ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. PreGE2025 Kwanini CCM mnafanya kampeni wazi wazi wakati muda wa kampeni bado? Msajili wa Vyama vya Siasa hulioni hili?

    Wakuu salaam, Kwa uelewa wangu kampeni huanza rasmi kwenye tarehe inayotangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi, na hii huwa ni kwenye mwaka wa uchaguzi kwa ngazi ya Wabunge. Lakini pia baada ya mbunge kuchaguliwa, wewe unakuwa mbunge wa wananchi wote, kama unahutubia wananchi inamaanisha...
  2. L

    David Kafulila Alisema Ukweli kuwa CCM Inabadilika kulingana na wakati na mahitaji ya wakati

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa David Kafulila Kamishina wa PPP,Msomi wa BBA,Kijana Mchapa kazi,mzalendo , muadilifu na akili kubwa amewahi kusema ya kuwa CCM inabadilika kulingana na wakati na mahitaji ya wakati . akaendelea kusema ya kuwa ndio maana huwezi ukawakusanya wapinzani wa CCM...
  3. CCM ndio chama pekee Afrika kitadumu dahari kwa dahari

    Ni ukweli usiopingika kwamba chama cha mapinduzi ndio chama ambacho kina historia kubwa hapa barani africa,,na hii ni kutokana na historia ya viongozi wake kuwa mstari wa mbele kutoka enzi za kupigania uhuru kupambana katika harakati za kuona nchi nyingine za Afrika zinapata uhuru pia. Lakini...
  4. PreGE2025 Je, Zitto ni Msemaji wa Ikulu?

    Nimeshangazwa sana na Zitto kutoa tamko la kuwa Rais atagharamia matibabu ya Sativa, swali ni je Zitto amekuwa lini msemaji wa Ikulu? Pia ametuandikia kuwa mazingira yanaenda kuwa sawa, taarifa zote alizotoa kuonesha kuwa yeye anamsemea Rais. Hii ni mara ya pili Zitto anajaribu kujionesha kuwa...
  5. Nazidi kusikitika kwa hawa ccm mnaowapa wazungumze

    Hivi kama wawe chawa sio mtu.ina maana wawe chawa wa majini na miziumu au au hakuna watu duniani. Mjumbe wa kamati ya siasa wilaya ya Mkinga Twaha Mwakioja, amewataka vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM wilayani humo kuwa chawa wa CCM kwa kukisemea miradi inayotekelezwa na serikali badala ya kuwa...
  6. PreGE2025 CCM imenunua Pikipiki nchi nzima na kuweka nembo ya Samia. Fedha za wastaafu na stahiki za watumishi hazipo

    CCM inaendelea kudharau kila kitu na ni dalili wazi kwamba viongozi ndani ya CCM na serikali yake hawana usikivu tena. Ni dharau zilizopitiliza kushindwa kuwalipa watumishi wastaafu pensheni zao na stahiki za watumishi wa serikali huku wakitaabika na kuteseka ilhali fedha za kununua pikipiki na...
  7. PreGE2025 Vyama vya siasa vinavyojipiga kifua mitandaoni huwa vinaumbuka sana wakienda kuonana na wananchi ana kwa ana

    Huwa vina kutana na hali ya kushangaza sana, ngumu na tofauti kabisa na majivuno, majigambo na ujasiri wa mitandaoni.. Field huwa vinakuwa vidogo zaidi ya piritoni, dhaifu sana, vimenyong'onyea mno, havina watu wala hamasa hata kidogo. Wao hushangaa wananchi na wananchi huwashangaa wao...
  8. T

    Iwapo Msigwa angemshinda Sugu yote haya angesema na kukimbilia CCM. Anyamaze kulinda heshima yake

    Nimetafakari kauli za Msigwa baada ya kuhamia CCM anaonekana kujivua nguo na CCM walivyo wanjanja wanamwachia abwabwaje wao wanamsikiliza tu. Bora anyamaze tu,kwani mbona awali hakuyasema yote haya. nimemdharau sana. ni kweli Mbowe anaqeza kuwa ameitoa Chadema kwenye misingi yake lakini haya...
  9. S

    CCM itakuja kugawanyika na kuzalisha chama kingine cha upinzani na hapo ndo itakua mwanzo wa upinzani imara

    90% ya watanzania wote ni ccm. ukichekiki mwenendo wa ccm watu wengi wanataka vyeo vya kuteuliwa au kuchaguliwa kwa kura. CCM kuna watu wengi sana ambao wanakosa teuzi ila wanavumilia tu.kwa machungu makada wote wa ccm wazee kwa vijana shabaha yao ni teuzi ili watafune keki ya nchi tatizo...
  10. Ukiwa na Akili timamu hutomshangaa Msigwa kuhamia CCM ila ukiwa Juha hakika utamshangaa mno

    Wiki tatu zilizopita hapa hapa JamiiForums niliandika na kutahadhirisha kuwa CHADEMA hakuko salama mkadhihaki. Sijui ni kwanini mnashindwa Kukubali kuwa kuna Watu wengine Mwenyezi Mungu hakuwapa Utajiri wa Mali na Pesa bali kawapa ule wa Akili Kubwa, Maono na Maarifa mengi ya Kiuchambuzi...
  11. Barua ya wazi kwa katibu mkuu CCM balozi Nchimbi

    BARUA YA WANABIHARAMULO KWA BALOZI NCHIMBI KATIBU MKUU WA CCM TAIFA UTANGULIZI Mh balozi tumesikia kuwa unakuja kufanya ziara hapa Biharamulo tunakukaribisha wilayani kwetu Biharamulo ,kuja kwako ni neema ya kutatua matatizo makubwa ya kiungozi/kiutawala ya chama chetu hapa wilayani...
  12. Ujuzi wa chama cha mapinduzi {CCM} kwenye ukingo wa siasa

    Ni jambo la kawaida sana wanasiasa haswa wa hapa kwetu Tanzania kuhama chama A kwenda B na kadhalika. Lakini jambo la kujiuliza ni nyakati na namna muhusika anavyoenda kwenye chama husika. Yapo maswali ya kujiuliza kuhusu aina ya wanasiasa hawa na namna watanzania tunavyopumbazwa na watu...
  13. H

    Nimekuwa nikisema humu CDM ni CCM blakini hamsiki!!

    CDM ni makinikia ya CCM hivyo mtu ahami cdm kwenda ccm au ccm lwenda cdm bali anabadirisha ofisi tu. Hakuna upinzani TZ.
  14. Rev Msigwa, Karibu CCM ila Usisahau hilli Ni Baada ya Dau Kifikiwa

    CCM inazidi KUVUNA. Hali tete Chadema. Ukitafakari sana unaweza kudhani mpinzani halisi ni Luhaga Mpina kumbe Peter Msigwa ndiye CCM kindakindaki. Najua hujaelewa. Iko hivi; ndani ya CCM wanaamini Luhanga Mpina amekuwa mpinzani dhidi ya serikali ya CCM ambayo kimsingi ndiye iliyompa kibali cha...
  15. PreGE2025 Udikteta wa Mbowe watajwa chama kutoimarika

    Nafasi ya Mwenyekiti kwamba inaitwa Mwenyekiti wa maisha hata makamu anachagua yeye yale mnayoyaona ni kiini macho kuwa kuna DEMOKRASIA. Na kwamba ni kijana wa CCM, yale makelele mkiona anaanza ujue asali inakuwa haijamfikia, akishalamba analala usingizi wa pono. Pia soma: Aliyekuwa...
  16. Mpina analalamika kushughulikiwa na wanasiasa CCM lakini hajahama wakati Msigwa analalamika kushughulikiwa na wanasiasa CHADEMA na akahama!

    Je, kuendelea kuamini itikadi za kisiasa bado ni relevant kwa karne hii ya siasa za kisasa zaidi? Hapana. Nini kifanyike? Achana na itikadi za kisiasa. Baki kuwa mfuasi binafsi wa Rais. Kila siku msaidie Rais wako. Rais ni nchi. Rais ni wananchi. Ukimsaidia Rais umesaidia nchi. Umewasaidia...
  17. Lissu, Heche, Wenje, Garubindi, Bulaya, Mdee etl KARIBUNI CCM TUTAWAPOKEA - KAZI ZIPO NYINGI

    Watanzania, SALAAM! Ifahamike kuwa siasa haina adui wala rafiki wa kudumu. Niliowataja hapo nafahamu uwezo wao wa kisiasa. Ni dhahili kuwa huko waliko hawathaminiwi hata kidogo - nguvu wanayoitumia wakiwa CDM ni kubwa sana ukilinganisha na rewards wanayopata. Hawa wanafaa kuja kusaidia...
  18. T

    Njia rahisi ya kupata nafasi (cheo) ndani ya CCM au Serikalini kupitia siasa.

    Kwa Tanzania kama unataka kuendesha maisha yako kupitia siasa unatakiwa uwe ndani ya CCM kwani ndio chama kilichoshika dola. Ukiwa ndani ya CCM ni rahisi kupata nafasi (cheo) ndani ya chama au Serikalini. Lakini tatizo CCM ina watu wengi sana kuliko nafasi za uongozi au vyeo vya kuwapa wanachama...
  19. T

    Msigwa kafuata ulaji CCM, ni lazima apewe cheo

    Msigwa sio wa kwanza kuondoka CHADEMA kuhamia CCM. Wapo waliotangulia kabla yake, kwa hiyo tunasema amefuata nyayo za wenzake akina Waitara, Silinde na wengine wengi. Kwa upande wa CHADEMA hili ni pigo kwa namna yoyote ambavyo watalichukulia, lakini kwa CCM ni mtaji. Na mitaji kama hii huwa CCM...
  20. Lissu akiunda chama chake nitakuwa wakwanza kujiunga kwenye chama chake. Hii itakuwa CCM Z kama Gen Z

    Kwema Wakuu! Lisu anasubiri nini? Kwa huanzishi chama watu tujiunge. Bila shaka itakuwa CCM Z kama Gen Z kwa maana kwa jinsi niwaonavyo watanzania karibia wote DNA zao ni CCM ila tunataka tuwafanyie Blood Transfusion ya mabadiliko yenye tija. Kwa kweli sijui kama Blood Transfusion itaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…