ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Masomo ya hisabati na computer/coding yafundishwe kwa kiingereza shule za msingi

    kuna haja ya kuanza kufikiria mfumo ambao Hisabati na Computer Science/Coding vinafundishwa kwa kutumia Kiingereza kwa kiwango kikubwa zaidi kuanzia shule za msingi. Sababu kubwa ni kwamba dunia ya sayansi na teknolojia inatumia sana lugha ya Kiingereza. Istilahi nyingi ambazo mwanafunzi...
  2. Hivi vyama vya upinzani vikifutwa alafu ikabaki CCM tuu. Na raia wote tukiunga mkono

    Nawaza tuu au wanapingana wao kwa wao? Campaign za uchaguzi hakuna Msemaji wa chama hakuna Uhaini lazima uwepo lakini Utekaji lazima uwepo lakini Rushwa lazima iwepo Haki za binadamu Ubadhirifu utakuwepo
  3. A

    HOJA Kuna uhusiano gani kati ya uanachama wa chama cha siasa na kugombea uongozi wa Serikali ya Wanafunzi?

    Ninaomba suala hili lifanyiwe uchunguzi na mjadala mpana, kwa sababu linagusa haki za wanafunzi na uendeshaji wa uchaguzi wa Serikali za Wanafunzi katika vyuo vya Tanzania. Kuna hali inayodaiwa kuwepo katika baadhi ya vyuo nchini ambapo mwanafunzi anapotaka kugombea nafasi za juu katika...
  4. Wakati nchi ikihitaji Viongozi CCM wametuletea Kihongosi

    Hiki ni kioja kingine toka CCM. Chama kikongwe kuliko vyote nchini badala ya kuajiri Msemaji mwenye Weledi kimeleta Msema chochote (MC). Cheo chake cha asili kinahusu Uenezi wa Itikadi ya Chama chake lakini yeye anaeneza kashfa juu ya Kilimo cha Maparachichi. Anaeneza maisha binafsi ya...
  5. R

    Dkt. Kigwangala: Sijawai kuwa na kinyongo na CCM, kuhudumu miaka 15 ni fursa kubwa

    Mbunge wa zamani wa Nzega Vijijini na aliyewahi kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla, amesema hana kinyongo wala malalamiko yoyote baada ya kushindwa kurejea bungeni, akisisitiza kuwa anawaheshimu na kuwashukuru wananchi pamoja na wanachama wa CCM kwa kumfanya awatumikie...
  6. Je kweli nchini Tanzania, CCM ni kubwa kuliko serikali? Hii inamaanisha nini?

    🚨 MASHINE YA CHAMA-DOLA: JINSI MFUMO UNAVYOMEZA TAIFA (NUKUU NDEFU ZA WASOMI) 🚨 Jana, Mwenezi Wa CCM, Alitamka kuwa "Serikali Inapaswa ijue CCM ni kubwa kuliko Serikali" JE upo ukweli wa Kauli hii? Kuielewa siasa ya Tanzania kunahitaji uvunje ile dhana ya uongo kwamba "Serikali" na "Chama...
  7. Hongera Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, ndugu Alhaj Adam Omari Kimbisa kwa kuzifanya wilaya zote za mkoa wa Dodoma kua ngome kuu za CCM Tanzania

    Kwa hakika unafanya kazi nzuri na kubwa sana kwa niaba ya Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Dodoma. Asante kwa kazi kubwa na nzuri unazofanya katika kuuheshimisha mkoa wa Dodoma na makao makuu ya nchi. Katika mkutano mkuu maalumu wa CCM taifa mwaka jana, wakati wa kuteu na kuthibitisha jina la...
  8. M

    Maoni: CCM imejiweka kwenye wakati mgumu yenyewe

    Habari yenu ndugu zangu natumaini mnaendelea vizuri Mwaka 2015 kulikuwa na uchaguzi nchini, japo vyama vingi vilishiriki uchaguzi ule ila mchuano mkali ulikuwa kati ya mgombea wa CCM na mgombea wa muungano wa UKAWA. Kwa kweli uchaguzi ule ulikuwa mzuri sana (nazungumzia kwa upande wa bara acha...
  9. CCM yatikisa Iringa, maelfu wajitokeza, Watanzania bado wanaimani kubwa na CCM

    CCM inazidi kujidhirihisha kua ndio chama kikubwa Africa hii ni ziara ya mwenezi mkoani iringa Karibuni sana Chama kubwa
  10. Kenani Kihongosi: Wana CCM tembeeni kifua mbele, Mnapendwa sana na Watanzania

    Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi amesema Wana CCM watembeeni kifua mbele, kwa kudai wanapendwa sana na Watanzania. Kihongosi ametoa kauli hiyo leo Septemba 19, 2026 wakati akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Toangoma Temeke Soma Pia: Kenani Kihongosi...
  11. Wapi kwenye katiba imeainisha mapinduzi mazuri na yale mabaya? CCM ina uhalali gani wa kutamba na mapinduzi yake?

    Kama tunakubaliana kuwa kupanga au kutekeleza mapinduzi ya kisiasa ni uhaini na ni kosa kubwa katika nchi, hatuwezi kusema mapinduzi fulani ya kisiasa ni halali na mengine ni haramu. Vilevile, hatuwezi kusema kundi fulani la watu lina haki ya kufanya mapinduzi na wengine hawana haki hiyo...
  12. L

    Inawezekana kweli Lissu amewatangulia Wanasheria wa CCM kwa miaka mia moja mbele

    Lissu Yuko mbele ya Muda dhidi ya CCM na wanasheria wote wa CCM. Kwa kifupi watu wengi hawakuelewa,hata Mimi sikumuelewa aliposema mashahidi wake ni RAIS Samia,CDF,IGP,DGTISS na Kingai. Kwa kifupi alipowataja Hawa kua ndio mashahidi wake alikua amelenga mitego miwili kwa ajili ya kupiga TKO...
  13. Kwa mda mfupi niliokaa jamii forum hum na kwa upeo wangu mdogo nimegundua yafuatayo

    Kama hizi mbinu zote mmefeli CHADEMA ni dude kubwa 1.Divide and rule>kugawa kundi Ili lisipate nguvu ya pamoja 2.Reward and punishment>kutumia zawadi na adhabu kusimamia tabia 3.Framing>Kueleza jambo kwa mtazamo frani Ili wanaokusikiliza waelewe kwa namna hyo 4.Complomise>Kila upande kutoa...
  14. Kupeleka vijana JKT ili waje watoe wananchi sio suluhu ya matatizo ya taifa letu. Tatizo ni ufisadi wa CCM mtandao

    Jamii imeshutushwa na video za vijana walioenda mafunzo ya Jkt wakijinasibu kuwa wapo tayari kutoa mavi wananchi watakaoandamana kudai haki na mabadiliko. Hata huko Sierraleone na kwingineko Wanajeshi wenye mafunzo hawakushinda nguvu za wananchi. Kutishia watu kwa vijana kama hawa ambao...
  15. K

    Mteswaji Lissu ana furaha kuliko Mtesaji Samia! Maisha tenda wema

    Mteswaji Lissu ana furaha kuliko Mtesaji Samia! Maisha tenda wema. Utawafukuza na kuwafunga lakini Mungu hawezi kukupa furaha mpaka utende wema na haki. Hili ni somo pesa zote , wizi wote wa kura, na nguvu za kuiba lakini huna furaha maana maisha ni zaidi ya pesa na madaraka
  16. K

    Mpinzani mkubwa wa sasa ni CCM na Tanzania

    CCM vs Tanzania sasa haya mashindano ya watu kuhujumu nyumba wanayoishi kwa kujisahaulisha kama wenyewe nao wanakaa ndani ya nyumba. Tatizo sio mauaji au utekaji wa watu ndani ya nyumba Tanzania bali kuwasha moto na kufikiri wenyewe watabaki na nyumba !!!! kumbe itaondoka na wote
  17. K

    Bila mfumo wa demokrasia wote hata CCM tunaenda chini

    Sababu hizi. 1. Upinzani wa sasa sio wa vyama bali ni wananchi 2. Hakuna ajira kwa vijana 3. Rushwa imekomaa sana Tanzania hasa kwa viongozi wa juu 4. Tanganyika na Zanzibar zimerudi na zinapigana na Tanzania 5. Wachina na UAE hizi nchi mbili zitatuzamisha kabisa 6. Utekaji 7. Uhuru wa vyombo...
  18. Je, ni kweli Vigogo wamewahi kukataa TISS kuwa taasisi huru inayoshughulikia usalama wa taifa Pekee?

    TUKUMBUSHANE KIDOGO: Kwa wasiojua HISTORIA, DGIS, wakati wa Mkapa, Mzee Apson(RIP) alipotaka sheria ibadilishwe ili TISS iwe ni taasisi HURU nje ya SIASA, inayoshughulika na USALAMA wa TAIFA(100%), Vigogo wa CCM wakiongozwa na Dr Gama(former DGIS na baadae SG-CCM) waligoma! Why? Bila TISS...
  19. Q

    CCM wanauliza hela ya ToneTone, mwaka jana Samia alichangisha B.86 Mlimani city watuambie ziko wapi

    Kama zilitumika watuambie zilitumikaje, vinginevyo wakae kimya. Ushahidi wa waliochanga na ndio wasaliti wa wananchi. 1. Dkt. Samia Suluhu Hassan - Milioni 100. 2. Wachimbaji wadogo wadogo - Bilioni 16.2; (pamoja na ahadi), bilioni 9 imeshawekwa kwenye akaunti ya CCM. 3. GSM - Bilioni 10...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…