bomu

The Bo language of West Africa, Bomu (Boomu), also identified as Western Bobo Wule, is a Gur language of Burkina Faso and Mali.
Bomu is spoken by two groups of Bwa people, the Red Bobo, Bobo Wule (also spelled Bobo Oule), and the White Bobo, Bobo Gbe, also known as Kyan (also spelled Kian, Tian, Tyan, Can, Chan) or Tyanse.

View More On Wikipedia.org
  1. Alexido jz instagram

    Ni starehe gani ulishawahi kuiona ilikushangaza sana, haya maconnection ni bomu la muda mrefu lilisubiri kulipuka tu

    Miaka hiyo ntena si zamani sana nadhani ni 2021 au 2022 kama sikosei, nilikuja dar nilikia na hela fulani hivi nikasema nikale bata. Sasa usiku nilienda pale buguruni, kuna club unaingia bure acha huku kwenye makolokolo ya kamali za wachina, hapa pembeni nika choma ndani mzee mziki huo waatu...
  2. mcTobby

    Rais wa Venezuela aliponusurika kuuawa na bomu mwaka 1960

    Rais wa Venezuela, Rómulo Betancourt, alinusurika jaribio la kuuawa kwa bomu lililokuwa limetegwa kwenye gari mnamo Juni 1960. Betancourt alikuwa rais ni mwenye msimamo wa mrengo wa kushoto. Hata hivyo, alipingwa na makundi ya mrengo wa kulia pamoja na makundi yenye misimamo mikali ya mrengo...
  3. IIT MWASISI OS

    Janga juu ya janga: Kufunga shule miezi miwili bila viboko wala vipima mimba ni bomu linalosubiri kulipuka!

    JANGA JUU YA JANGA: KUFUNGA SHULE MIEZI MIWILI BILA VIBOKO WALA VIPIMA MIMBA NI BOMU LINALOSUBIRI KULIPUKA! Habari wakuu wa Jukwaa la Elimu na Jamii kwa ujumla, Kumekuwa na mabadiliko makubwa sana katika sekta yetu ya elimu na malezi ya vijana wetu nchini. Hata hivyo, ukiunganisha matukio matatu...
  4. Jaji Mfawidhi

    Bajaji na Boda ni Bomu la Atomic

    Mbeya : LATRA ndio wasimamizi wa vyombo vya usafiri nchi kavu. LATRA ndio waliotangaza Route na kutoa TLB. LATRA ndio walio ondoa BAJA na Siyo Polisi wala Wamiliki wa Daladala. LATRA ndio wana mamlaka ya kuweka route na kuifuta maana wao ndio kazi yao na tunawalipa kwa hilo. Leo , Mbagala huku...
  5. M

    Ai IMEDONDOSHA BOMU LA NUCLEAR! 💣🔥 Mtu mmoja atumia Ai kutengeneza mbadala wa software za Adobe bure - Photoshop, Premiere Pro, Illustrator, n.k.

    Adobe imekuwa ikilalamikiwa na baadhi ya watumiaji wake kutokana na gharama za usajili na ada za kughairi huduma. Brandon Thomas ametumia uwezo wa AI kutengeneza programu zinazolenga kuchukua nafasi ya bidhaa mbalimbali za Adobe zitazokuwa bure na wazi, bila kuhitaji kulipia usajili. Watumiaji...
  6. K

    Chadema wenatengeneza bomu la nuklia la kisiasa hawataweza kuzuilika tena

    Tatizo la watu wengi hawaelewi tofauti ya Chadema ya Mbowe na Chadema ya Lissu. Chadema ya Mbowe alikuwa anapigana na CCM Kwa bunduki na mikuki. Chadema ya Lissu inatumia mbinu mpya imepeleka agenda yake moja kwa moja na watanzania na wameanza kuelewa agenda za kitaifa za muhimu. Kwa sasa...
  7. figganigga

    CHADEMA kueni Makini Mikutano ijayo,wekezeni kwenye Ulinzi na Drone

    Mikutano ilizuiwa kwamba anchi haikuwa Shwari. Punde si punde wakairuhusu. Kuruhusiwa Mikutano, wanaolengwa na CHADEMA. Haitakuwa mara ya kwanza CCM kurusha bomu kwenye Mikutano ya CHADEMA. Hivyo wekezeni kwenye Ulinzi na Drone. CCM wana roho mbaya sana...
  8. O

    Five Kenyan Security Officers Killed in Suspected Al-Shabaab IED Attack in Mandera

    At least five Kenyan security officers have been killed after a patrol vehicle struck a suspected improvised explosive device (IED) in Mandera County. The officers, comprising four members of the Special Operations Group (SOG) and one National Police Reservist, were reportedly conducting a...
  9. Waterloo

    Iran: kwasasa hatuna chaguo zaidi ya kutengeneza Bomu la atomiki kukabiliana na vitisho vya kijeshi dhidi ya marekani na Israeli.

    Kwa miaka mingi Iran chini ya kiongozi wao aliyeuwawa kikatili na marekani ayatollah khamenei ilijizuia na kutangaza wazi kuwa licha ya kuwa na virutubisho vya uraniamu ya kutosha kuunda Bomu la nuclear isingeweza kufanya hivyo kwakua ni kinyume na maadili ya kidini. Leo kiongozi mkuu wa kidini...
  10. Sifi Leo

    Nikikumbuka kauli ya PM kassimu Majaliwa dhidi ya Afya ya Magufuli, nawiwa kusema hata Mwigulu na mtu wa bomu kapigwa fix la sivyo amtaje!

    Nikikumbuka, TAARIFA ya waziri mkuu mstaafu dhidi ya Afya ya Hayati magufuli kwa wananchi wa Tanga, aliwambia naomba kunukuu" Rais WENU ni mzima wa buheri WA afya, yupo imara kama CHUMA na anawasalimia wotee" wananchi heheeeeeeee vicheko na nderemo😚🤣😊😁😂😊🤣 staki niamini km pm hakuwa na TAARIFA...
  11. REJESHO HURU

    Responded HOJA Utumishi PEPMIS ni bomu linaloenda kutengeneza chuki baina ya Serikali na Watumishi

    Tangu awamu ya sita ingie madarakani changamoto za Watumishi wa Umma zimekuwa zikitatuliwa kwa wakati na malalamiko yalikuwa madogo sana ila kwa sasa huu Mfumo wa PEPMIS umekuwa kama mtego wa kuwagawanya Watumishi wa Umma. 1. Utendaji kazi wake upo kwa ngazi ya mtumishi, kwenda kwa msimamizi...
  12. Babu Sisu

    Historia ya Professor wa chuo cha Udsm aliyeuawa kwa bomu

    Miaka ya 1970 katika chuo cha kikuu cha Dar-es-salaam (UDSM) kulikuwa kuna Professor mmoja maarufu aliefahamika kwa jina la Walter Rodney alikuwa ni raia wa Guyana nchi inayopatikana bara la Amerika kusini Rodney alikuwa ana PHD ya Historia ya Afrika aliyoipata katika chuo kikuu cha London...
  13. R

    Rais wa Tunisia amfuta kazi Waziri wa Nishati

    Rais wa Tunisia, Kais Saied, amemfuta kazi Waziri wa Nishati, Fatma Thabet, leoJumanne ya Aprili 28, 2026. Hatua hii imekuja huku kukiwa na mzozo mkubwa kuhusu miradi ya nishati mbadala inayotarajiwa kupigiwa kura bungeni. Rais Saied amemteua Waziri wa Nyumba na Miundombinu, Salah Eddine...
  14. MK254

    Kikao cha watu 88 waliokutana kujadili mrithi wa Ayatollah wauawa wote kwa bomu

    Walikutana kujadili mrithi wa Ayatollah, jengo likashushiwa kitu kizito..... The IDF targeted a building in which Tehran's 88-member Assembly of Experts was meeting to choose Iran's next supreme leader, Israeli sources told The Jerusalem Post on Tuesday...
  15. M

    Kwa rank yetu jeshini namba 6 duniani, tukirushiwa bomu na mataifa tuliyoyazidi kama Uturuki, Israel, Pakistan, Misri, n.k. Tutajibu au kufunika kombe

    Kwa ranks tunazozisikia Jeshi letu lipo fiti sana ni la sita dunioni hao wanyonge namba saba na kuendelea wakirusha bomu tutajibu au ?
  16. R

    Mbunge Saashisha Mafuwe: Vijana wanaomaliza vyuo kama tusipowaangalia ni bomu lingine

    Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe, ameionya Serikali kuwa idadi kubwa ya vijana wanaohitimu vyuo vikuu kila mwaka inaweza kugeuka kuwa ‘bomu la kijamii’ ikiwa hakutakuwa na mpango madhubuti wa kuwaingiza kwenye sekta za uzalishaji. Akichangia Mpango Elekezi wa Maendeleo wa Muda Mrefu...
  17. MK254

    Jamaa ajilipua kwa bomu kwenye harusi huko Pakistan

    Kuwaelewa makobaz kunahitaji elimu isiyo ya kawaida. DERA ISMAIL KHAN, Pakistan – The death toll from a suicide bombing at a wedding near the Afghan border rose to seven on Jan 24, police said, as Pakistan struggles to deal with a rising wave of militant attacks The bombing tore through a...
  18. T

    ONYO LA USALAMA WA TAIFA: Bei ya Chakula ni Bomu Linalosubiri Kulipuka Tanzania

    Wakati korido za madaraka zikijaa mijadala ya kisiasa na miradi mikubwa, kuna adui wa kimyakimya anayesambaratisha amani ya nchi yetu… Njaa mitaani. Katika kipindi kifupi bidhaa za msingi kama viazi mbatata zimeshuhudia ongezeko la bei la hadi 200%. Historia inatufundisha kuwa "Tumbo lenye njaa...
  19. ngara23

    Magori ni kiongozi asiye na hekima, Mo Dewji umetuletea bomu wanasimba

    Mo Dewji amemrithisha kiti cha uenyekiti cha ukurugenzi Simba ndugu Cresencius Magori Magori Toka namfahamu ni mtu hana hekima ya uongozi Bali kukurupuka 1. Magori ndo alimlaumu goalkeeper Camara ati ameuza mechi ya Yanga. Hii ilinishangaza mno kiongozi kutokuwa mwanamichezo na kutambua kuwa...
Back
Top Bottom