ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Kuamini CCM itaboresha hali ya kisiasa 2029/2030 tofauti na ya 2024/2025 ni kujipa matumaini hewa

    Sehemu yoyote ile duniani haijawahi kutokea walioshika madaraka ya kisiasa wakakubali kuyaachia au kudhibitiwa(checked) tu bila uwepo wa mifumo huru, upinzani wa nguvu, shinikizo kali kuwaonyesha kwamba wao kuendelea kung'ang'ania hayo madaraka itakuwa ni gharama zaidi kuliko faida. Tukirijelea...
  2. K

    CCM imeshazidiwa na dola bila katiba mpya hata CCM itabaki jina tu

    Utekelezaji huu umeanza wakati wa Magufuli. Watendaji wachache wa usalama wa taifa, Polisi na Jeshi walianza kusikilizwa na viongozi na kuambiwa kwamba huko mbele watakuja kushidwa na vyama pinzani na njia pekee ni kutumia dolla. Bila kujua madhara yake Magufuli alijali zaidi madaraka yake...
  3. CCM itabaki kuwa mwamba wa siasa za Tanzania, Africa na duniani kote kwa muda mrefu sana ujao

    Na huenda miongoni mwa sababu kubwa zinayoifanya CCM kua imara, bora mwamba wa siasa za africa na duniani kote kila siku, ni uzoefu wake wa kimkakati na mchango wake mkubwa sana wa kisiasa, kijamii na kiuchumi katika ukombozi wa nchi nyingi sana za Africa na bara la Africa kwa ujumla. Siasa za...
  4. CCM Sasa kimefika mwisho

    Ukiachana tu na wasaka vyeo na pesa, CCM kwa Sasa Haina mwanachama anae jivunia hiki chama. Inabidi tu kizikwe kizaliwe upya. Na wajiandae tu vizuri Wala wasiwe na papala. Hakuna ivumuyo milele hapa Duniani. Hata Dunia yenyewe haidumu milele.
  5. Kihongosi: Tunaona wenzetu wanapenda kuombaomba michango. Msiwachangie

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimewakosoa vikali wanasiasa wanaotegemea michango ya wananchi kwa kile kilichoelezwa kuwa ni “kuombaomba kisiasa,” kikiwataka Watanzania kuelekeza fedha zao kwenye shughuli za maendeleo badala ya kuchangia miradi isiyo na uwazi. Akizungumza leo Aprili 17, 2026 wakati...
  6. Hizi zote ni propaganda za CCM tu na chawa wao. Behind the scene, Samia alisha - surrender kitambo kwa mwamba Tundu Lissu. Fuatilia mjadila👇🏻

    Wote nimewaelewa Ila kuna mmoja hajamuelewa Mwingine kwako MangeKimambi na kaka @HecheJohn Tusiwape Mwanya CCM kupata upenyo wa kutugawa kupitia nyufa za Majadiliano ya namna ya tunavyojadili masuala, Kwa namna yeyote ile @TunduALissu Lissu lazima awe out na ndo suala muhimu! Tunajua...
  7. Maridhiano bila katiba mpya ni kuendelea kuwapa ulaji CCM ya Samia na akina Kizigha

    Italifaa vipi taifa letu kuwa na maridhiano na Lissu akawa nje bila kuwa na katiba mpya? Tunapaswq kuwa na katiba ambayo Rais akitumia vobaya madaraka yake kwa manufaa yake,. rafiki zake na ndugu yake aweze kuwajibishwa. Hata kama Lissu atatoka na kuwa huru. Lakini kama hatuna katiba ambayo...
  8. Manara ana ithibati ya uandishi au kwa sababu yuko CCM ni ruksa?

    Maamuzi mengi ya Taasisi za kudhibiti yanakua na double standard, huyu jamaa wote tunajua kua yuko CCM na anatumika kuhoji Viongozi wa kiasiasa na pengine kuzungumzia siasa, Kiuandishi hii imekaaje ? Tueleweshane taratibu msifoke.
  9. F

    Hamchoki na CCM tangu uhuru?

    Hamchoki na CCM tangu uhuru, sisi tulifukuza KANU 2002 tulichoka nao
  10. Ngorongoro: Kabaney Mojah, Diwani wa ACT Wazalendo kata ya Oldonyo Sambu, atimkia CCM

    Diwani wa Kata ya Oldonyo Sambu, Wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha kupitia ACT Wazalendo, Kabaney K. Mojah, ametangaza kujivua udiwani na uanachama wa chama hicho kuanzia leo Jumatano, Aprili 15, 2025, na kujiunga Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mojah ametangaza uamuzi huo jijini Arusha alipokuwa...
  11. CCM inapunguza watu wenye uwezo wa kufikiri

    CCM inapambana kupunguza watu wanaofikiri kwa uhuru na kupalilia watu wenye uwezo finyu wa kufikiri. CCM inapangilia kwa ustadi kuongeza watu wasio na uwezo wa kufikiri. Hii ni hasara kwa watanzania.
  12. Kwenu CCM mtandao

    Ni dhahiri sasa, kuwa unaweza kumunywesha sumu mtu lakini hauwezi kabisa kunywesha sumu ukweli aliokuwa anaufundisha. Unaweza kumteka mtu anayewafundisha watu ukweli lakini hawezi kuuteka ukweli uliowaingia mamilioni ya watu. Kwa Magufuli mlishangilia na kula nyama mkidhani mmeshinda, kiko...
  13. Diwani akamatwa na mirungi zaidi ya kilo 100 Arusha

    MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imefanikiwa kukamata dawa za kuelevya aina ya mirungi kilo 106.25 katika wilaya ya Longido mkoani Arusha zikiwa zinasafirishwa kwa gari aina ya Toyota Wish yenye namba ya usajili T 889 DPG. Akizungumza Aprili 14,202 jijini Dar es Salaam...
  14. CCM wapewe hongera zao bwana, kwenye kutengeneza "misukule" hakuna chama kinawashinda!

    Eti Wakuu? Mtu ndugu zake wameuliwa Oktoba 29, leo anakwambia mama anaupigwa mwingi, ni mwana demokrasia na mdiplomasia wa kweli!😂🤣 Maisha yanamchapa kweli kweli anaishia kutegemea afsaba saba za kuwa bot kwenys mtandao lakini anakwambia mama hana deni! Aaah huu uzwazwa unahitaji kufanyiwa PhD...
  15. Video: CHADEMA wamjibu Chalamila & Katibu mwenezi wa CCM - Kenani Kihongozi kwa utetezi wao dhaifu wa kupanda kwa bei ya nishati ya petrol

    https://youtu.be/QIqjJSoPFQ4?si=3-ZD6Dz4OrPa60Oq HOJA ZA UTETEZI WA SERIKALI HARAMU YA CCM ILIYOJIWEKA MADARAKANI KWA MTUTU WA BUNDUKI KUMTWISHA MZIGO MWANANCHI: ##Wanasema, wananchi acheni kulalamika, bebeni tu mzigo huu wa gharama kwa kuwa ni mwepesi sana na kwa kuwa: 1. Bei zetu CCM na...
  16. R

    Baba Levo: CCM sio wabunge wa ndio, kuna vitu tumekubaliana kwenye ilani ya chama ukipinga umechanganyikiwa

    Mbunge wa Kigoma Mjini, Clayton Revocatus Chipando maarufu Baba levo amesema kuwa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) hawapo bungeni kwa ajili ya kukubaliana na kila hoja inayowasilishwa, bali huchambua na kuchukua msimamo kulingana na maslahi ya wananchi. Ameongeza kuwa tayari kuna baadhi ya...
  17. H

    Siikubali CCM kwa namna wanavyoendesha nchi ila Sina Imani na mpinzani wake CHADEMA

    Habari wanajf Japo sipendezwi na aina ya uongozi wa mama kwa baadhi ya Mambo na namna CCM inavyorun nchi lakini Nina Imani sio wote CCM ni wabaya wapo ambao wanaweza kufanya mabadiliko na wengine hawafurahishwi na baadhi ya vitu vinavyofanyika, pamoja na ubaya wote wa CCM ila Kuna Mambo ya ovyo...
  18. Tuseme Ukweli: Tanzania sasa kila idara ni CCM kuendeleza chama

    Nimekaa mda mrefu na kutochangia JF.Ila leo shauku limenifika. Hivi tanzania ya leo tuseme usalama,JwTZ,TCRA na wengine au vinara wazuri wa CCM ambao jeshi la polisi wanajitafakari kweli. Mfano leo tunaona ushambulizi wa vita vya iran na Israel hivi hawa watu wanajua lolote zaidi ya kusema...
  19. T

    Sasa nimeelewa ni kwa nini watu kutoka upinzani wakihamia CCM wanapewa vyeo haraka sana tena vikubwa!

    Wanabodi kumekuwa na utaratibu licha ya ccm kujigamba kwamba Ina rasilimali watu ya kutosha lakini inaonekana watu smart sana wanapatikana upinzani. Mwanzo nilijua tu kuwa labda ni kivutio cha kuwashawishi wapinzani wengi kuhamia huko ila baada ya kuona jinsi mashabiki wa ccm wanavyojenga hoja...
  20. M

    Kwanini Heche hapingi vita Mashariki ya kati?

    Kwanini CHADEMA hawapingi vita Mashariki ya kati ili mafuta yashuke bei? Katika statement zao, sijaona wala kusikia angalau kuilamu USA kuivamia Iran. Wao wanamlaumu Rais wa Tanzania tu badala angalau kutoa statement 1 ya kulaumu nchi zilizosababisha haya mambo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…