ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. M

    Yuko wapi Daniel Chongolo aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM?

    Yuko wapi Danniel Chongolo aliyekuwa katibu mkuu wa CCM?
  2. PreGE2025 Freeman Mbowe: Naagiza ngazi zote za chama ziandae wagombea wa kushinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 na Uchaguzi Mkuu 2025

    Akihutubia kwenye mkutano wa BAWACHA, Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe emetoa agizo kwa Katibu Mkuu wa chama hicho John Mnyika kuhakikisha ngazi zote za chama nchi zima zinaandaa viongozi wa kugombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 na uchaguzi mkuu mwaka 2025. Viongozi hawa wawe na...
  3. R

    ACT Wazalendo wanaamini wanaweza kushirikiana na CCM kumwondoa Mbowe Madarakani? Mbowe anaathiri vipi kustawi kwa vyama hivi shikizi?

    Viongozi wa ACT walikuwa wana Chadema hapo awali. Wakaandaa njama za kuivuruga Chadema mwisho wa siku wakakamatwa na kufukuzwa uanachama. Zito na Kitila wakafika kwa msajili chini ya wana CCM na kusajili chama chao. Wakatafuta wafuasi wakakosa na hivyo Kitila akaamua rasmi kurejea CCM kisha...
  4. Umeme na Sukari ni njia pekee ya mafisadi kuwaibia Watanzania. Hawatakubali kutatua tatizo hili

    Hata Bwawa la JNHP likamelike na kutoa Mw 2100 bado watafanya mchongo kuliibia taifa. Mfano watatengeneza mgawo na kupiga kupitia hata ukarabati wa njia. Japokuwa unatakiwa kuwa endelevu. Sukari huwa dili la mafisadi wa CCM na wafanyabiashara wakubwa ambao uhaba ukiwepo huagiza Sukari kwa bei...
  5. Hii CCM inayofanya maongezi na balozi wa marekani bado ni Chama cha Mapinduzi?

    Kwa kawaida mabalozi hawaingilii mambo ya ndani ya nchi wanapowakilisha. Bila shaka ndio taratibu. Mambo ya vyama vya siasa ni mambo ya ndani ya nchi husika. Lakinini utasikia balozi wa marekani kukutana na kiongozi wa upinzani kwenye nchi anawakilisha hasa hizi za kiafrika zenye msimamo wa...
  6. B

    Lwaitama: Kwenye maslahi ya nchi, adui yetu ni CCM

    Ukweli mchungu kwa ma CCM na vibaraka wao: “Mkitaka kufika mbali lazima muwe na sauti ya pamoja hata kama munatofautiana kwa itikadi ya vyama vyenu lakini linapokuja suala la kutetea maslahi ya nchi lazima mushikamane, hamuwezi kuondoa chama kilicho madarakani kwa kujitenga." Amesema...
  7. L

    Jumuiya ya Wazazi ya CCM kumeoza

    Wakuu, Nilipochaguliwa kuwa Mjumbe wa Baraza Kuu la Wazazi Taifa, Chama cha Mapinduzi niliamini kwamba ningetoa mchango wangu chanya kwaukuaji wa jumuiya hii. Hili sasa ni baraza langu la pili. nilichogundua uongozi wa sasa wa jumuiya hiyo umeoza. Hauna uwezo wa kiuongozi, wala kimaono...
  8. Siasa za CCM ni kama Maisha ya Nyoka, kujichubua na kutaga mayai

    SIASA ZA SISIEMU NI KAMA MAISHA YA NYOKA, KUJICHUBUA NA KUTAGA MAYAI. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Aliyesema SISIEMU itadumu daima hakusema kwa bahati mbaya. Alisema huku akijua kuwa Ukoloni upo na mpaka leo unadumu. Ili SISIEMU ife itahitaji Ukoloni nao ufe. Nazungumzia Ukoloni wa wale...
  9. PreGE2025 CCM mnataka hayati Magufuli agombee 2025?

    Ni kama sielewi CCM inataka nani awe mgombea wao ngazi ya Urais kwenye uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025. Kati ya Hayati John magufuli na Wana CCM wengine walioko hai. Kwenye mitandao ya kijamii hivi Sasa ni kama limezuka Kundi kubwa Sana la wana CCM linalofanya jitihada za kuhakikisha kuwa kila siku...
  10. Nimewaonya mapema tu kuwa kamwe msiutumie Uwanja wa Jamhuri Morogoro kama wa Nyumbani, bali tumieni CCM Mkwakwani Tanga mmenipuuza Asanteni

    Sasa naomba kuanzia Kesho tarehe 6 Machi, 2024 na kuendelea tuwe tunahesabu Alama ( Points ) ambazo tutakuwa tunazipata katika Uwanja HATARI KWETU wa CCM Jamhuri Mkoani Morogoro ambako kwa UPUMBAVU WETU ndiyo tumeuchagua rasmi kuwa Uwanja wetu wa Nyumbani kwa Mechi zote za Ligi Kuu ya NBC...
  11. Hivi Makonda amepotelea wapi? Mbona PM Kassimu anahaha kupambana na mafisadi dagaa kila kukicha?

    Hivi hawa CCM walishatuona maboya? Leo hii PM Majaliwa amegeuka kuwa kamanada wa Takukuru Tanzania nzima. Kila wilaya ina ofisi za Takukuru na wachunguzi kibao. PM Majaaliwa halijui hili? Pesa anazotumia kuzunguka si zingejenga shule kibao? Huyu Makonda mwenye mikwara mbuzi majukwwani mbona...
  12. R

    PreGE2025 ACT Wazalendo imepenyeza watu CCM au CCM imejitengenezea chama B ndani ya ACT Wazalendo?

    Zitto Kabwe amedai wamepenyeza watu ndani ya CCM sijui lengo la hao watu ni nini ila ninachofahamu mimi chama chake kimekuwa CCM B kwa muda sasa. ACT Wazalendo iliundwa baada ya Zito na Kitila Mkumbo kubainika kwamba wametumwa na CCM kwa ajili ya kuivuruga Chadema. Zitto ni mwanasiasa pekee...
  13. K

    Hongera CCM: Umelijenga Taifa imara Kwa vizazi vijavyo

    Leo Tanzania ni Mwalimu katika mambo mengi, inaaminiwa katika mengi na inatambulika Kwa mengi sio tu Afrika bali duniani Kwa ujumla. Licha ya kwamba wanasema Nabii hakubaliki kwao lakini anayeifanya Tanzania kuwa hivi alivyo Leo ni Nabii anayekubalika ndio maana nataka hongera kwake, HONGERA...
  14. M

    CCM itatawala milele Watanzania Wasiposhtuka

    Watanzania wenzangu tumeshuhudia vyama vya upinzani vikiongozwa kwa matakwa wamiliki wa vyama husika .Mfano halisi ni TLP na UDP.Kutokana na hivyo vyma kuendeshwa kwa matakwa ya mtu binafsi kumekuwepo na ombe la muendelezo wa hivi vyma na haswa pale vioongozi wa hivi vyma wanapokuwa wamechoka...
  15. Serikali ya CCM iache Masihara na suala la Bima, wanacheza na maisha ya watu

    Kwanini mnaleta masiala kwenye maisha ya Watu? Kwanini mnakua na maono hafifu kiasi hiki? Ni rasmi kuanzia Leo wamiliki WA hospital Binafsi wamesitisha kupokea Bima za Afya za NHIF ambazo wanaotumia zaidi ni watu WA kipato cha chini. Siamini kabisa kwamba Serikali nzima ya CCM imekosa MTU...
  16. M

    Je, Makonda ni asset au liability kwa CCM?

    Katika maamuzi ya hovyo ambayo CCM wamewahi kuyafanya ni kumrudisha huyu kijana katika nafasi kubwa sana ndani ya chama. Pengine ni katika hali ya kutapatapa kisiasa kwa rais Samia na Pengine kwa sababu ya urafiki wake na Makonda uliomsukuma Rais atumie nguvu na ushawishi wake kumrudisha...
  17. Lissu amuumbua Makonda sakata la kutaka kumtapeli nyumba ya GSM

    Katika utawala wa Jiwe vijana wake wengi walifanya unyama mwingi sana. Lissu anasema MAKONDA ni jambazi sana aliyetumia jina la Jiwe kuwatapeli wafanya biashara. Alimtapeli GSM kuwa Rais Magufuli amemtuma amwambie GSM amjengee nyumba. Kama ni kweli Jiwe alimtuma basi hiyo awamu ilikuwa ni ya...
  18. D

    Historia imejirudia, CCM imekuwa Mkoloni na CHADEMA Mdai Uhuru!

    Niliwahi kusikia kwa Mwalimu wangu kuwa historia ina tabia ya kujirudia na kwamba hakuna jipya chini ya jua. Kwamba hata haya mavazi na fasheni zake si jambo jipya. Yaliwahi kuwepo kwa nyakati tofauti. Kabla ya Uhuru wetu 1961 nchi ya Tanganyika (sasa Tanzania) ilitawaliwa na Serikali ya...
  19. CCM acheni siasa za kuchafuana Moshi

    Kuna video inasambaa mitandaoni ikionyesha mama mmoja mkazi wa kata ya Mbokomu akilalamika kuwa Mbunge wao, Profesa Patrick Ndakidemi aliwaahidi kuwaboreshea mazingira ya barabara endapo wangechagua kuwa mbunge wa jimbo la moshi vijijini. Tofauti na hivyo mama huyo anasema tangu achaguliwe...
  20. D

    Nimeamini Arusha ni ngome ya CHADEMA. CCM tuachane nayo!

    Matukio mawili yametokea jijini Arusha ambayo yalitosha kusambaratisha maandamano ya Chadema. Mosi ni ajali iliyoua watu 25 wakiwemo watoto sita (6). Ni simannzi nzito sana. Pili ni mvua kubwa iliyoandamana na upepo mkali na radi iliyosambaratisha jukwaa la viongozi. Cha ajabu viongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…