ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Kwa hiyo kila CHADEMA wanapoweka mkutano .Serikali ya CCM mnaandaa matamasha na wasanii ili watu wasifike.Mnazidi kuumbuka

    Kwa mtindo huu siku ICC ikitaka kuja kwa nguvu na hisi mtatoa pesa yote kuwaleta wasanii wote billboard na mataifa mengine. Leo Kahama naelezwa walipoona mwendo wa watu kuwepo kwenye mkutano wakaamua kuita wasanii na vimbengwa.
  2. Q

    PostGE2025 Kuna project inafanywa na CCM ili ACT - Wazalendo iongoze maridhiano

    Baada ya Chadema kusimamia msimamo wake kuhusu maridhiano, CCM imekuja na project mpya. Wameamua kuitumia ACT kwa vile imekuwa ikitumika kuisafisha CCM kwa muda mrefu. Ili Zitto na chama chake tuwaamini wameambiwa wahoji matokeo ya tume ya Chande na wahoji kwanini viongozi wa majeshi...
  3. Hivi kweli Samia Bado unamtuma Wasira asimame majukwaani kuiongelea CCM?!

    Real Stephen Wasira, bado anatumwa kuiubili injili ya ccm na mauaji yaliyojitokeza 29.10? Dr. Samia soma alama za nyakati huyo atumwe kigoma, sumbawanga, mbagara ILA akija Kilimanjaro tafadhali muwe macho
  4. Kuna kikundi kinalipwa na CCM na serikali kwa jina cyber kinaitwa Farming Ghost Account.

    Farmin ghost account ilianza bara za asia sana kwa wale ambao mlikuwa mfahamu ni kwamba mtu mmoja au kundi la watu wanamiliki account kama email,mitandao ya kijamii zaidi ya moja. Mtindo huu umefanya makampuni ya mitandao ya kijamii kuanza kuzibiti mfano kama usajili wa simu sasa ila sio kote...
  5. Hivi serikali ya CCM mnachokifanya ni kile kile cha Zimbabwe kwa mugabe.

    Kabla upako wa mugabe ujamfikia pale Zimbabwe kulikuwa na matukio kama haya ambayo tunaendelea nayo tanzania. Uhai wa mtu kuondolewa kulinda CCM kubaki madarakani sasa unajionesha wazi wazi kwa maneno na matendo. Nimeshindwa kuelewa mpaka sasa yani CCM ina vikundi vya siri ambayo sasa...
  6. M

    Askari wa JWTZ kaaeni chini mpange kuikataa CCM, inawafuata

    Leo Mzee Wassira ameropoka, mpango wao waliokaa wakajadili. According to yeye watawatafuta baadhi yenu na akasisistiza "Tusiwe tunafuga nyoka ndani" hili sio neno la Gen-Z. Tarehe 29 kuna Askari walioambatana na Waandamanaji wakisubiri kama Wakuu wa baadhi ya Kambi wataingiwa na Ujasiri... CCM...
  7. K

    Ni vizuri Mama Samia anapoteza nguvu ndani ya CCM

    Pamoja na wote wanasiasa wanajaribu kufuata trend ya wananchi. Kwasasa tred ipo kwenye kudai haki, kupinga sheria mbovu, kupinga utekaji, undugu, u bara na u zanzibari, kupinga rushwa na kutaka haki kwa kila mtu bila kujali chama. Sasa kwa misingi hiyo hata ndani ya CCM kuna wengi hawapendi...
  8. Kofia(boshori) zibauso achia macho zinazoanza kushamiri mitaani sio nzuri kiusalama

    Hamjambo! 1. Siku za hivi karibuni ukipita mitaani na barabarani umezuka mtindo wa vijana kuwaona wakiwa wamevaa kofia boshori funikauso achiamacho aidha wakitembea barabarani au wakipita na bodaboda wakiwa wamepakizana. 2. Mtindo huu sio mzuri kiusalama hasa ukizngatia vijana wengi hawana...
  9. C

    CCM OYE

    WOTE TUTAMBUE JUKUMU LA MAMA SAMIA SIO KUTUPA WANANCHI FURSA,MAMBO MENGI HAYAFAI YAMETOKANA NA UTEGEMEZI HUU, JUKUMU LA MAMA SAMIA NI KUSIMAMIA SERIKALI NA UTENDAJI WAKE ,KUFANYA MIUNDO MBINU YA KIMAENDELEO YA TANZANIA NA KUANGALIA MASLAHI YAKE BINAFSI KAMA BINADAMU MWINGINE.TUACHE KUTAKA FURSA...
  10. M

    Wasira: CCM tulichepuka, tunataka Kurudi Njia Kuu

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira amesema CCM imeazimia kujifanyia tathimini kwa kupata maoni ya wanachama wake ngazi za chini kuelekea uchaguzi wa chama hiko kwa lengo la kupata viongozi bora na kushughulikia kikamilifu changamoto za Watanzania. Ameyasema haya mkoani Kigoma...
  11. U

    Dkt. Mwinyi aipongeza UVCCM kwa kuipa CCM ushindi

    DKT. MWINYI AIPONGEZA UVCCM KWA KUIPA CCM USHINDI MKUBWA UCHAGUZI MKUU 2025 Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amepongeza Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwa kazi kubwa na ya...
  12. M

    Waziri mkuu Mwigulu Nchemba jiuzulu kwa kuyachafua mataifa ya jirani hasa Kenya kuwa raia wake walikuja Tanzania kushiriki kupindua serikali ya CCM

    Wakili Maduhu anasema amekagua hati za mashitaka nchi nzima za watu walioshitakiwa kwa kuhusika na uhaini wa Oktoba 29 lakini hakuna hata raia kigeni aliyeshitakiwa. Wewe kama Waziri mkuu baada ya kuapishwa ulitamka kuwa kwenye maandamano hayo raia wa kigeni hasa Kenya walihusika na walikuwa...
  13. Siasa za Upinzani ni lazima ziwe zile zinazowalazimisha CCM waendelee Kuteka na kuua, Kuzuia Vyama au Kuvifuta, Kuwafunga jela Wapinzani n.k

    Mnajua Maji ya shingo? Au ile tunasema Kupumulia mashine ? Hiyo ndio Hali ya CCM ilivyo kwa sasa. CCM kwa sasa ímeichafua NCHI kwa Matendo yake, Dunia yote inawamulika CCM. Hamjui Kuna wàna CCM wameficha Hela na Mali zao Njé ya NCHI?. .... Sasa hili ndio Kundi la Hatari ambalo hata Samia...
  14. Wasira: CCM kujifanyia tathmini unalenga kuboresha uongozi na kutatua changamoto za wananchi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema uamuzi wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) kuagiza chama kujifanyia tathmini unalenga kuboresha uongozi na kuhakikisha changamoto za wananchi zinashughulikiwa ipasavyo. Wasira amesema katika kuelekea uchaguzi...
  15. Huenda vibaka wa kisiasa na wanaharakati uchwara waliotajwa kuchochea ghasia za Oct.2025, wakatimkia ughaibuni kabla ya kunaswa na mkono wa sheria

    Sote ni mashahidi kwamba, hali ya kisiasa nchini hasa baada ya tume ya jaji chande kuwasilisha ripoti yake kwa rais Dr.Samia Suluhu Hassan, tayari kuna kila dalili na mipango kwa hasa hawa vibaka wa kisiasa na wanaharakati uchwara nchini, ambao kwa namna moja ama nyingine wametajwa kushiriki...
  16. Kwa Sisty Nyahoza: Hebu onesha kwa umma barua ulizowaandikia CCM ukiwatishia kuwafutia usajili wao kwa kauli za viongozi na wanachama wao

    https://www.youtube.com/live/9rRDBtpMBqU?si=64FYJTRZAy4diXUs Ofisi ya Msajili wa vyama vya siasa kupitia kwa mtu mmoja tu aitwaye Sisty Nyahoza imeanza tena kutengeneza mwanya wa uwezekano wa kutokea kwa vurugu na mauaji mengine kwa sababu tu ya maamuzi na utendaji wao mbovu, wa kijanja janja...
  17. A

    DOKEZO Responded Bado siamini CCM imetoa eneo la Biafra kwa mfanyabiashara wa showroom wakati lilikuwa tija zaidi kijamii

    Eneo la wazi la Biafra Kinondoni limebeba kumbukumbu na historia ya makuzi ya watu wengi kwa miongo kadhaa. Wengi wetu tumelikuta kama sehemu ya michezo, mikutano ya kijamii na hata sehemu iliyounganisha jamii ya Kinondoni kwa namna tofauti tofauti. Ndiyo maana eneo hilo halikuwa tu ardhi ya...
  18. S

    Madai ya CCM kutumia helicopter za Jeshi wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2025, Msajili aliwahi fuatilia na kuchukua hatua?

    Hili ndio swali langu kwa Msajili wa vyama vya siasa nchini kama anapita humu JF au ana wasaidizi wake wanapita humu
  19. Kuna mtumishi aliyekubalika na watawala CCM na kudumu muda mrefu zaidi katika nafasi yake zaidi ya Jaji Mutungi?

    Amehudumu katika nafasi moja tangu mwaka 2013(miaka 13!). Amefanya kazi chini ya marais watatu bila kuondolewa kwenye kiti chake au hata kunyooshewa kidole na mtawala yeyote wakati wowote. Wote wameipenda na kuridhishwa na kazi yake Jaji Francis Mutungi, msajili wa vyama vya siasa!
  20. K

    Tayari chali! CCM imebaki sasa kutegemea vyombo tu hata kampeni hawawezi

    Tayari chali! CCM imebaki sasa kutegemea vyombo tu hata kampeni hawawezi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…