ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Watu walipotea au kufa kwa utata chini ya utawala wa CCM toka 2010-2026

    Wote Hawa ni either waliuwawa, walipotezwa au kufanyiwa umafia toka mwaka 2010 1: Mwangosi 2: Deo 3: Akwilina 4: Ben Saanane 5: Lwejabe 6: Mdude 7: Mawazo 8: Pole pole 9:Mhagama 10: Soka 11: Ndungai 12: Lowassa 13: Mahinga 14: Kijazi 15: Mfugale 16: Mfugale 17: Membe 18: Magufuli Hawa wote...
  2. T

    Kwa ushahidi wa mh. Heche, naamini ukiwa CCM unabadilika na kuwa si binadamu kamili

    Ndugu wana jamiiforum natumaini mmekuwa mnafuatilia ushahidi wa Mh. Heche. Yaani nimetokea kuwaogopa sana CCM. Na kujiuliza maswali mengi, kama kweli ni binadamu kamili au unapokuwa CCM unageuka na kuwa katili kiasi hicho. Ukatili wa CCM hata akina Charles Taylor hawakufikia kiwango hicho...
  3. Tumseme vibaya Magufuli kwa yote na mimi sijawahi kua mufuasi wake ila ukweli ni kua Magufuli hakua anaupenda sana Urais kama Samia

    Magufuli alikua na mabaya yake, Naomba hilo niweke kumbukumbu sawa, ila Magufuli hakuwahi deal na mtu anaeonyesha kuutaka urais mara nyingi alinukuliwa akisema Urais amepewa dhamana ngumu na kazi kubwa sana hii ilionyesha kile kitu hakua na tamaa nacho hata kidogo,..na ilionyesha alikua...
  4. S

    Sasa tumeelewa Nchimbi alisema Watanzania tupiganie Katiba baada ya kujua CCM wanatumia Octoba 29 kama kizuizi cha katiba mpya, wakamfukuza!

    Maneno ya Wasira yameonyesha mambo matatu makubwa sana ambayo bila shaka si Watanzania walielewa mpango huu muovu wa CCM; CCM hawako tayari Tanzania iwe na Katiba Mpya CCM waliamua kutumia kisingizio cha Octoba 29 kama kizuizi cha kuwa na katiba mpya CCM waliamua kumfukuza Nchimbi kwa sababu...
  5. R

    Prof. Tibaijuka: Mimi ni mtu wa CCM nasikia Vijana wananishughulikia

    Akizungumza Septemba 7, 2026 kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Profesa Anna Tibaijuka, amesisitiza kuwa ataendelea kusema ukweli "Mimi nimekuja hapa kusema ukweli, kwa sababu sasa tuelewe mpasuko unatoka wapi...
  6. Kauli za Wasira zimethibitisha kuwa CCM haitaki maridhiano

    Mkutano wa Kitaifa wa Wadau wa Kutafakari Hali ya Siasa nchini uliofanyika Dar es Salaam jana, Septemba 8, 2026, ulikuwa na matarajio ya kuwa jukwaa la kutafuta majibu ya mgogoro wa kisiasa unaoikabili Tanzania. Lakini badala ya kuibua picha ya chama tawala kilicho tayari kusikiliza hoja za...
  7. CCM imeendelea kua talk of the day katika kila kongamano la kisiasa nchini.

    Ni wazi, bila CCM mambo hayanogi. Halafu muhimu zaidi sasa, kila wawakilishi wa CCM wakipata fursa ya kuzungumza, nyoyo za hadhira na wadau wote wa kongamano husika zinaongoka na kutakasika kabisa. Kila mdau katika kongamano anatamani kuskia kiongozi wa CCM atasema nini. Na viongozi...
  8. Prof. Elgidius Ichumbaki: CCM imeshindwa kuisimamia Serikali! Wassira ajibu kwa porojo.

    https://www.facebook.com/share/v/19BrKdjimT/ Kuna clip inatembea ikimwonyesha Prof Ichumbaki akieleza kile wananchi wengi wamekuwa wakisema , kuwa CCM ya sasa imeshindwa kuisimamia Serikali, na Serikali inafanya mambo kinyume na matakwa ya wananchi. This is serious. CCM sasa ni Idara ya...
  9. Ujumbe kwa CCM

    Ifike hatua muanze kuongoza wananchi sio kutawala. Kutawala ni kwa mkoloni. Ifike hatua musijifanye jeshi . Ninyi ni Chama cha siasa. Munatumia majeshi kufanya kazi ya siasa. Na hii itaighalimu nchi. Utulivu unapotea. Fanyeni fair play kama yanga na simba Ili keki ya nchi tufaidi sote...
  10. Mashahidi wa Lisu ni kama vile wanamsagia kunguni zaidi tu mwenyekiti wao asichomoke alikonasa

    Huenda wanalenga kufaidi fursa walizozoona ndani ya chadema na kuzifurahia kwa uhuru zaidi , hasa mwenyekiti wao taifa akiwa hanged up. Kwasababu, hawamtetei kabisa mwenyekiti wao, ukifuatilia vizuri wanachoeleza mbele ya majaji. Inaonyesha ni kama vile walijipanga kumsagia kunguni vizuri...
  11. K

    Wabunge wa CCM, Mawaziri, Askari polisi, mawakili na wanasheria wa serikali na viongozi wengine wa kiserikali; Jifunzeni kwa Hamis Kingwangwala

    Ndugu Hamisi Kingwangwala ni somo tosha kwa wabunge wa ccm kwasababu aliwahi kuwa mbunge; Ni darasa kwa mawaziri wa sasa kwasababu aliwahi kuwa waziri, Ni elimu inayoishi kwa kila kiongozi wa serikali anayedhani nafasi aliyonayo ataishi nayo milele, Ni fundisho kwa wote wanaodhani kwamba...
  12. R

    Mwabukusi: CCM ishauri Serikali ifute kesi zote zenye viashiria vya kisiasa kama hatua ya kwanza ya maridhiano

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniphace Mwabukusi, akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari Hali ya Kisiasa nchini ulioandaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), ameeleza kuwa kutoridhishwa kwa wananchi na hali ya kidemokrasia na...
  13. R

    Wasira: Hakuna aliyesema kwa niaba ya wananchi akaondolewa, CCM si Malaika

    Akizungumza leo Septemba 8, 2026, kwenye Mkutano wa Kitaifa wa Kutafakari hali ya Kisiasa nchini, uliondaliwa na Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), STephen Wasira, amesema "Sasa, nimjibu bwana wa UDASA. Maana bwana wa UDASA ametuonea kidogo...
  14. Polisi mnashinikizwa na CCM kubambikia watu kesi: Ushahidi huu hapa

    Jana aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Tabora Paul Chacha alikabidhi ofisi kwa Mkuu mpya wa mkoa huo Juma Homela. Moja Kati ya mambo muhimu aliyomtahadharisha ni tukio lililowahi kumtokea yeye la kutongozwa kwa njia ya simu na binti aliyemtaja Kwa jina moja la Sophia. Akifafanua Jinsi alivyolimaliza...
  15. CCM mnamtafuta Gorbachev wenu?

    Tangu tupate uhuru tumesema sisi tunajenga nchi ya ujamaa na kujitegemea, na hatukuwahi kusema kuwa sasa tumeachana na ujamaa na kujitegemea tunageukia ubepari. Tunataka kila Rais wetu ajue hivyo. Ujamaa una misingi yake na ubepari una sura na misingi yake. Mfano, kuchukua ardhi iliyoko kwenye...
  16. OMO anaposema kuwa Unguja hawakupewa Jimbo hata moja anamaanisha nini? Anabariki jinsi CCM wanavyogawa Majimbo kwenye uchaguzi ....!!?

    Nimemsikia OMO anaongea leo kwenye mkutano. Amedai kuwa Pemba walipewa majimbo Manne na Unguja hawakupewa hata jimbo moja. Je, anataka kukubaliana kuwa haya majimbo sasa yanatolewa kwa hisani ya CCM ama? Kwa jinsi alivyoongea ni kama vile anaomba hisani kwa CCM badala ya kudai haki yao.
  17. Total Political Dominance: Je, ni rahisi kushindana na CCM?

    Habari JF , Kwa kuangalia muundo wa Katiba ya sasa na mapungufu yake , Rais akiwa pia Mwenyekiti wa CCM ambayo ni chama tawala , akiwa na mamlaka mbalimbali ya kikatiba na kiutendaji, hoja inajitokeza: je, mfumo huu hauleti hali ya “Total Political Dominance”? Unapounganisha mamlaka ya Rais...
  18. M

    Kwa mzaha mzaha heunda Mzee Warioba akapigwa kipapayi. CCM mtandao ni watu wabaya sana

    Wakishindwa kukuteka kinachofuata ni kukupiga klpapayi Hawa jamaaa wana mbinu nyingi sana za kuwamaliza watu wanaopinga ufisadi wao. Option ya kwanza huwa sumu, ya pili huwa kuteka na mwisho kabisa ni kupiga kipapayu.
  19. Kwa majibu haya Kihongosi, CCM ina wakati mgumu mbele ya Watanzania

    Nimemsikiliza Katibu wa Itikadi, uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenan Kihongosi akihojiwa na mtangazaji Edwin Odemba Septemba 5, 2026 na kubaini kuwa, CCM ina wakati mgumu kujibu maswali magumu ya Watanzania kutokana na hali ya siasa inavyoendelea nchini. Maswali ya Odemba yalijikita katika uchaguzi...
  20. Kila nikifikiria vile viongozi wa CCM watakavyokuwa wanaburuzwa na kupewa kesi tofautitofauti kuanzia 2035, huwa nachoka.

    Kila nikijaribu kwenda mbele ya muda na kuangalia yatakayokuwa yanaendelea huwa nachoka! Naona, viongozi wa sisiemu wakiburuzwa sana, kupewa kesi za uhaini kwa sana n.k. Ama kwa hakika kutesana ni kwa zamu!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…