ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Mkuu wa mkoa wa Mtwara kuonekana kavaa nguo za chama cha Mapinduzi wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ ni sahihi?

    Picha kama inavyojionesha kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara leo tarehe 28.07.2024 kuonekana kavaa nguo za chama cha CCM wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ je leo jeshi letu ni CCM au ndyo utaratibu wa kijeshi. Mkuu wa majeshi kwa kukomesha ili mchukulieni hatua mkuu wa Mtwara kwa kuvunja kanuni za JWTZ...
  2. K

    PreGE2025 Kigwangallah ashiriki maombolezo ya aliyekuwa Kamanda wa Sungusungu, Mzee Chalya. Aahidi kujitolea pikipiki moja kwa kila kata

    Picha ya Kigwangalla akifanya mambo ya mila === Kupitia ukurasa wake wa Instagram Kigwangalla aeleza ukaribu wake na Sungusungu kutoka kijijini Bujuku ambako alienda kwaajili ya maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Mwenyekitu wa Sungusungu eneo hilo. Ambapo mbali na kutoa salamu za rambirambi...
  3. J

    PreGE2025 Hakuna mahali Msigwa amesema CHADEMA ni Chama Kibaya bali Mbowe Ndiye Mbaya. CCM muwe makini atarejea CHADEMA huyo!

    Wakati wote na mahali pote Mchungaji Msigwa anaelezea ubaya wa Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe tu na huwezi kumsikia akielezea ubaya wa Chadema kama chama Ogopa sana Mtu wa namna kwani ni Janjajanja fulani Mlale Unono 😀
  4. B

    PreGE2025 Aliyekuwa Mbunge wa CCM Mbarali afunguka mazito "Wamenipiga fitina nzito"

    27 July 2024 Ubaruku, Mbarali Tanzania Mbunge : Chama dola kongwe kina michezo michafu ndani ya CCM , awekwa bayana .... Modestus Dickson Kilufi fomu za ugombea ubunge ziliporwa na mgombea asiyejulikana... Modestus D. Kilufi asema CCM haipendi mtu msemakweli na aliyemchapa kazi na aina hiyo...
  5. L

    Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Katibu Mkuu wa CCM Kuongoza Secretarieti Katika Ziara Nzito ya Mikoa Ya Kusini

    Ndugu zangu Watanzania, Wakati vyama kama CHADEMA viking'ang'aniana na kila mtu akijitangaza kuwa ndiye mgombea Urais,wakati CHADEMA ikiendelea kupukutika na kukimbiwa na wanachama wote wenye akili Timamu na wanaojitambua,wakati vyama kama CHADEMA vikiwa vimepotea kabisa mitaani kutokana na...
  6. J

    Hayati Magufuli ndiye aliyefichua Viongozi kuwekewa Sumu alisema hata yeye na Mfugale yalishawakuta!

    Nakumbuka Shujaa Magufuli ndiye alitoaga hii Siri ya Viongozi wa Kisiasa kuwekeana Sumu akisema yeye na Mfugale ni wahanga. Awali Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete aliwahi kusema huko Chamani Watu hawaachiani glass za vinywaji. Kadhalika Waziri mkuu mstaafu Mzee Sumaye aliambiwaga huko Chadema...
  7. CCM kudai kuwa vyama vya upinzani bado havijawa tayari kukabidhiwa nchi, ni uzalendo au ubinafsi?

    1. Kwani TANU ilikuwa tayari kukabidhiwa nchi na Wazungu hasa ikizingatiwa kuwa ilikuwa ikiongozwa na "kijana" wa miaka thelathini na nane tu? Mbona aliweza kuiongoza kwa "mafanikio" makubwa? 2. Kwa kusema vyama vingine havijawa tayari, kunamaanisha nchi haina mifumo imara ya kiuongozi hadi...
  8. Kati ya CCM na CHADEMA, ni kipi kinanufaika na watu wazuri wa chama hasimu?

    Kwa muktadha wa huu uzi, Chama hasimu kwa CCM ni CHADEMA na kwa CHADEMA ni CCM. Watu wazuri ni watu wanaoweza kuwa msaada kwa Chama. Kati ya hivyo vyama viwili, ni kipi kimenufaishwa zaidi na hasimu wake?
  9. Uchaguzi wa 2015: CCM ilimbeba Hayati Magufuli au yeye ndiye aliibeba CCM?

    CCM ndicho Chama kilichoshinda uchaguzi wa jumla. Kwa upande wa Urais, ni John Pombe Joseph Magufuli. Ushindi wa CCM na Magufuli ulimaanisha nini? 1. Magufuli alishinda kwa sababu alibebwa na ukubwa wa CCM? 2. CCM ilishinda kwa sababu ilibebwa na umaarufu wa Magufuli? Kipi ni kipi?
  10. PreGE2025 Morogoro: Baadhi ya watu wanaojitambulisha kuwa ni viongozi wa CCM wanapita kaya kwa kaya kuuliza itikadi za watu

    Wakifika kwako wanataka kujua idadi ya watu wenye miaka 18+ na wanataka uwaite mmoja baada ya mwingine kila mmoja ajitambulishe na aseme yeye yuko chama gani. Wanakuwa na daftari wanaandika, sasa kama mimi niko CHAUMA wewe kiongozi wa CCM inakuhusu nini? Je hakuna utaratibu wa kufahamiana...
  11. Msigwa kaenda CCM kuwa sehemu ya akili ndogo au kuifanya CCM akili kubwa?

    Alipokuwa bungeni kwa tiketi ya CHADEMA, Mch. Msigwa alishawahi kukituhumu CCM kwa kusema kuwa akili ndogo (CCM) inaiongoza akili kubwa. Kwa yeye kutimkia CCM, ameamua kuwa akili ndogo ili awaongoze akili kubwa au anataka kuifanya CCM akili kubwa? Pia soma:CHADEMA na CCM wameamua kumpuuza Msigwa?
  12. Historia ya maisha yangu baada ya kuacha kazi ya utumwa wa CCM

    Mimi sio mwandishi mzuri. Lakini nitaeleweka Kwa hiki kisa changu Cha kweli. Nilimaliza masomo yangu ya degree udsm mwaka 2011 nakuajiriwa mwaka 2012. Huko shinganya vijijini kama Mwalimu. Hii kazi niliifanya Kwa mda wa mwaka mmoja na nusu tu. Nikaacha na kurudi mitaan. Baada ya kuona ndoto...
  13. Fursa Kwa Madada WA Kitanzania ambao hawajaolewa.

    Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Kwenye pita pita zangu huko mtandaoni nikakutana na Habari ya kijana Mmoja WA ki Jerumani anataka msichana WA Kitanzania Kwa lengo la ndoa. Nimeweka screenshot hapo chini inajieleza kabisa. Mkitaka maelezo zaidi mnaweza kwenda kwenye account yake ipo...
  14. K

    Mbowe hapedwi na CCM kwasababu ni CEO mzuri

    Tuache unafiki Mbowe hapedwi na watu wa CCM kwasababu moja tu anajua kuongoza, street smart, haongeki, ana heshimika na anajua kuongoza. Kuna wanasiasa wengi sana ni wazuri wa kuongea tu lakini huwezi kuwapa hata mradi wa kuku.
  15. PreGE2025 Kitendo cha CCM kupita mashuleni wanafunzi wajiandikishe ni mbinu mpya? Je, CHADEMA au ACT-Wazalendo wataruhusiwa nao kwenda?

    Huyo ni kiongozi wa CCM yupo shuleni anatoa hamasa wanafunzi wajiandikishe tangu nimenza kusoma takribani miaka 20 iliyopita sijawahi ona chama chochote cha siasa kinakuja kuamasisha wanafunzi wajiandikishe kupiga kura. Serikali ituambie je CHADEMA na ACT-WAZALENDO waende shuleni?
  16. R

    Yupo wapi Tundu Lissu? Ni kweli anajiandaa kujiunga CCM?

    Tundu Lisu yupo kimya sana baada ya kufanya mikutano Mkoa wa Singida. Alipata uungwaji mkono mkubwa sana jambo linaloweza kuwa limepelekea mahasimu wake wampangie bei. Since then, ametulia na amepunguza makeke hata kwenye social midia. Ndugu yetu huyu aliyekunywa maji ya bendera na mzalendo wa...
  17. PreGE2025 CCM imejaa watu wa ajabu

    Tofauti ya binadamu na wanyama, ipo kwenye ustaarabu, lakini kwenye mambo mengine mengi, tunashabihiana. Wanyama wanakula kama tunavyokula wanadamu. Wanyama wanajamihiana, kama ilivyo kwa binadamu. Wanyama wanazaa na kufa kama ilivyo kwa wanadamu. Mwanadamu ambaye ubinadamu wake umekamilika...
  18. Picha: Wenye CCM waliomdhihaki na kumkebehi shujaa wa Afrika Hayati Magufuli

  19. N

    PreGE2025 Nape na makamba kurudi CCM kuchukua Nafasi za uenezi na ukatibu?

    Nape na makamba kurudi CCM kuchukua Nafasi za uenes na ukatibu. Baada ya Tenguzi katika nafasi zao za Uwaziri January Makamba na mwenzake Nape watapangiwa majukumu katika Chama kutokana na uzoefu wao katika kazi hasa nyakati za uchaguzi mkuu.
  20. T

    PreGE2025 CCM tuwe macho na Msigwa atachafua mahusiano ya kimataifa

    Pamoja na Nape kuwa bomu bingwa wa uropokaji, Chama changu kitukufu tuwe macho na Peter Msigwa staili yake ya kuzungumza bila kupima kauli zake inaweza kukiponza chama. Ana speed kali juzi Kawe alimlinganisha Mbowe na Kurunzinza wa Burundi kwa Udikteta bila kujua kuwa tuna urafiki wa karibu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…