bunge

  1. Echolima1

    Hili ndilo Bunge jipya la 26th la Knesset huko Israel l

    Bunge la 26 la Israeli lililochaguliwa hivi karibuni limeapishwa leo, huku wabunge 120, wakiwemo wapya 46, wakichukua madaraka kufuatia uchaguzi wa Oktoba 27 uliomnyang'anya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu wingi wake wa viti bungeni. Kambi ya upinzani ya Gadi Eisenkot ilipata saini 61 za...
  2. K

    Mpango wa Samia ni kuuwa Bunge na Mahakama. Kafanikiwa kwenye Bunge je mahakama🤦🏾‍♂️

    Je Samia atafanikiwa kupoteza mahakama kama Bunge hili la wajinga jinga na machawa! Majaji naona wanamsaidia kwa kasi sana
  3. H

    Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba aahirisha bunge

    Leo nimewasilisha hotuba ya kuahirisha Mkutano wa Tano wa Bunge la 13, jijini Dodoma, nikisisitiza uwajibikaji katika matumizi ya fedha za umma na utekelezaji wa maazimio ya Bunge. Fedha za umma ni kodi za wananchi. Chini ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, tutaendelea...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Bunge laridhia azimio la Tanzania kujiunga na mkataba wa usalama angamtandao (mkataba wa malabo)

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia Azimio la mapendekezo ya Tanzania kujiunga na Mkataba wa Umoja wa Afrika wa Usalama wa Angamtandao na Ulinzi wa Taarifa Binafsi wa mwaka 2014, maarufu kama Mkataba wa Malabo. Azimio hilo limewasilishwa Bungeni na Waziri wa Mawasiliano na...
  5. Deus Jovin

    Kangi Lugola Acharuka kwa Kuandaa Muswada Chini ya Hati ya Dharula: Anataka Bunge Limpe Meno CAG kwa Ajili ya Kuwashtaki na Kuwafunga Wezi Serikalini

    Mhe. Kangi Lugora, Mbunge wa Mwibara Hatimaye, ni kama, Kangi Lugola, mbunge mkongwe wa jimbo la Mwibara, lililoko katika Wilaya ya Bunda, Mkoa wa Mara, ameamua kuachana na maneno ya miaka nenda rudi yasiyo na vibwagizo vya matendo. Baada ya moto kuwaka huko bungeni kutokana na madudu yaliyomo...
  6. Roving Journalist

    Bunge la 13, Mkutano wa 5, Kikao cha 8 Tarehe 05 Novemba, 2026, Asubuhi

    https://www.youtube.com/watch?v=lp2b2bJzLvU
  7. Roving Journalist

    Bunge La 13, Mkutano Wa 5, Kikao Cha 6 Tarehe 03 Novemba , 2026, Asubuhi

    https://www.youtube.com/watch?v=7S-uLGhMxNs
  8. A

    KERO Madereva na Makatibu wa Wabunge hatupati posho zetu tunazostahili

    Madereva na Makatibu wa Wabunge hatupati posho zetu zinazostahili wakati wa shughuli za Bunge, licha ya posho hizo kuainishwa kwenye vitabu vya Bunge. Je, fedha hizo zinaishia wapi? Tunaomba suala hili lifuatiliwe ili kuhakikisha tunapata stahiki zetu na uwajibikaji unazingatiwa.
  9. D

    Ahsante Mungu, Raisi wa bunge la Ulaya kaumbuka; karma ya kumpotezea mstahiki wa kweli, Bob Wine, yamlamba🙏🙏

    Ni Bob Wine pekee kutoka ukanda huu wa afrika mashariki ndiye aliyestahili kushirikishwa kwenye hizo tuzo. anapambana nyumbani (Uganda), hajawahi kukimbia Wala Hana passport ya nchi nyingine mfukoni. hatumiki na mabeberu, anapambania kweli Waganda familia yake ipo Uganda kama yeye, hajaificha...
  10. O

    Bunge lapitisha Mswada unaondoa sharti la IEBC kutangaza Matokeo ya Uchaguzi Mubashara

    Bunge la Kitaifa limepitisha Mswada wa Marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa mwaka 2024 unaolenga kuondoa sharti la kisheria linaloihitaji Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kutangaza matokeo ya uchaguzi kutoka vituoni mubashara. Hatua hiyo ilichukuliwa Alhamisi, Oktoba 22, 2026, na kuibua...
  11. L

    Kitendo Cha Bunge La Ulaya Kumnyima Lissu Tuzo Ni Ishara ya Wazi Kuwa Hata Wao Wameona Wazi Kabisa Lissu Ni Mhaini na Hawawezi Kuichafua Tuzo Yao.

    Ndugu zangu Watanzania, Tulishasema sana na nilishasema wazi kabisa huku Jukwaani Ya Kuwa Lissu hapaswi kuwepo Uraiani katika Siku zake zilizo salia Hapa Duniani. Lissu anastahili Adhabu kali sana itakayo kuwa Fundisho Kwa Wavunja sheria wa hapa Nchini. Lissu anastahili Adhabu ambayo itabakia...
  12. J

    Spika wa Bunge Mussa Azzan aishambulia Chadema waziwazi. Je, madai yake ni sahihi, au amejizima data?

    ..Msikilizeni Spika wa Bunge akiwashambulia Chadema. ..Tatizo langu mimi liko katika madai aliyoyatoa. ..Kwa maoni yangu ni kwamba CCM wamejizima data kuhusu matatizo ya kisiasa ya Tanzania. ..Chadema hawana silaha, na hawahusiki na utekaji, utesaji, na mauaji. ..Kwa kauli hii ya Spika Zungu...
  13. Wizara ya Ardhi

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii yakagua miradi ya NHC

    Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Timotheo Mzava (Mb), imekagua maendeleo ya ujenzi wa miradi mitatu ya nyumba inayotekelezwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) jijini Dodoma. Ziara hiyo imefanyika Oktoba 19, 2026, ambapo...
  14. O

    Bunge lapitisha Muswada wa Kulinda Haki za Mama Wanaonyonyesha Kazini

    Bunge la Kitaifa la Kenya limepitisha Muswada wa Breastfeeding Mothers Bill, 2024, unaolenga kuimarisha ulinzi wa kisheria kwa akina mama wanaonyonyesha na kuwasaidia kusawazisha majukumu ya kazi na malezi ya watoto. Muswada huo, uliodhaminiwa na Mbunge Mteule Sabina Chege, unapendekeza...
  15. O

    Askofu Mwenye Mshahara wa KSh1.2M kwa Mwezi Afungua Kesi Dhidi ya Kanisa Aliloanzisha, Adai KSh21M

    Mwanzilishi wa kanisa la Mamlaka Hill Chapel, Askofu Charles Muhia Ng’ang’a, amefungua kesi katika Mahakama ya Ajira na Mahusiano ya Kazi jijini Nairobi akitaka kurejeshwa kwenye nafasi yake baada ya kufutwa kazi, huku akidai fidia ya zaidi ya KSh21 milioni. Ng’ang’a, ambaye alikuwa akipokea...
  16. J

    Uislam unazidi kwenda kuitawala Dunia, Binti wa Kisomali achaguliwa Bunge la Uingereza

    Sagal Abdi-Wali aliapishwa Jumatatu kama mbunge wa Chama cha Labour katika Bunge la Uingereza, huku akiweka mkono wake juu ya Quran wakati wa kula kiapo. Anatajwa kuwa mbunge wa kwanza mwenye asili ya Somalia katika historia ya Uingereza. Abdi-Wali, ambaye aliwasili Uingereza akiwa mtoto...
  17. USSR

    Picha saneta kali Kareni Nyamu azua Gumzo nchini kenya baada ya kupigwa picha akinyonya kidole gumba ndani ya bunge ,je kunyonya gumba ni ishara mpw

    Wakenya wamechukizwa wakisema alikuwa anaangalia video za ngono na kuwa na hamu ya mdushelele Wamemtaka kuolewa sasa maana yeye ni kiongozi na analipwa pesa kutumika sio kuwaza ngono muda wote inadaiwa hana mme . Je kunyonya dole gumbe kule chini panakuwa pamelowa USSR
  18. M

    Tulia Ackson Mwansasu: Baada ya kupigwa chini Uspika, apigwa chini tena Urais wa Mabunge Duniani

    N:B: Urais wa mabunge ni 1 term Mambo yameenda mrama! Baada ya kupigwa chini kwenye kiti cha Uspika wa Bunge la Tanzania, Dr. Tulia Ackson hakuwa na budi kuachia ngazi kwenye kiti cha Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). Kwenye uchaguzi uliofanyika Arusha leo tarehe 9 Oktoba 2026, Milton...
  19. Troll JF

    Spika wa Bunge la Uingereza aipongeza Tanzania

    Kumekucha: Spika wa Bunge la Uingereza, Sir Lindsay Hoyle ameipongeza Tanzania kwa mchango wake katika diplomasia ya kibunge pamoja na juhudi za kuimarisha maendeleo ya kiuchumi na ushirikiano wa Kimataifa. Akizungumza katika mahojiano maalum pembezoni mwa Mkutano Mkuu wa 153 wa Umoja wa...
  20. K

    Miaka 5 : Je imani ya Bunge , Mahakama, Vyombo vya usalama umeongezeka au kupungua

    Miaka 5 : Je imani ya Bunge , Mahakama, Vyombo vya usalama umeongezeka au kupungua Kwa mawazo yangu umepungua kwa asilimia zaidi ya 100%
Back
Top Bottom