya siasa, Wengi wameshangilia kushindwa kwake katika Chama cha Mapinduzi. My behavioral psychanalysis is:- Kwa kauli za Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi: Makonda ana uwezo mkubwa wa kiuongozi na amekabiliana na tough times kuliko wakuu wote wa mikoa hapa...
  14. GE2020 CCM Bukoba Mjini huyu Kamala Kalumuna mliyempitisha mnadhani sisi watu wa Bukoba hatujitambui! Subirini dawa...

    Katika majimbo yote hapa Tanzania, kwa Bukoba mjini CCM mtachezea kichapo cha karne. Hivi huyo diwani wa Ijuganyondo, kamala anawezaje kumshinda Chief kalumuna kwenye ubunge? Hapo CCM jiandaeni kulia tena uzuri sisi Bukoba mjini tunajitambua.
  15. GE2020 Makundi ya Mafisadi na yaliyohujumu CCM 2015 yaanza kujikusanya kwa kushinda kura za maoni yakijiandaa kutoa Rais 2025 kutoka kundi lao

    Ukifuatilia vizuri na kuhoji watu mbalimbali wanaonaje matokeo yanayoendelea kura za maoni za CCM jibu utakalopewa ni kuwa yale makundi yaliypshindwa kuchukua nchi 2015 yakiwemo mafisadi na vibaraka wao na waliohujumu CCM uchaguzi wa 2015 yameanza kujikusanya kwa kushinda kura za maoni maeneo...
  16. GE2020 Furaha Dominic Jacob mshindi wa kura za maoni CCM jimbo la Kawe ni nani?

    Habari, Naomba kupata Taarifa ya mshindi wa kura za Maoni Jimbo la Kawe ndugu Furaha Dominic ni nani haswa? Imekuwaje akawashinda vigogo wengine kwenye kura za maoni ndani ya CCM katika Jimbo la Kawe? Je, ni mpinzani sahihi kwa Halima Mdee kwenye uchaguzi wa Oktoba?
  17. CHADEMA msichekelee wabunge wenu waliohamia CCM kupigwa chini kura za maoni. Waliobaki zamu yao ya kupigwa chini inakuja Uchaguzi Mkuu Oktoba

    Kuna msemo usema mwenzio akinyolewa wewe tia maji CHADEMA msichelee wabunge wenu waliohamia CCM kupigwa chini kura za maoni ndani ya CCM Hao wenu Waliobaki huko wasijione kuwa salama watashinda na kuzomea wenzao wahamiaji walioshindwa kura za maoni !!! Hao waliobaki CHADEMA watakoshindana na...
  18. GE2020 Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe!

    Wanabodi, Hili ni bandiko la ombi maalum kwa Wana JF wenzangu, nawaombeni sana mnipe pole na msinicheke, wala msinibeze, kujaribu kugombea ubunge wa Kawe kupitia CCM, nimeambulia kura 1! Japo nimeshindwa kwa kupata kura moja, lakini sababu za mimi kugombea ni very valid na very genuine...
  19. M

    Kwa CCM ni ipi dhana ya kuwa uchaguzi kwa watia nia?

    Habari wakuu! Kila siku Kuna habari mpya nchi Tanzania kutokana na Taifa linaenda kuingia katika uchaguzi wa viongozi. Mnamo 20/07/2020 uchaguzi kwa WATIA NIA ya kugombea upande wa chama Tawala ulianza na mpaka hivi Sasa unaendelea, lakin Jana mida ya saa 1 nimepata kuona kapost Fulani...
  20. GE2020 Magufuli kama angesimama na mtu mwingine kwenye kura za maoni asingeshinda kama ilivyokuwa kwa Makonda

    Huu Uzi hauna kejeli, matusi wala dhihaka. Huu uzi umebeba ukweli mchungu (a bitter truth) ambao wengi hawaupendi. Kama Magufuli angesimamishwa na MwanaCCM yeyote imara kuwania tiketi ya kupeperusha bendera ya CCM 2020 katika ngazi ya Urais asingeshinda. Mioyoni mwa wanaCCM kuna siri na ajenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…