ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. GE2025 Wanachama w CCM Tabora wajitokeza kumdhamini rais Samia

    Wanachama wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Tabora wamejitokeza kushiriki zoezi la kujaza fomu ya kumdhamini mgombea mteule wa nafasi ya Urais kupitia Chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread...
  2. GE2025 ACT wazalendo walichokifanya kule Zanzibar 2015 baada ya kumeguka CUF wanaweza kukifanya tena 2025 huku bara baada ya kumeguka CCM na CHADEMA

    Siasa ni kama mchezo wa karata. Mjanja anayeweza kuzicheza karata zake vizuri kwa kawaida huibuka mshindi. Zitto Kabwe ni hodari wa kuucheza huo mchezo. Anajua kuwa kumeguka kwa vyama vikuu vya siasa kuelekea uchaguzi mkuu vinatoa fursa za kuimarisha chama chake. Mwaka 2015 chama cha CUF...
  3. GE2025 CCM na harambee ya bilion 100 kwa ajili ya uchaguzi mkuu

    Je kuna haja ya kufanya haya maigizo ya kijinga namna hii? Upotevu na ufujaji wa pesa na muda ? Kwa uchaguzi upi lakini? Huu wa kiini macho uliokwisha malizika kwa kura za wizi? Mabilioni yalishatengwa, mabilioni yalishakusanywa toka vyanzo tata na vyenye walakini mkubwa Kuna wafanyabiashara...
  4. GE2025 Erick Shigongo aamini kuteuliwa kugombea Ubunge wa Buchosa Kupitia CCM 2025

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Erick Shigongo, amesema ana matumaini kuwa jina lake litateuliwa kugombea ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Akizungumza na wanahabari wakati wa maziko ya Hayati Job Ndugai wilayani Kongwa, mkoani Dodoma, Shigongo amesema...
  5. H

    Kabla ya kuichangia CCM, Tafakari kwa Umakini, Maana inaweza kuwa laana yako

    CCM ndiyo chama chenye Serikali. Uovu wote unaofanyika dhidi wananchi, kama vile utekaji na mauaji ya wakosoaji wa Serikali na Rais, uporwaji wa rasilimali za Tanganyika, vyote hivyo vimeridhiwa na CCM, ndiyo maana wanaoyafanya hayo hawabughudhiwa wala kuchukuliwa hatua na Serikali ya CCM...
  6. GE2025 Paul Mwakajumba na moyo wa shukrani kwa rais Samia na wajumbe wa CCM Kyela

    BAADA ya kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) zilizofanyika Agosti 4,2025 nimejipa jukumu la kuzungumza na baadhi ya wagombea ambao wapo tayari. Mmoja wa wagombea niliyezungumza naye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa kutoka Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya. Mwakajumba ni mmoja wa...
  7. GE2025 Ushauri: Wana CCM tuache ubinafsi Rais Samia ameubaka mchakato wa uteuzi ndani ya chama na wengi hatujaridhishwa

    Habari makamarada. Jana nimemsikia spika wa Bunge bibi Tulia mwansasu katika Ibada ya mazishi ya aliyekuwa spika comrade Job ndugai akimuhakikishia Rais Samia kuwa eti waliopo upande wake ni wengi kuliko wasiyo upande wake. Nimeguswa kueleza machache. Naomba ieleweke kuwa Wana CCM walioguswa na...
  8. GE2025 Huenda CCM ikafikia lengo la b.100 kabla ya muda wa haraambee

    WanaCCM wote, Wafanyabiashara, wakulima, wafugaji, wavuvi, wajimbaji madini, wasafirishaji, wafanyabiashara, makundi maalumu yote, vyama vya ushirka, taasisi za fedha kama vile mabenki, vyama vya siasa, asasi za kiraia na za kidinii, mashirka ya kitaifa na kimataifa, vyama marafiki wa ccm...
  9. B

    GE2025 Nimecheka sana Baada ya Kuona CCM wamekuja na Tone Tone

    Hahahaha......Ndugu zangu siasa zimegeuza ubao. Leo ccm wanakuja na tone tone? Wana wanachama takribani 13M kwa mujibu wa taarifa zao, kama ni za kweli au la sijui lakini Mwanachama mmoja mmoja tu akitoa elfu 10 ni mabilioni ya hela. Je wameshindwa kutumia fursa hiyo? Baadhi ya wadau wamehoji...
  10. A

    GE2025 CCM kuomba tone tone ni kama kunyonya damu kwa mgonjwa

    Bila shaka wewe na mimi tumekuwa ni sehemu ya Ushuhuda wa Kauli mbali mbali za Viongozi wa Chama Wakijinasibu kuwa Chama Chetu ni Chama Tajiri na Chenye Wanachama Wengi. Halikadhalika tumeshuhudia chama chetu kikiwa ni sehemu ya Mnufaika mkuu wa Ruzuku ya Uendelezwaji wa Maendeleo ya Chama, si...
  11. Kutumia katiba na ilani ya CCM kumepelekea wananchi wa Tanzania kudumazwa kiakili, kifikra, kiroho na kimwili

    Hii ni kwa great thinkers tu. Habari zenu na poleni pia kwa majukumu. Kama mada inavyojieleza naomba tujadili wadau. Mimi naona mfumo wa elimu yetu baada ya uhuru haujaleta tija yoyote katika umma wa kitanzania ukilinganisha na mfumo wa elimu uliokuwepo kabla ya uhuru. Naomba tujadili kwa...
  12. J

    GE2025 CCM kuchangisha pesa si jambo baya wala si geni

    Baada ya CCM kutangaza kupitia vyombo vya habari kuwa Mwenyekiti wake mama Samia Suluhu Hassani kesho ataongoza harambee ya kuchangia Uchaguzi Mkuu ujao, baadhi ya watu wameibuka wakikosoa na kupinga mkakati huo wakitoa sababu mbalimbali. Binafsi naona watu tumekosa Cha kujadiri au tumeishiwa...
  13. GE2025 Wanasheria nendeni mahakamani haraka kuzuia Rais kuchangisha pesa za kampeni ya CCM

    Hapo kesho tarehe 12 mwezi wa 8 rais Samia ataongoza harambe ya kuchangisha pesa kwa ajili ya kampeni ya CCM, rais kuongoza uchangishaji huo kutawafanya baadhi ya wafanyabiashara kulazimika kuichangia harambe hiyo kwa woga badala ya hiyari kwa kuwa tukio litachukua sura ya kitaifa. Soma Pia...
  14. K

    Nchi hii tatizo sio CCM wala wanaCCM, tatizo ni wananchi wasio wana CCM

    Ukiangalia kwa undani sana na ukatafakari mambo kwa nyuzi 360, utagundua CCM na wana CCM wala hawana tatizo lolote bali tatizo lipo kwa watu ambao sio wana CCM. Nitafafanua!! CCM ni chama cha siasa na wana CCM ni wanasiasa ambao kwa hali na mali watatumia njia sahihi na haramu kutafuta namna ya...
  15. GE2025 Nitaichangia CCM pesa ya Kampeni. Wewe je?

    Kufuatia wito wa viongozi wa Chama. Naahidi kuchangia CCM pesa kwa ajili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu. NB: Nashauri UCHANGIAJI Pesa ya Kampeni CCM usiwe hiari. Kampuni za simu zitumike kukusanya pesa katika kila 1000/- ikatwe 300 ya kwenda kwenye uchangiaji huu. Jambo hili ni jema kwa maendeleo...
  16. U

    CCM wana takwimu sahihi ya Wanachama kuanzia ngazi ya Shina hadi juu kabisa, Wanaingia kwenye Uchaguzi bila hofu, Wapinzani jifunzeni

    Ni ukweli wa kisayansi mfano wa kuigwa wanaenda kwenye vita Uchaguzi wakiwa na takwimu kamili, Wapinzani msione aibu njooni Lumumba mpewe Shule CCM ni Baba lao
  17. GE2025 CCM kufanya harambee ya Kitaifa Agosti 12,2025 kukusanya bilioni 100 za kampeni

    Wakuu! Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, na Mwenza wa Urais wa chama hicho, Emmanuel Nchimbi, akizungumza na Wanahabari leo Agosti 11, 2025 katika ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba amesema, "Tukipokea kila aina ya mchango tutaainisha inapotoka." "Lakini hatutapokea...
  18. GE2025 Benson Kigaila: Vijana wana uwezo wa kuipelekea CCM likizo ya bila malipo

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Bara, Benson Kigaila, ametoa wito kwa watanzania, hususan vijana, kujitokeza kwa wingi kushiriki kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 kwa kupiga kura ili kuleta mabadiliko ya kweli nchini. Akizungumza Agosti 10, 2025 katika kongamano...
  19. Ccm inadumu kutawala kwa kukandamiza upinzani

    Ni miaka yote ila imejidhihirisha sana awamu hii kwamba tegemeo kubwa la ccm kuendelea kutawala ni kukandamiza upinzani. Suruhu ya hilo ni moja , nguvu ya Umma. Umma utakapokua tayari CCM ndipo wataondoka kwa nguvu.
  20. K

    GE2025 Ninaishauri CCM irudie upya kura za maoni nchi nzima

    Kuna malalmiko mengi nchi nzima kuhusiana na kura za maoni zilizopigwa hivi karibuni. Wengi wamelalamika kuwa rushwa ilitawala sana na hasa wale walioshika namba moja hawakushika namba moja kwa haki. Ninaishauri CCM irudie zoezi hili kwa mara ya pili ili haki ipatikane. CCM inapiga vita...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…