ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. R

    Waitara: Sikupewa pesa yoyote, sikununuliwa, sikuhongwa, Nilipigiwa simu na Magufuli kwenda CCM

    Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini, Mwita Waitara, ameweka wazi kuwa uamuzi wake wa kuhama kutoka chama cha upinzani (CHADEMA) na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka 2018 haukusukumwa na fedha au ushawishi wa kupewa nafasi, bali ulitokana na maridhiano ya kifikra na maono ya maendeleo...
  2. K

    Ni mchakato wa aina gani hutumika kumpata mwenyekiti wa CCM

    Nimekuwa najiuliza hivi huwa mwenyekiti wa CCM taifa anapatikanaje Ni kina nani hupiga kura na ni kipindi gani huchaguliwa nijuzeni wagombea huchukua fomu kwa nan na ni nani msimamizi wa uchaguzi
  3. U

    Hotuba ya Heche kwa BAVICHA Jijini Dodoma ni moto wa kuotea mbali. Heche angekuwa na Bei CCM wangempa hata Bil 1

    Ukimsikiliza kwa makini Heche anaeleweka sana. Amejenga ushawishi mkubwa sana hapa Tanzania. Ni hakika Heche ni tatizo la CCM. Ni Hakika Heche ni Tunu ya Taifa. Vigogo wa Chadema mliojipanga kufanya fujo acheni huo mchezo. Kwa Heche mtaumbuka. Umma uko na yeye na Mnyika. Lissu anamkubali.
  4. Maduhu: Vijana ACT jiulizeni Serikali ya CCM ina nia ya dhati ya kufanya maridhiano?

    Wakili William Maduhu akizungumza leo tarehe 12 Agosti 2026 wakati Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo chini ya Mwenyekiti wake Abdul Nondo inapoadhimisha Siku ya Vijana Duniani kwa kufanya Kongamano katika Ukumbi wa Mrina, Dar es Salaam.
  5. Sio kosa wala dhambi mtu kuwa CCM au CHAUMMA; Ni ushenzi na ukatili kulazimisha watu kuwa chama Kimoja.

    SIO KOSA WALA DHAMBI MTU KUWA CCM AU CHAUMMA; NI USHENZI NA UKATILI KULAZIMISHA WATU KUWA CHAMA KIMOJA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Hii tabia wako nayo wafuasi na wanachama wengi wa CHADEMA. Ni tabia mbaya sana ambayo ni kiashiria cha ukatili na ubinafsi. Muache hii tabia. Ni tabia...
  6. CCM inaweza kutuambia nani aliwaua waliouawa Oktoba 29?

    Viongozi waandamizi wa CCM wanazunguka nchi nzima pamoja na mambo mengine wanatoa shutuma kwamba kuna watu walihamasisha vijana wa kitanzania kuandamana Oktoba 29 mwaka 2025. Viongozi hao wa CCM husema vijana hao walivutishwa bangi na kupewa hela ili waandamane. Na kwenye mikutano yao hiyo...
  7. CCM waliomba kanisa Katoliki kuwaleta CHADEMA katika meza ya maridhiano!

    This is very ridiculous.. Kumbe wanajua fika kuwa bila CHADEMA, hakuna kitu kinachoitwa maridhiano haijalishi watazuga na kujifanya hamnazo kwa kiwango gani..! Hata hivyo, Ts & Cs za kuifanya CHADEMA ikubali kukaa meza Moja na wauaji hawa ziko very clear lakini hawataki kusema kinawashinda...
  8. Basil Lema: Adui si CCM, bali ni kikundi kidogo cha watu” wanaonufaika

    Mwenyekiti wa Makatibu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Basil Lema, amesema chuki na migogoro ya kisiasa imekuwa ikitawala siasa za Tanzania, hali inayowafanya Wananchi kushindwa kutambua adui wa kweli. Akizungumza katika maadhimisho ya Siku ya Vijana yaliyofanyika Jimbo la Segerea...
  9. Baada ya tamko la maazimio ya kikao kati ya Mababa Askofu na Rais Samia,Sasa nashauri Samia awaite ccm wadai katiba mpya na maaskofu tuiteni Catholics

    Nimefurah SANA Sana kusikia Baraza la Maaskofu kupitia Rais wao Tec akitoa maazimio ya kikao kilichofanyika ikulu ya DODOMA Kwanza nawapongeza maaskofu pamoja na Rais kwa kuridhiana. Dhidi ya waliyoyatamka. Nimefurah kukubaliana yakuwa 1. Wakuu wa VYOMBO VYA majeshi wote wawajibike au...
  10. Jamaa amchana Dc wa CCM, hawa ndiyo watu tunawahitaji hapa nchini

    Naogopa mimi kabisa,huyu mtamzania alindwe kwa gharama zote.
  11. U

    Democratic (USA) walitumia mahakama kumthibiti Trump, naye akatumia mahakama kujijenga kisiasa, Akashinda. CCM Jifunzeni

    Wakati mwingine tujifunze kwa mifano hai. Chama tawala cha Democrats 2020 -2024 walitumia mahakama kumwangusha Trump kisiasa. Trump alishtakiwa kesi 4 na mashataka karibu 100. Trump akageuza uwanja wa mahakama jukwaa la kisiasa la kutafuta huruma ya Wamarekani. Trump Akashinda uchaguzi na kesi...
  12. CCM , Nionyesheni Picha hata ya Mwandamanaji mwenye Bunduki, aliyeua Watanzania Oktoba 29?

    Kila siku CCM wapuuzi walia liaa, ohooo Kuna watu walilipwa, ohoooo kimeenda kimerudi. Upande wa pili, Watanzania Wana picha mbalimbali za Genge la Mauaji Sasa na nyie CCM, tuonyésheni picha hata Moja tu ya Mwandamanaji akipiga Risasi watu.
  13. CCM kama hamtaki kukosolewa vunjeni chama chenu

    Kama hamtaki kuwa chama cha siasa ambacho sifa mojawapo ni kupingwa mitizamo na misimamo yake, basi vunjeni chama chenu ili wenye uwezo wa kuvumilia kukosoana wasonge mbele kuijenga nchi yetu kupitia vyama vya siasa.
  14. Shetani amezoea kulaaniwa na haachi uovu wake; vivyo hivyo tunailaani CCM na haitaacha maovu na ukatili wake

    Ifike mahala tuelewe kuwa hili dubwasha CCM limeishi kinafiki katika miaka yake ya ujana sasa limezeeka limegeuka kuwa shetani. Wanafikia kumdhuru yeyote anayekinyooshea kidole kusimamia ukweli. Wakosoaji wamekuwa wakiokotwa aidha wametteswa au wameuawa. CCM imemeza vyombo vyote vya Ulinzi na...
  15. Bila kuiondoa CCM, watanzania msahau kabisa maendeleo.

    Wana JF. Mosi, naomba moderator usiunganishe huu uzi na nyuzi zingine zinazoongelea CCM. Huu ni uzi mahsusi. Facts: 1. Tanzania ni nchi maskini sana katika viwango vya kimatataifa licha ya kujaaliwa na kila aina ya raslimali 2. Uchumi wa Tanzania unadhibitiwa na watu wachache sana licha ya...
  16. Unadhani ni kwanini wasomi wengi nchini Tanzania, husita kujiunga na vyama vya siasa vya upinzani?

    Ukiachilia mbali kukosekana discipline katika kueneza itikadi, sera na agenda za vyama hivyo vya siasa vya upinzani nchini, na pengine utamaduni usio na staha wa uropkaji, kutukana na kuporomosha matusi miongoni mwa viongozi na wafuasi wa vyama vya siasa vya upinzani nchini, dhidi ya wenye maoni...
  17. CCM mnachofanya ni Uhalifu dhidi ya uhai wa binadamu kwa mgongo wa Chama cha Siasa

    Uhalifu dhidi ya uhai wa binadamu ni kitendo chochote kiovu kinachokatisha au kuhatarisha maisha ya mtu mwingine kinyume cha sheria na maadili. Vitendo hivi vinasababisha maumivu makubwa, hofu, na kupotea kwa haki za msingi za kuishi. Matendo ya Kuua mtu kwa makusu, Kupiga na kujeruhi watu...
  18. Serikali ya CCM ilikuwa na mpango wowote wa kujenga refinery ya mafuta?

    Kabla ya Dangote kusema anataka kujenga refinery Africa Mashariki serikali ya CCM katika kile ambacho huita ilani ilikuwa ina mpango wowote wa kujenga refinery au Dangote ndio aliwaamsha wakaona uhitaji wa refinery? Au pia ni kwa sababu jirani ana mpango wa refinery na sisi lazima tujenge...
  19. Kada wa CCM, Bakari Kazungu, ambaye amekuwa akikemea uchawa, atekwa na kufanyiwa vitendo vya kikatili

    Bakari Kazungu anadaiwa kutekwa na ‘watu wasiojulikana’ na kufanyiwa vitendo viovu. NOTE: Video imeondolewa ili kuondoa sehemu sensitive na kulinda utu wake Soma machache aliyowahi sema: 1) CDE Bakari Kazungu: CCM ukisema ukweli unaonekana wa ajabu 2) Bakari Kazungu: Acheni kuwasingizia Heche...
  20. CCM mtandao wakiona hivi wanapata hofu. Soon watasimamisha mikutano ya Chadema

    Mafisadi wa CCM wanaogopa👇
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…