ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. G

    Kwani ndugu zangu Ccm ni LAZIMA mridhiane na Chadema si Bora mridhiane na Chaumma iliyokuwa na mgombea wa Urais au Act

    Kama ni Ishu ya maridhiano tu ndugu zangu Ccm ridhianeni na chaumma au Act ndo iliingia kwenye uchaguzi. Chadema Haina hata diwani kwanini mnalazimishe waingie kwenye maridhiano wakati Kuna watu wako tayari kina Yeriko na Zito . Nyie si mnataka TU ionekane mmeridhiana kama kule Zanzibar ingawa...
  2. M

    Musiba alisema wamechaguliwa Lissu na Heche CCM wajipange

    Ninakumbuka Musiba aliwahi kusema baada ya Lissu na Hche kuchaguliwa na Mkutano mkuu wa Chadema kuwa CCM wajiandae na siasa ngumu kutokana na haiba ya hawa watu. Ni kweli tumeyaona utabili wake ulikuwa sahihi. wacha tuone
  3. Ndani ya Chadema mapandizi ya CCM bado yamo mengi sana

    Siasa ya Tanzania ni ngumu sana, CHADEMA itapitia migorgoro mengi sana KWA sbb mapandikizi ya ccm yapo mengi sana. Nani angeweza kujua kuwa mbowe ni pandikizi wa ccm zaidi ya miaka 30? Na je mbowe amecha wangapi ndani ya CHADEMA? KWA sasa mpimzani wa kweli ni Tundu Lisu: angalau na Heche...
  4. M

    Baada ya makapi kutoka CCM kurudi Chadema, tayari Mipasuko ndani ya Chadema imeanza, kina Msigwa wachunguzwe!

    Waliondoka kipindi Cha Mbowe na kuhamia CCM na ama vyama vingine, hawakutakuwa kurudi tena Chadema Angu waruhusiwe kurudi Chadema, sikuwahi kuwaamini tena Tutajuwaje kina Msigwa kama ndio wametumwa kuja kutengeneza haya yaliyopo sasa ndani ya Chadema? Chadema ni chama Imara sana, wananchi...
  5. M

    Picha: Msikatishwe tamaa na majambazi ya CCM. Watanzania wapo nyuma yenu

    Mwenyekiti Mheshimiwa Tundu Lissu na Makamu Mheshimiwa John Heche, sisi watanzania tupo nyuma yenu. Mungu wa mbinguni aliye hai, asiyesinzia yupo pamoja nanyi. Mungu baba yetu ni Mungu wa haki na kupitia ninyi watanzania watapata haki.
  6. Meneja wa CCM Kirumba: Video ya watu wakijisaidia ovyo Kirumba ilipangwa ki-Propaganda ili kutuchafua

    Meneja wa Uwanja wa CCM Kirumba uliopo jijini Mwanza, Hassan Omar Ali amesema taarifa kuwa uwanja huo una changamoto ya uhaba wa vyoo ilikuwa ni mkakati wa kuchafua sifa iliyopangwa na watu wenye nia hovu juu ya eneo hilo. Hoja ya awali ~ Uwanja wa CCM Kirumba hali ni mbaya. Watu wajisaidia...
  7. L

    Makubaliano ya Maridhiano baina CCM na ACT Wazalendo - Julai 9, 2026

    Hii hapa: Jambo Tv https://www.youtube.com/watch?v=44nfO46PvfU
  8. Ukiangalia propaganda wanazotengeneza CCM ni zile za miaka 90 kushuka chini

    Propaganda za CCM ni za kichekesho sana na mtapigwa pesa mpaka mkumo na mwisho wenu unakaribia. Yani mfano tu kuna watu wanaibuka kuwa wenyekiti sijui jumuia ya wananchi fulani mfano mlivyo fanya kusema waroma wanapinga,bodaboda,vijana na mambo mengine. Watu smart wanatakiwa kuwekwa mezani...
  9. Kilichobaki ndani ya mfumo wa CCM kutafuta wa kisimama naye kama Nchi kubwa ikionekana kumkosoa

    Kwa sasa kila idara kila sehemu ya taasisi zote za serikali zipo mikononi mwa CCM. Anachotafuta ni nani wa kumlinda. Nakumbuka hata maanguko mengi ya nchi hii ndio steji huwa wanatafuta wa kuwa msaada wao. Uganda kuna kipindi alianza kufanya haya. Msije shangaa kuna balozi zikafukuzwa.
  10. M

    CCM Simiyu inakaaje kimya?

    Inazua maswali kuona viongozi wa chama wakitukanwa kwenye baadhi ya makundi ya WhatsApp yanayodaiwa kuhusisha wanachama, huku kukiwa hakuna hatua za wazi za kinidhamu zinazoonekana kuchukuliwa. Je, ukimya huo unatokana na tahadhari kuelekea uchaguzi wa ndani wa chama mwakani, au ni dalili ya...
  11. Hivi nikikutana na mbunge wa CCM nikamnong'oneza wewe ni mwizi jizi la kura atanifanya nini pasi na shahidi?

    Unakutana paap na mbunge wa ccm halafu unamnongoneza Kwa karibu ili mtu yeyote asisikie wewe ni jizi la kura atakufanya nini? Na hakuna shahidi aliyesikia maneno hayo ya kizalendo?
  12. Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Tanga, ahamia CCM

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Tanga, Rashid Jumbe Hamza, amejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), akieleza kuwa ameridhishwa na utekelezaji wa miradi ya maendeleo chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, hali iliyomfanya kuona hana sababu ya kuendelea kuwa upande wa...
  13. Msigwa: Nilipokuwa CCM, nilikuwa napata taabu kwa sababu inatakiwa niseme uongo

    Ila wanasiasa wanatabia zinazofanana, kwa msemo rahisi ule Mwl Nyerere Mwanasiasa malaya malaya tu! ========== Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa, amefunguka sababu zilizomfanya kukimbia Chama Cha Mapinduzi (CCM) miezi michache iliyopita, akidai kuwa...
  14. B

    Polisi, Serikali, CCM mmepokea vipeperushi vingine wenzetu? Tumepata vya Maandamano, vya Vurugu 77 mmetoa wapi?

    Polisi, Serikali na CCM pamoja na magenge yao kutwa wanaimba kuna watu wanataka kuvurugu, sasa unajiuliza hili limetoka wapi? Wananchi wamesema wanaandama kwa Amani nyie habari za maanadamano kutokuwa ya amani, sio watu watafanya vurugu mmeyatoa wapi? Mnaashumu kuwa yatakuwa na ghasia na kuleta...
  15. Ufaulu Kidato cha 6 ni 99.9%. CCM na Samia Washaharibu Elimu ya Tanzania. Mlaaniwe hadi Kizimkazi pasiote nyasi

    Lengo lao wanataka waseme Mama anaupiga mwingi. Kwamba Ufundishaji umeongezeka. Kila kitu sasa ni kuchakachua kuanzia matokeo ya Urais hadi Matokeo ya Wanafunzi. Shule hazina Waalimu, hazina Maabara, hazina Madawati hazina Madarasa halafu ufaulu unakuwa 99.9%. Ni sawa na Mtoto ajisahihishie...
  16. Dkt. Lugomela: Niliwapatia fedha za posho baadhi ya madiwani kwenye mchakato wa kura za maoni za CCM mwaka 2025 hawakutekeleza makubaliano

    Mbunge wa Maswa Mashariki, Dkt. George Venance Lugomela, amesema aliwapatia baadhi ya madiwani fedha alizozitaja kuwa ni posho wakati wa mchakato wa kura za maoni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka 2025, akidai baadhi yao hawakutekeleza makubaliano waliyokuwa nayo. Akizungumza katika kikao cha...
  17. Sigrada: Sometimes naona bora tungeendelea kutawaliwa na Wazungu, Waafrika wenzetu wanatuchelewesha sana

    Mbunge wa viti maalum Mkoa wa Njombe Sigrada Mligo amesema "Siwezi kwenda CCM, Haina jipya. Miaka 65 tangu tumecha kutaliwa ajenda ni Barabara, maji umeme. Hawana jipya, kuna muda naona bora tungeendelea kutawaliwa ma Wazungu, hawa Waafrika wenzetu wanatuchelewesha." "Mimi mdogo wangu, nitaenda...
  18. Community Journalism anguko la wahafidhina wa CCM

    CCM inatumia kila njia kuua uandishi asilia (conventional journalism) ili isikosolewe hadharani na habari mbaya kuwahusu zisiwafikie watanzania. Na CCM kwa upotofu wao hutumia mfano wa China kama kielezo cha kwa nini wao wanaminya uhuru wa watu kupata taarifa. CCM hupenda kutumia msemo nusu wa...
  19. Kupitia Sheikh Mwaipopo na Kikundi chake , US na EU kuitambua Serikali ya CCM kua yenye kufadhili Makundi ya Kigaidi na uisilam misimamo Mkali !!

    Mimi kwakweli sielewi , Ni akili za Mwigulu, ni za Katambi ñi za Abdul??. Hivi hamuoni hatari mnayoileta kwenye Usalama wa NCHI??. Mwigulu huna akili hata kidogo kweli?? Hamjui mnachokitengeneza sasa ni Kuhalalisha Adui wa Samia waliopo ndani ya CCM kuandaa Vijana ili mradi tu Mauaji...
  20. Kwanini JWTZ imeanza kutumia Salamu za Chama cha Mapinduzi (KAZI NA UTU)?

    Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania nini kimewasibu? Wanatumia salaam za Chama cha Mapinduzi za Kazi na Utu. Halafu wanalazimisha baadhi ya vyombo vya habari vikate hicho kipande cha Salaam za CCM. Nimeshangaa sana. Pili Maandamano wanaita Vurugu. Je, wanalinda katiba ya Nchi gani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…