ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. R

    PreGE2025 CHADEMA wadai hawatajibizana kwa namna yoyote ile na Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM

    Leo Makonda ameita vyombo vya habari, ameeleza mengi kuhusu kauli ya Mbowe kuhusu kujiondoa kwenye maridhiano. Amedai Mbowe ni mnufaika wa maridhiano na kwamba kama siyo maridhiano angekuwa yupo gerezani . Kwa upande wake chadema imeeleza kutojibizana na kauli yoyote ya Makonda kwani kufanya...
  2. R

    Gervais Milton kuchukua Nafasi ya Chongolo CCM

    Gervais Milton anatarajiwa kutangazwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM kuchukua nafasi ya Chongolo. Pamoja na exposure yake akiwa mwana Diaspora bado hana nguvu nje ya mfumo wa siasa. Nguvu kubwa aliyonayo ni utaalam wa masuala ya utawala, lobbying, negotiations na mikakati. Pamoja na umahiri wake bado...
  3. PreGE2025 Kwanini CCM inalazimisha kuingiza Jeshi la Tanzania (JWTZ) kwenye Siasa? Je, inalipa? Chonde Chonde Rais Samia

    Salaam Sijapenda Style ya CCM kuiga siasa za Afrika Magharibi za kuwatumia Wanajeshi kwenye Siasa. Wanataka kutuharibia nchi. Nakubali Mwenyekiti wa CCM ni Amri Jeshi Mkuu, ila Kutumia Jeshi kuwaziba Wapinzani wake wa Kisiasa si sahihi. Wawatumie Polisi kuzuia maandamano na Shughuli za Siasa...
  4. R

    Tunategemea CCM waje na Katibu Mkuu mwenye nguvu ya ushawishi au waendelee kuwekeza kwenye tume na dola?

    Hali ilivyo nchini kuna njia mbili yakuamua siasa za 2024 hadi 2025. Njia ya kwanza ni chama cha mapinduzi kuweka kwenye safu yake viongozi wenye ushawishi kwa jamii. Kwa mtazamo wangu hakuna jina la katibu mkuu linaweza likawa na ushawishi kuliko jina la makamu mwenyekiti bara Ndugu Kinana...
  5. Kama CCM wanapata presha Mbowe kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, siku John Heche akiwa mwenyekiti watakufa kabisa!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Kumekuwa na lialia kadhaa kutoka chama cha mapinduzi (ccm) wakimkosoa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kukaa madarakani muda mrefu wakimtaka ang'atuke awaachie wengine waongoze! Huwa najiuliza Maswali kadhaa ambayo yanakosa majibu! 1.Huwa wanadai...
  6. R

    Deus Kibamba ni puppet wa CCM: kwani nasema hivyo?

    1. Ukiona mtu amepewa airtime na TBC, ujue katumwa na CCM/serikali. Leo namuona anaongea TBC eti miswada isiondolewe bungeni, maana ikiodolewa haitarudi tena. 2. Kwa hiyo anamaanisha kuwa twende kwenye uchaguzi na sheria mbovu yatokee yale yale ya 2020 chini ya magufuli! Huyu ana akili kweli...
  7. M

    Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar lakini ukweli namna Kassim Hanga alivyouwawa hauwekwi wazi

    Mpaka leo Dunia nzima haijapata ukweli kama alipigwa risasi au kutumbukizwa baharini. Hanga alikubalika sana kwa uwezo wake wa kudadavua mambo na kuwa na ushawishi mkubwa ndio maana Mzee Karume alimchukia. Hii ni kwa mujibu wa mzee Aman Than Kwa nini CCM hawaweki ukweli huu?
  8. Hoja zipi zinakufanya kuchagua au kutochagua CCM, pia ni hoja ipi inakufanya uone kuwa upinzani ni mbadala wa CCM?

    Demokrasia imetutupatia machaguzi mengi ila tunahitaji kufanya au kuchukua uamuzi ambao ni busara zetu pekee zinaweza kuamua mustakabali wa jamii yetu kwa sasa na hata kwa baadae Siasa ni maamuzi ya kisera ambayo yanayojumuisha uchumi,jamii na utamaduni hivyo kwenye siasa ndio uwanja pekee...
  9. PreGE2025 John Heche atikisa Kilombero ni katika Maandalizi ya kung'oa CCM 2025

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , John Heche leo tarehe 10/01/2024 , amefika Kilombero na kuhutubia Maelfu ya Wananchi , ambao kwa Kauli moja wamekubaliana kuing'oa CCM madarakani kwa Udi na Uvumba 2025. Habari kamili hii hapa.
  10. Mwabukusi ni Pandikizi la CCM? Ndiye mvurugaji mkuu wa Demokrasia!

    https://www.youtube.com/watch?v=rm8wI2pHQ4s Nimemsikiliza Boniphace Mwabukusi, nimegundua yafuatayo kutoka kwake na namna akivyo 1. Ni Clip ndefu kiasi. 2. Nimeisikiliza yote 3. Alianza kuongea vizuri sana 4. Alitulia na kutoa hoja zenye nguvu. Anaamini Muda unatosha kuwa na katiba mpya...
  11. R

    PreGE2025 Nabii Sanga: Mgawanyiko mkubwa utaikumba CCM mwaka 2024 na 2025, tuiombee

    Salaam, Shalom. Katika Unabii wa mwaka 2024, Nabii Sanga ametoa ujumbe Kwa Watanzania kuingia katika maombi kukiombea chama tawala CCM, amesema ameambiwa kuwa mwaka huu 2024 kutakuwa na mgawanyiko mkubwa utakaokikumba chama hiki. Amesema pia kuwa, mgawanyiko na mtikisiko utakaokikumba chama...
  12. Dkt. Biteko ataka Umoja wa Vijana CCM kushikamana kuleta maendeleo

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, leo tarehe 8 Januari, 2024 amefungua Kongamano la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Zanzibar ikiwa ni sehemu ya Maadhimisho ya kuelekea miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Kongamano hilo ambalo limefanyika katika Wilaya ya...
  13. S

    Rais Samia achana na hawa Mawaziri, usitishwe kwamba ndio wanaijua CCM, CCM ilikuwepo na itaendelea kuwepo

    Mheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030. Hawa mawaziri hawakufai Rais. Angalizo, tunaomba uelewe azimio la Arusha ni mwongozo sahihi kwa watumishi wa umma, lifanyiwe tu maboresho kulingana na wakati tulio nao. Mawaziri...
  14. S

    Kada wa CCM awavaa viongozi wala rushwa atoa msimamo mzito 2024

    VIONGOZI WALA RUSHWA BAADHI KWA NJAA ZAO WANAJITOA UFAHAMU NA KUSIMAMA HADHARANI KUPOTOSHA KAULI ZA VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA TUWAONYE WAACHE UJINGA . Nilisikika nikiunguruma katika Ulimwengu wa kiroho huko Ndotoni kukemea Ujinga wa kupenda Rushwa Kisha watu kujitoa ufahamu kutetea maovu...
  15. PreGE2025 Kitu gani cha Ajabu wanachofanya CCM Madarakani ambacho vyama Vingine haviwezi kufanya?

    Kila siku tunaambiwa ikitoka CCM Madarakani hakuna chama kingine cha siasa chenye uwezo wa kuchukua nafasi yake. Hivi CCM inafanya kitu gani chanya kwa Tanzania ambacho vyama vingine vya Siasa havitaweza kufanya CCM ikitolewa madarakani?
  16. PreGE2025 Kuelekea uchaguzi 2025, Mwigulu Nchemba ashiriki hafla ya kugawa mitungi ya gesi

    Mbunge wa Jimbo la Iramba Magharibi na Waziri wa fedha Mhe. Dkt. Mwigulu L. Nchemba anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya kukabidhi mitungi ya gesi na majiko kwa mama lishe baba lishe, VEO na WEO. Januari 6,2024 Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi...
  17. Licha ya Mapungufu, Sheria Mpya ya Uchaguzi Pia ina Mazuri Yake!, Imerejesha Mamlaka ya Uchaguzi kwa Wananchi, Hakuna Kupita Bila Kupingwa!.

    Wanabodi, Hili ni bandiko mwendelezo wa three series za uchambuzi wangu wa sheria mpya ya Uchaguzi, 2023. Kama hukuona 1st series, anzia hapa Asante Rais Samia kwa Muswada huu. Umuhimu wa mabadiliko ya Katiba kabla ya Sheria hii bado ni muhimu sana. Huu ni uchambuzi Wangu - Part 1 kisha uje...
  18. M

    PreGE2025 Freeman Mbowe nyamaza au Ingia CCM 100% maana wewe ni mtoa taarifa

    Comrade Makonda hakuongea kwa bahati mbaya wala kukurupuka, aliongea ukweli mtupu. Freeman Mbowe, Ntobi, Salim Mwalimu, na Bonifas Mwita ni baadhi tu, ya watoa taarifa ndani ya Chadema. Imefika muda tuseme kila kitu kwa uwazi kwamba, Chadema ina wazalendo wachache. Wengine wote wachumia tumbo na...
  19. CCM ndani ya viwango vya mishahara (Salary Scales) huwa mnaweka nini??

    Watanzania wengi walioajiriwa hutazama zaidi ukubwa wa viwango vya mishahara lakini sidhani kama huwa wanahoji ndani ya viwango hivyo vya mishahara kunawekwa nini !!?? Kwa mfano labda kiwango cha mshahara kiwe ni shilingi 350,000. Je muajiri ndani ya hiyo 350,000 ameweka vitu gani na kwa...
  20. PreGE2025 Ushauri kwa CCM ili ishinde uchaguzi 2025

    Kwa sasa ili CCM ishinde uchaguzi wa 2025 ina mambo matatu tu ya kuzingatia. 1. Samia azidishe asali kwa wapinzani. 2. Ihakikishe uchaguzi hauko huru. 3. Samia ahakikishe wapinzani hawasimamishi mgombea urais, na wabunge zaidi ya 100 wapite bila kupingwa. Ni hayo tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…