bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Chuo gani bora kwa uandishi wa Habari ukanda wa Africa mashariki

    Habari zenu wakuu, Niko na mdogo wangu anamaliza diploma yake mwakani ya uandishi wa habari SAUT. Lengo langu akimaliza mwakani nimpeleke akasome degree yake nje ya Tanzania ukanda huu wa mashariki ya Africa Hivyo ningependa kufahamu kwa anayejua, chuo gani ni bora kwa hiyo fani kwa nchi za...
  2. Kati ya Ronaldo na Salah nani alistahili tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Septemba?

    Baada ya Ronaldo kutangazwa leo kuwa ameshinda tuzo ya mchezaji bora Septemba, kumeibuka minong'ono kuwa tuzo hiyo alistahili kutwaa Mohamed Salah wa Liverpool! Hata mchambuzi maarufu wa BBC Match of the day, Gary Lineker amekiri kuwa Salah alitakiwa ndio awe mshindi. Je wewe mchambuzi wa JF...
  3. Kwa mahitaji ya ujenzi wa tiles, tarazo, Mable, mosaic na tangastone njoo hapa

    Kwa mahitaji ya kujengewa tiles, tarazo, Mable, mosaic na tangastone kwa gharama nafuu na kwa kazi safi, inayodumu na usalama wa mali zako tuwasiliane kupitia no; 0782369491 au what'sApp 0654121218 kwa picha zaidi za kazi zetu. Tujenge pamoja. YOU ARE FRIENDLY WELCOMED 🎈
  4. Kwangu mimi huyu ndio kachero bora na mwana mikakati hodari zaidi ya Membe

    Habari za asubuhi ndugu zang wa JF, Ama baada ya salam naomba nielekee sasa kwenye mada yangu. Ndugu zangu wakati nchi yetu inalazimishwa kuingia katika mfumo wa vyama vingi na nchi za magharibi, serikali ya Tanzania chini ya raisi wa wakati huo mzee Rukhsa ilikataa mfumo huu kwa kuona kwamba...
  5. Pata mbao bora na nzuri kwa bei poa

    Mbao Tanzania⚠️je,unatafuta MBAO IMARA zenye Dawa(TREATED),zilizokomaa kwa zaidi ya miaka 15 Na Zisizoharibika kwa kuliwa na MCHWA? kwa BEI POA KABISA 💥 ⚠️Tupo ILALA BUGURUNI,karibu na daraja la buguruni. Jina la ofisi ni MBILINYI TIMBER ⚠️WASILIANA NASI KABLA YA KUJA KUEPUKA UTAPELI...
  6. Share your best poem(s)/ Share shairi lako bora.

    Some say nothing gold can last forever, And 2 believe this need no proof, I have witnessed all that was pure in me, And be changed by the evil men can do , The innocence possessed by children , Once lived inside my soul , But surviving years with criminal peers, Has turned my warm heart to...
  7. Muziki wa leo umeshindwa kuwa bora kuliko wa zamani

    MUZIKI WA LEO UMESHINDWA KUWA BORA KAMA ZAMANI My fellow citizens natumaini mko poa. Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Kwa siku kadhaa nilikuwa kimya hadi wengi wenu mkawa mnaniuliza nini kimenipata. Niwatoe hofu kwamba niko salama kabisa ila kwa sasa nimeona niongeze elimu kwa...
  8. Wewe mdau wa JF, username ipi ukiachana na unayotumia inakuvutia?

    Kwangu mimi user name zinazonivyutia ni Mzee Mwanakijiji @ financial servise Chief mkwawa @bak. Je wewe mdau mwezangu ni user name gani inayokuvutia
  9. H

    Ipi ni njia bora zaid kwenye kuanza ujenzi wa nyumba kati ya hizi mbili

    Waungwana naombeni mnisaidie, je ni ipi njia bora ya kuanza ujenzi wa nyumba endapo tayari una kiwanja kati ya hzi zifuatazo: 1. Kumtafta surveyor wa ku survey eneo la kiwanja na ku design nyumba kulingana na eneo lilivo, na gharama za kumlipa huyo surveyor zipoje au 2. Kununua...
  10. Moja ya jambo bora kufanywa na Magufuli ni kuanzisha kiwanda cha sukari Bagamoyo

    Magufuli alimpatia mzee Bakhresa ekari karibia Elfu ishirini huko Bagamoyo ili alime miwa na kuzalisha sukari. Jamaa kafanya kweli. Inakadiriwa kuwa nchi yetu mahitaji ya sukari kwa mwaka ni tani 700,000 lakini uzalishaji ni kama tani 400,000. kiwanda cha Bakhresa kinategemewa kuzalisha tani...
  11. Biashara 5 bora za mtaji mdogo za kufanya ata ukiwa nyumbani

    Kuanza biashara kunahitaji maandalizi. Nikimaanisha unahitaji kuwa na maarifa flani tofauti kulinganisha na wale uliowakuta ili ata nao pia wajifunze kutoka kwako. Ikiwezekana na wewe uendelee kujifunza kutoka kwao. Kwenye kipengele hiki tutaenda kuangalia namna ya kufungua biashara ukiwa...
  12. Ni ajabu huyo anayelaumiwa ndiye alikuwa Mfungaji bora namba mbili msimu uliopita

    Mashabiki wa Mpira wa Tanzania ni wa ajabu sana, ni kama kundi la Watu tusiojua haswa tunataka nini. Leo hii mnamdhihaki Mtu aliyefunga magoli mengi kuliko Wachezaji wote wa ligi msimu uliopita akipitwa na Mchezaji mmoja tena kwa kuzidiwa goli moja tu?. Kama yeye analaumiwa ni nini mnawaambia...
  13. Elimu bora inahitaji ushiriki wa wazazi na walezi

    Katika makala zilizotangulia niliweka bayana kuwa ili tuweze kupata elimu bora tunahitaji mambo gani; kwa ufupi tu nilianisisha suala la mazingira bora ya kujifunza na kufundishia, vifaa vya kujifunza na kufundishia waalimu bora, ushiriki wazazi na walezi pamoja na suala zima la stahiki na...
  14. Utoaji wa elimu bila malipo uendane na uboreshaji wa stahiki za watumishi ili kuhakikisha elimu bora

    Nitumie ukurasa huu kuipongeza serikali ya awamu ya tano katika suala zima la kuendelea kupambana na umaskini kwa kujikita katika kujenga Tanzania ya viwanda ambapo kwa matarajio makubwa ni dhahiri kwamba siku za mbeleni suala la ukosefu wa ajira kwa kiasi kikubwa litakua limepungua. Hii...
  15. M

    SoC01 Namna Bora na Endelevu ya Kutatua Tatizo la Mrundikano wa Machinga Katika Maeneo Yasiyo Rasmi kwa Biashara

    Utguanlizi: Machinga ni jina maarufu wanaloitwa wafanya biashara ndogondogo wa mijini na vijijini kote nchini. Wafanyabiashara wa kundi hili wanatabia ya kuhamahama kutembea huku na kule kutafuta maeneo wanayoona wanapata wateja wengi wanaowaungisha bidhaa zao. Utamaduni huu wa kuhamisha...
  16. Bora Ronaldo hakuenda man city

    Nilishtushwa sana na tetesi zilizokjwa zinsema ronaldo to the citizen Nikajisemea na vitimu vyetu hivi vibovu tutalia na kusaga meno Mungu sio Ambagile cr7 huyo utd anateseka tu timu hovyo kocha hovyo kila mechi wanaruhusu mabao wapo wazi nyuma wanaruhusu tu Angeenda Man city timu za hovyo...
  17. 2021 UNGA: Hotuba ya Rais wa Ghana, Nana Akufo Addo Ndiyo Hotuba Bora Kabisa Inayogusa Mambo Mtambuka Yanayolikabili Bara la Afrika

    Hii hotuba kwa kweli imegusia maswala ya msingi sana na ambayo marais wengine wameogopa kuyaongelea kwa kuwaogopa donor countries. Mojawapo ya hayo mambo ni kama yafuatayo: 1. Afrika inatakiwa kujenga uchumi ambao hautegemei misaada na mikopo, kwa sababu uzoefu wa muda mrefu na wenye uchungu...
  18. M

    SoC01 Mashauri kumi (10) juu ya Utawala Bora Tanzania

    MASHAURI KUMI (10) JUU YA UTAWALA BORA TANZANIA Nawasalimu kwa Salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwangu mimi uzalendo sio kuvaa bendera, bali ni kufanya mambo anuai kwa ajili ya maendeleo ya taifa na wananchi wake kwa ujumla. Kutokana na chembechembe za Uzalendo zilizonikaa moyoni...
  19. U

    Vyakula bora vya msingi kwa afya ya jamii

    Tunaambiwa kuwa kuishi vizuri ni pamoja na kula chakula bora na sahihi. Pia, mtu anayeishi vizuri ni yule ambaye hasumbuliwi na maradhi hatari na njia pekee ya kuulinda mwili dhidi ya maradhi hatari ni kujua ipasavyo na kuvitumia vyakula bora pamoja na kufanya mazoezi. Katika makala yafuatayo...
  20. U

    Orodha ya baadhi ya vyakula vinavyotajwa kuwa bora (super foods)

    Tunaambiwa kuwa kuishi vizuri ni pamoja na kula chakula bora na sahihi. Pia, mtu anayeishi vizuri ni yule ambaye hasumbuliwi na maradhi hatari na njia pekee ya kuulinda mwili dhidi ya maradhi hatari ni kujua ipasavyo na kuvitumia vyakula bora pamoja na kufanya mazoezi. Katika makala yafuatayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…