ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. CCM ni kama maji usipoyaoga utayanywa

    Ukiangalia safari ya Tanzania kwa miaka yote hii, ni vigumu kuzungumzia historia ya taifa letu bila kuitaja CCM. Chama hiki kimekuwa sehemu muhimu ya uongozi na maendeleo ya nchi, na kimepitia vipindi mbalimbali pamoja na Watanzania. Kuna mambo mengi ya kujivunia katika safari hii—kuanzia...
  2. R

    Mchome ni pandikizi la CCM, fukuza liende CCM lifanye kazi ya Uuaji .

    Kuwa na mali si hoja issue ni mali amezipataje? Kuwa na mahusiano na wafanyabisashara si hoja, issue ni wafanyabiashara wa namna gani. Hii ni critical moment tunapigania uhai na uhuru wa Lisu, lipandikizi linaleta mvurugano. Fukuza hili CCM au lifuasi la Mbowe. @)@$ heche hakuna makamu...
  3. Serikali ya CCM Leo wamekaa kikao Melia hotel Vienna huku tukijitahidi kubana matumizi ya Serikali. Je hii ni sawa?

    Nilimsikia Waziri mkuu mwigulu nchemba akisema watumishi wa umma wajibane na kupunguza matumizi kwakua tunajiandaa kupokea zaidi ya wanafunzi milioni 3 mwakani kidato Cha kwanza. Sasa najiuliza hivi tuko sawa kwenye hili la kubana matumizi ikiwa hii leo makamu wa rais anakutana hotelini huko...
  4. CHADEMA ni wakandamizaji wa Uhuru wa maoni na kujieleza kwa watu. Hawana tofauti na CCM

    Hamjambo! CHADEMA wengi wao wanatabia ya udikteta uchwara, ukandamizaji wa uhuru wa maoni hasa yanayokinzana na sera zao. CHADEMA wanauwezo wa kuingilia uhuru binafsi wa mtu mwingine hata kama havunji sheria za chama, katiba ya nchi na maadili. Ukitaka ugombane na CHADEMA basi pinga au kosoa...
  5. Q

    CCM wanalilia salamu za rambirambi kutoka CHADEMA.

    Katibu Mkuu Jumuiya ya Wazazi CCM Ally Hapi amesema kamsikia mara mbili Tundu Lissu akisema Chadema wapeleke salamu za pole kwa Samia lakini hajamuona Heche kufika Kizimkazi. "Nimemsikia mara mbili, Tundu Lissu akimtaka Makamu wake Heche kupeleka salamu za pole kwa Mhe. Rais kufuatia msiba wa...
  6. Upinzani Mpya Dhidi ya CCM Imara ya Samia

    By December, huenda tukawa na chama kipya cha upinzani. Acha matapeli na madalali wagawane fito na kumalizana wenyewe. CCM ya Samia imefanya political rejuvenation ya hatari. Kwa kasi hii, wapinzani watahitaji miaka 100 mingine kuiondoa madarakani. Siku moja mtatambua kwamba sisi chawa...
  7. KERO CCM juu? Wananchi wa Morogoro mto Lukosi, tunaishi kama Makomandoo baada ya miaka 60 ya Uhuru

    Hapa ni Morogoro mto Lukosi Miaka yote wananchi wanatumia hicho kichuma kuvuka huo mto wanasema kuna mamba wa kutosha. Alafu kila mwaka ukisoma Ripoti ya CAG vibaka wanakula Pesa za kutosha. MY TAKE Mshauri Mwenyekiti wa Kijiji asilalaimike popote kwani atatekwa. Abdul mla watu hataki wananchi...
  8. Karibuni CCM, Tuijenge Tanzania Yetu Pamoja

    Kama unaipenda Tanzania, kama unaamini katika amani na maendeleo, na kama una moyo wa kuona nchi yetu ikiendelea kusonga mbele, karibu CCM. CCM ni chama chenye historia ndefu katika safari ya taifa letu. Ni chama kilichokuwepo katika hatua mbalimbali za ujenzi wa Tanzania na kinaendelea...
  9. Mkurugenzi wa Moshi Manispaa BILA kuhamishwa, kuna kila dalili (CCM) kukutana na changamoto kubwa zaidi katika Uchaguzi Mkuu 2030

    Bila kuchukua hatua stahiki dhidi ya uongozi wa Mkurugenzi wa Moshi Manispaa, kuna kila dalili kwamba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaweza kukutana na changamoto kubwa zaidi katika uchaguzi wa mwaka 2030, kutokana na malalamiko yanayoongezeka kila siku, kutoka kwa wananchi,viongozi, CCM na...
  10. Kwa nini CCM inapoteza nguvu yake ya ushawishi? Hakika CCM imefika mwisho wake.

    Chama Cha Mapinduzi (CCM), kikiwa kimedumu madarakani kwa muda mrefu nchini Tanzania, kimekuwa kikikabiliwa na changamoto mbalimbali za kisiasa, kiuchumi, na kijamii zinazotajwa na wachambuzi wa mambo kulinganisha na miaka ya nyuma. Zifuatazo ni baadhi ya sababu kuu zinazoelezwa na wataalamu...
  11. Baadhi ya viongozi CCM, tunzeni akiba ya maneno mnapokuwa mnazungumza

    Katika maisha kuna jana, leo na kesho. Yote ni historia. Na unapokuwa katika safari ya kisiasa, akiba ya maneno inasaidia sana. Mlikuwepo, mpo na mtaondoka. Unapopewa nafasi, usitumie nafasi hiyo kwa maslahi yako binafsi. Tambua una ndugu, familia na jamaa. Nawakumbusha, walikuwepo na...
  12. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee CHADEMA, Mkoa wa Mbeya asema CHADEMA imejaa watu wenye roho mbaya, asema uchaguzi wa chama umejaa rushwa ya kutisha

    Ukiona moshi, usidhani uko Mkoa wa Kilimanjaro, wakati mwingine ni moto unawaka chini kwa chini. Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema Mkoa wa Mbeya amekiri kwamba uchaguzi ndani ya chama umejaa rushwa ya kiwango cha kutisha, kiasi kwamba aliamua ajiondoe kuogombea uenyekiti wa chama mkoa wa...
  13. T

    Matatizo ambayo hata uwape ccm miaka elfu hawatayatatua kamwe!!

    Rushwa hasa rushwa kubwakubwa na rushwa za barabarani. Sababu zinawanufaisha wafadhili wa chama na zinafanya kazi kama malipo au fadhila kwa vyombo kuwatuliza ili waendelee kukibeba chama. Jambo lingine ni kuacha kutoa elimu mbovu inayozalisha manamba wachuuzi na kila aina ya watu wasio na...
  14. Kwa siku kama Tatu hivi naona kuna ongezeko la nyuzi za kulalamika kua Lissu anaiua Chadema na kelele zinatolewa na makada wa CCM

    Kwenye hili jukwaa la siasa jukwaa langu pendwa la kupoteza stress na kugain mambo ndani ya kama siku 3 hivi na hasa leo nimeona nyuzi zina miminika zikiwa na content moja ya kuonyesha Lissu anaua chadema, mara hana busara mara jeuri.. Mara asamehewe..na hizi nyuzi zinaletwa na makada wa ccm...
  15. Wicknell Chivayo amtembelea Rais Samia Ikulu na kumfariji baada ya kufiwa na Mume wake

    Wakuu Mjasiriamali maarufu wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo, anayejulikana pia kama Sir Wicknell, amemtembelea Rais wa Tanzania, Samia Suluhu, Ikulu kwa ajili ya kumpa pole baada ya kufiwa na Mume wake, Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia, Septemba 7, 2026, akiwa katika Hospitali ya Mzena huko...
  16. MIMI USHUHUDA: Naamini Sisi CCM Tuanhitaji Zaidi Katiba Mpya Zaidi ya Makundi Mengine Nchini

    USHUHUDA: Naamini Sisi CCM Tuanhitaji Zaidi Katiba Mpya Zaidi ya Makundi Mengine Nchini. Hii ni kwa sababu sisi ndiyo tumepigika zaidi.
  17. Watu walipotea au kufa kwa utata chini ya utawala wa CCM toka 2010-2026

    Wote Hawa ni either waliuwawa, walipotezwa au kufanyiwa umafia toka mwaka 2010 1: Mwangosi 2: Deo 3: Akwilina 4: Ben Saanane 5: Lwejabe 6: Mdude 7: Mawazo 8: Pole pole 9:Mhagama 10: Soka 11: Ndungai 12: Lowassa 13: Mahinga 14: Kijazi 15: Mfugale 16: Mfugale 17: Membe 18: Magufuli Hawa wote...
  18. T

    Kwa ushahidi wa mh. Heche, naamini ukiwa CCM unabadilika na kuwa si binadamu kamili

    Ndugu wana jamiiforum natumaini mmekuwa mnafuatilia ushahidi wa Mh. Heche. Yaani nimetokea kuwaogopa sana CCM. Na kujiuliza maswali mengi, kama kweli ni binadamu kamili au unapokuwa CCM unageuka na kuwa katili kiasi hicho. Ukatili wa CCM hata akina Charles Taylor hawakufikia kiwango hicho...
  19. Tumseme vibaya Magufuli kwa yote na mimi sijawahi kua mufuasi wake ila ukweli ni kua Magufuli hakua anaupenda sana Urais kama Samia

    Magufuli alikua na mabaya yake, Naomba hilo niweke kumbukumbu sawa, ila Magufuli hakuwahi deal na mtu anaeonyesha kuutaka urais mara nyingi alinukuliwa akisema Urais amepewa dhamana ngumu na kazi kubwa sana hii ilionyesha kile kitu hakua na tamaa nacho hata kidogo,..na ilionyesha alikua...
  20. S

    Sasa tumeelewa Nchimbi alisema Watanzania tupiganie Katiba baada ya kujua CCM wanatumia Octoba 29 kama kizuizi cha katiba mpya, wakamfukuza!

    Maneno ya Wasira yameonyesha mambo matatu makubwa sana ambayo bila shaka si Watanzania walielewa mpango huu muovu wa CCM; CCM hawako tayari Tanzania iwe na Katiba Mpya CCM waliamua kutumia kisingizio cha Octoba 29 kama kizuizi cha kuwa na katiba mpya CCM waliamua kumfukuza Nchimbi kwa sababu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…