ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. GE2020 Ikiwa Dkt. Magufuli atafanikiwa kushinda, aachane na agenda za kuminya Upinzani

    Mimi kama mwana CCM moja ya matamanio yangu ni kuona CCM ikiendelea kushika dola ya Tanzania. Ila kati ya jambo ninalotamani litokee kwenye muhula wa pili wa Rais Magufuli endapo akifanikiwa kushinda, ni kuacha kabisa kuwachokonoa wapinzani. Wapinzani waachwe na kuishi maisha yao na ku play...
  2. GE2020 Bila unafiki unamshawishije mwalimu ambaye hajaongezwa mshahara kwa miaka mitano na bado ukambambika makato ya bodi kibabe aipende CCM?

    Hebu tuwàsaidie hawa wenzetu kujibu swali hili japo naamini watumishi wote hawajaongezewa mishahara kwa miaka mitano mfululizo. Mimi sio mwajiriwa wa Government Ila hebu leo nivae viatu vyao. Imagine wewe ndio mwenyekiti wa chama cha siasa taifa unakuja kumuomba kura mwalimu ambae...
  3. GE2020 CCM na Serikali yake tulikosea. Kwa hili lazima Lissu atupige bao

    Kati ya makosa yaliyofanywa na Serikali yangu ya CCM ni kushindwa kutoa ajira kwa vijana na kuacha wazagae mitaani bila kazi. Ni kosa kubwa sana kwa sababu vijana hawa ni bomu tulojitegea wenyewe kutumaliza. Maelfu ya vijana wanaojitokeza kwa wingi kwenye hadhara za bw. Tundu Antipas Lissu ni...
  4. N

    GE2020 Ubunge Tarime Mjini: Ngicho ahamishia nguvu zake kwa Gerald Martin

    UBUNGE TARIME MJINI: NGICHO/WAITARA WAHAMISHIA NGUVU ZAO KWA GERALD MARTIN Kura za maoni Jimbo la Tarime Mjini zilifanyika tarehe 21 Julai 2020 na Jackson Kangoye akafanikiwa kuongoza kwa idadi ya kura. Inafahamika kwamba Jackson Kangoye na Mwita Waitara walitengeneza muungano ili kusaidiana...
  5. GE2020 Hapa Kazi tu ni CCM, Kazi na Bata ni ACT-Wazalendo na Kazi na Uhuru ni CHADEMA

    Tupate Maoni, tujitambue, tujuane 1. Hapa Kazi Tu (CCM) 2. Kazi na Bata (ACT) 3. Kazi na Uhuru (CHADEMA) Kazi bila mapumziko Ni tabu, mapumziko bila kazi ni umasikini. Wewe Ukowapi katika hizo?
  6. B

    Ni ukomavu wa kisiasa m-CCM kuwatia shime upinzani

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Inavutia Colin Powell a staunch republican 'kum' endorse Joe Biden a staunch Democrat kwenye uchaguzi ujao: Colin Powell: 'Biden will be a president we will all be proud to salute' Jamani eeh upinzani si ugomvi. Hata huko CCM kutoa...
  7. CHAMWINO: Taarifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kuhusu kikao cha Kamati kuu ya Halmashauri Kuu

    Taarifa Kwa Umma Kutoka Chama Cha Mapinduzi-CCM Kuhusu Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi-CCM Kilichoketi Leo Chini ya Mwenyekitiwa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungabo wa Tanzania Dkt John Magufuli
  8. Maendeleo huja kwa kodi au deni atalolipa mtanzania. Je ni sawa CCM kujinadi inaleta mendeleo?

    Hakina maendeleo yanayofanyika bila juhudi ya mwananchi. Wananchi tunachangia katika bajeti ya nchi ili kuletaaendeleo ila cha ajabu vyama vya siasa vimekuwa vikijinadi na kuvuka mipaka utafkiri hela zimetoka mifukoni mwao. Mfanyabiashara atafanya biashara yake kwa kigezo alipe kodi ya leseni...
  9. GE2020 Mwenyekiti wa CCM Katavi: Aliyeshinda kura za maoni Udiwani ndiye aliyeteuliwa kugombea

    Breaking News: Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Katavi kimesema majina ya uteuzi wa udiwani yametolewa na kwamba aliye shinda kura za maoni ndiye aliyeteuliwa. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Katavi Nd Alfred Beda Katani alipo kuwa akizungumza kwa njia ya simu na Mpanda radio...
  10. GE2020 Mbeya na Iringa bado ngoma ngumu kwa CCM

    MBEYA NA IRINGA BADO NGOMA NGUMU Na, Robert Heriel Kama kuna majimbo ambayo CCM itahangaika sana ni pamoja na Iringa Mjini, Mbarali, Mbeya Mjini, na Tunduma Mjini. Kanda ya juu Kusini sasa ndio itakuwa kambi Rasmi ya Upinzani tofauti na sasa ambapo Kanda ya kaskazini mashariki yaani Arusha...
  11. S

    Nafikiria sana CCM ikishindwa watu wake, hasa viongozi wake

    Nimefungua redio kusikiliza matokeo nasikia CCM imepoteza Uchaguzi Mkuu na sehemu nyingi imeshindwa kutetea ubunge,ghafla matangazo yameisha inayofuata ni nafasi ya Uraisi nayo CCM imepoteza. Shangwe na vifijo nchi nzima ni zaidi ya siku kuu unasikia vituo vya redio vya kila aina vikiuponda...
  12. Tanzania kuwa nchi ya ajabu kwa kuichagua CCM tena

    Eti chuma? Nchi hatuwezi sema eti imepiga hatua kwa kusema eti tuna flyover la Ubungo na Buguruni, eti imeendelea kwa kuwa na ndege, eti na stand, wakati wananchi wake kwa asilimia 80 hawawezi mudu mlo wa siku moja. Eti ndege wakati wananchi wake hawewezi mudu kupanda hizo ndege. Flyover ipo...
  13. GE2020 Hii ndiyo draft, sura, taswira na mipango halisi ya CCM kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Iko hivii: kuna tetesi kuwa Bosi hataki matumizi makubwa kwenye Uchaguzi huu, hataki chama kitumie pesa nyingi kuwanadi wagombea wake wa ubunge na badala yake nguvu unaelekezwa zaidi kwe Urais ambapo kunaonekana changamoto ni kubwa kuikabili nguvu ya Tundu Lissu ambaye si kwamba ataungwa mkono...
  14. GE2020 Dhuluma: Kitu pekee ambacho CCM wanategemea na kujivunia katika Uchaguzi huu

    Sio Siri VIONGOZi na wanachama wa CCM mahala popote walipo huwa Kuna kitu wanajivuni kabla ya Uchaguzi. Hata kuwe na dalili za Uchaguzi kuwa mgumu namna gani CCM huwa hawana hofu. Na ndio maana mwaka huu wamejitokeza watia nia wengi sana kwa upande wa CCM kuliko chama chochote. Kitu pekee...
  15. M

    "Msininyanyase, mimi si mpinzani," kada wa CCM awaasa Jeshi la Polisi

    "Msininyanyase, mimi si mpinzani," alisikika kada wa CCM wakati polisi wakimbembeleza kama mwana mtukutu apande gari wamsindikize kwenye tawi lao mjini Dodoma baada ya kufanya maandamano wakilalamikia uteuzi wa wagombea wao. Bila shaka angekuwa mpinzani hicho kipigo ambacho angekipata...
  16. B

    GE2020 Vurugu zatawala ofisi za CCM Dodoma baada ya walioshinda kura za maoni Udiwani kukatwa

    18 Aug 2020 Dodoma, Tanzania WanaCCM waandamana kupinga maamuzi Vurugu zinaendelea leo 18 agosti 2020 katika ofisi za CCM Wilaya ya Dodoma mjini baada ya kupokea majina ya wagombea udiwani ambao wamekatwa licha ya kuongoza. Jana halmashauri ya CCM mkoa wa Dodoma walirudisha majina ya...
  17. S

    GE2020 CCM siyo kwamba imeamua kukaa kimya. Haina hoja na hakuna mwana CCM wa kumjibu Lissu

    Nani atasimama jukwaani, azungumze na akubalike kwa watanzania ili kumsaidia John kujibu hoja za mbeba maono? John hawezi kupangiilia hoja akaielezea na ikaeleweka. Anahitaji wasemaji wazuri. Kulikuwa na vichwa mahili kama vile Nape, Kinana, Makamba Sr & Jr, Mwigulu na Bulembo. Lkn wote hawa...
  18. C

    Naona kama CCM na wafuasi wake wamejenga chuki kubwa kwa Watanzania waishio nje ya nchi, tatizo ni nini hasa? Je, wanaelewa umuhimu wa kundi hili?

    Wandungu, siyo siri naamini nanyi mmeona kuwa chuki dhidi ya watanzania waishio nje ya nchi imeongezeka sana kipindi cha uongozi wa Rais Magufuli. Kama huamini jaribu kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo humu ndani hasa kuhusu mada zinazohusu siasa na watanzania waishio nje ya nchi, utaona chuki...
  19. CCM Wanagwaya. Je, kiama chao kimefika?

    Leo nimeenda na Mgombea wangu kwenda kuchukua fomu ya Kugombe ubunge kwa Tiketi ya Chama Rafiki.Nimekuta tayari vyama saba vimekwisha chukua FOMU ila CCM na CHADEMA bado hawajachukua Fomu. Nilipokuwa hapa kwa msimamizi wa uchaguzi kuna mambo ambayo nimeyaona na kuyatafakari hasa kuhusu CCM...
  20. Z

    CHADEMA, CUF, ACT-Wazalendo, nk. jipangeni: Kuna nafasi ya kuwapiga CCM kwa ulevi wao

    Nimeshaona jinsi CCM wanavyolewa maoni ya wanachama wao katika udiwani. Yaonekana hata katika Ubunge ulevi huo unaendelea. Baada ya 'wajumbe' kuwapitisha waliowaona kwa wema wao, wanaamini wapiga kura wote nchini pia watawapenda. Tulioko mitaani tunajua ni nini kinachozunguka vichwani mwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…