ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Uchaguzi wa mwaka huu ni Mungu dhidi ya CCM, mpinzani mkuu wa CCM mwaka huu ni Mungu mwenyewe

    Huu si mwaka wa kushindana kwa namna ilivyozoeleka ,watu hawataki kushindana kwa hoja wala kukosolewa kama ilivyokuwa zamani ! Mamlaka ziko tayari kwa ajili ya kuilinda mamlaka ,ukiwa mgombea unatafsiriwa kama gaidi au mhaini ,wanataka ukiwa mpinzani wao wakufundishe na jinsi ya kuongea, nini...
  2. D

    ccm hata wakishinda uchaguzi, maana watashinda, hali imekuwa mbaya reputation imechafuka kabisa

    I will be short ccm wafanye tu reform, huko mbele mambo yatakuwa magumu zaidi, kila siku nakutana na bango jipya online. tanzania amani amna this is not good, once you allow external interference, you will cause more chaos and likely will cause more opposition funding ( divide and...
  3. PreGE2025 Ni wakati muafaka sasa kwa WanaCCM kuonyesha nguvu yao kwa maslahi ya Taifa

    Kazi ya Chama cha CCM ni kuisimamia serikali yao itekeleze ilani yao ya uchaguzi. Mpaka sasa naiona serikali yao ikituletea Xenophobia na nchi majirani zetu, vikwazo vya kiuchumi kutoka ulaya na marekani na mgawanyiko mkubwa ndani ya nchi kwa itikadi ya vyama kiasi cha kutishia amani na Umoja...
  4. Kwa hiyo Mkutano ujao, CCM mtakua mnamjadili Bishop Gwajima au?

    Au mtamuita kwenye Kamati ya Nidhamu?. Gwajima ni mzuri akiwa anashambulia kutokea pembeni, ukweli ni kua Kwa Akili aliyonayo Gwajima, Hakustahili kabisa kua mwanaccm, alipaswa kua Mwanachadema . Gwajima kawafutulia mbali CHAUMA, NJAA 55 NA GENGE LAO LA KITAHIRA LINALOONGOZWA NA WAHUNI WALIOKO...
  5. S

    Kwenye Mkutano Mkuu wa CCM wa tarehe 29- 30, 2025, kuna jambo linakwenda kutokea na lisipotokea, basi liko mbioni

    Kuna taarifa niliona mahali kuwa CCM watakuwa ns Mkutan Mkuu tarehe 29 na 30 mwezi huu wa May. Kama taarifa hii ni usahihi (niliipata kwa usahihi ) basi kuna jambo kubwa linaloweza kwenda kutokea ambalo linaweza kupindua maamuzi fulani makubwa ya awali. Niweke wazi kuww Pess ya Gwajima ya leo...
  6. M

    Nguvu na mamlaka aliyonayo Mwenyekiti wa CCM, iliogopeka kipindi cha Nyerere tu, kwa sasa wana CCM ni kama hawakubali kuburuzwa?

    Unajua..! Hapa lazima tukubaliane Ndani ya CCM si wote ni wale wa ndiyo mzee, hata mambo yanapoharibika ni ndiyo mzee Idadi ya wanaohoji mambo yanapoharibika inazidi kuongezeka ndani ya ccm Mpaka July hapo, pataeleweka tu
  7. Wazee wetu wa CCM tunaomba mumfuate na kumsihi rais atoe kauli ya kukabidhi kijiti kwa mwingine ili taifa lipone

    Tunampenda ila itoshe kusema ahsante . Kuwa kiongozi nikuwa sauti ya Mungu , naona sauti ya umungu kwake nikama imekaushwa na vilio vya kila pembe ya Tanzania. Sisi kama wanaccm kunawakati huwa tunajilazimisha tu tuwe na vichwa ngumu pale tunapowaona wapinzani wakilia ,ila ukweli hata nasi...
  8. PreGE2025 Makalla (CCM): Mzee Wasira hajakata moto, hana jambo lolote ni ratiba tu ya mapumziko

    Katibu Mwenezi, itikadi na mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Amos Makalla akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam amejibu kuhusu ukimya wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Masato Wasira.
  9. Kinachoitwa "AMANI" ni janja ya Wahuni wa CCM na DOLA kuendelea kuwafanya Watanzania kua Masikini, Waoga huku wao Wakijitajirisha na kuifilisi Nchi

    Si Samia na CCM yake Wala IGP , Hawa wahuni wore ni Mafisadi ,Mafisadi wa kutupwa !. Mmeona JUZI, IGP anakua na balance CRDB zaidi ya 1 Bilioni . hapohapo utamsikia muhuni huyu anakuja kukuambia "Amani Amani Amani watanzania tulinde Amani". Unaimbishwa Amani yeye Bank ana Bilioni Kadhaaa...
  10. Serikali ya CCM imeji dhalilisha ndani ya Jumuia ya Afrika Mashariki na dunia nzima kwa 100%

    https://youtu.be/8KZulT0i1nk?si=OmucN8PMwbOADTlj Kwa unyama huu waliotendewa Wanasheria na Wanaharakati toka nchi za jirani zetu Kenya na Uganda kimeharibu kabisa uhusiano wa kidplomasia. Tujiulize: Kulikuwa na ulazima gani wa kuwakamata, kuwatesa na kuwa dhaliilisha kingono baadhi yao? Mtu ni...
  11. Kichaka cha Amani chini ya Serikali ya CCM… yafaa kufyekwa- Miguna

    Kila kitu Utasikia wasituvurugie amani. Hiki Kichaka wakuu kinatakiwa kuondolewa. Hii sio amani bali ni Ulaji na ufisadi kwa utulivu.
  12. Huenda Mama amerogwa na Wapinzani wake kisiasa ndani ya CCM? Haya anayofanya hata wababe kama wakina San Abacha hawakufanya

    Ukitafakari hili la kubakwa kwa Mwanaharakati wa Uganda ni swala ambalo sio la kawaida hata Magu na Ubabe wake asingeruhusu, hata Kagame na Ubabe wake ambao Mama hajafikia hata robo asingeruhusu huu uhuni. Muhuni kama San Abacha hakufikia hizi levo za Mama anazo fanya hizi ni hazijawa exist...
  13. Je, Kiongozi wa CCM ana mamlaka ya kufukuza kazi mtumishi wa Umma?

    Inapaswa tumuelewe Lissu anaposema No Reform no Election.
  14. Martin Masese awaumbua CCM na CHAUMMA waliodai kuibomoa CHADEMA, takwimu zasema vinginevyo kwa walioondoka

    Katika kile kinachoonekana kuwa ni jaribio la kutangaza ushindi wa kisiasa, baadhi ya wanachama wa CCM wametamba kwamba wamefanikiwa kuibomoa CHADEMA. Hata hivyo, takwimu halisi za mwelekeo wa uondokaji wa viongozi na wajumbe ndani ya chama hicho kikuu cha upinzani zinaonyesha picha tofauti...
  15. Kuna Mkakati wa Kijasusi wa CHADEMA mkakati wa siri Uliowekwa kati ya CHADEMA na CHAUMMA na CCM Inafanya Makosa Kutokujua Hilo, Japo Wanaambiwa..

    Katika miezi na siku za karibuni, uwanja wa kisiasa nchini Tanzania umeendelea kubadilika kwa kasi, huku vyama vya upinzani vikionyesha mabadiliko ya kimkakati ambayo yanaweza kubeba athari kubwa kwa mustakabali wa demokrasia nchini. Mojawapo ya mwenendo unaoibua maswali mengi ni Uhamaji wa Kasi...
  16. PreGE2025 CCM Mbeya mjini yapongeza utekelezaji wa mradi wa barabara Ilomba - Machinjioni

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbeya Mjini kimeonesha kuridhishwa na kasi ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara inayounganisha maeneo ya Ilomba na Machinjioni, chini ya mradi wa TACTIC awamu ya kwanza. Akizungumza wakati wa ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi huo, Mwenyekiti wa...
  17. PreGE2025 Wasira: Hali ya kisiasa Tanzania ni Tulivu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema hali ya kisiasa nchini ni tulivu, ambako amemjibu mwanazuoni mmoja aliedai kuwa hali ya siasa ni mbaya. Mkongwe huyo wa siasa nchini amesema mwanazuoni huyo anachanganya hali mbaya ya chama chake na Tanzania kwa...
  18. PreGE2025 Makalla: CCM kuzindua Ilani mpya ya 2025–2030 na kufanya marekebisho ya Katiba katika Mkutano Mkuu Maalumu Mei 29–30

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla, leo tarehe 17 Mei 2025 amezungumza na waandishi wa habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. Katika mkutano huo na waandishi wa habari, CPA Makalla ameeleza kuwa Chama Cha...
  19. N

    CHADEMA kuelekeza wafuasi wao kuwapigia CCM kura Uchaguzi ujao!

    Mkakati unaendelea kupangwa hivyo kwa maana kuwa CHADEMA wanaona ni bora CCM waibuke na ushindi wa zaidi ya 95% ili kujustify hoja yao ya CCM kujipachika uongozini. Hili litazidisha vuguvugu kuonesha kuwa Uchaguzi haukuwa wa huru na wa haki hata kama Tume na Wasimamizi wa Uchaguzi wataamua...
  20. K

    Umaarufu wa Tanzania na CCM aliotuachia Magufuri, mama anaushusha kwa kasi kubwa

    Niseme kwamba kalibu kila mtu alimpenda Magufuri watu na raia wa inje walimpenda pia,kila mtu huku inje alikuwa akikuona umetoka Tanzania atataka kukuuliza habari za magufuri,aliipaisha kwelikweli Tanzania na CCM Lakini sasa mama anaiharibia inchi,tunavuma kwa mabaya,tunatia aibu,tunatukanwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…