ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Rwanda ni nchii ndogo ila kwa tanzania mnapoelekea kuwa na kila kitu hii CCM inaenda kuifanya kuwa Zimbabwe

    Kuna neno pale kariakoo kuna simu janja ukisikia msemo wanasema mletee kubwa jinga ni kwamba yani ukubwa wa kifaa sio sahihi wa matumizi. Kwa tanzania kwa mtindo wa CCm wanaotumia ni kama wanazidi kujiweka gizani. Mfano watalii wanaokuja kutembea hapa ni wengi wanatumia kenya,rwanda na nchi...
  2. D

    KWANINI Mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA utumie gharama kubwa kuliko wa CCM

    Wadau naomba kuuliza mnisaidie hili swali kwanini mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA lenye wajumbe wasiozidi 200 lakini ili ufanyike unahitaji zaidi ya Tsh 350 na hapo unafanyika kwa siku moja tu. Kwanza nianze kwa uzoefu miaka ya nyuma nilishakua msaidizi wa sehemu ya ofisi iliyoratibu mikutano...
  3. W

    CCM ilishindwa kumtumia Humphrey Polepole Sasa inatafuta mchawi

    CCM inapaswa kuacha kutafuta visingizio kuhusu kuporomoka kwa mvuto wake kisiasa. Tatizo kubwa haliko kwa wapinzani, bali kwenye maamuzi ambayo chama chenyewe kimekuwa kikiyafanya. Baada ya kifo cha Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, kulikuwa na kundi kubwa la wanachama na wafuasi waliotaka kuona...
  4. Q

    Marathon ya Millioni 334 ya CHADEMA, sijui kama CCM wanaelewa logic yake

    LIVE UPDATES Tshs. 280.000,000/=. Binafsi sidhani kama Chadema kinashindwa kukusanya kiasi hicho pasipo kuwashirikisha wanachama wake na wananchi wa kawaida. Nina uhakika kinaweza kuandika barua kwa watu binafsi, wafanyabiashara, diaspora 100 tu wakakusanya kiasi hicho. Lakini lengo hasa...
  5. K

    Jamani naomba kuuliza mchange wa ccm anaakili timamu au ni dishi lililoacha dawa kama machawa wa ccm wengine wakiwa humu jf?

    Kama kichwa Cha habari kilivyo hapo juu, ndugu zangu hapa namaanisha those with sober mind na sio machawa nimemsikiliza mtu anaitwa mchange online tv anasema Mnyika hakugombea ubunge 2015 Kwa kuwa hakukubaliana na ujio wa Lowassa sasa swali langu ni je huyo jamaa mchange akili zake ziko sawa au...
  6. F

    CCM ni kama simba mzee, hana rafiki na mwishowe huuwawa na mbwa mwitu

    Wakati wa CCM umepita. Chama hiki kwa sasa ni kama simba mzee aliyechoka, anayepigania siku zake za mwisho. CCM sasa haina rafiki wa dhati, wote waliopo ni wanafiki na wanasubiri kwa mbali kuona nini kitatokea. CCM kimepoteza legitimacy ya kutawala nchi hii. Kila aliyepo CCM leo yupo kwa...
  7. H

    CCM wametengeneza uadui na Wananchi badala ya kubakia wa vyama tu kitu ambacho ni hatari zaidi wajitafakari

    Kipindi cha Magufuli madarakani alivipiga pin vyama vya upinzani lakini moja kati ya kitu alikiweza ni kugusa raia wengi hasa wale wa Hali ya chini na ndio maana akawa anasapoti kubwa ya watu akifanya Mambo mengi makubwa kulikuwa hakuna suala la kukatika umeme na ikitokea lazima uone Taarifa...
  8. Serikali ya CCM imeona TBC imekosa watazamaji, wakaikumbatia ITV

    Hii nchi ni mungu na shetani mpaka sasa wanatujadili kama walitukosea kutuchezesha kama walivyo kwenye majukumu yao. Yani kwa sasa serikali ya CCM wamejikita na ITV ndio wanaona pazuri pakuweka propaganda zao na mambo yao. Kwa nini wajikite na ITV Sio TBC
  9. Aibu ya Kuzomewa Jana, Leo Ma CCM hayajaonekana BSS

    Millennials na GenZ Shikamooo 🤣🤣🤣
  10. Tuwe wazi, hivi CCM ikitoka madarakani Kuna kiongozi yeyote anafaa kutuongoza

    Ile paaap Ccm Chali Kuna kiongozi yeyote ambaye ana mlengo wa kisiasa kupitia chama Cha Ccm atatufaa au tunaanza upya na viongozi wapya Binafsi naona kama Hawa jamaa wakianguka Tena Kwa njia ambayo ya wazi ambayo kuwaambia kuwa hatuwataki watoke madalakani ni vyema wote wakatafuta biashara...
  11. Akili inaniambia Mwana FA hajafanya kwa bahati mbaya vile.

    Mimi ni mmoja wa watu ambao nimemfatilia sana Mwana FA toka akiwa msanii hadi pale alipoanza siasa mwanzon ila baadae nikaja nikaacha. Sifikirii kua na sitaki kuamini kua Mwana FA niliekua namjua atakua kabadilika hapana. Ninachokijua kuhusu Mwana FA ni kua ni mtu ambae ametokea Mtaani ni mtu...
  12. Ni jambo la hatari CCM kuishiwa mbinu

    Kwa sasa inavoonekana CCM imeishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kikubalike kwa watanzania. Kitendo cha CCM kuishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kuaminiwa na watanzania wakati kikiwa kinaendesha Serikali na kusimamia vyombo vya dola, ni jambo la hatari sana kwa mustakbali wa nchi yetu...
  13. K

    It is a time now sycophants of a self positioned group into power so called ccm to be named officially a terrorist syndicate.

    Comrades and well wishers of our great and beloved country, I am persuaded to join a call that the self positioned into power the so called chama cha mapinduzi now has met all tenets required to be named as a terrorist gang and needs to face necessary consequences that other similar groups such...
  14. Mkakati wa uzushi dhidi VC wa CHADEMA Mh John Heche hapa JF unaongozwa na chawa wa CCM wa4 wana: Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, Troll J na Dr wa Manesi

    Hawakosi kuposti thread hata kumi kwa siku zote zikimshambulia.. Hawa chawa Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, Dr wa Manesi, Retired, Troll J kwa mrengo wao na kujinasibu kwao hujitanabaisha kwa ujasiri na bila kificho kuwa ni wana CCM na watetezi wa Samia Suluhu Hassan wakiapa kuwa hata ikitokea...
  15. M

    Jumuiya ya Madola yaipa Tanzania siku 30 Kutatua suala la kushikiliwa kwa Tundu Lissu kupitia njia za kisiasa au kisheria

    Wakuu, Nimeona niwaletee mrejesho na uchambuzi wa waraka muhimu sana ambao umetoka leo tarehe 10 Julai 2026 kutoka kwa Kundi la Mawaziri wa Jumuiya ya Madola linaloshughulikia Demokrasia na Haki za Binadamu (CMAG - Commonwealth Ministerial Action Group). Kikao chao cha 73 kimefanyika leo kwa...
  16. K

    CCM Ni waongo,habari ya maridhiano haipo,wanadanganya watu

    Habari wakuu; Nawakumbusha tu kwamba chama cha mapinduzi hakina nia ya dhati ya kushughulikia maridhiano ya kweli na nawakumbusha wadau na wenye nia njema kwamba hilo jambo kwao ni mwiba kitu ambacho hawawezi kukubali. CCM wana silka ya kudanganya danganya watu miaka yote. Mfano mzuri ni zile...
  17. Kweli ambazo ni LAZIMA CCM /SAMIA wazikubali, ili Kuiponya NCHI ndani na Kimataifa , na waepukane na ADHABU za Kimataifa

    1-Hamna aliyewahi anzisha Vita na KATOLIKI akatoboa .... Yaan Msukumo wa US na EU kwa CCM na Wauaji wake, unatokana na Taarifa zinazoandikwa na KATOLIKI ...... Hawa wanaaminika DUNIANI na MBINGUNI. 2-Huwezi kuua Raia Oktoba 29 Kwa MAELFU vile, alafu DUNIA ikae inakuangalia tu . NEEVEEEEER ...
  18. CCM hamuwezi kuiangusha CHADEMA kwa propaganda za kishamba kama hizi. Ninyi ni wachafu maana mna tuhuma za ufisadi na mauji ya raia

    Mnatuhumiwa kwa tuhuma nzito sana za mauaji ya kimbari yaliyofanyika Oktoba 29 na mkakaa madarakani bila ridhaa ya wananchi. Mnatuhumiwa kuteka na kuua raia wema akiwemo Humphrey Polepole na wengine wengi. Kuleta hoja kuwa Heche amekula michango ya Chadema ni ushamba na upuuzi wa kisiasa.
  19. K

    Ushauri wa bure kwa Mange Kimambi: Kuwa makini na vyanzo vya habari; CCM wana mbinu nyingi za diversion.

    TL;DR (Kwa ufupi): Wito kwa Mange Kimambi kuwa makini na vyanzo vyake vya habari kwani CCM wanatumia mbinu ya "Diversion" na masalia ya wasaliti wa ndani ya CHADEMA (aina ya kina Yericko) kuvujisha habari za uongo (mafamba) kuhusu migogoro ya kufikirika ili kusambaratisha wanamageuzi, kama...
  20. R

    Mnyika: Maridhiano ACT na CCM Zanzibar ni unafki na danganya toto Watanzania kuona nchi ina maridhiano

    "Kuna, kuna, kuna, kuna unafiki ule unaofanyika Zanzibar wa kusema kitu tofauti na kufanya tofauti. Na mimi nasema mzungumzo ni moja ya nyenzo ambayo sisi kama Chadema tunaamini katika kushughulikia matatizo. Tunaamini kwenye mapambano tunaamini kwenye mazungumzo lakini sisi tumesema tunaamini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…