ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Hakuna mwenye CCM

    Vijana CCM kama chama cha siasa kina katiba na itikadi zake. Ili uwe mwanachama inabidi uelewe CCM inasimamia nini (miaka hiyo sio sasa). Kwa sasa hakuna mbadala wa CCM kisera, lakini bado ndio nambari one. Maana yake nini? Hakuna mwanachama mwenye hati maliki. Wote wamejiunga tu kwa kufuata...
  2. CCM shtukeni, TANESCO wanatuharibia

    Chuki iliyopo mtaani kuhusu Tanesco kukata umeme hovyo ni kubwa na inatisha! Shughuli nyingi za kujikwamua kiuchumi hasa kwa vijana mfano Saloon, uchomeleaji wa vitanda, milango na madirisha unakwamishwa kwa kiwango cha kukatisha tamaa. CCM lisimamieni hilo kwa kuwataka wateule wanaohusika...
  3. T

    Wapinzani wakivurugana wanafukuzana, CCM wakivurugana wanapatana na kuombana msamaha. Hii imekaaje?

    Wanabodi naomba mnisaidie kuelewa shida iko wapi, maana tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi hapa nchini, tumeshuhudia vyama tofautitofauti vya upinzani vikiibuka na kujipatia wafuasi wengi na hivyo na hivyo kuwa tishio kwa chama tawala. Kwa kumbukumbu zangu ni kwamba ilianza nccr mageuzi...
  4. N

    Wenye CCM Wasiogopwe

    Kuna kundi wanajiita wenye CCM. Hawa ni watoto wa wakubwa wastaafu. Wanaojiona kana kwamba chama ni mali yao. Nawasihi sana wote wanaoitakia mema Tanzania wawakemee hawa watu. Hivi karibuni, Nape Nnauyr alisema wqzi kwamba chama kimerudi kwa wenyewe. Hao wenyewe ni wakina nani? Nadhani...
  5. A

    Kuna genge lenye roho mbaya ndani ya CCM

    Hili genge lenye roho mbaya dhidi ya Serikali ya sasa kila mtu mwenye akili timamu analijua. Wamejawa na uchu wa madaraka, rushwa na upendeleo. Ni ndumi la kuwili, wana ndimi mbili ni watu wa hatari sana. Wengine wamejificha wamekaa kimya kumbe wanawaunga mko waliojitoa mhanga kujitokeza...
  6. CCM kemeananeni mapema na muonyeni Haji Manara kavuka mstari

    CCM mkiendelea hivyo mlivyo sasa kwa kila mtu kutoa tamko mnapotea. Hebu acheni huo ujinga! Haji Manara kaenda mbali sana kuwataka ndugu wa marehemu watulie je tafsiri yake ni ipi hapa na ni marehemu yupi anayemsema?! Shauri yenu.
  7. C

    Tuwasaidie CCM, wapo katika vita ya ndani (CCM kwa CCM) na vita ya nje (CCM na Watanzania)

    Ni dhahibi kwamba Ccm chama cha siasa kikongwe kuliko vyote vilivyopo Tanzania, sasa kiko katika vita ya ndani (ccm kwa ccm) na vita ya nje (Ccm na Watanzania). Kwa ndani wana ccm wanashambuliana mercilessly wakipigania itikadi kinzani. Wako wachache wenye nguvu wanaotetea ufisadi na kuupamba...
  8. CCM msiompenda Mama Samia, mlitaka nani awe Rais baada ya Hayati Magufuli kufariki?

    Ninashangaa kuona kuna vikundi vya kijinga ndani ya chama changu cha CCM vinajifanya kua wajuaji sana na kwa wao ndio wanaojua sana nchi kwakua walikua sehemu ya utawala wa awamu ya 5. Vigenge hivi vinajifanya kua active kupinga kila kitu kinachofanywa na serikali ya awamu ya 6, utafikiri mama...
  9. B

    CCM inahusika na deni la Trilioni 70+ au lawama zinabaki kwa Marais tu?

    Watu wanaojadili deni la Taifa hasa baada ya JPM kufariki wanamtupia lawama yeye kwamba alikopa Zaid ya Trilioni 29 kwa miaka mitano tu akiwa ndiye Rais aliyekaa madarakani Muda mfupi Tanzania lakini akiongoza Kwa ukopaji kuliko Marais wore waliokaa miaka kumi na Mwalimu zaidi miaka kumi. Wana...
  10. S

    Fatuma Karume: CCM wanamdharau sana rais Samia

    Ktk maandishi yake shangazi Fatuma Karume anasema dhihaka zinazotolewa na akina Ndugai, Polepole, Gwajima, n.k ni taarifa tosha kabisa kuwa rais Samia haheshimiki ndani ya ccm. Shangazi amehitimisha kwa kuuliza swali kwamba...January mwaka huu deni lilikuwa 71 trilioni...kwann Ndugai...
  11. Mwaka 2012 niliichallange Serikali ya CCM na Hayati John Pombe Magufuli kuhusu mikopo!

    Mimi ni muumini wa Uhuru wa kweli na kujiamini kama mtanzania ! Kauli mbiu yangu wakati naingia JF ni moja tu inatambulika kama "KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA" Kaulimbiu hii inamaanisha kuwa tunaweza kufanya makubwa iwapo tutajiamini au tutachagua kujiamini. sisi ni watu wenye akili,uwezo na...
  12. Anguko la CCM lipo jirani?

    Kwa muda mrefu sasa baada ya kifo cha Hayati Magufuli tumeshuhudia minyukano ya wazi ya kutokukubaliana baina ya Makada wa CCM kuhusu mwenendo wa baadhi ya mambo yawahusuyo wao kwa wao. Hivi karibuni kwa mfano Makada na waliopata kuwa Katibu wa Nec na Uenezi wa chama kile ndugu Nape Nnauye na...
  13. F

    Ndugai hafai kuwa Spika, CCM mkalieni kikao na kumvua uanachama

    Huyo Speaker Ndugai ni shida sana kwenye hiki chama, hafai na hana quality ya kuwa mbunge licha ya kuwa speaker. Hivi anavyosema tusikope, anaelewa anachofanya? U.S, UK na nchi zingine zinakopa ili zipeleke uchumi mbele, huyo Ndugai anadai eti tusikope. Kenya wamekopa na ku-invest kiasi...
  14. Viongozi wa CHADEMA jizuieni kuongelea kila tukio hasa yanayohusu CCM

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Mwaka 2012 kulitokea jambo la kushangaza sana ndani ya CHADEMA lakini kama kawaida makada wa Chama Cha Mbowe walitetea na kutukana mno yeyote aliyekuwa na maoni tofauti. Ilikuwa ni kujulikana kwamba bado aliyekua katibu mkuu wa CHADEMA Dr Slaa kwamba...
  15. Uongozi wa Magufuli umeacha madoa mabaya kwa CCM Taifa

    Uongozi wa magufuli wa awamu ya tano umeacha madoa na makovu mabaya sana katika historian ya taifa letu. Ni kweli alijenga miundo mbinu lakin mabaya aliyoyafanya yanafunika hayo mazuri. Imagine mpaka viongozi wa dini waliwekwa kwenye tagert ya hit list. Mwingira anaweza akawa asiwe wa mwisho...
  16. S

    Huu si ushahidi kuwa CCM ni chama dola? Je, kuna mangapi yanafanyika juma ya pazia zaidi ya hili?

    By John Pambalu kupitia twitter(kamnukuu kwenye clip iliyoko katika akaunti yake ya twiitter). "Mimi nilikua Mkuu wa kikosi Cha Jeshi ,wakati hairuhusiwu afisa wa jeshi kushiriki kwenye mambo ya kisiasa lakini Mimi nilishiriki, biliwapa Lita 200 za Mafuta CCM Mwaka 2007" Kanari Ngemera Lubinga.
  17. B

    Akaunti ya tweeter ya Mhe. Rais na Mhe. Makamu wa Rais kila wakitweet hakuna viongozi wa CCM wanaungana naye; tujisahihishe

    Mhe. Rais anapotweet inatia hamasa kuona aliowateua wakijumhuka naye, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu the same. Huyu ni Mkuu wa nchi na anapotumia mitandao anataka kuzungumza na Dunia. Anapomaliza kuzungumza au kutuma ujumbe Duniani then waliopochini yake wasilike,retweet wala reply inavunja moyo...
  18. F

    Makada wa CCM waliofarakana na sare za chama

    Mojawapo ya sifa za msingi za uzalendo ni kuziishi mila na desturi za ama nchi yako au chama chako au kikundi chako chochote unachoamini katika falsafa na maslahi yake. Wafuatao ni makada nguli wa CCM ambao hawaamini katika falsafa ya vazi rasmi la Chama Cha Mapinduzi.na haijajulikana sababu ni...
  19. Humphrey Polepole ana hadhi ya CHASAKA ndani ya CCM, haijulikani alitokea wapi, na kadi ya CCM alipewa na nani!

    Chasaka ni mtu ambaye hana asili ya mahala fulani,sio wa pale. Polepole naye hana asili ya CCM, aliokotwa tu huko mababarani na kujikuta CCM akiwa na cheo. Asijifanye anaijua CCM saaana kuliko wenye mizizi ndani ya CCM. Polepole ni Chasaka grade number one+++
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…