ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. System iingilie kati nchi isonge, CCM imepasuka na tukicheza waliojigawa + upinzani wataharubu nchi!

    Salaam! Nchi lazima iende mbele na huu ni wakati wa system kuwa makini na wakati wote kuwa kazini. Unajua tuambiane ukweli, Kuna watu wengi ndani ya CCM na nje ya CCM wanaomdharau mama.. Matendo yao na maneno yao yako wazi sana! Na nyuma ya picha inaonekana Kuna muunganiko. Mama hawezi...
  2. Unadhani CCM itachukua hatua gani dhidi ya Luhaga Mpina anayetumikia adhabu ya kutohudhuria vikao 15?

    Kwanza, Kwa tabia mbaya ile isiyo ya utii, maadili na uaminifu kwa chama na serikali yake sikivu, unadhani bado anastahili kua mwanachama wa CCM au chama kingine chochote cha siasa? Baada ya bunge kupitia kamati ya maadili na madaraka ya bunge kukamilisha kazi ya uchunguzi na uchambuzi...
  3. Tume ya Uchaguzi huingilia kati kuisadia CCM kama alivyofanya huyu refarii

    Tume ya Taifa ya uchaguzi (sina hakika kama ni HURU) mara zote tangu uchaguzi wa mwaka 2000, imekuwa kama ni sehemu ya wawezeshaji muhimu kwa CCM kushinda uchaguzi. Watu wanaoheshimika wenye hadhi ya ujaji, hufanya mambo ya hovyo yanayowaaibisha ili mradi tu CCM ishinde uchaguzi. Kuzuia utoaji...
  4. Amos Makalla: Tumesikia yanayotokea Kenya, CCM tuna la kujifunza

    Amos Makalla, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi na Mafunzo amesema Chama chake kina taarifa ya kinachoendelea Nchini Kenya (kuhusu maandamano) na kuna jambo ambalo wao wanajifunza katika kuwatumikia Wananchi Amesema hayo wakati akizungumza katika Kipindi...
  5. N

    Vijana wanaojiunga na UVCCM wakiwa vyuoni badilikeni, acheni uchawa

    Viajana wengi wana mawazo ya CCM iwasaidie sio wao waisaidie CCM, ndio maana unakuta wanajiunga wengi na akibaatika kupata nafasi atapiga hela, yaani hata ngazi za chini wanaiba hata hela ya kadi. Anawaza kuwa nikimaliza nitaajiriwa au connection ya ajira nitaipata kupitia chama. Hana mchango...
  6. K

    CCM msipoteze muda wa Tanzania hatuwezi kuwa kama China!

    Kwa muda mrefu sasa hii nchi yetu pendwa Tanzania imekuwa imesimamisha kimaendeleo na upotofu wa chama tawala cha CCM Upotofu ni kwa wana CCM kujilinganisha na chama tawala cha kidikteta cha China. Yaani tunataka kufuata uratatibu wa demokrasia kama nchi lakini chama bado kina fikra potovu ya...
  7. PreGE2025 CCM Zanzibar wapendekeza Rais Mwinyi atawale kwa miaka 7, wasema kufanya uchaguzi 2025 ni hasara na matumizi mabaya ya fedha za umma

    Wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Maalum ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar wamepitisha pendekezo la kuishauri Kamati Maalumu kuridhia kuongeza muda wa Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi kuongoza nchi katika muhula wake wa kwanza kwa kipindi cha miaka saba badala ya mitano. Hayo yamesemwa...
  8. CPC na CCM kuendelea kudumisha uhusiano wa kihistoria

    WAZIRI Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa viongozi wa Chama Cha Kikomunisti cha China (CPC) ulioongozwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CPC ambaye pia ni Katibu wa Kamati ya CPC Jimbo la Shanxi, Komredi Tang Dengjie. Katika kikao hicho kilichofanyika Juni 21, 2024...
  9. Mnaosema Vijijini hawajui kama CCM haifai, msikilizeni huyu.

    Kuna mtizamo hasi Kwa watanzania waishio mijini kwamba wananchi waishio Vijijini hawajui kama CCM haifai tena kuendelea kuongoza Tanzania. Watu wengi hudhani kwamba wananchi wa Vijijini ndiyo wanaokwamisha harakati za kuitoa CCM madarakani. Lakini video ya huyu Mwamba, inatupa taswira tofauti.
  10. CCM ndio mkombozo wa wanyonge

    Chama cha Mapinduzi ndio mkombozo wa watu Wanyonge nchini. Chama cha wakilima na wafanyakazi. NB: uapisho wa Ramaphosa Boeing 787 abiria 246
  11. J

    Tetesi: Mpina atapata adhabu kali kwa sababu hili ni Bunge la Chama kimoja

    Wahenga Siasani wanasema kwa Kawaida Bunge la Chama kimoja ni Bunge la Serikali. Hivyo Mpina Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya Bunge ni Sawa Kabisa na Kuhojiwa na Kamati ya Maadili ya CCM tofauti yake ni Wajumbe tu. Wahenga wanasema kuna uwezekano Mpina akapewa adhabu kali ikizingatiwa Bunge...
  12. Sioni hasara yoyote CCM ikifa sasa! Ifike hatua hata aliyeko CCM mwenye mapenzi mema na Nchi, awe radhi kwenye hili!

    Kizazi cha wazalendo CCM kimeisha sasa, ndani ya CCM, kimezaliana kizazi cha mafisadi tupu na hakioni haya kufanya hivyo, wajukuu na vitukuu ambavyo vimekuta wazee wao wanajilimbikizia mali kwa wizi na ufisadi, vimeishi kwenye maisha hayo mpaka vimekuwa na kufikia hatua ya kuwa viongozi Chama...
  13. Mbunge Shabiby: Wapigaji wameongezeka serikalini, sitasifia kila kitu

    Mbunge wa jimbo la Gairo mh Shabiby, wakati akichangia hotuba ya bajeti kuu amemshukia kama mwewe waziri wa fedha Mwigulu Nchemba kuwa tabia yake ya kutaka kuwa mzuri kwa kila mtu na kila taasisi imesababisha awe na mipango mingi isiyo na tija kwa taifa ikiwemo hela kutopelekwa kwa wakati kwenye...
  14. Luhaga Mpina usiondoke CCM, pambania huko huko ndani ya chama chako kuleta mabadiliko

    Luhaga Mpina umekuwa machachari sana kuiwajibisha serikali ya chama chako tofauti na wabunge wenzako wengine wote wa chama chako. Kama utaendelea na mwendo huo unaweza kuleta mabadiliko makubwa mno ukiwa ndani ya CCM kuliko nje yake. Wewe sasa hivi unachukuliwa kama nembo ya ujasiri ndani ya...
  15. Kwa hali ilivyo, unamshauri nini Luhaga Mpina mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM?

    kama mdau wa siasa, harakati na demokrasia nchini, ni upi ushauri wako muafaka kwa kiongozi huyo wa kisiasa, kulingana na joto na uelekeo wa siasa za Tanzania, kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu2024, na ule uchaguzi mkuu wa mwaka ujao 2025? afanye nini, aamue nini, na...
  16. Taarifa ya Spika wa bunge, ya chama cha mapinduzi CCM, na ya tume huru ya taifa ya uchaguzi zinasubiriwa kwa hamu na watanzania

    kwa wakati huu, shauku, bashasha, macho na maskio ya miongoni mwa wadau wa siasa, harakati na demakrasia nchini Tanzania, yameelekezwa zaidi katika kujua, kuelewa na kufahamu matokeo ya hatua muafaka ambazo taasisi imara sana za umma zimechukua dhidi ya vielelezo vya uthibitisho vilivyoibuliwa...
  17. A

    Mheshimiwa Mpina ondoka leo na siyo kesho hapo CCM

    Kwa jicho la kuona mbali ni wakati sahihi wa bwana Mpina aondoke CCM. Ni wazi mfumo wa Serikali ya sasa umemkataa kwa sababu moja tu nayo ni wenzake wanapiga ilhali yeye hafanyi hivyo. Suluhu na salama kwake ni aondoke bila kuchelea hapo CCM.
  18. PreGE2025 Rais Samia na CCM wametimilisha msemo wa wahenga kwamba kelele za vyura kwenye dimbwi hazimzuii ng'ombe kunywa maji na ushindi ni lazima 2025

    Kabla ya kuanza uchambuzi wangu ningependa kutoa angalizo kuwa mimi siko upande wowote ule. Naandika maoni, uchambuzi au mapendekezo yanotokana na yale tunoyaona, kusikia na pia kuyasoma katika vyombo vya habari au mitandao ya kijamii. CCM chama tawala Tanzania tangu kuanzishwa kwake kimeshika...
  19. PreGE2025 Kongole nyingi sana kwa mwenyekiti wa CCM taifa

    Ruzuku ya chama inafika vyema na kwa uhakika sana hadi kwenye ngazi ya matawi na mashina ya CCM huku chini kabisaa kwa wananchi vijijini. Nyenzo na vitendea kazi muhimu, uwezeshaji wa hali na mali kwa viongozi waandamizi wa CCM, kuanzia ngazi ya tawi unanatufikia vyema sana. Asanti sana Mama...
  20. PreGE2025 Lissu: Wala rushwa au wapokea rushwa hawafai kua viongozi, wawe CCM au CHADEMA, watauza nchi

    Lissu ameendelea kurusha jiwe gizani. Safari hii ameikemea rushwa wazi wazi hata iliyo ndani ya chama chake CHADEMA. Lissu hajapepesa macho wala kuangalia sura ya mramba asali. Wataalam wa mambo ya siasa za kusini mwa jangwa la sahara wanasema huu ni muendelezo wa kukosoa tuhuma za rushwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…