ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. F

    Chadema tushukuru kwamba CCM wameanza kuropoka hadharani mbinu zao za kushinda chaguzi. Nape ni mkweli tusimlaumu, tatizo ni mfumo CCM.

    Badala ya kuona kuwa Nape amekosea kusema aliyosema, tumwone Nape kama mtu aliyesema ukweli kuhusu chaguzi za Tanzania. Ni kweli kwamba matokeo ya kura hutegemea nani anahesabu kura na mara nyingi sana matokeo hupangwa kabla hata ya kura kupigwa. Tatizo sio Nape bali ni mfumo CCM. Mnakumbuka...
  2. Hakimu akielezea namna viongozi wa CCM walivyokuwa wanamshinikiza kutumia mahakama kupambana vita vyao vya kisiasa

    Hakimu akielezea namna viongozi wa CCM walivyokuwa wakimpigia sim kumshinikiza kutumia mahakama kupambana vita vyao vya kisiasa. --- Akifafanua jambo hilo Hakimu anasema: Mimi nikiwa Ardhi pale Manyara mwaka 2013, kilitokea na Uchaguzi wa Mbunge, kuna Mbunge alifariki kule kukawa na Uchaguzi...
  3. Vijana wa Tanzania wanaumizwa na maamuzi ya Kesi ya Yanga kuliko ya CCM na hatima zao

    Mahakama imetoa hukumu kuwa Uongozi wa Yanga hauko madarakani kihalali hivyo uondoke na uchaguzi ufanyike upya kwa katiba halali ya mwaka 2011. Ukisoma mitandaoni utaona kuwa Vijana wamekasirika hadi kutishia maisha ya wazee walioshinda kesi. Hili ni jambo la kusikitisha sana, mbona hatuoni...
  4. Je, Nape Nnauye anapaswa kushtakiwa kwa kauli aliyotoa huko Bukoba?

    Kuna Video Ina Trend Mtandaoni ya Nape Nnauye akisema kwamba Yeye ni Mtaalamu na Mzoefu wa kuiba kura na kutangaza Matokeo ambayo sio halisi na kisha kuomba Msamaha kwa Mungu. Lengo la Uzi huu ni kufahamu Je kauli hiyo kweli imetolewa na Nape?Je aliitoa Bukoba?Je Ni kauli sahihi kutoka kwa...
  5. Kwanini Republicans haialiki wazee wa chama chao kama CCM?

    Marekani, chama cha Republicans kina Rais mmoja mstaafu, George Bush na makamu watatu wa Rais wastaafu, Dan Quayle, Dick Cheney na Mike Pence. Kwa nini huwa hawaalikiwi kabisa au hata angalau kutajwa tu katika mkutano wao mkuu wa chama?
  6. M

    Hashimu Rungwe: CCM hawaminiki Mama, tutashiriki uchaguzi kwa shingo upande

  7. Hivi hakuna uwezekano CCM ikaungana na CHADEMA kuelekea uchaguzi 2025 ?

    Naona CCM inatumia nguvu nyingi sana kusajili wanasiasa wazuri kutoka CHADEMA . Ni wazi CHADEMA kuna vichwa , Nadhani ni vyema 2025 waangane tupate viongozi wazuri . Muwe na siku njema
  8. PreGE2025 Kupitia ilani ya Uchaguzi, CCM iliahidi kwa maneno na maandishi; Hivi sasa inatekeleza na kutimiza ahadi zake kwa vitendo

    Mungu atupe nini tena Watanzania, zaidi ya kumuomba katika umoja wetu, airejeshe madarakani tena na tena, Serikali sikivu sana ya CCM? Ndugu Wananchi, Maelezo mafupi sana mnayoyaona katika mabango pembezoni mwa barabara, kwenye kuta za fensi maeneo mbalimbali, kwenye magari binafsi, bodi za...
  9. PreGE2025 Amos Makalla: Mbowe ni dhaifu, anashindwaje kesi na wanawake 19 na kumfukuza Lissu anayedai CHADEMA kimepokea hela chafu!

    Katibu Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM, CPA. Amos Makala amesema Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kama alishindwa kumfukuza Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu @TunduALissu hana ujasiri hivyo asiwaaminishe watanzania kuwa kuna ujasiri wanapaswa kuwa nao. Akizungumza katika mkutano...
  10. Hivi TBC ni ya Serikali au ya chama tawala, Mbona habari za vyama pinzani hazisikiki?

    Habari wanJF. Hivi huwa najiuliza TBC ni ya Serikali au ni ya chama Fulani, mbona huwa wanazungumzia habari za chama kimoja tu kwani vyama vingine havina haki kutangazwa? Kama ni hivyo vyama pinzani fungueni na nyie media zenu.
  11. Viongozi wa CCM fundishaneni kufuata sheria, msijione kuwa CCM basi mpo juu ya kila kitu nchi hii

    Niwaombe sana viongozi na makada wa CCM ngazi za wilaya na kata, msijifichie kwenye mwamvuli wa kufuatilia utekelezaji wa ilani ya chama kwa kunyanyasa wengine. Jueni mipaka yenu makada wenzangu, nimestaajabu leo mahali fulani mwenyekiti wa CCM wilaya eti nae anatoa amri ya kumsimamisha kazi...
  12. Mwandishi Ansbert Ngurumo apewa hifadhi kwa usalama wake nchini Finland

    Ni habari mbaya kwa nchi yetu inaendelea kuwa na hadhi mbaya ndani /nje ya mipaka yake. Maisha ya waandishi wa habari, wanasiasa na wanaharakati yamekuwa ya mashaka. Mwanahabari Ansbert Ngurumo aliyewahi kuwa mhariri wa Magazeti ya Tanzania Daima na Mwanahalisi, amekimbilia nchini Finland na...
  13. K

    Baada ya ziara mikoani, viongozi mrudi ofisini kweli na kuchukua hatua

    VIONGOZI CCM TAIFA MNAFANYA VIZURI SAANA KUTEMBELEA MIKOANI NA KUYASOMA MABANGOBAADA YA HAPOTURUDI OFISINI TUWE NA TAFAKURI NZITOKISHA TUCHUKUWE HATUA ZA KUFANYA MAAMUZI MAGUMU Nilisikika nikiunguruma Kama Simba Katika Ulimwengu wa kiroho huko Ndotoni kukemea Maovu ya kuzisigina katiba Kanuni...
  14. R

    PreGE2025 CHADEMA mnashindwa kuwa na Tv, radio kweli?

    Chadema mnakwama wapi? Naangalia Channel Ten, ni habari za CCM tu! Tunakumbushana tu! Jamani publicity ni muhimu sana katika propaganda za Siasa. Piga ua chadema mnahitaji TV na Radio. Erythrocyte , rafiki tunakwama wapi? Pia Soma - CHADEMA anzisheni kituo cha television kabla ya uchaguzi...
  15. PreGE2025 CCM ina wafuasi, wakereketwa na wapiga kura wengi zaidi ndani ya vyama vya upinzani nchini

    Kwa kuthibitisha hilo tazama yanapofanyika vikao au press conference za mabadiliko ya viongozi ndani ya CCM au ndani ya serikali sikivu ya CCM au vinapofanyika vikao vya kamati kuu ya CCM. Yaani, macho, maskio na shauku kubwa mno ya wana ccm, vyama vya upinzani, wananchi na waTanzania kwa...
  16. Kubenea alisharejea CCM?

    1. Huyu Mheshimiwa Mstaafu yupo wapi siku hizi? 2. Alisharejea au anarejea lini CCM ale mema ya nchi? 3. Daah, Kuna watu wanasahaulika haraka Sana.
  17. S

    Ngome ya CCM ipo Dodoma, Tanga na Pwani

    Ngome ya CCM ipo Dodoma, Tanga, na Pwani. Mikoa hii inathaminiwa na CCM, kwani wanapewa fadhila kwa kuwapa wabunge wao nafasi za uwaziri. Katika kipindi kijacho, tunaweza kuona viongozi kama: 2025: Samia Suluhu Hassan 2030: Kassim Majaliwa 2040: January Makamba 2050: Ridhiwan Kikwete...
  18. M

    PreGE2025 Kinachokwenda kuinyonga CCM 2024/2025

    1. Viongozi waliopo madarakani kujilimbikizia mali na kutumia mali za umma kwa ANASA. 2. Viongozi waliopo madarakani kutosikiliza na kuzifanyia kazi shida za wananchi(kuwachukulia wananchi kama WAJINGA) 3. Viongozi waliopo madarakani kuwalinda MAFISADI na MAJIZI na kuwakandamiza wanaowafichua...
  19. CCM wameuza kila kitu wawekezaji hatuoni faida yao ni mapambio tu

    Kwa miaka kadhaa Mimi natafakari mambo mengi juu ya nchi yangu Tanzania -Mkapa alibinafisisha viwanda vyote nchini je hao wawekezaji nini walichofanya Mkapa alibinafisisha mgodi wa Bulyannhulu kwa mda wote wao walikuwa wanapata hasara jiulize NI mwekezaji gani anayeweza kuchimba kwa miaka yote...
  20. PreGE2025 Kesi ya mwanachama wa CCM na CHADEMA ni vitu viwili tofauti, huyo mwingine lazima tuhangaike naye!

    Haya ni maneno yanayosemwa na mwana CCM, kwamba wao wakifanya kosa, watashughulikiwa tofauti na CHADEMA, hata ikiwa polisi ataonywa tu asirudie basi, ila kwa wengine kama CHADEMA ni tofauti, lazima ahenyeshwe sawa sawa! Na hili ni kweli kabisa, si tunaona yanayotokea? Mwenyekiti UVCCM Kagera...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…