binafsi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    Naijeria kuna majimbo inabidi kuitaji ulinzi binafsi na sehemu zengine kufika your own risk.

    Japo tunaelekea huko kwa huu utawala wa tokea kupata uhuru.Leo nchi hii unaogopa watekaji kuliko mungu na kifo. Maisha ya naijeria ni kama serikali iliyojifia siku nyingi ila maisha yapo yana endelea tu. Nchi imegawanyika kuanzia kikabira,udini,kitabaka mpaka kimaovu. Kuna majimbo mengine...
  2. MamaSamia2025

    Rais Museveni; Africa iliachwa nyuma kimaendeleo na Asia kwa sababu ya kutaifisha biashara za sekta binafsi.

    Huyu mzee ana madini hatari. Msikilize https://www.facebook.com/share/v/18Z3GKN5RQ/
  3. C

    Kwa mawazo yangu binafsi ipo hivi

    Najua kuna vituo vyenye watangazaji bora na wakubwa sana lakini EATV ina combination kubwa sana Kwenye burudani utakutana na Rich Msafi au mwanadada February Omary Kwenye Michezo utakutana na Wastara Masese Kwenye shiw za vijana na Gen-Z utakutana na Zeydan Thabit na Modoo ingawa pia dolly...
  4. Zack Abdul

    Heche: Sina Tatizo Binafsi na Rais Samia

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, John Heche amesema hana tatizo binafsi na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Heche ameyasema hayo jijini Mwanza wakati akizungumza kwenye kongamano la Wasomi wa Vyuo Vikuu lililoandaliwa na Mtandao wa Wanafunzi wa...
  5. never-ending battle

    Prof. Lettice: Kama mmeshindwa kuziba Mabomba tupeni sekta binafsi

    Profesa ataka sekta binafsi iokoe mamlaka za maji nchini Kongamano la Kitaifa kuhusu Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP) katika Sekta ya Maji lililofanyika Mei 9, 2026 jijini Dar es Salaam limeibua mjadala kuhusu changamoto za ufanisi, ucheleweshaji wa huduma na mianya ya rushwa...
  6. KiTanzania

    Prof. Kamuzora: Sekta binafsi haiwezi kuvumilia mabomba yanayovuja ni wakati wa sekta binafsi kusimamia mamlaka za maji

    “Tuna Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anayeelewa umuhimu wa sekta binafsi” Msomi na mchambuzi wa sera za kiuchumi, Aurelia Kamuzora amesema changamoto ya upotevu wa maji na uchakavu wa miundombinu nchini inaweza kupungua kwa kiwango kikubwa iwapo sekta binafsi itapewa nafasi kubwa zaidi katika...
  7. R

    Mwana FA: Hoteli zetu hazitoshi wageni AFCON, tunataka kuhakikisha makazi binafsi yanaweza kuandikishwa yakatumika kama Airbnb

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, ameeleza kuwa Serikali inatengeneza mfumo rasmi wa kusajili watoa huduma mbalimbali nchini ili kukidhi mahitaji makubwa ya wageni yanayotarajiwa wakati wa mashindano ya AFCON. Hatua hiyo inalenga kuhakikisha kuwa sekta zisizo...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Vijana wasio na adabu wachapwe bakora kwa Mujibu wa Sheria na sio utashi binafsi wa viongozi

    Hamjambo! 1. Kuwanyoosha vijana ni jukumu la wazazi, walezi na Mahakama. 2. Msingi Mkuu wa Malezi na kunyoosha Tabia ni kwa Viongozi na wazazi ambao hapa watakuwa role model kwa vijana wao 3. Kama Wazazi na viongozi wanafanya mambo yasiyo na uadilifu wanapoteza haki ya kuwanyooshea vidole...
  9. baz kaiza

    PostGE2025 Mimi binafsi riport ya Tume ya Jaji Chande naona kama wamepoteza kodi zetu kuandaa ujinga

    Unaweza kudanganya lakini huwezi kudanganya miaka yote hiyo tume imepoteza kodi zetu na kuja na riport ya kijinga namna ile ? Uliona wapi mtu ambae ndo anatuhumiwa kwa mauaji anaunda Tume ya kujichunguza? Kwenye hiyo Tume...
  10. Wakusoma 12

    Je tume ya Chande itakutana na wanahabari baada ya rais Samia kusema ripoti ni mali yake binafsi na hapaswi mtu kuidai?

    Tulisikia mwenyekiti wa tume ya matukio baada na wakati wa uchaguzi mzee Mohamed Othuman Chande ya kwamba tume imepanga kukutana na wanahabari ili kujibu na kutolea ufafanuzi wa hoja na maswala yaliyomo ndani ya ripoti. Cha kushangaza na kushitua ni pale Samia aliposema ripoti ya tume ni mali...
  11. Binadamu Mtakatifu

    OllaBridge tool ambayo inaweza kusaidia kuadd AI features kwenye shared hosted website(Unaweza kuazisha chatbot yako binafsi bila risk privacy)

    Habari wana-tech, Leo nataka kuwashirikisha mradi wangu mmoja wa open-source unaitwa OllaBridge. Huu mchongo utawasaidia sana ma-developer wenzangu wanaotumia shared hosting (kama Hostinger, cPanel, n.k.) kutumia nguvu ya AI kwenye websites zao bila kulipia madola ya ChatGPT API wala kuhitaji...
  12. R

    Dkt. Nchimbi: Kosa tunalofanya viongozi wengi ni kutumia vibaya madaraka kwa maslahi binafsi

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Emmanuel Nchimbi, amewashukia viongozi wanaotumia vibaya dhamana ya uongozi kwa ajili ya kujinufaisha, badala ya kuwatumikia wananchi waliowachagua. Akizungumza Aprili 11, 2026, katika kuadhimisha miaka 104 ya kuzaliwa kwa Hayati Mwalimu Julius Nyerere. "Lakini...
  13. Roving Journalist

    CAG: Viwanja vya Tsh. Bilioni 4.09 Manispaa ya Kibaha viliuzwa nje ya Mfumo, Tsh. Milioni 481 ililipwa kwa Watu binafsi wasio watumishi

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles Kichere ameeleza hayo Machi 30, 2026 wakati akisoma Ripoti ya ofisi yake ya Mwaka 2024/2025 kuhusu uuzwaji wa viwanja katika eneo la Pangani lililopo Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha. CPA Charles Kichere amesema Viwanja 168...
  14. G

    Binafsi niwapongeze Pro Iran wanafanya kazi ngumu sana kutetea Iran ambayo hata intelligence inashindwa kulinda mkuu wa Intelligence

    Kiukweli Iran imewangusha sana wafuasi wake kote duniani Kwa aibu kubwa aliyoipata ya kushindwa kulinda viongozi wao Wanazidiwa hadi na mchwa wanaolinda Malkia wao Kwa gharama kubwa Pili intelligence Yao imeonyesha udhaifu mkubwa Hongereni sana team Iran mmeamua kufa na tai shingoni msife...
  15. McLaren

    Meya Kinondoni: Wamiliki wa Swimming kwenye hoteli na nyumba binafsi watalipa laki 1 ya Usajili na 50, 000 kila baada ya miezi 6

    Akizungumza katika mahojiano na Millard Ayo Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Songoro Mnyonge, ameendelea kushikilia msimamo wa kutoza ushuru na ada ya usajili kwenye Swimming Pools usajili huo utahusu mabwawa yaliyopo katika maeneo mbalimbali yakiwemo mahoteli, shule, na nyumba binafsi. Utaratibu...
  16. mcTobby

    Ubaya wa kuomba lift kwenye usafiri binafsi wa mtu ni huu hapa

    Ubaya wa kupewa lift ni lazima ucome up na different topics za kudiscuss kama radio presenter. Hufai kukosa content😂 Na lazima u maintain convos muda wote.
  17. S

    Suala la mtu kula kwa urefu wa kamba yake lifanyie kwenye ajira za serikalini, ukijaribu sekta binafsi utanyongwa kwa urefu wa hiyo kamba yako!

    Kwa ujumla inajulikana Watanzania wengi sio waaminifu unapowaajiri kazi. Tena wana ukosefu wa uaminifu wa kijinga sana. Unakuta umeajiri watu ambao walisota muda mrefu bila kazi, huenda hata wengine ni ndugu zako. Kisha wanatumia hiyo ajira kuiba hadi wanaifilisi biashara au kampuni...
  18. Tlaatlaah

    Tetesi: Inasemekana, waraka wa kwaresma wa TEC-2026 upo tayari na umejaa maoni binafsi ya katibu mkuu wa baraza hilo pekee

    Ni ajabu na kweli kwamba, eti hata kabla ya baraza hilo halijaketi kuhitimisha tafakari ya kipindi cha siku 40 za mfungo wa kwaresma2026, imebainika tayari kwamba, waraka wa baraza hilo umeshaandaliwa na kukamilishwa muda mrefu tu na katibu mkuu wa baraza hilo, na kwamba yaliyomo ndio mawazo na...
  19. Burn the bridge _Tz

    Binafsi maisha ya Dar es salaam yamenishinda

    Kuanzia suala Zima la imani, huku watu wengi hasa maeneo ya mjini na uswahilini hawana imani kabisa wako mbali na Mungu. Suala la malezi ndio kabisaa mana watoto hujifunza kwa wanaowazunguka mtoto akikulia vingunguti Tabata au mbagala kazi ipo. Suala la ajali ndo usiseme ajali za uzumbe kabisa...
  20. Saa 7 mchana

    Sheria ya Tanganyika inaruhusu mtu binafsi kununua Dhahabu na kuhifadhi?

    Wajuvi wa mambo naomba kufahamishwa. Hivi sheria ya Tanganyika inaruhusu mtu binafsi kununua Dhahabu na kuituza mwenye? Natanguliza shukrani
Back
Top Bottom