ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Baraza la Wazazi CCM, Kahama: Midoli inadhalilisha Wanawake, inachochea mmonyoko wa maadili katika Jamii

    Baraza la Wazazi la Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga limeishauri Serikali kutoa mwongozo wa namna bora ya matangazo ya biashara za nguo za ndani za wanawake kwa kutumia midoli ambayo imetajwa kuchochea mmonyoko wa maadili katika Jamii. Ushauri huo umetolewa na Baadhi...
  2. Kuna mpasuko mkubwa kwa Wanachama wa CCM . Makundi yameibuka na msuguano mkubwa juu ya kupata wagombea ubunge na udiwani

    Sasa hivi kila jimbo la uchaguzi wanaCCM wanavutana nani awe Mbunge wao. Vijembe na mikwaruzano imeanza kutokea WanaCCM watauana safari hii sababu ya ubunge na udiwani.
  3. S

    PreGE2025 Ado Shaibu akiri anawaogopa CCM na vyombo vya dola watawaibia kura zao

    Wakati akijibu alipoulizwa na mtumiaji mmoja wa X kuhusu operesheni yao ya #lindakura kwamba wanaogopa nani ataiiba alijibu; "CCM na vyombo vya dola! Oktoba"
  4. S

    Tulia na CCM kama mna busara na hamjajisahau sana mnapaswa kujiuliza kwa nini Watanzania wanafurahia uamuzi wa Mahakama juu ya kuwashitaki viongozi

    Hivi juzi Mahakama ilitoa uamuzi kuhusi sheria iliyopitishwa na Bunge kuweka kinga kwa baadhi ya viongozi kushitakiwa kutokana na mambo wanayotenda wakiwa viongozi wa Taifa. Uamuzi huu wa Mahakama umewafanya Watanzania wengi kushangilia sana. Sasa jambo la kushangaza ni pale Spika wa Bunge...
  5. Kanuni mpya za kupata mgombea wa ubunge CCM ni kilio na kusaga meno kwa mawaziri na wabunge waliokaa bungeni muda mrefu

    Kipindi cha nyuma kumpata mgombea ubunge wa Jimbo kupitia CCM ilikuwa inahusisha wajumbe wachache, hii ilitoa mwanya Kwa wenye Hela, mawaziri na wabunge wazoefu kuhonga wajumbe. Kanuni mpya za CCM wajumbe wa kupiga kura za kumpata mgombea wa ubunge wa CCM idadi Yao imeongezwa,unakuta jimbo Moja...
  6. chanzo kikuu cha ushindi wa kishindo wa CCM kwenye chaguzi ni maendeleo yanayo onekana kwa wanainchi

    Na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ndio hasa dira na formula inayotumika kuwaletea waTanzania maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi. Tabia ya CCM kuahidi wananchi maendeleo kwa maneno na kutekeleza ahadi hizo kwa vitendo, weledi na uaminifu mkubwa, kumewajengea imani kubwa waTanzania na...
  7. Uswahiba baina ya Yanga na CCM unatuathiri mnoo sisi wana Simba

    Juhudi zozote za Simba kutaka kuipiku Yanga huenda zikawa ni mbio za sakafuni kwa sababu tu ya uswahiba uliopo baina Yanga na CCM. Kuna namna mbele ya macho ya watawala wa kiCCM inaonekana ni fedheha kubwa pale ambapo Yanga inapozidiwa kimpira na Simba. Kiburi chote cha Yanga kususia derby ya...
  8. Debora Tluway: Jimbo la Nsimbo CCM na Jumuiya Zake Tuko Salama

    Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Debora Tluway amewataka Wananchi kuendelea kuendelea kujiandaa Kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuhakikisha wanakipa Chama Cha Mapinduzi kura za kishindo. Ameyasema hayo wakati wa mkutano wa hadhara...
  9. TRA na Tume ya Madini tunaomba uthibitisho/ushahidi wa kodi ya Bilion 42 iliyolipwa na Mgodi wa Makaa ya Mawe wa CCM uliopo Mkoani Ruvuma.

    Katika sherehe ya Uzinduzi wa Ujenzi wa Jengo la Makao Makuu Mapya ya CCM yanayojengwa Mkoani Dodoma, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Emmanuel Nchimbi alisikika akisema Kampuni yao ya JITEGEMEE Holdings inayochimba na kuuza madini ya Makaa ya Mawe Mkoani Ruvuma imelipa kodi kiasi cha Shilingi BIlioni...
  10. Serikali iko Kimya, Watanzania walioko IRAN na ISRAEL hawajui Hatima yao!!

    Mpaka Muda huu, Si Msemaji wa CCM Wala Wizara ya Mambo ya Nje imetoa neno !!! Ma CCM Huwa mpaka yashituliwe Wakuu!!. Hapo Sasa UTASHANGAA yanakuja na Barua ,inatarehe ya nyuma huko, kujifanya Et "Tulitoa Tahadhari Mapema". Hatuna viongozi, tuna wahuni wabinafsi tu !!.
  11. Watanzania wanawapenda Wapalestina na waisraeli kuliko watanzania wenzao?

    Kuna watu wakisikia Mpalestina/muisrael kauawa huwa wanatamani kulipiza kisasi papo hapo. Lakini watanzania hao hao kina Josephat Gwajima ama Sheikh Ponda Issa Ponda wanapotoa orodha ya watu waliotekwa, kuuawa au kupotea, huoni wakiwa na hasira kama hizo. Ina maana watanzania wanathamini zaidi...
  12. Kama ambavyo Mrusi na Mchina wameshindwa kumsaidia Mu-Iran, Vivo hivo hawataisaidia CCM baada ya Marekan na Ulaya Kutoutambua Uchaguzi 2025

    CCM endeleeni kushupaza Shingo !! Mtaelewa tu hapo Baadae !!.
  13. Mnaomuelewa mwenezi wa CCM mnisaidie

    Huwa navutika kumfuatilia kila anapofanya mkutano wa kisiasa, matokeo yake naishia kuwa dissapointed, Hauishi mkutano hajataja Heche, CHADEMA n.k Wataalamu huko CCM msaidieni huyu mzee wetu Wengine hatuna vyama vya siasa tunajitahidi kufatilia sera zenu ili tuone kama tunaweza kuwaunga mkono.
  14. Nani ana akili kuliko mwenzake? Huyu anayeiunga mkono ccm yenye nguvu madarakani au yule anayeishabikia Chadema yenye nguvu mtaani.

    Dj tupe mziki mzuri kutoka Studio...
  15. Godbless Lema hata akijiunga CCM hawezi kupata nafasi yoyote kwa sababu hana elimu inayoeleweka

    Kwa maoni Lemma akiingia CCM hataweza kupata chochote kutokana na kwamba ana elimu ya unga unga mwana, haeleweki. Kule chadema kwa kuwa wanaishi kwa kudanganyana na propaganda za kiwango cha chini, anawamudu
  16. R

    Kama CCM kufuatana na katiba yao wangeli float majina yapigiwe kura, Samia asingelipita kura za maoni za NEC!

    Viashiria vyote vinaonesha hivyo. Tunao mitaani, ndugu zetu, tena wakubwa wanasema bila figisu zilizofanyika, Mama asingelipita! Alikuwa anabwagwa katika round ya kwanza! 19 Januari 2025 Na Humphrey Mgonja CHANZO CHA PICHA,CCM Chama tawala nchini Tanzania, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepitisha...
  17. PreGE2025 Mwigulu Nchemba: Nina imani kuwa katika uchaguzi huu CCM haitapoteza JIMBO lolote wala KATA yoyote, tunaenda kushinda kwa kishindo kikubwa

    Waziri wa fedha Dr Mwigulu Nchemba akiwasilisha bajeti kuu ya serikali kwa mwaka 2025/2026 "Nisisitize tena, Serikali chini ya uongozi wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi imedhamiria kwa dhati kuhakikisha maendeleo...
  18. B

    Kile kilifanyika CHADEMA, Kitajirudia CCM

    Wadau wa jukwaa hili, bila shaka mko vizuri mnafuatilia bunge la bajeti. Kwa macho ya rohoni, ninaona kile kilifanyika CHADEMA, kitajirudia CCM. Mtakumbuka kwamba Mh. TAL hakuwa na kusudi la kugombea nafasi ya uenyekiti wa chama ila alilazimika kufanya hivyo kwa kuwa M/kiti aliyekuwepo muda...
  19. Wasiojulikana waiba Milion 25, laptops 600 Na Vifaa vya Michezo kwenye Ofisi Ya CCM Msasani Bonde la Mpunga

    Watu wasiojulikana wamevamia, kuvunja na kuiba, Laptop 600, fedha milioni 25, vifaa vya shule pamoja na vya mpira, kwenye ofisi ya Chama cha Mapinduzi, shina namba 7, iliyopo kata ya Msasani eneo la Bonde la Mpunga, wakiwa na gari yenye namba za usajili SM 14024 saa 8:00 usiku. Akiongea na...
  20. PreGE2025 CCM Kinondoni yasema Askofu Gwajima ameliachia jimbo la Kawe, ataletwa mwakilishi mzuri

    Tunahitaji aina ya wabunge wenye ujasiri wa kuzungumza na kukemea maovu kama alivyofanya Askofu Gwajima, lakini cha kushangaza kwa CCM watu wa aina hii ni maadui na hawana nafasi chamani mwao Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kinondoni kimesema Mbunge wa Jimbo la Kawe, Askofu Josephat Gwajima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…