bongofleva

  1. Mkalukungone Mwamba

    PostGE2025 Babu Tale: Afande Sele aache uongo, hajazuiwa kushiriki show ya miaka 30 ya bongo flava kutokana na kauli za Oktoba 29, 2025

    Akizungumza na Mwendokasi TV, mmoja wa waratibu wa tamasha hilo, Mbunge wa Morogoro Kusini Mashariki, Hamisi Taletale maarufu kama Babu Tale, amekanusha madai kuwa kutokuwepo kwa Afande Sele katika orodha ya wasanii watakaotumbuiza kwenye tamasha lijalo la Kahama kunahusiana na kauli zake...
  2. O

    WATAALAMU WA BEAT MBONA MIMI NAHISI NYIMBO NYINGI ZA SOUTH HASA AMAPOANO NA KWAITO HAZINA SAUTI NZURI YA WAIMBAJI KATIKA USIKIVU KAMA BONGOFLEVA

    je hii ni shida au ndo maamuzi yao wazalishaji wa nyimbo hizo maana unakuta jitu linacheza club ukiliuliza ni kinaimba. Nlasambaa, nakasolembwaa x2 kah yaani sauti iko chini biti kuliko bongofleva atleast inakuwa juu ya biti au ni style sio kwamba wanakosea
  3. baloziwamitaa_

    Playlist ya Bongofleva kwa Wapenzi wa Safari

    Takribani miaka 30 ya muziki wa Bongofleva, imekuwa wazi kwamba muziki, maisha na safari huenda sambamba. Nyimbo hutengeneza kumbukumbu za kipekee zinazohusishwa na maeneo, hali ya hewa, mandhari na matukio tuliyokutana nayo safarini. Zinapounganishwa na hisia zetu za kuona na kunusa, huacha...
  4. Jaji Mfawidhi

    Je, bongo fleva ndio chanzo kikuu cha Ush

    Video za Bongo Fleva zina hamasisha Ushoga na kinyume na maumbile? Nyimbo ndio zinahamasisha/ Mashairi? Mavazi ndio yanahamasisha?
  5. G

    Bongofleva Jifunzeni kwa watu waGospel

    Jana kulifanya tamasha kubwa sana la mziki la CRDB- Imbeju na Trey Songz alikuwa ndio kivutio. Mjadala mkubwa umekuwa haswa kwenye utofauti wa uimbaji wengi wakihoji mbona alvyopanda Trey Songz mziki ulikuwa mzuri sana, sound was sounding, tofauti na ilivyokuwa walivyoimba wabongofleva. Wadau...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Kwenye mashindano ya 'Bongo Star Search' usitegemee kushinda kama utaimba nyimbo za bongoFleva halafu wenzako waimbe za kizungu.

    KWENYE MASHINDANO YA BONGO STAR SEARCH USITEGEMEE KUSHINDA KAMA UTAIMBA NYIMBO ZA BONGOFLEVA ALAFU WENZAKO WAIMBE ZA KIZUNGU. Anaadika, Robert Heriel Mtibeli Juzi nilikuwa Mbweni kwenye finali ya BongoStar Search(BSS). Nampongeza Madam Rita kwa kupambana katika project yake hiyo ambayo imekuwa...
  7. Inside10

    Miaka 30 Ya BongoFleva: Makonda Akataliwa Na Wananchi

    https://www.facebook.com/share/v/193vb1Mttf/
  8. S

    POTOSHI Rais Samia na Mwigulu wakifuatilia tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva

    Walikuwa wakitizama tamasha na kumuona Mwana FA akizomewa ukumbini.
  9. Nomadiq

    Kuna namna tu muziki wa kitambo ni mzuri, kuliko wa sasa

    Namaste everybody Heshima zenu wakuu. Muziki wa kitambo miaka hio ya wahenga kabla sisi Gen Z hatuzaliwa ulikuwa mzuri sana ukilinganisha na ya sasa. Makelele merngi sana siku hizi Vyombo vya muziki vinasikika kwa uzuri, kama ni saxophone unaisikia, guitar marimba zote unazisikia vizuri...
  10. Kingsmann

    Hizi nyimbo 2 za Bongo Fleva zilikuwa mbele sana ya wakati: "Nang'atuka" na "Nini Chanzo"

    Hizi nyimbo zina zaidi ya miaka 20, lakini yaliyoimbwa hiyo miaka 20 iliyopita ndiyo tunayaishi leo. 1. Prof. Jay - Nang'atuka 2. Juma Nature - Nini Chanzo
  11. Common Folk

    Bongofleva ya sasa ilishakosa demand hata kabla ya MO29, Majizo na wenzio amkeni usingizini

    Muziki wa Kenya ndiyo upo kwenye peak kwa sasa hata kabla ya MO29. Wakenya wako serious sana na kazi zao kuliko wasanii wa Tanzania. Mimi nasikiliza sana mixing za DJs huko youtube, na nimelipia Premium kabisa. Ukisiliza mixing ya Wabongo kisha ukasikiliza na ya Wakenya, ni vitu viwili...
  12. sinza pazuri

    Mbosso ameingia kwenye orodha ya wasanii wenye album bora za muda wote kwenye bongofleva

    Album 5 bora za muda wote ni 1. Mapinduzi Halisi - Prof Jay 2. Aka Mimi - Mangwea 3. A boy from Tandale - Diamond 4. Binti - Lady Jaydee 5. Room Number 3 - Mbosso Mbosso amefanikiwa kuingiza kwenye hii orodha EP yake baada ya kumuangusha Jay Moe n album yake y Ulimwengu ndio Mama. Hongera...
  13. Abtali Mwerevu

    Waimbaji wa Nyimbo za Kisukuma Wenye Melodies Tamu Kushinda Waimbaji wa Bongofleva

    Wasukuma ni watu wanaopenda sana utamaduni wao hasa katika suala la nyimbo. Ni kabila pekee hapa nchini Tanzania lenye waimbaji wengi pengine idadi yao ni kubwa hata kulingana na waimbaji wa bongofleva. Kama unabisha, nenda youtube andika nyimbo za kisukuma, utaona waimbaji wasio na idadi...
  14. incredible terminator

    Hawa vijana wa Bongofleva walipotelea wapi?

    Hawa Vijana hata social network zao haziko Active kabisa kuonesha hawataki hata kujihusisha na mambo ya kisanaa na kijamii, Ninachojua ni kwamba walikuwa vijana wanajitahidi sana ila Gafla walizima kama taa wala hakuna sehem wanaongelewa au kujiongelea kwenyewe. 1.FUTURE JNL, Huyu kijana...
  15. The only

    Bongo Fleva na ushirikina

    Salaam! Ndugu nawaletea ushuhuda wenye 100% ,mwaka jana katika pita pita za kutafuta maisha nikaamua nijiweke kwenye umeneja wa wanamziki ,nkazama mtaani nkaibua vipaji viwili ,ilikuwasapoti kwanza nikawapa nyumba ya kuishi tegeta ni ya kaka yangu yuko nje na huwa hataki ipangishwe ,nikawapiga...
  16. B

    Hiki kizazi kinadumazwa akili sababu ya Muziki wa Bongofleva

    Bila kufichai Tasnia ya Muziki hubeba ujumbe na nafasi kubwa Sana katiba jamii husika, Kinyume chake ikienda tofauti basi hiyo jamii huathirika kwa namna moja au nyingine, mfano bongo fleva imewahalibu vijana wengi wanaoufwatilia washindwe kujitambua wao ni kina nani na wananafasi gani hapa...
  17. Lyrics Master

    Kifo cha Mandojo pigo kwa wapenzi wa Bongofleva middle age

    Leo hii, ulimwengu wa muziki umepata pigo kubwa sana kwa kifo cha Mandojo, msanii maarufu aliyejulikana kwa umahiri wake wa kuimba na kupiga gitaa. Mandojo, ambaye jina lake kamili ni Joseph Francis, amefariki kwa njia isiyosadikika—kupigwa hadi kufa baada ya kudhaniwa kuwa ni mwizi. Tukio hili...
  18. U

    Msanii mkongwe nchini Ferooz asema kuwa enzi zao walianza kutoa show kwa kulipwa Tsh.30,000, kiingilio ni buku jero mpaka buku

    Wadau hamjamboni nyote? Soma maneno ya msanii mkongwe nchini Ferooz "Tulianza show kwa kulipwa Tsh.30,000 na kiingilio ilikuwa ni buku jero mpaka buku getini" - Feroozz mkongwe Bongofleva akiongea EA Radio
  19. W

    Ni mstari gani wa Bongo Fleva unaweza kuelezea Mahusiano yako?

    Habarini wakuu, Kuna ule wimbo wa Rayvanny "Unaibiwa" yaani huu wimbo unarelate sana mambo ya mahusiano na kudate kwa sasa. "Unadhani niwapeke ako Kumbe wengine wameshaweka kambi Kakupendea macho Wapo wengine kawapendea rangi 'Ye ni gari la dampo Hachagui taka dereva mpe ganji Wakubadili...
  20. sinza pazuri

    Fact: Prince Dully Sykes ndio muanzilishi wa muziki wa bongofleva

    Watu wengi hawajui historia ya muziki wa bongofleva na hawajui umeanzia wapi. Fact ni kwamba muasisi wa muziki wa bongofleva ni Prince Dully Sykes aka Mr Misifa. Sound hii unayoiskia leo ya bongofleva (baibuda) ilianzia kwa Dully. Kwa wasio na ufahamu, bongofleva ni muziki wa kizazi kipya...
Back
Top Bottom