binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu ya Umoja wa Afrika, Mhe. Janet Sallah-Njie (kulia).....

    Pembezoni mwa Mkutano wa Saba (7) wa Uratibu kati ya Umoja wa Afrika na Jumuiya za Kikanda jijini Malabo, Equatorial Guinea Julai 13, 2025, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Afrika ya Haki za...
  2. JamiiForums Tanzania Binadamu ana majibu ya maswali yote! Wachache wanaujua huu ukweli

    Ukiniuliza swali nikupe majibu, majibu nitakayokupa mimi ni yangu binafsi sio yako. Majibu yangu nitakayokupa yatatokana na experience yangu na sio yako. Wewe una experience yako, mimi nina experience yangu. Kama swali lako ni la ki proffesional na mimi ni proffesional basi majibu yangu...
  3. JamiiForums Tanzania Psychological crisis -Mgogoro wa kisaikolojia katika Maisha ya binadamu ni chanzo kikubwa cha msongo wa mawazo

    Psychological crisis Mgogoro wa kisaikolojia ni chanzo cha stress katika maisha . Inaanza hivi. Katika utafutaji -wengi tumejikuta tunasafiri , kutoka eneo moja mpaka eneo lingine. Ila wengi tukifika katika baadhi ya maeneo bado tunakuwa na ile hali ya kuendelea kutamani ulipotoka . Yaani...
  4. JamiiForums Tanzania Binadamu na Nyota: Mwangaza Mfupi Kati ya Giza Mbili?

    Na: Mjumbe wa Nafsi za Watu Je, binadamu ana uhusiano wowote wa kweli na nyota? Je, tunaongozwa nao? Tumetokana nao? Au nyota ni mapambo tu ya anga, kama taa zisizo na maana zaidi ya kutufurahisha macho? Maswali haya si mapya. Yamechochea fikra za watawala, wanafalsafa, wachawi, manabii na...
  5. JamiiForums Tanzania Uingereza inavyojitawala. Inawezekana ndio binadamu waliostaarabika kuliko wote duniani

    Fikiria taifa liloweza kuendeshwa kwa miaka zaidi ya mia mbili kama demokrasia bila kuwa na katiba iliyoandikwa na bado raia wake wanaweza kupata haki zao zote, mihimili iko huru na jamii haifarakani kwa sababu ya dhulma au uhuni wa kiutawala wa kisiasa. Wanaingia mawaziri wakuu na kuondoka...
  6. JamiiForums Tanzania KWELI Upo uwezekano wa funza kuishi kwenye sikio la binadamu na kusababisha ugonjwa wa Myiasis

    Salama wanajamvi? JamiiCheck naomba msaada wa kupata uhalisia wa hili kwamba wapo funza wanaoweza kuishi kwenye sikio la binadamu, je, ni kweli? na kama ni kweli kuna madhara gani na tunaepukaje?
  7. JamiiForums Tanzania Mnyama anaua mara moja binadamu anaua mara tatu

    Tumewapa wanyama hadhi ya uhayawani kwakuwa hawana utashi wa kibinadamu... Lakini nina hakika tumewaonea Sana Mnyama anaua tu pale anapohisi hatari kubwa na anafanya hivyo kwa njia ya kujitetea.. Akipata nafasi hukimbia.. Hana kisasi Mnyama anaua tu pale anapoumwa njaa ili apate chakula. Na...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Ujue Ubongo wa binadamu ulivyogeuzwa kwa kanuni ya (High na Low) part2

    Huu ni mwendelezo wa somo letu la kanuni ya ubongo sehemu ya pili. Ubongo wa kushoto Kwenye mada iliyopita tuliona vile kazi ya ubongo wa kushoto inavyoratibu viungo vyote vya mwili upande wa kulia. Yaani mfano shambulio la ubongo wa kushoto linafanya viungo upande wa kulia vipararaizi...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ubongo wa binadamu umegeuzwa na unafanya kazi kwa kanuni kuu mbili tu (High na low), ukijua kuzitumia unatoboa

    Tangu misingi ya ulimwengu kanuni ya kuishi Ulimwenguni haijawahi kubadilika! Ukitaka kufanikiwa lazima kwanza utambue matumizi sahihi ya kanuni kuu 2 za ulimwengu (High na low) Mifumo yote iliyopo ulimwenguni ni lazima iongozwe na kanuni hizo kuu ili kuleta matokeo! UBONGO WA BINADAMU Kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuchati na ChatGPT kitu chochote? Hii AI inaweza kukufanya ujisikie kama unachati na binadamu

    Noma sana. Nilikua bored sana nikaona nitafute sababu ya kuwa na furaha leo😅😅😅 Baada ya kutengeneza CV kwa dakika 10 kupitia Hii AI nikaona nianze kujifurahisha
  11. JamiiForums Tanzania Niliwaambia acheni hizo tabia za kumsifu binadamu kama Mungu sasa mmejionea wenyewe !

    Kiko wapi. Hakuna kwenda nje Hakuna favor Utalii umeshuka Sana Mialiko imekuwa adimu sana Na mwisho unaelekea kukabidhi kijiti Kama utani .
  12. JamiiForums Tanzania Je unaamini Binadamu alikuwa Sokwe?

    Charles Darwlin He proposed that humankind originated from man-like apes (first quote) in Africa and that humans are most allied to chimpanzees and gorillas (second quote). Further, Darwin seems to have thought that our progenitors were more like chimpanzees than gorillas (third quote). Na...
  13. JamiiForums Tanzania Misimamo ya Ndani ya Vyama vya Siasa: Changamoto kwa Demokrasia, Uwajibikaji na Haki za Binadamu nchini Tanzania

    Katika mfumo wa utawala wa kidemokrasia mathalani nchini Tanzania, vyama vya siasa vina nafasi ya kipekee katika kuongoza mchakato wa kisiasa na kutoa dira ya maendeleo kwa taifa. Hata hivyo, hali ya sasa ni ya hatari Kwa sababu misimamo ya ndani ya vyama hususani chama Cha mapinduzi, maarufu...
  14. JamiiForums Tanzania Tofauti ya rangi za binadamu: Ni nini siri yake ?

    Na DaVinc XV Katika dunia hii pana yenye milima na mabonde, mito na bahari, jua kali na theluji yenye baridi tele, mwanadamu ameendelea kuishi karne kwa dahri akiwa tofauti kwa sura, sauti,kimo, unene na rangi ya ngozi. Kutoka mweusi kama usiku wa nyika, hadi aliye mweupe kama barafu ya...
  15. JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha na mafanikio ya binadamu

    "Ulishawahi kujiuliza kwa nini wengi wanaofanikiwa kimaisha au kuwa viongozi hutokea maisha duni? Ni kwa sababu mateso huwafundisha kusimama bila kuegemea, kuvumilia bila kulalamika, na kutamani mafanikio kuliko usingizi."— Alloyce, P.R.
  16. JamiiForums Tanzania Nimekwisha! Huyu mrembo wa Tiktok sijui kama ni binadamu. Toto la Kisandawe

    Habari za Sabato! Mbaya Sana! Basi tena! Akili yangu inanituma kwamba nimeshafika mwisho! Sijui kama hata nitapata nafasi ya kusema neno la mwisho! Maskini mimi! Mwisho gani huu! Taikon wenu! Mtibeli wenu! Nimekosa balansi sheet kutokana na demand schedule ya kijinga Sana. Mimi ni kijana wa...
  17. JamiiForums Tanzania Muamuzi wa maisha ya Binadamu ni Mungu, Maisha ni ubatili

    Yaliyomkuta Mfalme Daudi. Mipango ya Mungu na Udhaifu wa Binadamu: Hadithi ya Daudi na Absalomu Katika safari yetu ya maisha, mara nyingi tunajiuliza ni kiasi gani cha hatima yetu kimepangwa na ni kiasi gani tunatengeneza sisi wenyewe. Imani ya kwamba Mungu hupanga kila kitu ni jambo lenye...
  18. JamiiForums Tanzania Allah alitoa kibali cha kufaidi wake zenu vyovyote tutakavyo. Tusipangiane matumizi ya mashamba yetu

    ALLAH AMEWARUHUSU WAISLAM KUNYONYA MATITI YA WAKE ZAO NA KUNYWA MAZIWA YAO NA KUWAINGILIA KATIKA TUPU ZAO WATAKAVYO. Allaah Kamhalalishia mume kufurahi kwa mkewe atakavyo. Anaweza hata kufanya naye mapenzi kwa njia mbalimbali. Allaah (Ta´ala) Kasema: نسآؤكم حرث لكم فأتوا حرثكم أنى شئتم "Wake...
  19. JamiiForums Tanzania Ogopa sana MACHOZI ya Binadamu

    Naam machozi....ni kwa muda mrefu sana nimefuatilia pasi kuwa na shaka,hakuna kitu hatari chini ya jua hili hili tunalolijua kama machozi ya binadamu naam hasa ya mtu mzima haijalishi ni mwanamke au mwanaume. Kiuhalisia machozi si lazima uone yale maji yanayotiririka toka machoni la...
  20. JamiiForums Tanzania Kitu gani kilichosababisha kuwepo na binadamu wenye rangi tofauti tofauti?

    Kuna waarabu, wahindi, wazungu, waafrika. Na ukiangalia kitu kinacho watofautisha ni viwili tu; rangi ya ngozi na aina ya nywele, ila kimuundo wote wako sawa. Sasa ni kitu gani kilicho sababisha kuwepo na huu utofauti?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…