ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Karamagi ashinda Uenyekiti wa CCM Kagera

    Aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Mbunge wa Bukoba Vijijini mwaka 2005-2010 Naziri Karamagi ameibuka kidedea ametangazwa kuwa mshindi katika nafasi ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera baada ya kupata asilimia 58 ya kura zote zilizopigwa Karamagi amemshinda mwenyekiti anayemaliza muda wake...
  2. S

    KISIASA: Tanzania tuna chama kimoja tu, CCM!

    Inasikitisha, Inahuzunisha ila uhalisia unabaki hivyo. Nchi ya Tanzania kama yalivyo mataifa mengine Duniani inatamaduni zake na mifumo yake ya kiutawala! Democracy ndio mfumo unaotumika ktk kuendesha Nchi hususani mfumo wa vyama vingi vya siasa! Tanzania kuna vyama vingi vya siasa vikubwa kwa...
  3. CCM 2022 yafyeka waliofyeka wenzao 2020 - CHADEMA watakuwa na nguvu za miaka ya 2005?

    WanaJf, SALAAM! Katika mikoa mbalimbali ya Tanzania bara uchaguzi ndani ya CCM ktk ngazi za mikoa umekuwa na sura mpya ya kurudishwa kwenye nafasi makada wakongwe wa enzi za JK 1. Kigoma, Jamal kashinda kwa utitiri wa kura; 2. Mara, mpyaa kashinda kwa kishindo dhidi ya Mirumbe aliyemkaribia...
  4. CCM siasa zenu ni za kishamba na zimejaa utoto mwingi

    Ukiwa mtu mzima na Mwenye akili timamu lazima utagundua Hilo. Siasa za CCM Kwa asilimia kubwa ni danganya Toto, wanafanya kazi Kwa matukio na propaganda. Yaani mpaka waamshwe ndo uone wamechachamaa. Lakini Hata wakichachamaa agenda Zao zimejaa utoto na uongo mwingi. Ukiwa na akili timamu na...
  5. Dkt. Bashiru bado hajaitoa ripoti ya wizi wa mali za CCM

    Nawasalimu kwa jina la Walamba Asali. Nawakumbusha tu ile ripoti ya ukwapuaji wa mali za CCM Dkt. Bashiru hajaitoa hadharani. Tutulie siku akitibuka mbona mtashangaa kuna wakubwa walipokonywa V8 barabarani, wengine walijimilikisha shule za chama wengine viwanja na mijumba ya maana. Ni hayo tu...
  6. CCM imejaa waoga, wanaogopa kila mtu na kila kitu

    CCM imechakaa sana, imekosa watu wenye nguvu za hoja, imejaa watu waoga wanaogopa hata watoto wadogo wanaopigana wakiwa wamevalishwa sare za CCM. Walianza kuogopa wapinzani lakini sasa wanaogopana hata wenyewe kwa wenyewe. Wasipokuwa makini lazima kutatokea jambo lisilofaa.
  7. Morogoro: Aliyekosa Uenyekiti CCM adai Uchaguzi ulitawaliwa na Rushwa

    Nasoro Duduma aliyepata Kura 448 amesema uchaguzi huo uligubikwa hila zilizofanywa na baadhi ya WanaCCM hali iliyosababisha wajumbe kubadilika ghafla na kumchagua Joseph Masunga kwa Kura 621. Amesema uchaguzi huo ulikuwa na vyombo vikubwa vya uangalizi hivyo anaamini hila zote zilizofanywa...
  8. CCM sawa na mbwamwitu

    Hawa wanachama wa CCM wameishiwa hoja badala yake wanatumia mashambulizi kwa mtindo wa mbwamwitu, wanadhani wakishambulia kwa wingi wa kundi lao basi watakuwa wamejenga hoja! CCM imeishiwa watu wenye uwezo wa kufikiri kabla ya kujibu. Mtu mmoja anatoa hoja zake linaibuka kundi la watu zaidi ya...
  9. Ukistaajabu ya CCM Mkoa wa Simiyu angalia uchaguzi wa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro

    Uchaguzi wa kumpata mwenyekiti wa ccm mkoa wa Kilimanjaro , majibu haya hapa.
  10. S

    Mungu Fundi; Baada ya kuwanyima wapinzani majukwaa, sasa CCM ndio wanafanya kazi ya upinzani na wanaofanya mpaka 2025

    Wao waliamini wakiwazuia wapinzani kufanya mikutano ya siasa na kukutana na makundi mbalimbali ya jamii, basi wao watakuwa salama kisiasa na upinzani utakufa/utadhhofika. Hata hivyo, kwa jinsi Mungu aliyokuwa Fundi, kapundia meza/mkeka kama walivyofanya Yanga kule Tunisia hivi karibuni. na...
  11. Uchafu wa uchaguzi uliotajwa kufanyika CCM, huu ndio mfano mmoja wapo (video)

    Hiki ndiyo kilichokuwa kikitokea kwenye uchaguzi wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoani Simiyu ambao ulifanyika Alhamis ya wiki iliyopita, Novemba 17, 2022 Huu anayeonekana ‘staa wa muvi’ ni Diwani wa Viti Maalum Wilaya ya Maswa, Witness Philipo (Mama Dwese) akionekana kuweka...
  12. Mwaka mmoja wa mzee Kinana madarakani, vijana wanagawana rushwa hadharani

    Mnakumbuka uchaguzi wa 2015 pale Dodoma kuna mtu alikamatwa na brifkesi la noti karibu na ukumbi wa CCM? Kipindi kile rushwa ilikuwa jambo la kawaida sana ndomana watu walikua na ujasiri ule, na juzi watu wamegawana rushwa kwenye chaguzi za ndani za CCM. Nyakati zote hizi mbili zina uhusiano...
  13. E

    Dkt. Bashiru ameikumbusha CCM kuwa ni chama cha wakulima na wafanyakazi siyo walanguzi!

    Kauli ya Dr Bashiru na mjadala ulioibuka unatosha kufanya tathmini ya chama. Sisi tukiwa elimu ya msingi tulifundishwa kuwa CCM ni chama cha wakulima na wafanyakazi, je hivi kweli chama chetu hiki kinasimamia hiyo misingi iliyoasisiwa na waasisi wake? Hotuba ya bashiru iliashiria mwana CCM...
  14. Jaji Warioba ni sehemu ya kikundi cha chokochoko dhidi ya Rais Samia, wakati anavamiwa na Makonda, alikuwa na Polepole, rafiki ya Bashiru

    Polepole na Bashiru ni kundi la yule aliyekata moto, na halikumtaka SSH achukue uongozi. Polepole katika kumhami kaka yake, kamitumia Warioba aliyekuwa naye Tume ya Katiba ili atoe kauli ya kumlinda. Mzee naye akishaonyeshwa mpunga, huwa anaropoka haraka sana. Polepole alikuwa na Warioba...
  15. Rushwa kwenye chaguzi CCM zinatia kinyaa

    CCM imejikita kwa kutumia makada wake kina Kibajaji, Msukuma, Kigwangala na Kihongosi kumsema na kumtukana balozi Bashiru badala ya kuzijibu hoja zake kwa umakini. Wakati huo huo CCM ipo kwenye uchaguzi wa viongozi wake nchi nzima uchaguzi uliotawaliwa na utoaji wa rushwa wa kutisha kwa...
  16. B

    Alhaj Adam Kimbisa - CCM imekosa mvuto, kimechoka

    Alhaj Adam Kimbisa - CCM imekosa mvuto, kimechoka Mwanachama mkongwe Alhaj Adam Kimbisa akitoa ushahidi wa CCM mkoa wa Dodoma kuishiwa pumzi ni takwimu za kura za urais 2015 mkoa wa Dodoma ulikuwa wa pili Tanzania kwa kupiga idadi kubwa kura kwa mgombea wa urais wa CCM . Lakini uchaguzi wa...
  17. S

    Mgao wa umeme: Wa kulaumiwa ni CCM au mabadiliko ya tabia ya nchi?

    Watanzania tunaotumia mtandao huu wa Jamiiforums, tutoe maoni yetu ni nani anapaswa kulaumiwa kati ya CCM iliyokaa madarakani kwa miaka 62 sasa au ni mabadiliko ya tabia ya nchi. Karibuni kwa maoni mlioa tayari kushiriki.
  18. Aminini nawaambia kisasi cha wana CCM kitakuwa cha kutisha!

    Hao watu (wana CCM) wanachukiana mno na siku ikitimu ya wao kulipana visasi amini nawaambia kwacho kitakuwa kisasi cha kutisha! CCM hawapendani hatari na sababu hasa ni maslahi yao binafsi na siyo maslahi ya Watanzania ABADANI! Letu la mno tuombe siku hiyo iwadie haraka ili mpango wa Mungu...
  19. Abbas Mtemvu awa Mwenyekiti mpya wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam

    Mwenyekiti wa CCM Dar ni Mtemvu, wale jamaa wataficha wapi sura zao? Nasikia kapata kura 444 Abbas Mtemvu ndo mwenyekiti Mpya wa CCM wa Dar Es Salaam
  20. CCM vs Dkt. Bashiru: Nini kinaendelea?

    UKIONA VYAELEA, UJUE VIMEUNDWA walisema wahenga wa zamani. Tumeshuhudia press ya Dk Bashiru na baadaye viongozi mbalimbali wakipinga vikali msimamo wa aliyekuwa katibu mkuu wa CCM. Tukio hili linafanana kwa ukaribu na tukio la kujiuzulu kwa aliyekuwa Spika baada ya shinikizo Kali kutoka kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…