ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Kama viongozi wa CCM na Mwenyekiti wao hawawezi kuisikiliza sauti ya Demokrasia ya WanaCCM wenzao unadhani watamsikiliza nani?

    Mtu anayeamini kuwa CCM bado ni chama halisi anajidanganya. Kwa sasa, ni genge la watu wanaoendekeza udhalimu, kusifia na kutetea uovu. Chama kimeshikiliwa na watu wanaotenda uovu bila kujali mateso ya wengine; hawataki kusikia sauti za watu wema waliopo ndani ya CCM. Leo hii, Mr. Nchimbi...
  2. K

    CCM wanataka kudanganya upinzani na serikali ya kitaifa

    Upinzani ni lazima waelewe huwezi kuwa na serikali ya kitaifa bila katiba kufanyiwa mabadiliko na hawa CCM hawatafanya mabadiliko. Yaani chama ambacho kinaengua wanakijiji mnafikiri watawapa kazi serikalini!. Habari za ndani ni kwamba wameanza kuongea na upinzani eti CCM na upinzani waunde...
  3. PreGE2025 LGE2024 Askofu Mwanamapinduzi: Uonevu wa 2019 na 2020 tuliomba Mungu akaingilia kati, yaliyotokea yakiendelea wakati huu tutamuomba Mungu aingilie

    Wakuu, Kumekucha...kumekucha huko, mpaka tumalize uchaguzi huu tutaona mengi. ===== "Magufuli aliruhusu mambo yanayotokea 2019 na 2020, tulinyamaza watu (wengine) wakashangilia, Mungu aliingilia kati. Kupata nyuzi kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread...
  4. LGE2024 Kilimanjaro: Mgombea wa CCM akana kumuwekea pingamizi mgombea wa CHADEMA, msimamizi wa uchaguzi anaduwaa

    Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X "Kata ya Marangu Mashariki Kijiji cha Lyasongoro Msimamizi wa uchaguzi amewawekea wagombea wa Chama cha Demokrasia Maendeleo (CHADEMA) mapingamizi na kuonyesha kua mapingamizi hayo yameandikwa na wagombea wa CCM. Baada ya wagombea...
  5. LGE2024 Makalla: CCM tumeweka mapingamizi, tunaamini haki itatendeka

    Wakuu, Ni mwendo wa maigizo tu mpaka kieleweke. ===== Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, amewaomba wanachama katika maeneo ambayo wagombea wa CCM wamewekewa mapingamizi, kuwa watulivu kwani Chama kinaamini haki itatendeka kwa...
  6. Serikali ya CCM na mkakati wa kuua “opposition generation” kupitia “election fraud”

    Mwaka 2014 na Mwaka 2015 Chama cha Mapinduzi (CCM) kilikuwa kimeingia rasmi kipindi cha kuanguka na kutoweka katika medani za siasa. Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu, mtawalia pamoja na kuhujumiwa sana, yalionesha wazi kushindwa vibaya kwa CCM na kama isingekuwa...
  7. PreGE2025 LGE2024 Songwe: Katibu wa CCM avamiwa na watu wasiojulikana na kuvunjwa miguu yote miwili

    Wakuu! Hekaheka zinazidi kuendelea katika kipindi hichi cha uchaguzi. Naona watu wasiojulikana wamehamia CCM mbona kazi ipo =================== Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Itumba wilayani Ileje, Mkoa wa Songwe, Huruma Ally amevamiwa na watu wasiojulikana na kumvunja miguu yote...
  8. LGE2024 Chadema wasema Mgombea wao ateuliwa kugombea CCM

    Wana Jamvi salama. Hebu sikieni hii hapa Kigoma Kusini Chama Cha Demokrasia na Maendeleo walimdhamini mgombea kwa tiketi ya Chadema lakini baada ya Uchambuzi wa Majina, jamaa kajikuta ameteuliwa kugombea kupitia CCM Jamaa wa Chadema walivyomuona wakaweka pingamizi wasimamizi wasaidizi wa...
  9. A

    CCM Kilimanjaro inayumba, Viongozi hawaelewani

    Kuambiwa ukweli kunauma sana, lakini ndio dawa pekee inayofaa kutatua changamoto iliyopo katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kilimanjaro. Nakumbuka watu walifurahi hususani Wana CCM waliposikia Katibu wa Chama wakati huo Komredi Jonathan Mabhiya akiondoka baada ya kuongoza miaka takribani...
  10. K

    Hamasa kubwa kwa wananchi kujitokeza kupiga kura sanjari na zoezi la kuwaengua wagombea wa upinzani kwa fitina Je CCM inataka kuwaminisha nini Wadau

    Nimeshangazwa na hii style ya hiki chama Wanahamasisha sana watu kupiga kura Hali inayowafanya tuwaone kuwa wanataka kushindanishwa kwenye sanduku la kura Lakini ajabu ni kuwa wanawaengua washindani wao Tena kwa dhuluma tuu Sasa mie najiuliza na jibu nalitaka Hivi CCM wanataka...
  11. LGE2024 Uongozi wa CCM Dodoma wafanya vikao mfululizo Kujiweka sawa Uchaguzi serikali za mitaa

    Uongozi wa CCM Wilaya ya Dodoma Mjini chini ya Mwenyekiti Charles Mamba umeendelea na mikutano ya mfufulizo na mabalozi wote 2000 wa Jimbo la Dodoma Mjini katika kujiweka sawa kuelekea katika uchaguzi wa serikali wa mitaa ambapo leo kikao kimefanyika cha Mabalozi kutoka Kata ya Makutupora...
  12. R

    Kasimu Majaliwa akiteuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM ataweza kuendelea kuwa Waziri Mkuu?

    Kwa wataalamu wa siasa na mikakati ya kuwaweka pembeni watu ambao wana nguvu kisiasa nchni, je endapo Waziri Mkuu wa sasa atateuliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM atakuwa ameula au itakuwa njia ya kuzika ndoto zake kisiasa? Nini madhara ya mkakati wa kumteua kuwa Makamu Mwenyekiti? Ataweza...
  13. B

    Mwenyekiti Mbowe akiachia madaraka haitaleta madhara kama Mchungaji Msigwa alivyoamia CCM?

    Mimi binafsi napenda siasa za amani, siasa zinazochochea fikra pevu, maendeleo, utawala bora amani na upendo. Hivyo hata ktk comment zangu na nyuzi zangu najitanabaisha kama mtu wa namna hiyo. Hivyo basi sipendi nawala siungi mkono siasa za vurugu, mapigano, uchochezi, husuda, ulozi, kutekana...
  14. G

    Kuna kila sababu chadema kubadili mbinu za kukabiliana na ccm

    Chadema iingize wanachama wake ccm. Wanachama maarufu watangaze kuachana na chadema, kisha wapokelewe kwa shangwe na nderemo huko ccm. Wasiokuwa maarufu mamia kwa maelfu, wachukue kadi za ccm kimya kimya nchi nzima. Huko huko ndani ya ccm ndiko mabadiliko yatafutwe.
  15. Tufanye referendum ya mfumo wa vyama vingi

    Kwa upendeleo unaona onekana Sasa kwa chama Cha CCM na ubaguzi dhidi ya vyama vya upinzani, hasa kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa nashauri ya kwamba ni muda Sasa watanzania waulizwe Kama tuendelee na mfumo wa vyama vingi. Tunadanganyana kwamba tupo kwenye mfumo wa vyama vingi ilihali...
  16. PreGE2025 LGE2024 Vyama vya upinzani vijijenge kitaasisi na sio kusubiri uchaguzi na kuanza kuleta malalamiko

    Kumekuwa na Sintofahamu kuhusu mchakato wa baadhi ya vyama vya siasa kupata wawakilishi kuelekea uchaguzi wa serekali kuu na uchaguzi wa mwakani. Vyama vingi vya siasa vimekua vikilalamika wagombea wao kuenguliwa kwa kukosa sifa za kugombea kwenye Chaguzi hizo, japo madai haya bado...
  17. M

    Huu ujumbe amendika Waziri Kikwete je hajaona kama amekosea?

    Tarehe 21 mwezi wa 22? Leo tarehe 21?
  18. PreGE2025 LGE2024 Legacy ya Magufuli ya mwaka 2019 na 2020 kwenye uchaguzi itaendelea kutumika kama kitabu kwa watawala wa CCM

    Mkoa wa Dar es Salaam wenye mitaa 636 wamekata majina ya wagombea wa CHADEMA 571. Wamebaki wagombea 45 tuDar es salaam yenye wajumbe wa Serikali za mitaa 3,822 wamekata majina ya wagombea wa ujumbe kupitia CHADEMA 3711, wamebakia 111 tuWatendaji wa Kata na Mitaa wamepewa maelekezo ya kutowateua...
  19. LGE2024 Wanachofanya CCM na TAMISEMI ni ulevi mbaya sana wa madaraka

    Kwanini hawa watu hawataki kubadilika? Waliyofanya 2019 na 2020 kwao yalikuwa mazuri? Tanzania inatoka wapi na inaelekea wapi? Mambo haya yanachagizwa kwa kiasi kikubwa na aina ya uongozi uliopo. Kwani kina Mkapa na Kikwete walishindwa kufanya haya? Kwanini iwe sasa? Ni kwanini watu tunakosa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…