bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. Fibonacci

    JamiiForums Naombeni List ya nyimbo za hiphop ya bongo, zilizokuwa mixed na nyimbo za zilipendwa (zile za zamani)

    Mfano nyimbo ya tamaduni music - Jemedari au NashMc - Mapendo...... Natanguliza shukrani
  2. Mama Debora

    JamiiForums Ambrose Dunga: Producer aliyezivunja vunja Bongo Records, MJ Records kwa ma-beat makali yenye 'back vocals'

    Jana usiku wakati nachapa code za JavaScript (hii language siipendi basi tu!!) huku nasikiliza album ya Joyner Lucas -ADHD kuna wimbo mmoja unaitwa 10 Bands uli-popup. Ndani ya ngoma hii ameshirikishwa the Legend Producer Timberland. Kwa ambao hamumjui producer Timberland tafuteni ngoma za...
  3. Adamjuma94

    JamiiForums Nani aliimba hii Ngoma?

    Huyu jamaa alikuwa ni bonge sio sana sema ana mwili wa kibabe fulani.Alitamba sana miaka ya 2000s Nakumbuka alishawahi kuwa ngoma inazungumzia kuwa anawapenda mademu wasiopenda chapaa na kitu kinachonifanya niikumbuke ile video ndani kulikuwa na muigiza wa kike enzi hizo:Sandra Sasa ningependa...
  4. Kendrick Rama

    JamiiForums Kwa hawa Rappers wa Kike Bongo wewe mkali wako ni nani?

    Rosa Ree Chemical Stosh Pinky Tammy the Baddest Cindy Rulz Frida Amani Chiku k Mimi mkali wangu ni Stosh coz huyu dada anajua kudondoka na midundo ya aina zote hasa ya tamaduni
  5. mike2k

    JamiiForums Nani mfalme wa muda wote wa chorus/collabo bongo fleva kati ya Juma Nature na Gnako Warawara

    Habari za wakati huu wakuu. Naomba kufahamu ni nani mkali wa machorus na colabo bongo kati ya hawa wasani wawili juma nature raia wa temeke na gnako chali ya chuga. juma Nature Juma Kassim Kiroboto 'Nature'. Tukumbuke chorus hizi Ugali Sonia Msela Ugali Radhia Sitaki Demu Kisa Demu Hatuna kitu...
  6. Its Pancho

    JamiiForums Facebook Bongo DJ's burudani mpya mjini

    Habari wakuu. Kipindi hiki cha janga hili la COVID-19. Kimesababisha watu wajifungie ndani (lock down). Hivyo hata maeneo ya starehe yamepungua watu. MaDJ wakubwa wakaamua kuanzisha group Facebook. Ambapo huko wamewekeana ratiba (schedule) week nzima. Kuanzia asubuhi mpka usiku mnene. Mfano...
  7. Tuelimishanee

    JamiiForums Wadau hivi hapa Bongo unaweza kutoa fedha kupitia ATM kwa kutumia Card za bank za nje ya nchi ?

    Wadau hivi hapa Bongo unaweza kutoa fedha kupitia ATM kwa kutumia Card za bank za nje ya nchi ? Na kiwango cha mwisho cha kutoa ni tsh ngapi kwenye ATM mashine kwa siku?
  8. Jamii Opportunities

    JamiiForums Senior Software Engineer at Bongo Live

    Bongo Live is a cloud communications service provider based in Dar es Salaam with a presence across 18+ African markets (www.bongolive.co.tz). Our unique service provides enterprises the ability to reach and transact with customers across Africa via sms, ussd, airtime and mobile payments...
  9. teledam

    JamiiForums Chemsha bongo

    Mwalimu akiwa katika mazungumzo na wanafunzi wake akawaambia "Kama jana ingelikuwa kesho basi leo ingelikuwa jumamosi" je mwl aliitoa kauli hiyo siku gani? Binafsi sina jibu😝😝
  10. Dong Jin

    JamiiForums Wanaowalaumu wasanii wa bongo wa mziki kwa playback hawajui mziki!

    Nipo naangalia Clouds Tv hapa wameweka moja ya show ya Chris Brown... Hatofautiani sana na anavofanyaga msanii wetu pendwa Diamond Platnumz... Zile tuimbe wote kama kawa, sauti out of normal song vocal, afu ni playback... Sa sijui kwanini wasanii wetu hapa wakifanya hivo wanaonekana bogas...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Corona: Japo ni janga, pia ni fursa. Tanzania bado hakuna maambukizi, tupunguze panic, tuongeze Elimu. WB kumwaga mihela, tuchangamkie fursa

    Wanabodi, Kuna msemo wa Kiswahili usemao "Kufa Kufaana", wakati watu wanahangaika na janga la Corona, wengine wanaangazia namna ya kutumia changamoto kuzibadili kiwa fursa, yaani turning problems, obstacles, challenges or adversaries into opportunities. Tangu dunia na taifa letu kukumbwa na...
  12. Trubarg

    JamiiForums Corona: Wasanii wa Bongo wanaongoza kwa ukilaza

    Naongelea hasa zile basics za corona ikiwemo matumizi ya vifaa kinga kama mask, gloves na sanitizer. Wakati mashirika makubwa ya Afya duniani na vyombo vingine vya habari wakihamasisha hatua stahiki za kuchukua ikiwemo kunawa mikono na kuepusha kushikana mikono na mikusanyiko isiyo ya lazima...
  13. goldcall

    JamiiForums Hivi ni kweli COVID-19 haijaingia bongo au ndio tunafichaficha kama ilivyo desturi yetu?

    Kichwa chajieleza ni wasiwasi na kuto kuamini viongozi wetu,maana ni matukio mengi, huwa hatuambiwi kwa lengo la kulinda mambo fulani katika nchi au hata jinsi tutakavyo onekana nchi za nje. By fact- Tanzania inategemea bizaha nyingi sana kutoka china, kwa mfano, pale kariakoo, bizaha nyingi ni...
  14. Randy orton

    JamiiForums Hivi Serikali imechukua hatua kufuatia ile video ya ngono inayosambaa mtandaoni?

    Kuna kila dalili ya jinai ya kubaka ikiwahusisha wanawake katika hii connection mpya mjini. Kwa uelewa wangu mdogo wa sheria zetu Tanzania, mwanamke hawezi kuwa convict kwa kosa la ubakaji unless iwe gang rape na huyo mwanamke/wanawake wahusike katika kusaidia ubakaji kufanyika. Hii connection...
  15. GRAMAA

    JamiiForums Tabia za kiboya za wasanii wa Bongo

    Bongo hapa tunawasanii wengi sana wanaofanya vizuri nje na ndani ya Bongo. Pamoja na mazuri yao wasanii hao wengi wao huwa na Gambia za ajabu ajabu sana. Mfano kila msanii na yake. 1. NIKKI WAPILI Huyu hujionaga yeye ndiye msanii msomi pekee dunia nzima hakuna. Kwenye kila media akienda...
  16. mayowela

    JamiiForums Media za Bongo na muendelezo wa Copy & Paste

    Hili suala linanishangaza sana kwa upande wa media, wenzetu wa nchi za mbali huko wao huajili watu kwa kazi maalumu tu ya ubunifu na hulipwa mshahara wa juu sana, na hiyo hufanya Redio/TV kuwa midomoni mwa watu wakati wote na kuwa undisputed. Sasa tuone hapa kwetu, na wewe utakuja na orodha...
  17. Z

    JamiiForums Ni vigumu kuamini lakini Harmonize is the new king of bongofleva. Mbeya wamethibitisha hilo. Afroeast album ndio itayotoa majibu

    Mapokezi makubwa aliyoyapokea mbeya... Yamemshtua sana kijana wetu anaepambana kuukuza mziki Wa bongo fleva. Mji wa mbeya umezizima siyo kawaida... Na hapo unaambiwa ni maandalizi ya kuupokea album. Ya afroeast . 2009 diamondplatinumz alianza hivihivi. Kama matani. Mwishowe akaubeba ufalme....
  18. mayowela

    JamiiForums Je, Bongozozo ana nia iliyojificha?

    Naweza nikasaidiwa humu kwa wajuzi, haya masuala siyafahamu kiundani ila kupitia maandiko mbalimbali, nk nimekuwa kuna watu siwaamini, nakukaa kwa umakini, kutokumuamini kila mtu, issue za usalama, upelelezi. Hivi Bongo ZOZO ni shabiki tu na mtu mwenye mapenzi na Tanzania au kuna kitu nyuma...
  19. Samedi Amba

    JamiiForums Kati ya AliBaba na Amazon, nani mkali Bongo?

    Juzi nilikuwa mtandaoni, nikastumble upon uzi unaolinganisha Alibaba na Amazon. Nikaona jinsi ambavyo wanaendana bega kwa bega kwa vitu vingi tu. Tukizingatia pia kuwa watanzania wengi wanaelekea Mashariki china dubai nk kununua vitu. Lakini swali linabaki, kati ya hawa magwiji wawili, nani...
  20. T

    JamiiForums Ratiba ya Ligi Kuu Bara: Inakuwaje Ijamaa kuna mechi halafu Jumapili na Jumamosi hakuna?

    Nashindwa kuelewa kwanini azam jana na KMC walicheza na leo hakuna game Taifa japo sijajua taifa Kuna nini Angalieni ratiba zenu TFF. Watu J. Pili Na J.mosi wako home wanasubiria burudani
Back
Top Bottom