caf

Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
  1. Gordian Anduru

    Tanzania's firsts in CAF competitions

    First Tanzanian team to play in CAF competitions: Young Africans S.C. (Yanga) was the first Tanzanian club to participate in CAF competitions, making their debut in the African Cup of Champions Clubs in 1969, where they reached the quarter-finals. First to reach the African Cup of Champions...
  2. ngara23

    Mashabiki wa Simba wahoji kuhusu michango ya faini ya CAF kama ililipwa kweli

    Mashabiki wa Simba wamepaza Sauti na kuhoji kama michango iliyoitishwa na Meneja Habari wa klabu hiyo kama ililipwa kama lilivyokuwa kusudio Kimsingi kama timu inashiriki mashindano ya CAF, timu hiyo ikitozea faini pesa hiyo Huwa inakatwa kwenye pesa ambayo wangelipwa, wala haina haja ya timu...
  3. M

    Pongezi kwa Eng. Hersi kwa kuchaguliwa mjumbe Kamati ya Mashindano CAF!

    Nakupa pongezi kwa sababu huwezi kufikia kumi bila kuanza na moja mwendo wako uko kwenye njia sahihi, na mwelekeo wako ni mzuri! Kuchaguliwa kuwa mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya CAF si jambo dogo; umefanya kazi kubwa na kufanikisha mengi. Nafasi hii inakupa nafasi ya moja kwa moja kushiriki...
  4. Minjingu Jingu

    CAF wanaipendelea Simba? Hii tena imenishangaza. Ina maana hawaoni juhudi zetu hawa watu?

    Simba wameongezewa muda na CAF. Sisi Yanga hatupendwi kila sehemu. Huu ni uonevu. Hata sisi tupo Shirikisho na tumeingia robo fainali tunastahili kuongezewa muda. Waache uhuni hawa CAF.
  5. DELETED ACCOUNT

    Yanga mmepoteza fursa adimu ya kuipiku Simba kwenye ranking za CAF

    Leo tunaambiana ukweli. Mlipoanza kutamba kuwa mnaenda kuipiku Simba kwenye rank za CAF mlituingiza kwenye kiwewe si mchezo. Hata kama mngeipiku tu kwa muda mfupi bado kelele zenu tunazijua. Mnacheza nyumbani, mnashindwaje kupata goli 1 tu la kuwavusha? Embu acheni utani. Unashindwaje kupata...
  6. DELETED ACCOUNT

    Tathmini ya wapinzani watatu watarajiwa wa Simba hatua ya robo fainali CAF Shirikisho

    Katika hatua ya robo fainali ya mashindano ya CAF Shirikisho, Simba enaenda kukutana na timu mojawapo kati ya hizi tatu, Stellenbosch ya Afrika Kusini, ASEC Mimosas ya Ivory Coast na Al Masry ya Misri. Hii ni tathmini yangu fupi ya timu hizi tatu na aina ya upinzani ambao Simba iutegemee. AL...
  7. W

    Wakati kocha wa Yanga anasingizia ligi ya Tanzania haina ushindani baada ya kutolewa makundi, Simba yupo Nafasi ya sita CAF Ranking,

    Orodha ya vilabu bora africa baada ya hatua ya makundi
  8. N

    Uzalendo kwanza:Tunaomba 'CAF' wairuhusu Simba iwape Yanga alama mbili ili wafuzu kuingia robo fainali!

    Habari wana jukwaa... Kwa heshima na taadhima tunaliomba shirikisho linalosimamia mpira wa miguu Afrika 'CAF' waturuhusu tuwape utopolo alama mbili Ili wafuzu hatua ya robo fainali. Yanga atakuwa na jumla ya alama kumi ambazo zitaiwezesha timu hiyo kushika nafasi ya pili kwenye msimamo wa...
  9. M

    WAlioshangaa Yanga kutolewa CAF champions cup ni mambumbumbu wa soka: Yanga hufuzu mara moja robo fainali katika muda wa miaka 25!

    Huu ni utaratibu wa Yanga kufuzu robo fainali kila baada ya miaka 25! yaani robo miaka 25!! Ilifuzu mwaka 2024 baada ya miaka 25 toka ifuzu hapo awali. Itafuzu tena mwaka 2049!!!.
  10. K

    Tatizo la Umri laendelea kuitesa Yanga: Yang'olewa Klabu Bingwa Afrika -CAF

    Hatimaye Safari ya Yanga katika Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika CAF imefikia tamati Baada ya Kuruhusu matokeo ya suluhu katika uwanja wa nyumbani. Pamoja na jitihada kubwa walizofanya wachezaji na hali ya Upambanaji waliyoionyesha lakini ilionekana wazi baadhi ya Wachezaji miili...
  11. H

    Tip of the weekend michuano ya CAF

    1.YANGA VS MCA yanga win 2.SIMBA VS CONSTANTINE Constantine double chance Ni siku nyingine ya kupiga hela za bure , best wishes
  12. Kichuguu

    Mechi za CAF za kufuatiliwa Week-end hii

    Week-end hii ndipo mizunguko ya michezo ya CAF inakamilika. Kutakuwa ni michezo 16 lakini ya muhimu kufutaila ni hii hapa chini kwa vile mingine itakuwa ni ya kumailisha ratiba tu. CAF-CL Yanga Vs MC Alger: Mechi hii itaamua ni nani kati ya washindani ataingia robo finali na itakuwa ya...
  13. Vincenzo Jr

    FT: Yanga 0-0 MC Alger | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.01.2025

    Gusa. Achia. Twenda kwao. Ni ligi ya mabingwa Afrika, Yanga wakiwa nyumbani watawakaribisha MC Alger katika mchezo wa mwisho wa makundi. Ni mchezo ambao Yanga atahitaji kushinda ushindi wa aina yoyote ile ili kuweza kufuzu robo fainali. Yanga imekuwa na fomu nzuri ya matokeo kwa mechi za...
  14. GENTAMYCINE

    Hii ndiyo Simba SC mpaka muda huu tayari Mashabiki wa Simba SC wameshajichangisha Milioni 32 kati ya Milioni 100 za CAF ili ikalipwe kama Faini

    Kuna Timu moja nina uhakika wangekumbana na hili Rungu la CAF kama Wangesema wachangishane ili wakalipe Faini huko CAF kwa Mashabiki wao walivyo Masikini na Wabahili (Malugume) nina uhakika hadi hivi sasa wangekuwa na ama Shilingi Mia Tano (Jero) ya Sarafu au Elfu Moja (Buku) ya Karatasi.
  15. Labani og

    Simba waamua kutembeza bakuli kuchangia faini ya CAF

    Bakuli lishaanza kutembezwa. Mlivyokuwa mnatoa viti mnasema Ubaya Ubwela[emoji23][emoji23][emoji23]Haya toeni pesa. Na Zile za Uwanja zipo wapi kwanza? Makolo waomba kuchangia faini ya 100 million Ili kulipa faini Baada ya kuvunja viti [emoji23][emoji23] NB: yawezekana hata sio makolo...
  16. GENTAMYCINE

    CAF wasifiche kuwa waliosababisha Michuano ya CHAN kusogezwa mbele kwa Kutokamilisha Miundombinu yao ni nchi ya Kenya

    Niwalaumu mno CAF kwani kama Kenya (ambao nina uhakika ndiyo wamechelewa kuwa na Miundombinu inayotakiwa kwa Mashindano hayo ya CHAN) bado kwa kuokoa muda na kutoharibu Ratiba za Mataifa mengine (kama Tanzania na Uchaguzi Mkuu mwaka huu) wangeweza kuwapa Rwanda nafasi hiyo kwani tayari Rwanda...
  17. Dalton Elijah

    Michuano ya CHAN yasogezwa mbele hadi mwezi August, 2025

    Michuano ya CHAN ambayo ilipangwa kuanza kututuma vumbi kuanzia mwezi ujao Sasa imepigwa Danadana Mpaka mwezi August mwaka huu. Miongoni mwa sababu za Ratiba hiyo ni kutokukamilika kwa baadhi ya miundombinu kwa nchi ya Kenya, Tanzania na Uganda. Pia, CAF wametafuta Muda ambao mashindano yote...
  18. Pdidy

    CAF mmesubiri tutinge robo final mje kutuaibisha na hii adhabu ilikuwa wapi kwani?

    Nimewaza na kuwazuia sanaa Hivi kwa nini Sxafen walipewa adhabu mapema kabisaaa. Hili hali wotee walifanya Fujo na Simba siku Moja Iweje Hawa jamaa leoo wameona tumeingia robo final WANAANZA kutuadhibu Adhabu yetu ilikuwa wapiii kwani? Kwa nini wasubirie Simba tuingie robo final ndio watupe...
  19. M

    Kile kichaka cha CAF ranking kinakaribia kufyekwa rasmi na Yanga ndiyo maana stress na uoga ni mwingi upande wa pili

    Mpaka sasa Yanga anazo alama 34 kwenye CAF ranking na tayari keshaingia kwenye 10 Bora ya CAF ranking. Simba baada ya kufuzu robo fainali kafikisha alama 38, endapo Yanga atafuzu robo fainali klabu bingwa atafikisha alama 39 na kumshusha Simba! Kwa maana iyo ili Simba arudi kwenye nafasi yake...
  20. ChoiceVariable

    CAF wafute kanuni za goli la Ugenini na Head to Head, vinaondoa ladha ya mpira mfano ni Mwakarobo Simba

    Na declare interest,Mimi sio shabiki wa hizo Timu zenu za Kisiasa,Bali mpenda soka tuu Yaani Simba imeingia robo fainali wakati anaemfuatia ana uwezo wa kuzifikia pointi za Simba na Kuipita goal difference Yao. Kilichowafikisha hapo ni huu ujinga wa CAF ku entertain mambo ya goli la Ugenini na...
Back
Top Bottom