ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. GE2025 ChAUMMA wanasaka viongozi wa CHADEMA kila kona nchi mzima, wiki yote hii. Wamekwama kwa 98%.. Kulikoni? Mbona hawaendi CCM?

    Mwanzoni nilipewa taarifa na Diwani Mstaafu wa Chadema wiki iliyopita. Baadaye akaniambia waliokuwa madiwani wenzake wa Dsm karibu wote Dar na kwao Mbeya wameombwa kujiunga Chauma. Leo nimepata taarifa ya Viongozi wa kata Fulani na wilaya Mojawapo nao wameombwa kujiunga na CHAUMMA. Taarifa...
  2. GE2025 Binti Ng'wasi Kimani, Aliyeshawishi wajumbe kumpitisha Samia kuwa mgombea Urais CCM, apitishwa na Wajumbe ubunge viti maalumu

    Wajumbe wa Mkutano Mkuu Maalumu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa 2025 wamemchagua Ng'wasi Kamani kuwa Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Kundi la Vijana kutoka Tanzania Bara. Katika matokeo yaliyotangazwa alfajiri ya leo, Agosti 02, 2025, Kamani ameibuka mshindi kwa kushika...
  3. CCM na Siasa ya Kuendeleza Umaskini: Uongozi au Uonevu wa Kitaasisi?

    CCM imeigeuza Tanzania kuwa laboratory ya umaskini wa kimfumo. Badala ya kutengeneza mazingira ya usawa wa kiuchumi, mmejenga structures zinazowanufaisha wachache huku mamilioni wakizama kwenye umasikini wa kurithishana. Kilimo kimebaki kuwa cha jembe la mkono, elimu ni kwa wenye uwezo, afya ni...
  4. Ndugu wadau wa JF, Msione nipo kimya, ni ubize na u serious wangu tu kwenye kampeni kura za maoni CCM, Msichoke kuniombea

    Pamoja na watia nia wengine walioidhinisha na kamati kuu ya halmashauri kuu ya CCM taifa, namshukuru sana Mungu kwa kibali, ndugu yenu Tlaatlaah ninaendelea na kampeni za kura za maoni vizuri sana kwasasa, licha ya kwamba sikufanikiwa kufanya hivyo katika baadhi ya kata siku ya kwanza ya kampeni...
  5. GE2025 CCM iruhusu CHADEMA kutoa mapendekezo yao kuhusu wagombea wa CCM wanaowataka

    Kutokana na wanaCHADEMA kuwa mstari wa mbele kupinga na kukosoa mambo mbalimbali yanayoendelea wakati huu wa uchaguzi ninashauri chama chetu CCM kiwape hawa ndugu zetu nafasi maalum ya kupendekeza wagombea wanaowataka. Imefika sehemu viongozi waandamizi wa CHADEMA wamejiunga na Polepole kusema...
  6. GE2025 Wanachama wa CCM warudisha kadi, baisikeli na pikipiki za chama baada ya kuenguliwa kwa majina udiwani

    Wanachama wa chama cha mapinduzi katika kijiji cha Mkwedu kata ya Mkwedu wilayani Newala mkoa wa Mtwara wamerudisha kazi za chama haicho, baiskeli na pikipiki kwa sababu ya kuenguliwa kwa majina ya wagombea udiwani. Hayo yamejiri 31 July 2025
  7. K

    Rasmi sasa: Raisi Samia katengeneza usultani CCM

    Rasmi sasa: Raisi Samia katengeneza usultani CCM kafuata utamaduni wa wajomba zake Familia ya Samia Familia ya Kikwete Familia ya Mwinyi Marafiki na familia sindikizaji Familia ya Pinda Familia ya Lowassa Familia ya Magufuli Familia zilizoachwa za 1. Familia ya Karume 2. Familia ya Nyerere...
  8. C

    Bora kura za maoni CCM wapige wanachama wote sio wajumbe tu

    Ndugu wana JF, Haya mambo ya wajumbe CCM naona itakuja kuleta shida huko tuendako. Wajumbe wanataka rushwa na wanaweza kuleta mtu ambaye wanachama hawamtaki. Pia kumekuwepo na chuki miongoni mwa wajumbe. So mimi naona bora wanachama wote waruhusiwe kupiga kura za maoni.
  9. Niliwambia hili siku si nyingi "Usomi, Mapenzi kwa Chama, Uadilifu na Michango yako haitakupa ubunge, CCM ina wenyewe" nafikiri tumeelewana

    Wasalaam Poleni wazee mliotia nia hivi karibuni... Nafikiri mnakumbuka niliwatahadharisha ila uzoefu mmeupata. CCM ina wenyewe. Tukazane kufanya kazi tutunze familia zetu mambo ya uongozi inji hii tusubiri siku nyingine labda Hali ibadilike..... Usiku mwema
  10. M

    Huku makada wa CCM wakihonga mamilion ya Tsh mtoto akinyonga kwa kukosa Tsh 1500 ya mtihani.

    Hii inasikitisha
  11. K

    Je CCM ya sasa ni genge la biashara za kifisadi?

    Tujiulize ni watu wangapi wanagombea kwa kujitolea kwao kwa jamii na wangapi wanagombea kwa kujinufaisha!! Tofauti ya Chadema ya Lissu na CCM ni hapo
  12. GE2025 Mwenyekiti wa CCM ampigia kampeni mgombea mmoja kabla ya kura za maoni

    Wakuu Hali ya kushangaza imejitokeza katika Jimbo la Hai Mkoani Kilimanjaro baada ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai Wanguba Maganda na Katibu wa Kata Machame kumpigia kampeni kinyume cha taratibu Aliyekua Mbunge wa Jimbo hilo la Hai Mkoani Kilimanjaro Saashisha Elinikyo Mafuwe. Kupitia video...
  13. Mlikataa Katiba Mpya Ingelikuwa Na Mgombea Binafsi Ikawa Dawa Ya Kelele Nyakati Kama Hizi

    Kwa miaka mingi sasa, kila msimu wa uchaguzi unapokaribia nchini Tanzania, huambatana na kelele, malalamiko, na misuguano isiyoisha kutoka kwa wanachama wa vyama vya siasa haswa CCM, tena wale wanaokatwa kugombea. Ni hali inayorudiwa kila wakati watu wanasema wameonewa, wameenguliwa kwa...
  14. GE2025 Kilimanjaro: Mwenyekiti CCM Hai ampigia debe Saasisha Mafuwe huku akiwabeza wengine hawana uwezo

    Wananchi katika jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro wamemlalamikia mwenyekiti Wanguba Maganda kwa kuonesha mapenzi ya wazi kwa mgombea Saasisha Mafuwe huku akiwabena wengine hawana uwezo
  15. GE2025 Prof. Kumburu ateuliwa kugombea ubunge Viti Maalumu Wasomi Vyuo Vikuu na jimbo Moshi Mjini

    CCM Ina wenyewe kwa kweli. Mtu mmoja, kateuliwa: 1. Kugombea ubunge Jimbo La Moshi Mjini 2. Kateuliwa kugombea ubunge viti maalum Mkoa wa Kilimanjaro 3. Kateuliwa soma hapo kwenye picha yake. Vituko sasa,uliza mume wake anaitwa nani au anakaa wapi utadondoka. Uliza ana umri Gani na watoto wako...
  16. Makalla: Wagombea wote wa udiwani CCM wapigiwe kura za maoni

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa agizo kwa makatibu wa mikoa wote nchini kuhakikisha wagombea wote wa nafasi za udiwani waliokuwa kwenye orodha ya awali wanarejeshwa kwa ajili ya kupigiwa kura za maoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Taarifa hiyo imetolewa siku ya Ijumaa na CPA Amos...
  17. Mimi Raia wa kawaida najiuliza, kamati kuu ya CCM ndio inateua wagombea wa ubunge, lakini kamati hiyo hiyo ndio inatakiwa kuhojiwa na Bunge

    Kama kichwa cha habari kisemavyo, hata kama wewe una IQ ndogo utajiuliza. CCM ndio chama tawala tangu uhuru, bila shaka kwa namna wanavyowapiga rungu wapinzani, ni wazi kuwa wabunge walioteuliwa na watawala ndio watarudi bungeni kwa wingi. Moja ya kazi ya mbunge ni kuisimamia na kuihoji...
  18. R

    GE2025 Musiba: Inasikitisha CCM kinachoangaliwa zaidi ni kujuana, wanaachwa watu wenye maono mazuri na kupitisha watu bila kupingwa

    Akizungumza na wanahabari Julai 31, 2025 Kada wa Chama cha Mapinduzi Cyprian Musiba ameeleza kuwa mchakato wa kuchagua watia nia ubunge unafanywa hasa kwa kujuana ndani ya chama hicho akidai ili uchaguliwe ni lazima uwe unajuana na mtu au uwe mtoto wa waziri ndipo uchaguliwe Pia amehusia baadhi...
  19. Q

    GE2025 CCM ndio watakaozuia Uchaguzi Mkuu na kuusogeza mbele

    No Reforms No Election inaonekana kutekelezwa vizuri na Chama cha Mapinduzi kuliko waasisi wenyewe ambao ni CHADEMA. Kwa mwenendo unavyoonekana ndani ya CCM kuna hatari ya wao kuvurugana wenyewe kwa wenyewe na kusababisha mchakato wao kurudiwa na Uchaguzi Mkuu kusogezwa mbele, hivyo lengo la No...
  20. M

    CCM hata hawajishitukii

    UCHAGUZI UWT MKOA WA LINDI Tarehe 30-Julai-2025, Umoja wa Wanawake Tanzania- Chama Cha Mapinduzi- UWT Mkoa wa Lindi umefanya uchaguzi wa kuchagua Wabunge wa Viti Maalum- kuwakilisha Mkoa wa Lindi- katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Jumla ya Kura zilizopigwa- 1192 Kura...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…