ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Kwa CCM, January Makamba ni Asset

    Sijajua imekaaje kumuondoa MTU Kama Makamba ambaye ndo MTU pekee mwenye utulivu, akili, ufahamu ndani ya CCM. Naomba CCM mjitafakari Sana.
  2. Nadhani mtu aina ya Paul Makonda kwa sasa anahitajika sana kama Katibu Mwenezi CCM taifa kuliko wakati wowote ule

    Tar 21/7/2024 , utenguzi wa mawaziri Nape na January Makamba umefanyika , waheshimiwa hawa ni mashuhuri sana katika matumizi ya Teknolojia na ni viongozi wanaoweza kujieleza vizuri. Hivyo tutegemee mitandaoni ya kijamii kuchangamshwa na habari mbali mbali zikiwemo za ndani sana zitazokahusu...
  3. PreGE2025 Siasa za kuchafuana zashika kasi CCM Moshi mjini

    Sasa ni dhahiri kwamba kasi ya kuchafuana kwa makada wa chama cha mapinduzi Katika Jimbo la moshi mjini inazidi kushika kasi kadri siku zinavyozidi kuyoyoma kuelekea uchaguzi mkuu hapo mwakani. Wapo vijana wanaoendesha harakati hizo kupitia magroup ya WhatsApp wakiwalenga makada wa CCM...
  4. L

    Msigwa, Sasa ni muda wa kueleza mazuri ya CCM ukirejea yale uliyokuwa unasema ni mabaya

    Ndg yangu Msigwa habari! Nimefuatilia kiasi kikubwa mikutano uliyopewa nafasi kutoa hotuba yako. Nindhani tutakuwa tumekuelewa. Sasa itakuwa ni vizuri utueleze na uzuri wa huko uliko hamia CCM. 1. Kama rushwa haiko. 2. Maneno aliyosema Nape kama si...
  5. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk aandika barua ya kujiuzulu Ubunge

    Mbunge wa kuteuliwa na Rais na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amemuandikia Spika wa Bunge la Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson barua ya kujiuzulu Ubunge leo Jumapili tarehe 21 Julai, 2024.
  6. PreGE2025 Nahitaji Peter Msigwa auambie umma wa Watanzania ataufanyia nini baada ya kuhama CHADEMA, siyo CHADEMA imefanya nini!

    Mchungaji Msigwa Ukihitaji salamu subiri kwanza Utopolo wamkung'ute, Kolo 5 - 1 hiyo tarehe 8, tofauti na hapo utaula wa chuya! Bado nashangazwa sana na Siasa anayoifanya mtu mzima Peter Msigwa, sababu ya yeye kuhama CHADEMA alisema ni uminywaji wa Demokrasia huku lawama kibao akimtupia...
  7. PreGE2025 Rais Samia: Bila CCM imara Tanzania itayumba

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaomba Machifu kuhamasisha watu waowaongoza kuchagua vongozi kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi mdogo utakaofanyika mwaka huu kwani chama hicho kimekuwa kikisimamia serikali vizuri. Akizungumza na Machifu hao leo Jumamosi Julai 20 2024 Ikulu...
  8. PreGE2025 Lusinde: CCM na Vyama vya Upinzani ni kama mjukuu na babu, hakuna ugomvi kati yao ila ukifika uchaguzi wakae pembeni

    Katika Mkutano wa Msigwa unaofanyika leo Julai 20, 2024 Iringa Mjini Lusinde amesema; "CCM na vyama vya upinzani ni kama babu na mjuu, hakuna ugomvi kati yao. "Mjukuu anaweza kucheka anavyotaka na mjukuu wake, kama babu ana mapengo mjukuu anaweza kuingiza mpaka vidole kwenye mapengo yake, babu...
  9. K

    Watanzania wameamua Tanzania ni CCM na CCM ni Tanzania

    Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji na uchaguzi mkuu wa 2025 watanzania wameamua kwa kauli moja kuja na kaulimbiu ya kishujaa ya "TANZANIA NI CCM NA CCM NI TANZANIA", ni kauli inayochangiwa na imani kubwa waliyonayo kwa CCM, uthubutu wa uongozi wa Ndg.Samia ambaye ni...
  10. PreGE2025 Peter Msigwa na Upendo Peneza wajifunze kutoka kwa Hayati Edward Lowassa

    Wanasiasa Peter Msigwa na Upendo Peneza wamehamia CCM hivi karibuni kutoka CHADEMA chama kulichowalea na kuwakuza hadi kufikia ngazi ya ubunge na kuwa miongoni mwa wanasiasa maarufu hapa nchini kutokana na michango yao bungeni. Pia soma: CCM kuubeba msiba wa Lowassa bila kumuomba kwanza msamaha...
  11. J

    PreGE2025 Viwanja vya Mwembetogwa Iringa mjini Mchungaji Msigwa afunguka sababu 4 za kuondoka CHADEMA

    Kama unaamini kuwa CHADMA ni Chama cha Siasa basi karibu umsikilize mchungaji Msigwa atakavyokuprove wrong. Mchungaji Msigwa anaijua CHADEMA nje ndani na ametuomba wana CCM tuamini anayosema kwa sababu yeye ni mtumishi wa Mungu. Karibuni sana na mkutano utarushwa mubashara na Vyombo mbalimbali...
  12. Hivi mwenyekiti wa CCM huwa anajua anachokiongea?

    Kwakua ni swali naweka kwa kifupi, CCM imechukua wanachama wengi wa Chadema na kuwapa uongozi wa juu serikalini, cha ajabu mwenyekiti huyo anayewapokea na kuwateua huku akiwaacha wananaccm wa siku nyingi anadai kuwa Chadema bado wachanga! Sasa hapa nani mchanga kati ya mwenyeji(CCM) na mgeni...
  13. Huyu alilazimishwa kuhamia CCM utokea Chadema ukimsikiliza vizuri.

    Embu tumsikilize!!
  14. CCM haitatolewa madarakani na Mkia mfupi ila kumtoa mgombea wao inawezekana Gen Z wa Tanzania mfahamu hilo

    Sina haja ya kurudia maneno wanao muhukumu Nape hawafahamu siasa ya Nchi hii.
  15. Makonda aliraruliwa kwa kusema atataja mawaziri wanaomsema vibaya Rais. Mpina aliraruliwa kwa kusema waziri kavunja sheria ya sukari. Huyu atapona?

    1. Wakati wa mazishi ya hayati Edward Lowasa, akiwepo Rais wa JMT, aliyekuwa mwenezi wa chama cha mapinduzi alitamka kwamba atataja majina ya mawaziri wanaomsema vibaya Rais wa JMT. Maneno hayo yalikikasirisha sana chama cha mapinduzi. Akaitwa kwenye kamati ya maadili na kuraruliwa. 2. Mh...
  16. Athari Za Kuwa Chini Ya Utawala Wa Aina Moja Kwa Muda Mrefu

    Wakati nchi inapoongozwa na chama kimoja cha kisiasa kwa muda mrefu, hata ikiwa ni kwa njia ya kidemokrasia, hatari kadhaa zinaweza kujitokeza: Kudhoofika kwa Demokrasia: Utawala wa muda mrefu wa chama kimoja unaweza kudhoofisha demokrasia kwa kupunguza ushindani wa kisiasa. Bila upinzani...
  17. CHADEMA na CCM wameamua kumpuuza Msigwa?

    Amekosa mvuto. Amekuwa si riziki kabisa. Hata ndani ya Chama hapati heshima yoyote. Wameona hana impact pamoja na kujaribu kumjenga ila wanaonga hajengeki. Chadema. Wameshamsahau. Mi ningekuwa ni mshauri wa Msigwa ningemshauri agombee nafasi Chadema. Ashinde kisha akishinda ajiuzulu ahamie CCM...
  18. PreGE2025 Rais Samia mbona umeanza kampeni mapema? Unaogopa nini?

    Huyu Rais kaanza kampeni mapema kabla ya muda. Sijui anaogopa Nini? Tume ya Uchaguzi ni ya kwake, Polisi wa kwake, JWTZ wa kwake nk ila kaanza kampeni kabla ya muda. Naomba nimpe Rais ushauri ufuatao; 1. Achana na kampeni kabla ya muda. Wewe kama Rais wa Nchi unatakiwa kuwa namba moja Kwa...
  19. PreGE2025 Wazazi CCM 2024 Katavi watisha maadhimisho ya Wiki ya Wazazi

    Wakuu, Tangu nimezaliwa sijawahi kuona sherehe za kisiasa zimepangiliwa kisayansi na zikawa na watu wengi kama nilizoona mwaka huu katavi kwenye maadhimisho ya wiki ya wazazi 2024. Viongozi waliokuwepo ni pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan Mwenyekiti wa ccm na rais wa nchi, rais Mwinyi, mzee...
  20. PreGE2025 Rais Samia: Waacheni wajifunze, muda wao wa kuendesha dola bado

    Rais Samia akizungumza na wananchi wa kata ya Laela ,Wilaya ya Sumbawanga Vijijini Rukwa mesema leo tarehe 17 Julai 2024 ikiwa siku ya mwisho ya kukamlisha kwa ziara yake ya siku tatu "Wengine waacheni waendelee kujifunza bado wachanga, muda wao wakuendesha Dola bado Kabisa" "Lazima tuwe na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…