burudani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Alexido jz instagram

    TNA: ONYO TETEMEKO LA BURUDANI, ITAYOAMBATANA NA KIJIMVUA KIDOGO CHA ELNINO ISIYO UMIZA, KUITIKISA TANZANIA IJUMAA HII

    Ijumaaa hii, tar 20 nov 2026, saa 11 alfajiri, Hakikisha una akiba ya bando la kutoushaaaa ndani, hakuna kutoka mzeer, 🛌🛌💃🕺🕺🕺 mzuka sana hallo ooo, lile saniii la kimataifa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Kwa stageeeeeeeeeeeeeeeeee its ZACHARIANO ALEXIDO jr🇹🇿 Nb, huyu ni mbongo, mwenye DNA ya tanzania na...
  2. E

    Leo ni Holiday tunawasha moto! Mistari yangu mipya kwa ajili ya mashabiki wa burudani hapa JF

    Wakuu, Natumai weekend/holiday inaenda vizuri! Kama unajua umetoka kwenye "mchakamchaka wa wiki" na jasho lilikuvuja sana, huu hapa ni ujumbe wako wa ushindi. Nimeandika lyrics hizi kwa ajili ya kila anayepambana na sasa anataka "kula maisha" bila stress. Huu ni wimbo wangu mpya wa "Holiday"...
  3. Think2

    Mbeya tunapata burudani

    Uzi umekamilika maeneo ya burudani jijini mbeya hasa machimbo yetu yale 😂
  4. sinza pazuri

    Tukio kubwa sana la burudani linaandaliwa kuzima upepo wa Lissu

    CCM kwa sasa wapo bize kuandaa tukio kubwa sana kuwai kutokea Tanzania litalotumika kuzima upepo wa Lissu kufuatia hukumu ya tarehe 6 November 2026. Ni tukio litakaloiteka Africa nzima hakutakuwa na habari za Tundu Lissu mtaani wala mtandaoni. Tukio litafanyika uko pembezoni kwa walugaluga...
  5. mdogo wenu wamwisho

    Kwa nini burudani ina pesa nyingi kuliko afya na elimu? Mwalimu analipwa kidogo, lakini mchezaji au msanii anaweza kulipwa mamilioni

    Ndugu wana Jamiiforums, naomba tujadili jambo ambalo limekuwa likinipa maswali mengi kuhusu mfumo wetu wa uchumi na vipaumbele vya jamii. Fikiria mwalimu anayefundisha watoto kwa miaka mingi, daktari anayehudumia wagonjwa na kuokoa maisha, au mhadhiri anayezalisha wataalamu wa taifa. Watu hawa...
  6. M

    Ili wikiendi yako iishe ikiwa bora unahitaji burudani gani leo?

    Kuna burudani nyingi sana, mimi leo ili iishe vyema nahitaji kuburudika na mziki laini nikiwa na maji baridiii kwenye kaupepo mwanana kando ya Ziwa Mkuu wewe unahitaji burudani gani?
  7. Design Your Idea

    Dudubaya aende huko Pakistan kuna masoko maalum ya kwenda kujipatia wavulana walio jipamba kama wasichana kwa ajili ya burudani

    *dudubaya Huko bannu khyber pakhtunkhwa nchini Pakistani kuna soko ambapo wavulana hupigwa mnada hadharani
  8. S

    Wabongo wengi kulazimisha wengine kufanana nao kwenye burudani (hususani mziki)

    Wadau wa jf nimeona nitoe ya moyoni mwangu. Mimi ni mshabiki wa muziki wa dancehall toka utotoni na ninapenda zile dancehall ngumu zinazoelezea maisha halisi ya mtaani mfano ugumu wa maisha, violence, Babylon system inavyotreat watu. Yaani ukiingia getoni kwangu, ni mwendo wa gangsta tracks za...
  9. M

    AFCON 2027 BURUDANI: Awilo Kidume cha Mbeya aburudishe

    Huyu ni muimbaji wa nyimbo za asili kutoka Mbeya. Ana sauti ya kuvutia na muziki mzuri wa asili unaovutia kusikiliza hata kama huelewi anachoimba. Achaneni na hayo mabongo fleva ,sijui amapiano. Burudani AFCON iwe ni nyimbo za asili za akina Awilo na singeli za maadili.
  10. M

    Makonda anavyoitangaza Tanzania kupitia watu mashuhuri katika sanaa, michezo na burudani

    Mpango wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Paul Christian Makonda kutumia watu mashuhuri katika tasnia za sanaa na michezo kama vile Didier Drogba, Rio Ferdinand, Rick Ross na Laporta Rais wa klabu ya FC Barcelona pamoja na wachezaji wake kuitembelea, kuizungumzia na...
  11. MamaSamia2025

    Nataka nifungue mgahawa ambao nitakuwa nikionyesha video za Prof Janabi muda wote kama burudani

    Nimeamua kuja na huu ubunifu. Hela nitapiga. Unapata msosi huku ukitazama video za Prof Janabi akishauri mambo ya afya. Itakuwa ni burudani kwa wateja wangu. Natumaini wateja watafurahi. Una maoni gani kuhusu hii idea?
  12. N'yadikwa

    Kongole sana Gen Z, kwenye burudani hampoi na hamboi kabisa! 😂👏

    Kuanzia Leonardo, yule jamaa wa "Tutakufuatilia", Eliud na mkewe, Koy Mzungu, Mama Mawigi, Mwenyekiti, Big na wenzie, Mlima Viazi Nziku kule Njombe, Wanyalu Tulizo na wenzie kitefu cha makani, Mwalimu wa Songea, rais wa mawinga na demu wake (huyu namcrush), Nyanda Kabundi (the lake zoner na...
  13. KakaKiiza

    Kwanza wanatuchukuliaje hizi TV Station zilizopo nchini zipo kutupa burudani au ilimradi?

    Wana Jamvi Heshima yenu. Mimi nimekuwa nikipenda kutazama station za Television hasa hizi za kulipia za Ndani ya Nchi na za Nje ya Nchi nimegundua kuna utofauti mkubwa sana ,pia nikaja kuona Mamlaka zinzosimamia zimebweteka na kama hazijui majukumu yao. Nianze na Television Station za Ndani...
  14. Jack Daniel

    Pombe ikitumiwa kwa usahihi ni burudani isiyo na mpinzani

    Salaam jamiiforum. Pombe ni burudani ambayo ipo tangu enzi za manabii,ikiwa ni moja ya burudani nzuri,yenye kukutanisha marafiki,wachapakazi pamoja na wazalendo. Sisi wenyewe ni mashahidi ni mara nyingi makampuni kadhaa ya pombe yamekuwa yakipewa sifa na tuzo Kwa kuwa rekodi nzuri kwenye pato...
  15. ndege JOHN

    Mabeef ya mastaa yanayoshamiri nchini sio burudani tu, ni kioo cha hali ya jamii tuliyonayo

    Siku hizi ukiangalia mitandao ya kijamii Tanzania kuna kitu kinaonekana wazi sana, ma-beef kati ya watu maarufu yameongezeka kwa kiwango kikubwa. Kila wiki kuna mtu kagombana na mwenzake, wengine wanachambana kwenye podcast, wengine Instagram story, wengine wanafichuana siri live kabisa mbele ya...
  16. C

    Umewai kutumia kiasi gani kikubwa cha pesa kwenye burudani ndani ya siku moja?

    kiasi gani cha pesa amnacho umewahi kukimaliza kwa siku moja kwenye burudani fulani? Binafsi weekend iliyopita nimetumia arround 1800usd, hapo tunaongelea zaidi ya 4M kuitumia kwa siku moja!
  17. M

    Uraibu wa Internet: Kukosa access ya internet huwa kunaathiri vipi siku yako ?

    Leo hii watu wengi hutumia muda mwingi kwenye Internet iwe kwa smartphone, TV, games, Laptop, n.k. hasa kwa ajili ya burudani kama kuangalia videos za muziki, highlights za mpira, kucheza games, au kuperuzi mitandao ya kijamii. Je unapokosa internet, siku yako inaendelea kawaida au unahisi...
  18. Waufukweni

    Baraza la Sanaa Zanzibar (BASSF) lasitisha shughuli za muziki na burudani kipindi cha Ramadhani

    Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu Zanzibar limetoa taarifa Kuelekea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani linawakumbusha wamiliki wa maeneo ya kumbi za starehe na Burudani, wapigaji wa muziki na Wananchi wote kwa ujumla kwamba Shughuli za upigaji wa muziki kwa kipindi cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani...
  19. Eli Cohen

    Ponografia inakufundisha kuwa ngono ni burudani, nina uhakika hii ni moja ya sababu ya kuongezeka kwa ufuska na watu kufanyiana matendo ya kinyaa

    Ok, hakuna jipya katika dunia, lakini sometime back matendo ya ngono yalikuwa faragha na ngono haikuwa hyped namna hii, ngono ilionekana kama jambo la siri, aibu na muda mwingine sacred. Ila sasa hivi binti wa miaka 19 ndio anakufundisha style, kijana wa kiume ameruka na mademu wee hadi...
  20. Mad Max

    Tupate Burudani Kidogo: Tuonane Paradiso - Joshua Mlelwa

    Tukumbushane wote tutakufa. Hafu tutaonana tena afterlife. Either Peponi aubon fire. https://youtu.be/9ooC1a-oQjo?si=iiw-dEXyZwLK8nXY
Back
Top Bottom