ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Kwanini nchi hii miaka nenda rudi matatizo hayaishi na CCM inaongoza tu?

    Mimi kwa kweli nimechoka kabisa. Wakati wote ninafanya kazi kwa bidii, nalipa kodi zote, lakini kila mwaka kuna matatizo, yaani tangu tupate uhuru. Vitabu vya historia vinaonesha matatizo tu. Sasa leo Mhe. Makonda anazunguka nchi nzima na kuibua matatizo tu. Au labda haya matatizo ni kidogo...
  2. Pamoja na mapungufu yanayosemwa na "CCM ya Makonda", CCM imefanya mengi kipindi cha Samia. Kwanini Makonda hajikiti kuyaeleza mbele ya watanzania?

    Kuna jambo linatia tafakari kidogo, CCM pamoja na awamu ya sita, kwa kweli wamefanya mengi sana ya kimaendeleo. Ili kuitendea haki CCM na uongozi wa serikali, lazima yasemwe mikutanoni. Hii ya kutembea na kuaminisha watu kwamba hakuna lililofanyika nadhani si sahihi. Unaita mtumishi mmoja, ana...
  3. Mtu mwenye akili timamu anawezaje kwenda kwenye mikutano ya CCM huku nyumbani ana mgawo wa umeme?

    Je, hao watu ni masikini sana kiasi kwamba hawajaunganisha umeme majumbani kwao au ni nini? Kwasababu mtu mwenye akili timamu hawezi kwenda kushabikia mikutano ya watu waliofeli.
  4. M

    Vx moja ya Serikali iuzwe ili kufanyia matengenezo hili Daraja

    Mbunge wa jimbo la Ulanga Salim Alaudin Hasham ametembelelea katika kata ya Mwaya kujionea uharibifu uliojitokeza wa daraja kuvunjika na kusababisha kata nne za Mwaya, Ilonga, Mbuga na Ketaketa kukosa mawasiliano Mbunge Salimu amesema kwa sasa ameishatoa taarifa ya changamoto hiyo kwa mamlaka...
  5. S

    Naamini kwa dhati kabisa nguvu ya Makonda haitokani na kuwa kwake katibu mwenezi wa CCM, lazima kuna chanzo kingine kinampa kujiamini kiasi hiki

    Niite jina lolote, lakini mimi ni mojawapo ya watu ambao huwezi hata kabisa kunishawishi kwamba hii nguvu na mbwembwe ambazo Makonda amekuwa akizionyesha zinatokana na kuwa kwake na cheo cha katibu mwenezi wa CCM. Tusidanganyane hapa. Makonda sio katibu mwenezi wa kwanza CCM, na wamekuwapo...
  6. M

    Makonda alivae tatizo la umeme Nchini. Mie nadhani ndiye kiongozi pekee CCM anayeweza kuwatepetesha TANESCO

    Makonda nguvu yako inaitajika kwenye swala ukataji wa Umeme. Kama kweli unamoenda Mama msaidie kwenye ili awa jamaa wanamdanganya. Hawawezi wakawa wanakuja na sababu tofauti kila siku. Ni uwongo
  7. Tayari ziara za Makonda zimekipa ushindi mkubwa CCM mwaka 2025. Kura za raia wanyonge walioonekana kutelekezwa sasa zimerudi CCM

    Hili halina ubishi maana sasa imani ya wanyonge wanaonewa kila siku imerudi kwa kasi mpya kwa wanaCCM. Kwa mantiki hii CCM itapata ushindi mkubwa mwaka 2025 kwa kila kada ya ugombea. Pia hata WanaCHADEMA watampigia kura rais. Maana bil 2.7 za ruzuku anatafuna Mbowe na genge lake huku...
  8. PreGE2025 Cde. Shemsa Mohamed: CCM Yapokea Wanachama Wapya 100 Busega

    Cde. Shemsa Mohamed: CCM Yapokea Wanachama Wapya 100 Busega CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimepokea Wananchama wapya 100 kutoka kata ya Nyaruhande wilayani Busega Mkoani Simiyu baada ya kuridhisha na Utekelezaji wa Miradi ya maendeleo unaofanywa na serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dk. Samia...
  9. Nani mwenye nguvu anayeruhusu 'Mauaji ya Sumu' ndani ya CCM?

    Hii ni kauli rasmi ya Chama cha Mapinduzi kinachoongoza serikali toka kwa msemaji wake Paulo Makonda kwamba ndani ya CCM kuna shughuli za mauaji ya SUMU! Rejea nyuma Kwamba Mzee Mangula alilishwa/alinyweshwa sumu, Na leo Kwamba Makonda anataka kuuawa kwa sumu? Hii ni taarifa rasmi kwamba CCM ni...
  10. S

    Serikali, CCM na Polisi wanapaswa kujiuliza kwa nini wananchi wakiona askari polisi anashambuliwa hawatoi msaada?

    Juzi hapa kulikuwa na tukia la askari Polisi mkuu wa kituo cha polisi Mwanakwerekwe, Zanzibar, akishambuliwa hadharani, na wananchi wakishangilia japo waliona askari alikuwa amezidiwa (angalia picha hapa chini). Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Mjini Magharib, amewalalamikia wananchi kwamba...
  11. CCM yakana kumhoji Simai

    Chama cha Mapinduzi CCM Jimbo la Tunguu kimekanusha taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya kumwita Mwaakilishi wa Jimbo hilo kwaajili ya kumhoji kwenye kamati ya maadili Akizungumza na wasafi media Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Tunguu Mtumwa Ali Mgeni amesema kuwa kikao kilichofanyika leo ni kikao...
  12. R

    CCM Zanzibar wamemhoji Simai aliyejiuzulu Uwaziri wa Utalii Zanzibar

    Hii nchi kuna mambo ambayo ni vigumu kuelewa yanaendeshwa kwa nguvu gani. Waziri amefanya tathimini akaona viatu vimezidi kuwa vikubwa akakaa pembeni; Mamlaka ya uteuzi ikakasirika. Je, walitaka hadi wamtumbue wao? Sawa mamalka zimekasirika, hana kosa kwa mujibu wa sheria, chama kinamuita...
  13. Asante Serikali ya CCM kwa kupunguza bei ya Vinywaji, punguzeni na bei ya mafuta

    Kongole kwa Serikali sikivu, imetukumbuka kwenye Kutii kiu yako slogan! Na wapenguza pakubwa kweli kwa Vinywaji vyote kuanzia Wine 🍷 hadi juice 🧃. Wanajua hii nchi kipaumbele chetu ni starehe, kwahio hawawezi kufanya KAZI masuala ya msingi kama mafuta, bei ya umeme, miundo mbinu, Ada za vyuo...
  14. B

    Mzee Kinana mbona hujatuambia CCM inapata ruzuku kiasi gani?

    Nimemsikiliza Mzee wangu Komredi Kinana eti akisema wamewapa ruzuku CHADEMA na kuwapakazia akataja na kiasi. MIMI nimuulize mzee wetu, je, CCM inapata ruzuku kiasi gani? Akisema au akitaja basi nawaambia wananchi watazirai siku hiyo! Maana ni pesa nyingi sana lakini hata haieleweki zinakwenda...
  15. Kingwendu ahamia CCM

    Mwanachama wa CUF na Mgombea Ubunge wa Chama hicho , Kingwendu , leo ametangaza rasmi kukihama chama hicho na kujiunga na ccm
  16. Ukweli usiopingika: Miaka 47 tangu CCM izaliwe lakini haijatendea haki watanzania kwa kuleta maendeleo stahiki.

    Angalia maziwa ,mito na vyanzo vya maji vinavyopatikana hapa nchini. Alafu kuna watanzania wanakosa maji safi salama ya kunywa. Kodi na vyanzo kibao vya mapato vipo. Angalia madini kama Tanzanite, almas na hata ruby pia Alexandrite. Madini haya yanatosha kabisa kuwa chanzo cha mapato kwa taifa...
  17. Pamoja na kuajiri watendaji kibao na mbio za mwenge CCM wameamua kumtumia Makomda kukusanya kero za wanannchi

    Makonda ndio amegeuka mkusanya kero za wananchi kuliko watendaji kama wakuu za mikoa, madc na watendaji wa kata. Makonda amegeuka kuwa mtendaji? Anazunguka nchi nzima msafara mrefu. Anatumia kodi za wanannchi. Hao Maded, Madc na MarC wanakazi gani? Mbio za mwenge za CcM zina kazi gani?
  18. Tarehe kama ya leo miaka 47 iliyopita ndio tulihitimisha halaiki tulizocheza kwa miezi sita ajili ya kuzaliwa CCM na Azimio la Arusha

    Tarehe kama ya leo na mwezi kama wa leo miaka 47 iliyopita ndio tulihitimisha halaiki tulizocheza kwa miezi sita ajili ya kuzaliwa CCM na Azimio la Arusha kutimiza miaka 10. Nilikuwa nasoma UHURU Shule ya msingi Arusha nikiwa darasa la tano.Kwamaana hiyo darasa la nne sehemu kubwa hatukuwa...
  19. CHADEMA ina cha kujifunza kwa CCM kwenye demokrasia ya kuwapata wagombea ubunge

    Ninashangazwa sana na kauli za makada waandamizi wa hiki chama cha Mbowe.. ni kauli zinazoashiria ndani ya CHADEMA hakuna demokrasia inayotajwa kuwepo. Zaidi ya mara moja makada wa CHADEMA hasa Lema na Sugu wamekuwa wakijinadi kuwa watagombea ubunge kwenye majimbo ya Arusha na Mbeya kana kwamba...
  20. R

    Boniface Jacob: Roho ya Thadei Ole Mushi yaiandama CCM

    Boniface jacob anasema: CCM wametoa salamu za rambirambi kwa Thadei Ole Mushi siku moja kabla kifo chake. Kwamba Thadei Ole Mushi kafariki tarehe 04 February 2024 lakini CCM salamu za rambirambi zinaonekana kutolewa tarehe 03 February 2024. Muda huu kila jambo linapaswa kutiliwa mashaka, Je ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…