cag

CAG stands for the Controller and Auditor General. In Swahili, this translates to Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali.

In Tanzania, the CAG is the head of the National Audit Office of Tanzania (NAOT) and serves as the supreme constitutional authority responsible for auditing and overseeing how public funds are collected and spent.

Here is a breakdown of what the CAG does; The CAG audits the financial statements of all government ministries, independent departments, executive agencies, local government authorities (LGAs), and public corporations. They check whether public funds were spent according to the law, approved budgets, and financial regulations. Beyond just checking the math, the CAG assesses whether government projects were executed efficiently and whether the public actually got "value for money" (e.g., if a road was built to the right standard for the price paid). The CAG's audits frequently uncover ghost workers, embezzlement, inflated procurement contracts, and other forms of financial mismanagement.
​
  1. DogoWaNjombe

    CAG: Baadhi ya Taasisi za Umma zilisaini mikataba bila mapitio ya Kisheria, ikiwemo TANESCO (Tsh. Bilioni 12) na UDOM (Tsh. Bilioni 4)

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles Kichere amesema baadhi ya taasisi hazikuzingatia mapitio ya kisheria wala ushauri wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika kusaini mikataba yenye thamani ya Tsh. Bilioni 56. Ameeleza hayo Machi 30, 2026 wakati akisoma Ripoti ya...
  2. Cute Wife

    Suala la watu kupoteza nyeti, tumesahau Ripoti ya CAG, kupanda bei ya Mafuta na Ripoti ya Chande. Fungua macho Mtanganyika!

    Aweeee, Ila serikali na CCM huwa wanajua kuchagua mambo ya kututoa kwenye reli, wanajua wakigusa nyeti na hivi wanaume 'wanadai' wao ni wachache na ongezeko la ushoga jambo litakuwa hot topic fastaaaaa! Afu jambo limesambazwa sehemu ambako litafika fasta, nimeshangaa hadi ukanda wa Gaza nao...
  3. sitagliptin

    Report ya CAG na upotevu wa nyeti wanaume umegundua nini?

    Habari mi sio mtaalamu sana ila kwann ishu ya nyeti imekuja kipindi hiki? Ambapo report ya cag inahadiliwa na watanzania Wakati huu pia report ya October ikisubiliwa Kwann nyeti zimepotea tunduma kwa watukutu imefika mbeya kabwe na sasa watoto wa gaza kimara? Ukweli kuhusu nyeti huenda ni...
  4. A

    Uteuzi wa Kizigha ni kuonyesha kwamba Ofisi ya CAG haifanyi kazi ipasavyo

    Uteuzi wa ubunge wa Kizigha , licha ya kuwa na kashfa lukuki , ktk manunuzi serikali kwenye vyombo vya Ulinzi na usalama , kunaonyesha kwamba Utendaji , wa sieji Una walakini au katika mrorongó wa hatua za uteuzi kuna mapungufu. Soma pia Uteuzi/Utenguzi Aprili 2, 2026: Angela Kizigha...
  5. Roving Journalist

    CAG Kichere: MSD ilikuwa na dawa zilizo ‘expire’ za Tsh. Bilioni 18.74, zilizoharibika Tsh. Bilioni 707.82

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere akisoma Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam, amezungumzia kuhusu ripoti ya utendaji wa Bohari ya Dawa (MSD). Ameeleza kuwa amebaini kuna uhaba wa dawa na udhaifu katika...
  6. instinct desire

    Hivi ni kweli mwabukusi hajui mchakato wa report ya CAG kwa Mujibu wa katiba? Hii ni aibu

    Nashangaa kuona mtu amesoma Sheria lakini bado hajui mchakato wa report ya CAG kikatiba upoje? Yani mwanasheria analalamika Leo juu ya taarifa ya CAG wakati ndo kwanza ipo hatua ya kwanza.....naona aibu mno kwa hizi akili
  7. M

    Mwambukusi apendekeza CAG apewe mamlaka ya kuchukua hatua ili kudhibiti madudu

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa mapendekezo yake ya namna ya kudhibiti ubadhirifu wa mali za umma nchini Tanzania, akisisitiza kuwa bila mabadiliko ya kimfumo, ripoti za CAG zitaendelea kuwa kelele zisizo na matokeo. Akizungumza na televisheni ya...
  8. M

    Mwabukusi: Tunapoteza nguvu kushughulika na upinzani kuliko Ripoti ya CAG

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa kauli nzito kuhusu Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), akidai kuwa ripoti hiyo imeendelea kuwa "kumbukumbu ya kila mwaka" isiyo na matokeo ya kisheria kwa wabadhirifu wa mali za umma...
  9. M

    Bila uwajibikaji wa kweli, hizi ripoti ni kelele tu. Huu si wakati wa kusoma ripoti ya CAG na kusahau

    Ripoti ya CAG si habari mpya ni uthibitisho wa uzembe na ufisadi uliokithiri. Fedha za umma zinapotea, wananchi wanabaki na hospitali zisizo na dawa, shule duni, na miradi hewa. Bila uwajibikaji wa kweli, hizi ripoti ni kelele tu.Huu si wakati wa kusoma ripoti na kusahau.
  10. mr mkiki

    Hivi Jeshi la Polisi/Mahakama hawajawahi kuona jinai kwenye ripoti ya CAG, au jela ni maalum kwa Wakosoaji wa serikali tu?

    Maeneo mengine mengi watu wanavunjaga katiba na wala hawajali!! Lakini kwanini kwenye report ya CAG kuwekwa hadharani ufisadi wanaofanya hapa huwa nini kinatokea? Sawa ni takwa la kikatiba, but kwani wao huwa wanajali kuvunja katiba?
  11. Mkalukungone Mwamba

    CAG Kichere: Kwa mwaka wa fedha 2024/2025, upotevu wa maji umeongezeka kufika 35% na kusababisha hasara Bilioni 248.78

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere akisoma Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam amesema ongezeko la upotevu wa maji umeongezeka kutoka asilimia 32 hadi kufikia asilimia 35 hali ambayo imesababisha hasara ya...
  12. Etwege

    Hongera CAG Kichere ila bado hatujaona ya Royal tour

    CAG Kichere nakupongeza kwa kuonyesha madudu ya kutisha ya serikali inayoongozwa na Rais Samia. Mashirika ya Umma sasa yanashindana kupata hasara. CAG Kichere umetuonyesha hasara za Atcl, Bwawa la umeme, Sgr, Mgr lakini umesahau kitu kimoja kutuonyesha hasara iliyosababishwa na utengenezwaji wa...
  13. baz kaiza

    Vijana waimba Mapambio ya Serikali humu ndani; Je, na nyie ni wanufaika na huu upigaji wa Riport ya CAG?

    Vijana waimba mapambio ya serikali ni wasaliti kwa nchi ni vijana wanaostahili kunyongwa kwenye maana nao ni wanufaika na huu wizi wa riport ya CAG huwezi kuona vijana wakipiga na kuumizwa na huu wizi unaofanywa na watumishi na Viongozi wa Serikali wako kimya kama hamna kinachoendelea wao ni...
  14. Penguinelli Cactussini

    Nimefurahi TAKUKURU kuokoa Shilingi milioni 259.2 kati ya mabilioni kwenye ripoti ya CAG

    Hii inaonyesha ni kwa namna gani TAKUKURU wamejipanga kukabiliana wezi wa mali za umma. Yamepotea mabilioni na mikataba ya magumashi ila WAMEFANIKIWA kuokoa Shilingi milioni 259.2 lazima tuipongeze ni hatua kubwa.
  15. Waufukweni

    Mdau: Bilioni 151 zilizozidi kwenye ujenzi wa Uwanja wa Arusha zingeweza kujenga Barabara ya lami Kilometa 151

    Huu hapa uchambuzi wa Mdau kuhusu ripoti ya CAG akidai Tsh. Bilioni 151 zilizozidi kwenye ujenzi wa Uwanja wa Arusha zingeweza kujenga Barabara ya lami Kilometa 151 Ripoti ya CAG: CAG: Mradi wa ujenzi wa Uwanja Arusha ulikadiriwa bilioni 187, mkataba ukasainiwa bilioni 338
  16. H

    Sababu ya Rais kupewa ripoti ya CAG kila mwaka ni muhimu sana kwa uwajibikaji na uendeshaji mzuri wa Serikali

    . Hizi ndizo sababu kuu: 1. Uwajibikaji wa fedha za umma Ripoti ya CAG inaonyesha jinsi fedha za serikali zilivyotumika. Rais anapewa ili ajue kama fedha zimetumika vizuri au kuna ubadhirifu. 2. Kugundua makosa na ufisadi CAG huchunguza matumizi mabaya ya fedha, wizi, au ukiukwaji wa sheria...
  17. K

    Tatizo la ripoti ya CAG: Watekelezaji wanapata madaraka kwa wizi, leo eti tuwaamini kutekeleza

    Mama Samia anaona kama anapotezewa muda tu kwasababu anachofikiria ni makusanyo ya pesa ili wapige deal na marafiki na ndugu zake! Mfano deal ya Kia na miradi mingi. Hakuna hata nia ya kupambana na rushwa. Wizi wa kura, utekaji, uzuiaji wa wapinzani yote haya yanaonyesha hatuna wazalendo...
  18. Roving Journalist

    Ripoti ya CAG: Bwawa la Mwalimu Nyerere limesababisha hasara ya Tsh. Trilioni 1.48

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere amegusia changamoto za Mradi wa Kufua Umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere na kueleza kuwa umesababisha hasara ya Tsh. Trilioni 1.48 kutokana na kushindwa katika Baraza la Usuluhishi. Ameeleza hayo katika Ripoti ya ofisi...
  19. Roving Journalist

    Ripoti ya CAG: Bwawa la Mwalimu Nyerere limesababisha hasara ya Tsh. Trilioni 1.48

  20. Waufukweni

    CAG: Mradi wa ujenzi wa Uwanja Arusha ulikadiriwa bilioni 187, mkataba ukasainiwa bilioni 338

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere akisoma ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025, Machi 30, 2026 amesema alibaini upungufu katika mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Arusha, ambapo ulikadiriwa kugharimu Tsh. Bilioni 187 lakini mkataba ukasainiwa kwa Tsh...
Back
Top Bottom