ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. J

    Askofu Gwajima: Zaidi ya wanachama 500 wapya wajiunga CCM Jimbo la Kawe

    Mbunge wa Jimbo la Kawe Askofu Dkt. Josephat Gwajima (MNEC) ameandikisha zaidi ya wanachama 500 Wapya wa Chama Cha Mapinduzi Kata ya Bunju Mtaa wa Boko Chama 02-07-2023
  2. B

    Sababu za kwa nini CCM itaanguka kwenye uchaguzi wa 2025

    Kwanza ieleweke 2025 chama cha mapinduzi kina nafasi kubwa ya kuanguka kwenye uchaguzi mkuu. Endapo kama mama sa100 ndo atapewa nafasi ya kupeperusha bendara ya CCM kazi itakuwa nyepesi sana ya kuanguka kwa sababu zifuatazo; ufisadi kutamalaki chini ya uongozi wake, hapa hata hutakiwi kupepesa...
  3. R

    Wananchi masikini ndani ya Nchi tajiri. Hata kama CCM itakufa sitokuja isahau

    Habari JF, Binafsi sitachoka kuinyooshea kidole CCM kwa matatizo na maendeleo duni ya Taifa hili mbali na Tanzania kujaliwa maliasili nyingi sana. CCM imetuaminisha kwamba hatuwezi fanya maendeleo bila Misaada ,mikopo na kujipendekeza nje ya Nchi. CCM imefanya wananchi masikini kiasi kwamba...
  4. F

    Watanzania ni wakati wa kuondokana na CCM la sivyo tutakuwa tumechelewa

    Katiba mbovu Uchumi mbovu Utendaji mbovu Mikataba mibovu Mipango miji mibovu Mifumo ya haki mibovu Uongozi na usimamizi mbovu Haya yote ndio matunda ya CCM. Watanzania huu ni wakati wa kuondokana na CCM la sivyo tutakuwa tumechelewa.
  5. CCM, kwa mtaji wa ukakasi wa suala la Bandari, kaeni mguu sawa kung'olewa!

    Suala la Bandari linajadiliwa kwa marefu na mapana kila kona ya nchi. Maandamano ya vyama vya upinzani yameshaanza mikoani kupinga suala zima la ubinafsishaji/uuzwaji/ukodishaji, au hata kuigawa bure Bandari yetu na nyingine Tanzania. Tukubali tusikubali, serikali ya CCM imeingia mkenge mkubwa...
  6. MAONI: CCM wawe wanaangalia Rais gani wa kupewa uenyekiti wa chama chao

    Chama cha Mapinduzi hua wanajizimia taa na kuwa gizani mara kwa mara. Utaratibu wao wa kumteua Rais akitoka chama chao kuwa mwenyekiti wa chama chao safari hii wameikosea Demokrasia kwa kumchagua Samia kuwa Mwenyekiti. Kwa kawaida CCM wana utaratibu wa kidemokrasia kumchagua mgombea urais wa...
  7. KWELI Omary Ramadhan Mapuri aliyeteuliwa kuwa Mjumbe wa tume ya Uchaguzi amewahi kuwa Katibu Mwenezi CCM

    Salaam ndugu zangu, Nimekutana na mijadala kwenye mitandao mbalimbali ikidai bwana Omari Mapuri aliyeteuliwa jana 29/06/2023 amewahi kushika cheo cha uenezi ndani ya CCM huku wengine wakidai kiongozi huyo hajawahi kuwa na wadhifa mkubwa ndani ya chama. Je ukweli ni upi? Tunaombeni muweke jambo...
  8. Je CCM imesheheni uzalendo?

    Kuna mikataba mingi tang zaman imekua na makandokando mengi na ufisadi wa kutisha!! Swali langu ni... Kwann wahusika wanaingia mikataba isiyo na maslahi kwa Taifa na waisainisha? Mpaka bungeni inapitishwa kwa makofi ya kutosha mezani? Inamaana wao hua hawaoni mapungufu ya kimkataba mpaka walio...
  9. CCM yamweka chini ya Uangalizi Balozi Karume

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimemuweka chini ya uangalizi wa miezi mitatu kada wake Balozi Ali Abeid Karume kutokana na kauli zake za kukidhalilisha chama na viongozi wake. Hatua hiyo inatokana na onyo alilopewa na kamati ya siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Jimbo la Tunguu, Mkoa wa Kusini...
  10. Kuna la kujifunza kuhusu mkataba wa DP World na wabunge wa CCM,

    Nimeuliza tu !! Japo mada hii itafutwa nusu saa ijayo
  11. Chongolo: Huwezi kuja na ndoto zako na ukawa kiongozi CCM

    "....CCM inawategemea ninyi vijana kukisemea na kuwalinda viongozi wake pasipo kubagua . Mkisimama kwenye msingi huo daima mtaendelea kufaidi fursa zaidi na zaidi." "....kaweni viongozi wa watu na siyo kuwa viongozi wa kiongozi. Wengi wenu mnatumika na hao wanaokuja CCM na ndoto zao za kuwa...
  12. B

    2025; CCM TUANGALIZIENI MBADALA

    Moja kwa moja kwenye mada maana nimevurugwa. Kulingana na mkwamo wa uongozi uliopo madarakani na msimamo wake wa kuziba masikio ili kutosikiliza maoni ya Raia wake (mimi pia nikiwemo), ninaomba Chama chetu pendwa cha Mapinduzi (CCM) kijitafakari na kutuangalizia mbadala atakayebeba mikoba ya...
  13. Kwanini Watu 'Huru' wanaounga mkono mikakati ya Maendeleo ya Serikali huambiwa ni wana CCM au Wamenunuliwa au wanataka Uteuzi?

    Kwahiyo tunataka Kuhalalisha kuwa kwa Tanzania ya sasa ili uonekane ni Msomi au una Akili au ni Mchambuzi na Mwanaharakati mzuri ni mpaka uwe ni Mpinga kila Mkakati na Mipango mbalimbali ya Kimaendeleo ya Serikali? Wewe Mpuuzi Mmoja ( nakuhifadhi ) uliyekuja PM yangu na Kuniambia kuwa...
  14. Rostam Aziz: Dkt. Slaa alihongwa 2015 kuisaliti CHADEMA, akapewa Ubalozi

    Mchana wa leo Rostam amefanya mkutano na waandishi wa habari. Pamoja na mambo mengine ametoa tuhuma nzito kwa serikali na mahakama. Amesema Dr. Slaa alinunuliwa wakati wa uchaguzi na kukisaliti chama chake cha Chadema na kisha kupewa ubalozi. Hizi ni tuhuma nzito za rushwa wakati wa uchaguzi...
  15. Wenye akili tulipoona tu ndani ya Mbeya City FC kuna u-CCM na u-CHADEMA, tulijua itashuka tu Daraja

    Huwezi kuwa na Timu halafu Asubuhi Spika wa Bunge anaenda na Kuwaambia Wamsikilize Yete huku akimbeza Mpinzani wake Sugu na Mbunge Mstaafu na mwenye Ushawishi Mbeya Mjini Sugu nae akienda anamkandia Mpinzani wake Spika wa Bunge na kuwataka Wamsikilize Yeye halafu hiyo Timu ikapata Mafanikio...
  16. I

    CCM ijifunze kutoka Urusi

    Hali inavyo onekana mpaka muda huu Putin yuko katika hali tete kuliko muda wote alio kaa madarakani. History haichi kufuata mkondo wake, Russia imekuwa katika mapindunzi huko nyuma, kizazi kinajua hilo, kuwasaulisha wananchi kwa kuwanyima haki zao za msingi wa kuwa huru ni kufukia kichwa...
  17. Watumishi wa Umma watakiwa kujinunulia sare wenyewe kuhudhuria Mkutano wa Katibu Mkuu wa CCM Dodoma

    Habari ndugu zangu, Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na tangazo la kibabe lenye ujumbe unaowataarifu Watumishi fulani kuhusu Mkutano wa Hadhara utakaofanywa na Katibu Mkuu wa CCM Dodoma. Maajabu ni kwamba tangazo hilo limewataka Watumishi wahudhurie wakiwa na sare iliyoandikwa...
  18. R

    Ni njia ipi itasaidia kuiondoa CCM madaraka 2025 ? Na chama kipi kiandaliwe kuchukua dola ?

    Habari jf ,ni wazi kwamba tunahitaji mabadiliko nikiwa nna maana kuiondoa CCM madarakani ugumu unakuja ni njia zipi ? Na ni chama kipi ? Kiuhalisia kuendelea kuitegemea CHADEMA ni upotevu wa muda maana kina watu wengi walio pale kimkakati ukianzia Mwenyekiti . NCCR Mageuzi ni better option...
  19. CCM itamke wazi kuwa kumsifia Rais ni sera yao mpya

    Wapo watu ambao hufurahi wanaposifiwa kwa kila jema na zuri watendalo. Hili ni jambo zuri tu. Pia, wapo ambao huwa hawapendi sifa hata kama wakifanya mambo makubwa na mazuri. Hawa ni wachache. Kwa wenye busara, unaposifiwa sana lazima ujiulize. Ya kweli haya? Maana, ngoma ikivuma sana hupasuka...
  20. Katibu Mkuu wa CCM ndugu Chongolo asimikwa kuwa Chifu wa Wagogo

    Komredi Daniel Chongolo rasmi amesimikwa awe/kuwa Chifu wa kabila la Wagogo/Wanyambwa huko mkoani Dodoma. Ikumbukwe, bwana Chongolo ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CCM Taifa bado anaendelea na ziara yake mkoani humo. Picha kwa hisani ya gazeti la Nipashe. ==== Katibu Mkuu wa CCM Daniel...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…