bongotech255

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teknolojia ni Yetu sote

    Kumbe Zanzibar ilikuwa sehemu ya mtandao wa NASA

    Inawezekana umeshangaa lakini ndo ukweli kwamba NASA Taasisi kubwa ya Marekani inayohusika na Masuala ya Anga iliwahi kuwepo Zanzibar 👋. Hii ni historia ambayo Watanzania wengi huenda hawaifahamu! 🇹🇿 Miaka ya 1960, NASA ya Marekani ilikuwa na kituo cha kufuatilia vyombo vya anga kilichopo...
  2. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗔𝗽𝗽 𝗸𝘂𝗳𝗶𝗰𝗵𝗮 𝗻𝗮𝗺𝗯𝗮 𝘆𝗮𝗸𝗼 𝘆𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂

    Hivi utajisikiaje ukawa na uwezo wa kutumia WhatsApp bila kila mtu unayewasiliana naye kujua namba yako ya simu! 👀 WhatsApp inafanyia majaribio mfumo mpya wa Phone Number Privacy unaolenga kuongeza ulinzi wa faragha kwa watumiaji. 💑 Ukiweka Everyone – Kila mtu anaweza kuona namba yako. 📞...
  3. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗧𝗮𝗵𝗮𝗱𝗵𝗮𝗿𝗶 𝘂𝘀𝗶𝗺𝗯𝗶𝗹𝗶𝗲 𝗸𝘂𝗳𝗮𝗻𝘆𝗮 𝘂𝗽𝗱𝗮𝘁𝗲 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮𝗸𝗼

    Kuna taarifa zinasambaa mitandaoni kuhusu baadhi ya watumiaji wa Android kukumbana na tatizo la Boot Loop baada ya kufanya update ya Google Play System na simu kujifanyia Restart. Tatizo hili linaweza kuifanya simu yako ishindwe kuwaka kikamilifu, badala yake kubaki kwenye logo na kujirudia...
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗞𝘄𝗮 𝗵𝗶𝗶 𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 𝗛𝗮𝗽𝗮𝗻𝗮 𝗯𝗵𝗮𝗻𝗮👋

    Dear Google Do better Please 💡 Google bhana sijui anajionaje, Google imeongeza uwezo wa kubadilisha muonekano wa App Icons kwenye simu za Pixel kupitia Custom Icon Styles, lakini inaonekana si kila mtu ameridhishwa na matokeo yake! 👀 Baadhi ya mitindo ya icons inaonekana kutokuwa na mvuto...
  5. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗜𝗳𝗮𝗵𝗮𝗺𝘂 𝗸𝗮𝗺𝗽𝘂𝗻𝗶 𝗶𝗻𝗮𝘆𝗼𝘂𝘇𝗮 𝗠𝘄𝗮𝗻𝗴𝗮𝘇𝗮 𝘄𝗮 𝗝𝘂𝗮 𝗡𝘆𝗮𝗸𝗮𝘁𝗶 𝘇𝗮 𝗨𝘀𝗶𝗸𝘂

    Hivi utajisikiaje ukawa unanunua 😃 Mwanga wa Jua usiku ili kuweza kupata Mwangaza ?? We Fikiria tu ni saa 2 usiku, lakini bado unaweza kupata mwanga unaofanana na wa jua mchana! 😳🔥 Kampuni ya teknolojia kutoka Marekani, Reflect Orbital, inaendeleza wazo la kutumia satelaiti zenye vioo vikubwa...
  6. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗛izi hapa Websites 𝟱 za nguvu wengi hawazijui kabisa

    Unatumia intaneti kila siku, lakini je, unazijua website hizi zinazoweza kukurahisishia maisha? 👀📱 Hizi hapa website 5 ambazo ukizijua, unaweza kujiuliza kwa nini hukuzigundua mapema! 🤯👇 🔥 Hizi si website za kupoteza muda, bali ni zana zinazoweza kukusaidia kufanya mambo mengi kwa urahisi...
  7. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗛𝗶𝘇𝗶 𝗵𝗮𝗽𝗮 𝗦𝗮𝗺𝘀𝘂𝗻𝗴 𝗚𝗮𝗹𝗮𝘅𝘆 𝘇𝗶𝘁𝗮𝗸𝗮𝘇𝗼𝗽𝗼𝗸𝗲𝗮 𝘂𝗽𝗱𝗮𝘁𝗲 𝗵𝗮𝗱𝗶 𝗺𝘄𝗮𝗸𝗮 𝟮𝟬𝟮𝟵

    Kama Unatumia Samsung Galaxy A Series? Basi usikimbilie kubadilisha simu yako! 👀 Kuna baadhi ya simu za Samsung Galaxy ambazo zitaendelea kupata Security Updates na Android support hadi kufikia mwaka 2029, zikisaidia kulinda simu dhidi ya vitisho vya kiusalama hata baada ya masasisho makuu ya...
  8. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 𝗸𝘂𝗼𝗻𝗴𝗲𝘇𝗮 𝘂𝘀𝗮𝗹𝗮𝗺𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗔𝗻𝗱𝗿𝗼𝗶𝗱 𝟭𝟴 𝗛𝗶𝗶 𝗶𝘁𝗮𝗸𝘂𝗮 𝗵𝗮𝘁𝗮𝗿𝗶 🔥

    Google inakuja na mabadiliko kwenye mfumo wa Contacts Permissions kwenye Android 18, kwa lengo la kuongeza Privacy na kuimarisha Usalama wa taarifa zako.🛡️ 📌 What's changing? ✅ Apps zitakuwa na njia salama zaidi za kuongeza add au ku edit contacts. ✅ Kupunguza ruhusa zisizo za lazima...
  9. Teknolojia ni Yetu sote

    🚨 𝗧𝗮𝗵𝗮𝗱𝗵𝗮𝗿𝗶 𝗛𝗮𝗰𝗸𝗲𝗿𝘀 𝘄𝗮𝗺𝗲𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗸𝘂𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗨𝗱𝗵𝗮𝗶𝗳𝘂 𝘄𝗮 𝗣𝗛𝗣 𝗸𝘂𝘃𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗪𝗲𝗯𝘀𝗶𝘁𝗲

    Serikali ya Marekani imetoa onyo kuhusu wadukuzi wameanza kutumia mapungufu makubwa ya kiusalama kwenye PHP, Hii ni Teknolojia inayotumika kuendesha mamilioni ya tovuti Duniani. 🌍 Kupitia mapungufu haya, wadukuzi wanaweza kuingia kwenye seva zilizoathirika bila ruhusa ya mmiliki, jambo...
  10. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗪𝗮𝗸𝗲𝗻𝘆𝗮 𝗸𝗶𝗯𝗼𝗸𝗼 𝘄𝗮𝗺𝗲𝘂𝗻𝗱𝗮 𝗴𝗮𝗿𝗶 𝗹𝗶𝗻𝗮𝗹𝗼𝗳𝗮𝗻𝗮𝗻𝗮 𝗻𝗮 𝗧𝗲𝘀𝗹𝗮

    Wakenya hii balaa 😃😃 Wakenya bhana wamebaki midomo wazi baada ya gari lenye muonekano wa kipekee kama Tesla Cybertruck kuonekana likipita katika barabara za Karatina! 🚘🤯 Kinachowafanya watu washangae zaidi ni madai kwamba gari hilo limetengenezwa nchini Kenya! 🇰🇪👏 Je, kweli mafundi wa Kenya...
  11. Teknolojia ni Yetu sote

    🚨 𝗶𝗣𝗵𝗼𝗻𝗲 𝗗𝘂𝗼 𝗬𝗮𝘁𝗶𝗸𝗶𝘀𝗮 𝗠𝗶𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼! 𝗦𝗸𝗿𝗶𝗻𝗶 𝗭𝗮𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗞𝘂𝗽𝗮𝘀𝘂𝗸𝗮, 𝗧𝗮𝘁𝗶𝘇𝗼 𝗡𝗶 𝗡𝗶𝗻𝗶? 😳📱

    Baadhi ya watumiaji wa iPhone Duo wameripoti matatizo ya skrini ya ndani kupasuka, huku kukiwa na wasiwasi kuhusu eneo la bawaba (hinge) linalosaidia simu kukunjika. 🔍📱 Dalili zilizoripotiwa ni pamoja na: 💥 Skrini kupata mistari ya mwanga mweupe. ⚠️ Mistari ya pikseli kuharibika karibu na...
  12. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗞𝗢𝗡𝗔𝗠𝗜 𝗬𝗮𝘁𝗼𝗮 𝗢𝗻𝘆𝗼 𝗸𝘄𝗮 𝘄𝗮𝗻𝗮𝗼𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗲𝗙𝗼𝗼𝘁𝗯𝗮𝗹𝗹 𝗠𝗼𝗱𝗱𝗲𝗱

    Kama wewe unatumia Game la Efootball Ambalo ni offline modded basi Kuna Habari mbaya kwako 😃 KONAMI imetoa onyo kali kwa watumiaji wa Modded eFootball na programu zisizoidhinishwa zinazobadilisha mfumo wa mchezo. Ukiukaji wa masharti unaweza kusababisha akaunti yako kusimamishwa au kufungiwa...
  13. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗩𝗜𝗧𝗔 𝗬𝗔 𝗖𝗛𝗜𝗣 𝗭𝗔 𝗦𝗜𝗠𝗨 𝟮𝟬𝟮𝟲: 𝗦𝗡𝗔𝗣𝗗𝗥𝗔𝗚𝗢𝗡 🆚 𝗠𝗘𝗗𝗜𝗔𝗧𝗘𝗞 — 𝗡𝗔𝗡𝗜 𝗕𝗜𝗡𝗚𝗪𝗔 𝗪𝗔 𝗞𝗪𝗘𝗟𝗜? ⚔️📱

    Uwanja wa teknolojia umewaka moto! 🔥 Qualcomm Snapdragon na MediaTek Dimensity zinaendelea kushindana kuleta chip zenye nguvu zaidi kwenye simu za kisasa. Lakini mwaka 2026, nani anastahili taji la bingwa? 🏆 ⚡ SNAPDRAGON: Inajulikana kwa nguvu za gaming, graphics na utendaji wa simu za...
  14. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗛𝗢𝗡𝗢𝗥 𝗜𝗠𝗘𝗟𝗘𝗧𝗔 𝗧𝗔𝗕𝗟𝗘𝗧 𝗞𝗔𝗟𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗔𝗝𝗜𝗟𝗜 𝗬𝗔 𝗚𝗔𝗠𝗜𝗡𝗚

    Kama wewe mpenzi wa Games basi hii Tablet ni balaa 🧑‍💻 HONOR imekuja na mashine ya gaming inayoweza kuwafanya gamers wengi kutamani kuimiliki! 🚀 Kwenye HONOR WIN TABLET kilichopo ndani yake: 💥 Snapdragon 8 Elite Gen 5 — nguvu kubwa kwa gaming na multitasking. ❄️ Feni ya ndani ya 15,000 RPM...
  15. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗦𝗔𝗠𝗦𝗨𝗡𝗚 𝗞𝗨𝗔𝗖𝗛𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗔𝗡𝗗𝗥𝗢𝗜𝗗

    Hii vita ya Samsung na Google ni balaa👋. Samsung inaripotiwa kutengeneza mfumo mpya wa Galaxy OS unaolenga kuunganisha teknolojia ya AI kwa kiwango cha juu zaidi! 🤖📱 Galaxy OS ni jina la mfumo wa uendeshaji unaoripotiwa kuwa Samsung inawaza kuutengeneza kwa vifaa vyake vya Galaxy kupitia huo...
  16. Teknolojia ni Yetu sote

    Samsung kuachana na Android

    Hii vita ya Samsung na Google ni balaa👋. Samsung inaripotiwa kutengeneza mfumo mpya wa Galaxy OS unaolenga kuunganisha teknolojia ya AI kwa kiwango cha juu zaidi! 🤖📱 Galaxy OS ni jina la mfumo wa uendeshaji unaoripotiwa kuwa Samsung inawaza kuutengeneza kwa vifaa vyake vya Galaxy kupitia huo...
  17. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗦𝗔𝗠𝗦𝗨𝗡𝗚 𝗞𝗨𝗔𝗖𝗛𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗔𝗡𝗗𝗥𝗢𝗜𝗗

    Hii vita ya Samsung na Google ni balaa👋. Samsung inaripotiwa kutengeneza mfumo mpya wa Galaxy OS unaolenga kuunganisha teknolojia ya AI kwa kiwango cha juu zaidi! 🤖📱 Galaxy OS ni jina la mfumo wa uendeshaji unaoripotiwa kuwa Samsung inawaza kuutengeneza kwa vifaa vyake vya Galaxy kupitia huo...
  18. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗦𝗔𝗠𝗦𝗨𝗡𝗚 𝗞𝗨𝗔𝗖𝗛𝗔𝗡𝗔 𝗡𝗔 𝗔𝗡𝗗𝗥𝗢𝗜𝗗

    Hii vita ya Samsung na Google ni balaa👋. Samsung inaripotiwa kutengeneza mfumo mpya wa Galaxy OS unaolenga kuunganisha teknolojia ya AI kwa kiwango cha juu zaidi! 🤖📱 Galaxy OS ni jina la mfumo wa uendeshaji unaoripotiwa kuwa Samsung inawaza kuutengeneza kwa vifaa vyake vya Galaxy kupitia huo...
  19. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗛𝘂𝘆𝘂 𝗠𝘁𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗸𝗶𝗯𝗼𝗸𝗼 𝘆𝗮 𝗪𝗲𝘇𝗶 𝘄𝗮 𝘀𝗶𝗺𝘂 📱👤

    Teknolojia ya Tanzania inazidi kupiga hatua! 🇹🇿👏 Anaitwa Emmanuel Mpyambala, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), amebuni mfumo unaoitwa VexGuard Anti-Theft System, unaolenga kusaidia kufuatilia simu zilizopotea au kuibwa. 📍 Mfumo huu umetajwa kuwa na uwezo wa kusaidia kutambua eneo...
  20. Teknolojia ni Yetu sote

    𝗦𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮 𝗞𝗶𝘁𝗼𝗰𝗵𝗶 𝗬𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗚𝗵𝗮𝗿𝗮𝗺𝗮 𝘆𝗮 𝗦𝗺𝗮𝗿𝘁𝗽𝗵𝗼𝗻𝗲 𝗶𝗻𝗮𝘂𝘇𝘄𝗮 𝗠𝗶𝗹𝗶𝗼𝗻𝗶 𝟭 😀

    Simu inaitwa Punkt MP02 ni simu ndogo isiyo na TikTok, Instagram wala YouTube, lakini bei yake inaweza kukushangaza! 🔥 Imejengwa kwa ajili ya simplicity, privacy na kuondoa usumbufu wa smartphone. 😮‍💨 📱 Kwa nini MP02 ni ghali? 🤑 Bei rasmi ya sasa ni kuanzia CHF 299 — takribani TSh milioni...
Back
Top Bottom