ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Ombi la wachimbaji wadogo kiomoni kwa mheshimiwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania, dr. Samia.

    Sisi wachimbaji wadogo kutokea mkoani Tanga wilaya ya Tanga kata ya Kiomoni mtaa wa Kiomoni, tunamuomba mheshimiwa raisi awaamrishe makamishna wa mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro waweze kutulipa fidia zetu, tumekua tukidai fidia zetu miaka na miaka kutokea mwaka 2021, tunasomesha watoto katika...
  2. LGE2024 Akina Baba na Akina Mama Ichagueni CCM, Hamtajuta Kuichagua CCM

    MBUNGE AMINA MZEE & TAUHIDA GALLOS: DODOMA MJINI ICHAGUENI CCM, HAMTAJUTA KUICHAGUA CCM Wabunge wa Viti Maalum (CCM), Mhe. Amina Ali Mzee na Mhe. Tauhida Gallos Nyimbo (MNEC) wamewasihi Wananchi wote wa Wilaya ya Dodoma Mjini kuchagua viongozi wanaotokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika...
  3. LGE2024 Abdul Nondo: ACT sio kama CCM hatuwezi kutoweka baada ya Uchaguzi

    Wakuu, Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo Taifa, Abdul Nondo, ameibua hoja muhimu kuhusu changamoto za maendeleo vijijini wakati wa kampeni za kuwanadi wagombea wa chama hicho katika kijiji cha Mwali, kata ya Nyachenda, jimbo la Kasulu Vijijini mkoani Kigoma. Soma Pia: Kigoma...
  4. LGE2024 CCM Itaheshimu ratiba ya mikutano kampeni Serikali za Mitaa

    CCM ITAHESHIMU RATIBA YA MIKUTANO KAMPENI SERIKALI ZA MITAA. CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wa Halmashauri Kuu(NEC) Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema Chama hicho katika kipindi chote Cha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kitaheshimu ratiba ya mikutano...
  5. C

    Siasa za Tanzania bila katiba mpya ni sawa na CCM kuumiliki upinzani

    Unajua inasikitisha sana, sijui wanasiasa wa upinzani wanajali zaidi ruzuku au kushika dora? Haya manyanyaso hayatakuja kuisha sababu wanaowatuma polisi kuwanyanyasa wapinzani ni makada wa CCM, hebu fikiri mkuu wa wilaya ni mkuu wa kamati ya ulinzi wa wilaya na RPC yuko chini yake na wote...
  6. LGE2024 Biteko: CCM hatuhitaji ushindi wa kubebwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, mkapige kura

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, ambaye pia ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka wananchi wasisahau safari iliyowafikisha katika nchi ya amani na maendeleo. Dkt. Biteko amesema hayo Novemba 22, 2024 katika wakati akizungumza kwenye mkutano...
  7. LGE2024 Sangu awataka Wananchi kuichagua CCM jimboni Kwela - Rukwa

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kwela Deus Sangu ametoa wito kwa wananchi kuendelea kumuunga mkono Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwachagua viongozi wa Serikali za Mitaa wa Chama Cha Mapinduzi. Sangu ametoa kauli...
  8. LGE2024 Manyara: TAKUKURU yatangaza kufanya Uchunguzi kwa Wagombea 3 wa CHADEMA na mgombea 1 wa CCM kwa madai ya rushwa!

    Wanaukumbi, Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Manyara, Bahati Stafu Haule, amesema kuwa taasisi hiyo inachunguza tuhuma nne zinazowahusu wagombea wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Vijiji. Kati ya wagombea hao, watatu wanatoka Chama cha Demokrasia na...
  9. LGE2024 Makamu Mwenyekiti wa ACT Bara: CCM imekuwa ni genge la wahalifu. Kazi pekee wanayoweza ni kuiba rasilimali za umma!

    Wanaukumbi, ACT imeendelea kutoa spana kwa chama tawala yaani CCM. Akiwa anazungumza kwenye kampeni Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Bara, Isihaka Mchinjita alitoa tuhuma kali dhidi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), akidai kuwa chama hicho kimegeuka kuwa genge la wahalifu linalojinufaisha na...
  10. LGE2024 Katibu Mkuu UWT: Sisi CCM hatujawai kudharau kura ya mwananchi, kushindwa ni mwiko

    Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27, 2024, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Suzan Kunambi amewataka wananchi wa kata ya Kilimani mkoani Dodoma kuacha mzaha katika upigaji kura ikiwa ni fursa kwao kuchagua kiongozi bora. Akizungumza na...
  11. LGE2024 CHADEMA Chunya wapania kuiondoa CCM madarakani

    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) @chadematzofficial jimbo la Lupa wilaya ya Chunya mkoani Mbeya kimezindua mikutano yake ya kampeni kwa ajili ya kuwanadi wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa, vitongoji na vijiji na kuwaomba wananchi kujitokeza...
  12. LGE2024 Mwenyekiti wa UVCCM: Msifanye makosa, chagueni CCM katika nafasi zote za Mitaa, Vijiji na Vitongoji

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mwanza, Cde. Seth Bernard Masalu, anawaomba wakazi wa Mwanza wote na watanzanania kujitokeza kwa wingi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji utakaofanyika Novemba 27, 2024 kwa Kuwachaguwa Wagombea wote wa Chama cha Mapinduzi katika nafasi zote...
  13. LGE2024 Aliyekuwa Mwenyekiti CCM, Kigoma atema cheche mbele ya Zitto Kabwe: Tumekwenda Jela kwasababu ya Matumbo yenu, miaka 10 nakokota matumbo yao

    Aliyekuwa Mwenyekiti CCM asimulia mazito aliyoyapitia akiwa CCM mbele ya Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa Ilalangulu, Kigoma akiwanadi Wagombea kulekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 27. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: Special Thread: Orodha ya...
  14. LGE2024 Msidanganyike, Pesa za TASAF si pesa za CCM

    Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Bara, Ester Thomas, ametoa onyo kali dhidi ya vitendo vya kuwahusisha wananchi wanaoiunga mkono ACT Wazalendo na madai ya kufutiwa msaada wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF). Akizungumza na wananchi wa kijiji cha Masewa, kata ya Masewa, jimbo la Bariadi...
  15. LGE2024 Dodoma: Sielewi mtu anawezaje kuangalia hizi picha zilizopostiwa na UVCCM huko Instagram na bado akaipigia kura CCM

    Wakuu, Nadhani kwa picha hizi zilizopostiwa na UVCCM huko Instagram, huu Uchaguzi ulitakiwa uwe ushaisha. Hii nchi ni maskini. Huyu ni Katibu wa UVCCM Kondoa, Shamsele Yesaya akiongea na Wananchi wa Vitongoji vya Eshkesh na Getakul Kata ya Itaswi Wilaya ya Kondoa. Kama mnavyoona hapo hao...
  16. LGE2024 Katibu mwenezi Arusha: Wao wanaokoteza wagombea, CCM ina demokrasia

    Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Arusha, Antony Maswi amewaasa wagombea wa nafasi ya uenyekiti wa vijiji/mitaa na vitongoji kuzingatia demokrasia na kutumia lugha za staha wakati wakiendelea na kampeni zao. Soma: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania...
  17. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mtanda: Ajibu shutma vurugu za Simba SC, CCM Kirumba, "Sikuingia Uwanjani"

    Kufuatia sakata lililotokea Mwanza, na Uongozi wa klabu ya Simba kutoa taarifa ya kulaani vikali vitendo visivyo vya kiungwana vilivyodaiwa kufanywa na viongozi wa timu ya Pamba Jiji FC kwa kushirikiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, pamoja na maafisa wa polisi. Soma, Pia: + Vurugu...
  18. LGE2024 Mwenyekiti wa CCM Mbeya: Changamoto ya maji inaenda kuisha Jijini Mbeya, tunaleta mradi wa bilioni 117

    Mwenyekiti wa CCM Mbeya amesema changamoto ya maji inaenda kuisha Jijini Mbeya ifikapo mwakani (2025), kutokana na kupelekwa kwa mradi wa zaidi ya TSh. bilioni 117. Ametoa kauli hiyo katika uzinduzi wa Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Pia, Soma: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya...
  19. FT: Pamba Jiji 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | CCM Kirumba Stadium | 22.11.2024

    Vinara wa Ligi Kuu ya NBC Mnyama Mkubwa Mwituni, Simba Sports leo watashuka dimbani kupambana dhidi ya wenyeji wao Pamba Jiji katika mchezo utakaopigwa katika dimba la CCM Kirumba huko jijini Mwanza. Pamba Jiji ataweza kumzuia mnyama? Je, Simba ataweza kuendeleza wimbi la ushindi? Wana Simba...
  20. LGE2024 Mlezi CCM, Morogoro: Viongozi wao wakuu hawaelewani, hawataweza kutatua kero za wananchi

    Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro ambaye pia ni Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) Jana akizungumza kwenye Mkutano wa Hadhara wa Ufunguzi wa kampeni ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa/Vijiji katika Uwanja wa Chamwino Wilaya ya Morogoro...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…