ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Snoop Dog na Wueen Latifa wamejiunga na CCM

    Wakiwa katika tabasamu bash adha baada ya kukabidhiwa kazi zao za chama kikongwe cha siasa kuliko vyote barani Afrika.
  2. 2025 CCM watakubali kufanya kosa walilofanya 2015?

    Ni wazi umaarufu wake kwa sasa umeporomoka kwa kiwango kikubwa sana. Laiti uchaguzi ungekuwa ni leo kisha akasimamishwa yeye na mzee wa ubwawa ni dhahiri shahiri mzee wa ubwabwa angeondoka na ushindi. Kauli zake pia zimechangia kwa kiasi kikubwa kuzidi kuporomosha umaarufu wake. Kujimwambafai...
  3. TOT ni mali ya CCM haipashwi kutumika kwenye hafla za kitaifa. Huku ni kutumia vibaya rasmali za Watanzania

    Nipo nyumbani kwenye luninga nafuatilia sherehe za kuzima mwenge huko Chato. Jambo la ajabu ni kuona bendi ya TOT ambayo ni mali ya CCM ikitumika ili hali ni sherehe ya kitaifa. Kutumia kodi zetu kuwalipa Tot ili hali ni mali ya CCM ni kukosa busara za kisiasa. Abadani haya mambo yanatakiwa...
  4. F

    CCM jifunzeni siasa za kistaarabu toka kwa majirani

    Nimeambiwa Rais Uhuru yupo DC na ataongea na Biden kama Rais wa kwanza Africa kufika while House kwa official visit na zaidi wataongelea mambo ya demokrasia Africa. Nimejuliza sisi tunakwama wapi? Mbona wa kwetu alikuwa huko huko juzi tu, nini mbaya Haya naambiwa pia Uhuru atamkampenia...
  5. F

    Diwani Moshi matatani, TRA yafunga akaunti zake

    Taarifa kutoka Moshi zinatonya kuwa diwani mmoja wa Chama cha Mapinduzi(CCM) Manispaa ya Moshi ameingia matatani baada ya kubainika amekuwa akiendesha biashara ya utoaji wa mikopo bila kuwa na leseni na hivyo kukwepa kodi . Kwa sasa Diwani huyo(jina kapuni)anachunguzwa na TRA kwa ukwepaji wa...
  6. Chama cha Mapinduzi champongeza Rais Samia kwa kuimarisha Demokrasia

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimempongeza na kumshukuru amiri Jeshi mkuu na Rais wa JMT Mama Samia Suluhu Hassan kwa Uzalendo wake kwa Taifa, Ushupavu na Ujasiri katika kulinda na kusimamia "Tunu za Taifa" letu kwa nguvu zake zote kwa akili zake zote na kwa moyo wake wote huku msingi mkuu wa...
  7. Pamoja na kwamba mimi ni mwana CCM mzuri lakini haya siyaafiki

    Mi ni miongoni mwa Wana CCM ambao sikupendezwa na Mheshimiwa Tundu Lissu Kupigwa risasi , Mimi ni Miongoni mwa Wana CCM ambao hatukukubaliana na jinsi nchi ilivyokuwa inaendeshwa na Bwana Magufuli, Mimi na akina Kagasheki, Mwandosya, January Makamba na Butiku tulikuwa hatukubaliani na hayo...
  8. Shaka Hamdu Shaka azungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma

    NUKUU: BAADHI YA NUKUU ZA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI WA CCM, SHAKA HAMDU SHAKA ALIPOKUA ANAZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO 12 OCTOBA 2021 DODOMA "Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kusimamia na kuimarisha haki za binadamu, usawa, demokrasia, kupinga aina zote za ubaguzi pamoja na...
  9. Rais Samia avunja rekodi ununuzi wa ambulance na magari ya Chanjo

    Maajabu ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Tanzania imeagiza Jumla ya ambulance mpya 395 na magari mapya 214 kwa ajili ya chanjo kwa mpigo kitu ambacho hakijawahi kufanyika tangu tuwe huru kama Taifa, === Mtakumbuka awamu ya tano kwa miaka yote mitano tulifanikiwa kununua jumla ya...
  10. Orodha ya Wabunge wa CCM watakaoshindwa kurudi 2025

    Wabunge wengine wameingia bungeni kwa upepo au kwa kushtukiza na kwenye majimbo yao wamelala usingizi wanasubiri kupitishwa tena kurudi Dodoma bila jasho;- 1. Dkt. Kalemani 2. Msukuma 3. Prof. Ndalichako 4. Saashisha Mafue 5. Polepole 6. Priscus Tarimo 7. Dr Bashiru 8. ……………, 9. …………….,
  11. F

    Humphrey Polepole huijui CCM wewe

    Hivi karibuni nilimtahadharisha Humphrey Polepole kutokana na mwenendo wake usiofaa wa kumpinga Rais Samia pamoja na Serikali yake kutokana na kinyongo chake cha "kupigwa chini " kwenye nafasi ya Ukatibu wa Siasa na Uenezi wa CCM Taifa. Kwanza niseme mapema kabisa kwamba Humphrey Polepole...
  12. Ushindi wa Konde; Mbadala wa CCM ni chama kipya kutoka ndani ya CCM

    USHINDI WA KONDE;MBADALA WA CCM NI CHAMA KIPYA KUTOKA NDANI YA CCM. Na Chakat,Hapa Kazi Tu. Tanzania inapaswa kuwa na vyama vya siasa vinavyojitambua na vinavyojua wajibu wao katika kuleta maendeleo ya Taifa kwani siasa sio chuki wala uhasama,siasa sio udini,siasa sio Ugaidi,siasa ni...
  13. CCM yaibwaga ACT Wazalendo Jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani (CCM) aibuka kidedea

    Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ushetu, Linno Mwageni amemtangaza Mgombea wa CCM, Emmanuel Peter Cherehani kuwa Mbunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 103,357 Mpinzani wake, Mgombea wa ACT Wazalendo, Mabula Nkwabi Julius amepata kura 3,588 kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika jana Oktoba 9, 2021
  14. Huu utofauti wa vijana wa CCM na Chadema unatokana na nini?

    Katika misingi ya kujenga hoja naona kama vijana wa Chadema wako vizuri sana. Kwani vijana wa CCM hawasomi shule hizihizi wanazosoma vijana wa Chadema? Kuna nini CCM mi sielewi, ni kweli chama kimekubali kuwa na mtazamo wa vijana wa kusifia tu. Kila nikiwaangalia vijana wa CCM nahisi kuna...
  15. Q

    ACT Wazalendo waibwaga CCM Konde, Mohamed Said Issa ashindi kiti cha Ubunge

    Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Konde, Abdallah Said Hamad amemtangaza Mgombea wa ACT-Wazalendo, Mohamed Said Issa kuwa mshindi wa Ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo hilo uliofanyika leo 09 Oktoba, 2021 Mohamed Said Issa amepata kura 2,391 dhidi ya 794 za mgombea wa CCM, Mbarouk Amour...
  16. CCM msituletee tena Rais kama Hayati Magufuli

    CCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele. Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli. Hafai. Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza...
  17. M

    Huenda Wabunge wengi wa CCM wakashindwa kurudi 2025 na upinzani ukalamba dume

    2020 Kulikuwa na upepo wa ajabu kwa wabunge wengi wa CCM kwani walibebwa kama watoto wachanga na JPM na Livingston Lusinde ni shahidi kwani yeye alisema kuwa kunawabunge hata kwa kuzikiri bila nguo wasinge rudi ila Magufuli aliwabeba na mbeleko. Taarifa nilizo zipata kutoka chanzo cha uhakika...
  18. CCM tukubali kuwa Chadema wako mbele Sana kidigitali

    Wakuu chama chetu Cha CCM ndo kulikuwa chama Cha kwanza kuzindua Mambo ya CCM digital. Walikuja na App ya CCM kwenye play store, ili wanachama wajisajiri kidigitali. Ukweli CCM hatujafanya vizuri kwenye hili. Hata mitandaoni Mfano Tweeter, JF ni kama Chadema wameiweka hiyo Mitandao mfukoni...
  19. M

    Kwamoto huu wa CCM Ushetu CHADEMA mlikuwa sawa kusogeza magoli nyuma | Hapa Shaka kule Mizengo Pinda pale Katambi huku Ditopile ni "Utajua Hujui "

    Kwamoto huu wa CCM Jimbo la Ushetu-Kahama Chadema mlikuwa sahihi kusogeza magoli nyuma | Hapa Shaka kule Mizengo Pinda pale Katambi huku Ditopile ni "Utajua Hujui " "Hakuna kama Samia " Sitaki kuongeza neno,hebu fungua mwenyewe hiyo video ili uone mafuriko ya maelfu ya watu huko Ushetu ikiwa...
  20. Kampeni Ushetu; Baadhi ya nukuu za Katibu wa NEC itikadi na uenezi CCM, Shaka Hamdu Shaka

    NUKUU: BAADHI YA NUKUU ZA KATIBU WA NEC ITIKADI NA UENEZI CCM SHAKA HAMDU SHAKA-KAMPENI USHETU. "Wananchi ninazo taarifa juu ya vitendo viovu vya kupambikiziwa kesi za kukamatwa na bangi vijana na wanawake vinavyofanywa na baadhi ya askari wetu wasio waaminifu wanaotaka kulitoa doa jeshi letu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…