ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. S

    GE2020 Katika Uchaguzi wa Oktoba 28, mpinzani mkubwa wa CCM sio Vyama vya Upinzani

    Katika uchaguzi wa oktoba 28, mpinzani mkubwa wa CCM sio vyama vya upinzania , yani hii ipo wazi kabisa , hawa wapinzani mfano wakina Lissu sio Membe , sijui Zitto hawa wote sio wapinzani wa CCM , ni vyema ikafhamika tu kuwa mpinzani mkubwa wa CCM ni mtanzania kwa maana ya mwananchi ...
  2. GE2020 Kuelekea Oktoba 28: Usirudie makosa kuchagua Wabunge kutoka CCM. Miaka 5 ni mingi mno

    Wasalaam, Kwa kawaida binadamu hatujakamilika kwa 100% hivyo kukumbushana na kuelekezana mambo ya msingi yahusuyo mustakabali wa Maisha yetu ni muhimu. Napenda kutoa rai kwa wapiga kura kutorudia makosa ya 2015 ya kuchagua wabunge kutoka CCM kwasababu hawa hawajitambui wamepigania maslahi yao...
  3. K

    Kuzuia mikutano kwa miaka 5 kumeleta CCM kuwa butu kwenye Siasa

    Mimi kama Mtanzania nashangazwa na viongozi wa CCM wa kisasa kuwa butu kiasi hiki. Wakati wa Kinana walikuwa wazuri kujibu hoja, kuongea na wananchi na kupiga kampeni. Ukiangalia vizuri viongozi wa CCM ni kama wamezubaa ukilinganisha na Lissu, Membe, Zitto au Lipumba. Hii ni kwa sababu kwa...
  4. GE2020 Nzega, Tabora. Wana-CCM kata ya Itobo wamkataa mteule wanayedai ametumia rushwa ya ngono

    Hii hapa , sitaongeza chumvi
  5. GE2020 Kilimanjaro, Mwanga: Henry Kilewo amuwekea pingamizi Mgombea Ubunge wa CCM Joseph Tadayo kwa vile hakusaini sehemu "E"

    Hii ndio habari mpya iliyotufikia kwa sasa , Kwamba Sehemu " E " inahusu Tamko la kisheria la Mgombea Ubunge , na kwa vile Tadayo hakuisaini maana yake ni kwamba ameshindwa kuthibitisha kuwa anazo sifa za kugombea ubunge kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi wa 2020 , sehemu "E" haikuwekwa kwenye...
  6. GE2020 Tundu Lissu awawekea pingamizi wagombea wawili wa nafasi ya Urais wa Tanzania. John Magufuli (CCM) na Prof. Ibrahim Lipumba (CUF)

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari na Umma Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mhe. Tundu Lissu, akiwa pamoja na Mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais, Mhe. Salum Mwalim Juma Mwalim, muda huu wanaelekea Ofisi za Tume ya...
  7. B

    Inawezekana kuitishwa Poo ili mambo ya msingi yawekwe sawa

    Mabibi na mabwana kwa hakika hakuna aliye mkuu ila Allah mwenyewe. Sifa na utukufu wote na vimrejee yeye. Ama kweli kuishi kwingi ni kuona mengi. Dunia inakwenda kwa kasi kiasi si haba kuwapa ushauri hata chama kongwe aka baba lao - Chama cha Mapinduzi. Bandugu ni wazi kuwa kwenye chaguzi hizi...
  8. GE2020 Je, CCM watakubali maridhiano?

    Kuna kila dalili kuwa this time hakuna anayetaka ujinga, NEC imewaonya Media kuwa hakuna Mbunge aliyepita bila kupingwa, maana yake ni kwamba zile mbwembwe za CCM za kujitangazia ushindi wa mezani zimeyeyuka, nitaattach barua ya NEC Pili, Mgombea wa CCM kiti cha Urais amewekewa pingamizi na...
  9. K

    Nje ya dhuluma na upendeleo, daima wana CCM wanakosa furaha ya chaguzi

    Mada inahusika. Fanyeni survey kote nchini uone namna ya baadhi ya wana CCM walivyojengeka kiburi linapokuja suala la haki na chaguzi huru. Ndivyo walivyo mara zote na kote si Bara wala Zanzibar. Kupitia kunufaika na Dola kwa njia mbali mbnali wanajiona wana haki zaidi ya watanzania wengine...
  10. GE2020 CCM itaendelea kushinda kwa sababu ya uimara wake na udhaifu wa wapinzani

    *UCHAGUZI TUNASHINDA KWA TECHNICALITIES NA KWA KURA.* Na Elius Ndabila 0768239284. Wakati mchakato wa uchaguzi ukiwa unaendelea, basi ninataka niwakumbushe mbinu za ushindi kwenye chaguzi zozote za kidemokrasia. Uchaguzi wa kidemokrasia Unaweza kuwa na mbinu nyingi za kushinda hasa sheria...
  11. Kupita bila kupingwa ni kwa CCM tu Na huku kutekwa ni kufunguliwa kesi kwa wapinzania tu?

    Habari za 2020 wana Bodi. Tanzania inavituko vingi mno. Kila nikipita kwenye vyanzo vya habari nakutana na KUPITA BILA KUPINGWA kwa wagombea wa CCM tuu, Hiiimekaaje? Hivi wapinzani bado hatujajuwa kujaza fomu? Hivi bado tunanunuliwa siku ya kurudisha fomu? Nini hasa kilichojiri kwa wagombea...
  12. T

    Mafanikio zaidi ya 50 baada ya miaka 50 chama kimoja ( CCM )

    Baada ya miaka 50 ya chama kimoja tumefikia hapa na ikumbukwe 1960 tulikuwa na uchumi sawa na korea ya kusini sasa angalia hiki chama. Hakuna uhuru wa maoni Hakuna uhuru wa vyombo vya habari Hakuna mijadala ya hoja kwenye media Mihimili ya taifa hutawaliwa na mtu mmoja Rais amekuwa mfalme Deni...
  13. GE2020 Tume ya Uchaguzi yampitisha Tundu Lissu kuwania Urais kupitia CHADEMA

    Mhe. Tundu Lissu Kunguruma leo kwenye ofisi za Uchaguzi Dodoma akirejesha Form ya Kugombea Urais wa Tanzania Updates ---- Tayari Mheshimiwa Tundu Lissu ambaye ni mgombea Urais na makamu wake Salum Mwalim wameshafika kwenye ofisi za tume ya Uchaguzi kwa urejeshaji wa Form UPDATE:-...
  14. BBC SWAHILI: Kwanini CCM imeweza kusalia Madarakani kwa miaka yote?

    Katika mojawapo ya mahojiano aliyowahi kufanya miaka ya nyuma, Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipata kuulizwa anadhani nini hasa ilikuwa siri ya Baba wa Taifa la Tanzania, Julius Nyerere, kudumu muda mrefu madarakani. Bila kupepesa macho, Rais huyo alitoa jibu moja tu; He tamed the army...
  15. Jimbo la Ludewa: Mgombea wa CHADEMA ashindwa kukidhi vigezo. Joseph Kamonga wa CCM ateuliwa

    CHADEMA LUDEWA WAPIGWA CHINI Ndg. Joseph Kamonga ambaye ni mgombea wa ubunge Jimbo la Ludewa mkoani Njombe kupitia CCM ameteuliwa na msimamizi wa uchaguzi, Sunday Deogratius kugombea ubunge jimboni humo. Aidha, msimamizi huyo amesema mgombea wa CHADEMA hajakidhi vigezo kisheria.
  16. J

    GE2020 NEC imemteua Dkt. John Pombe Magufuli kugombea Urais na Mama Samia Suluhu Umakamu wa Rais kupitia CCM

    Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli arejesha fomu za kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM katika Ofisi za Makao Makuu ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Njedengwa Jijini Dodoma. Ameongozana na Mgombea Mwenza Mhe. Samia Suluhu Hassan. M/kiti wa NEC, Jaji Mstaafu...
  17. GE2020 NEC imemteua Bernard Membe kugombea Urais na Omary Mohamed Umakamu wa Rais kupitia ACT-Wazalendo

    Benard Membe na Makamu wa Rais (wagombea) wa ACT-Wazalendo wamekidhi vigezo vya kuteuliwa na kugombea. Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Bernard Membe kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Omary Mohamed kuwa mgombea wa...
  18. GE2020 Ili kuondoa kelele za kutotendewa haki, nawashauri CHADEMA na ACT wekeni Mawakala kila Kituo ili kujiridhisha, Uchaguzi Mkuu ni huru na wa haki

    Wanabodi Declaration of Interest Naomba kuanza na ku declare interest kuwa mimi ni Kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM ambaye ni muumini wa haki na demokrasia ya kweli ndani ya Bunge. Nautoa ushauri huu kwa dhati ya moyo wangu, licha ya ukada wangu kwa chama changu, CCM. Asiyekubali Kushindwa Sio...
  19. T

    Je, ni kwanini wagombea wa CCM hawatekwi?

    Ikiwa leo ni siku ya kurudisha fomu za uteuzi, tutafakari kwa pamoja: 1. Kwanini wagombea wa CCM hawatekwi? 2. Kwanini hawatishiwi kuuawa? 3. Kwanini hawatuhumiwi kuwa ni raia wa kigeni? 4. Kwanini hawatuhumiwi ujambazi wala ukwepaji kodi? Tukipata majibu mazuri ya tafakari hizi, bila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…