ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. J

    Mchungaji Msigwa: Nimejifafakari, nimetafiti na nimechunguza na kujiridhisha kuwa Tanzania iko salama chini ya Rais Samia na CCM haina mbadala!

    Baada ya mkeka wa teuzi Kutoka mchungaji Msigwa amesema ana Imani kubwa sana na Rais Samia na kwamba hajutii kuhamia CCM kwani haina mbadala. “Nimechunguza, Nimetafiti, Nimetafakari, Nimelingalisha, Nimetofautisha, Nimejiridhisha na kutoka na hitimisho kuwa Tanzania iko salama mikononi mwa CCM...
  2. PreGE2025 Wana CHADEMA Waendelea Kujiunga na CCM Ngara

    Viongozi na wanachama 6 wa CHADEMA Ngazi ya Kata ya Muganza akiwemo Tumain Petro, Mwenyekiti BAVICHA wa Sasa wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi wakati wa tafrija ya Kusherehekea kukamirika kwa ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Kata ya Nyamagoma. Sherehe hiyo ilidhaminiwa na Mhe. Ndaisaba George...
  3. CCM adui wa demokrasia na maendeleo yake

    Kutokukubaliana na maamuzi ya wananchi ya kumchagua kiongozi wanayemtaka ni sawa na kuzuia maendeleo. Wagombea wanapojinadi, wananchi hupata nafasi kubwa ya kuchagua kiongozi wanayeamini ataleta maendeleo. Hata hivyo, CCM mara nyingi huonyesha utayari wa kupinga maamuzi ya wananchi kwa...
  4. Ni kwanini ccm wana upendo mkubwa kwa Freeman Aikaeli Mbowe?

    Wasalaam Nimekua nashangaa sana kila kukicha viongozi wengi wa ccm wanataka mbowe awe mwenyekiti wa chadema wa kudumu. Najiuliza tu huu ni upendo wa dhati au ni mahaba? Je huenda ni kweli zile tetesi kwamba mbowe ni pandikizi la ccm kuidhoofisha chadema ili isishike dola? Maana kuna kampeni...
  5. LGE2024 Matokeo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yakoje mtaani kwako? Nani Kashinda?

    Wakuu, Tumemaliza kupiga kura jana na matokeo yaanza kuingia jana ile ile kwenye baadhi ya maeneo. Hali ikoje mtaani kwako? CHAMA gani kimeshinda? PIA SOMA - LIVE - LGE2024 - Special Thread: Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
  6. Polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele je wewe mwana jamiiforum unaliona hilo aliloliona humphrey polepole likitimia?

    Mwanasiasa na balozi polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele ikiwa strong and firm je hii ajali ya wabunge imetoa majibu kwa utabiri wa polepole?
  7. CCM wanaishi kwa Uongo, Na hii ndo laana Kuu itakayoliandama hili Taifa milele CCM likiendelea kuwa chini ya CCM

    Kuna masuala yapo kiroho. Kuna mambo yanatupata leo kutokana na misingi iliyowekwa kiroho ambayo bila kuondoa mzizi mkuu kamwe hatutakuja kupata suluhisho. CCM wanaishi kwa uongo na hii ndo dhambi kubwa itakayoendelea kulitesa hili Taifa hadi pale yatakapotokea mabadiliko kwa CCM kuondoka...
  8. T

    Naapa kuachana na CCM

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza mimi Raia mtanzania ninaapa kutokuiunga mkono CCM chini ya Samia kwa kutukosesha mikopo wanafunzi wa vyuoni na wengine tumeishafika chuo tukitegemea tungepata walau boom itusaidie maisha ya chuo, kwa maandamano yoyote ya kuipinga serikali nitaunga...
  9. Ni Bora turudie mfumo wa chama kimoja tu (CCM) basi!

    Ni Bora tubakie na chama kimoja ili tupate umakini katika kuchagua aina ya viongozi, hii attention inayopewa mfumo wa vyama vingi, inaondoa mkazo kwenye kuchakata aina za viongozi tunaowachagua ushindani wa kweli inaweza kuwa na nguvu zaidi kwenye chama kimoja kuliko kingine, na pia hakutakua na...
  10. KERO CCM na Serikali yake wameharibu sana Miji ya Tanzania, na imebakia kuwa magulio, miji imejaa Frame hadi kwenye makazi ya watu. Miji ni michafu sana

    Miji ya Tanzania kitambo back ilikuwa mizuri sana, kabla hawa wajinga CCM hawajaingia hadi kwenye mipango miji. Angalia mji wa mishi ulivyo kuwa msafi kipindi fulani. Now moshi ni chafu imejaaa wachuuzi kila kona, sehemu za wazi zimegeuzwa kuwa magulio ya wamachinga au stendi za Bajaji. Dar...
  11. CCM na Chadema VS Yanga na Simba: Ukisikia yala ujue imempata, alielenga ana shabaha hajafanya makosa

    Habari zenu wanaJF wenzangu Leo mimi kama mtanzania mwenye haki ya kutoa maoni, nimekuja kutoa maoni yangu na kuweka sawa historia kuhusiana na swala la michezo pamoja na siasa zetu hapa nchini. Kabla ya kuendelea na mada yangu, naomba nikiri tu kwamba kwa sasa michezo imekuwa ikipewa...
  12. Jukwaa la Siasa Tanzania: Kwa Nini Vijana Wanajihisi Kusalitiwa na CHADEMA?

    Nakumbuka mwaka 2015 jijini Dar es Salaam, kipindi ambacho kishindo cha kampeni za CHADEMA kilikuwa kikubwa. Kati ya matukio yaliyonivutia ni kundi kubwa la watu nililoliona maeneo ya Magomeni likielekea Msimbazi kuhudhuria mikutano ya chama. Ingawa wakati huo sikuwa na mshikamano wa karibu na...
  13. Hawa wakulima wa Dar ndio wanalima wapi, mjini hakuna shamba CCM tunafeli wapi?

    Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Jiji la Dar Es salaam Ndugu Elihuruma Mabelya amekabidhi pikipiki 25 kwa Maafisa ugani wa Kilimo Jijini Dar Es salaam, akihimiza kutumia pikipiki hizo katika kuleta tija kwenye sekta hiyo muhimu kwa uchumi wa Tanzania. Leo Ijumaa Disemba 06, 2024 wakati...
  14. G

    LGE2024 Rais mstaafu, mzee Kikwete naye ajitokeze kutoa maoni yake kuhusu ushindi wa ccm wa 99% ktk uchaguzi wa S/MITAA 2024

    Tumemsikia waziri mkuu mstaafu jaji Joseph Sinde Warioba, hakufurahishwa na mazonge yaliyofanywa na ccm ktk uchaguzi wa S/MITAA. Na akenda mbali zaidi aklaani tabia ya ccm kutumia vyombo vya dola ktk chaguzi. Tumemsikia spika mstaafu mzee Pius Msekwa hakufurahishwa na ushindi wa 99% ambao ccm...
  15. DOKEZO Wizi wa kura unaua morali ya wapiga kura

    Wale wezi wa kura wasioheshimu sanduku la kura,wanaishi kwa mbeleko Msijione washindi kwa wizi wa kura kimsingi mnaua morali ya wapiga kura kushiriki katika chaguzi mbalimbali hapa nchini. Imefikia hatua wanachi hawataki kujitokeza kwenye mikutano na wala hawataki tu kusikia habari za uchaguzi...
  16. Malecela apongeza uimara wa CCM na Serikali zake kutumikia Watanzania

    Ataka uzalendo zaidi sambamba na utekelezaji wa Ilani ya CCM Na Mwandishi Maalum, Dar es Salaam Makamu wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee John Malecela, amewataka wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuendelea kuwa na moyo wa kizalendo na kujituma kwa ajili ya maslahi ya taifa...
  17. LGE2024 Arumeru: Wananchi wamkataa Mwenyekiti wao mpya wa CCM, inadaiwa kampiga rungu raia na kumvunja mkono

    Wananchi wa kata ya kiutu wilaya ya Arumeru, Mkoani Arusha wameandamana na kufanya kikao na Diwani wao wa kata hiyo Malaki Marambo Kwa lengo la kushinikiza kumkataa Mwenyekiti wao Hashim Saitabao aliyeshinda uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika Novemba 27, 2024 Chanzo Cha wananchi hao...
  18. B

    Mapya sakata la Lusako: Polisi wafunga reply kwenye account yao

    Kwenye taarifa ya polisi kuhusu tetesi za kutekwa kwa Alphonce LUSAKO ,Account ya Twitter ya polisi Imefungwa reply. Cha ajabu wale wote wenye vina saba vya CCM wameweza reply kwa kusifia tu.
  19. Fungeni CCTV Camera kwenye maeneo yenu ili kujilinda na kulinda wengine

    Ukipanda basi ulizia Lina CCTV camera na inafanya kazi? Vituo vya kujazia mafuta tunaomba fungeni CCTV maana zitasaidia Sana mbele ya safari. Kama nyumba yako iko barabarani funga CCTV maana unaweza kuokoa maisha ya watu. Kwenye bar, mgahawa, hoteli, mtaa wenye maduka na shughuli nyingi...
  20. Tetesi: Viongozi wengi waandamizi wa CHADEMA wakubali yaishe kwa amani, wengi wao wanatarajiwa kutimkia CCM kuliko vyama vingine vya siasa

    Unadhani ni nini kimewavutia hata wakuamua kukimbilia zaidi CCM kuliko vyama vingine vya siasa? Ni ukata wa fedha wa kutisha ulioko ndani ya vyama hivyo vya siasa nchini au ni ufinyu wa fursa za kazi na nafasi ya kubaki relevant kwenye political scene na angalau kula maisha kidogo na wana CCM...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…