binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Ripoti ya Haki za Binadamu 'Kurejea kwa watu wasiojulikana'

    https://www.youtube.com/live/IKo0vWFgOXo?si=VROW5KWJw-PEMKcw Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC), leo Mei 5, 2025 kimezindua ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini kwa mwaka 2024. Ripoti hiyo imezinduliwa Jijini Dar es Salaam ikiwa ni ripoti ya 23 tokea walipoanza utaratibu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapongezwa na Kamisheni ya Afrika ya haki za binadamu kwa kukuza na kulinda haki za kiraia

    Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu imetoa pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa namna Nchini ya Tanzania inavyokuza na kulinda Haki za Kiraia, Kisiasa, Kiuchumi, Kiutamaduni na Kijamii. Hayo yamewekwa bayana na Mwenyekiti wa Kamisheni...
  3. Webabu

    JamiiForums Tanzania Syria ikipenda wanaweza kuwafunza adabu Israel nayo ikaanza kuwaheshimu binadamu wenzao

    Inachofanya Israel kwa mataifa jirani ni utovu wa nidhamu mkubwa na kudharau utu wao.Mtua anayekudharau kupitiliza na kukuvunjia heshima lazima utafute mbinu naye umfedheheshe hadharani. Kuingilia mambo ya ndani ya Syria kiasi hiki ni jeuri kubwa ambayo inapasa kujibiwa kwa namna bora...
  4. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Kwa nini binadamu tulinyimwa uwezo kama waliopewa viumbe hivi?

  5. Right Marker

    JamiiForums Tanzania "Elimu na connection" ni kama binadamu na ngozi yake.

    "ELIMU NA CONNECTION" NI KAMA BINADAMU NA NGOZI YAKE. Salaam kwa wasomi... Salaam kwa mliopo Vyuoni... Nawasalimu kwa jina la "elimu na connection" - Itika "Mtaani kugumu". Tusiwanyime ubuyu wadogo zetu waliopo vyuoni. Sikuhizi "elimu na connection" ni kama binadamu na ngozi yake...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Binadamu tupo gereza la akili halafu matatizo yapo huru

    Fundi samico nakueleza haya uyatambue. Ukipanda juu ya mti mrefu, ghorofa au kilele kirefu cha mrima ili uweze kuona pande zote nne zinazokuzunguka hapo ndipo utaona kila kitu kipo wazi pande zote hadi ukomo wa macho yako tu. Pia Ukishuka chini ukatoswa ndani ya shimo refu utaona eneo pekee la...
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mashirika ya kutetea haki za binadamu na ya kisheria acheni kutoa wito kwa jeshi la polisi waorodhosheni kama magaidi wao wanafanya mauwaji makusudi

    Nimesikitishwa kusikia mashirika ya haki za binadamu na mengine ya sheria yanatoa wito kwa jeshi la polisi kuacha kutumia nguvu, hii sio mara ya kwanza kusikia kauli kama hizi na watu wamekuwa wanaendelea kuuwawa kwanini msiwaorodheshe kama magaidi kushinikiza mabadiliko. hayo matamko mepesi ya...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kuamini kwamba hakuna binadamu kwenye mabilioni ya solar systems ni akili au matope??

    Mimi naamini wapo binadamu au at least viumbe wenye akili kwenye observable universe zilizo thousands of light years from the earth. Na swali langu ninalolitafiti mpaka leo: Imani juu ya asili ya ulimwengu ilianzia wapi? Wale wenzetu huko kwenye sayari zingine, what kind of faith do they...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya wafungwa magerezani wanaishi maisha mazuri kuliko binadamu wengi wa Africa.

  10. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Watafiti wanasema kunguru anaweza kuwa na kinyongo na binadamu miaka 17 🐦

    Kunguru anapokutizama sio kwamba anakutizma ilimradi hapana ana uwezo wa kutunza kumbukumbu. Katika utafiti wa muda mrefu ukiongozwa na Profesa John Marzluff katika chuo Kikuu Cha Washington, watafiti waliweza kugundua kuwa kunguru (crows) Wana uwezo wa kutambua sura za binadamu na kuwa ba...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini ni rahisi zaidi binadamu kukorofishana, kuchukiana au kutengana kabisa na baba zao kuliko mama zao?

    Ukifuatilia familia nyingi ambazo zina utengano mara nyingi utakuta baba ndio katikati ya migogoro. Watu wengi sana huwa wanatengana na baba zao kabisa ila ni nadra kutokea hivyo kwa mama zao hata kama wanatofautiana huwa ni kwa kipindi kifupi tu kisha mahusiano yanarejea ila upande wa baba ni...
  12. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Binadamu wote tupo kwenye ‘Death row’

    Wafungwa waliohukumiwa kifo huwa wanaitwa ‘Death row inmates’, na mara nyingi hawajui watatekelezewa hukumu yao lini. Sasa tofauti ya wafungwa wa ‘Death row’ na binadamu wote kwa ujumla ni ipi hasa? Bila shaka uhai ni adhabu kwa kosa flani tulilofanya huko nyuma..
  13. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Leo niwazungumzie binadamu wa njano

    Hawa ni watu ambao maneno mengi vitendo hakuna au vitendo vichache. Tuna makundi naam! Manne ya binadamu leo ni hawa yellows. Wengine ni: 2. Reds 3. Greens 4. Blues Nitawachambua mmoja mmoja. Ila leo fahamu. Kama pale kazini kwenu unae mtu ambae ni maneno mengi, basi fahamu huyo ni Yellow...
  14. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Wivu kwa vijana wadogo wanaofanikiwa haraka, haya ni majibu ya ‘ChatGPT’ juu ya hilo

    Nadhani wengi mnakumbuka sakata la Niffer… Majibu ya ChatGPT ni haya.. [Why are older people jealous of sucessful young people?] =============== Wivu dhidi ya vijana waliofanikiwa unaweza kutokana na sababu mbalimbali za kisaikolojia na kijamii, ingawa si watu wote wazima wanahisi hivyo. Hapa...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Udafisi: Mbinguni ni wapi endapo binadamu tukifa tunazikwa Ardhini?

    Maneno yasiwe mengi ebu tuumize akili shusheni majibu tafadhari
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mashetani ndani ya miili ya binadamu

    MASHETANI HUVAA MIILI YAKAWA KAMA BINAADAMU HULA VIAPO NA KISHA HUISHI KINYUME NA VIAPO YAKIWA MAKALI KINYUME NA MAELEKEZO YA MWENYEZI MUNGU KUHUSU UTII NA UNYENYEKEVU HAYO NDIYO MASHETANI Nakumbuka Tarehe 01/06/2021 Dkt Josephat Mathias Gwajima Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Na...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Nigeria imeshindwa kuwalinda raia wake Wakristo dhidi ya magaidi wauaji na kwa dunia imepuuza uhalifu huo dhidi ya binadamu?

    Kuna majimbo ya huko Nigeria ya Kaskazini na Plateau kusikia watu wamechinjwa au wametekwa kwa sababu za kidini na magaidi ni jambo la kawaida tu ila sijawahi kusikia serikali yao ikifanya operations kubwa za kijeshi kuyadhibiti magaidi wauaji au hata UN, jumuiya za kimataifa na mataifa yenye...
  18. Adolph Jr

    JamiiForums Tanzania He! Kumbe Quran nayo ilipangwa vitabu, Machapisho na Ayyah zake na binadamu kama ilivyo kwa Biblia

    Shalom, Salam alaikum. Baada ya kusoma Biblia kuanzia Genesis Hadi Revelation nikaamua kuanza kusoma pia Quran (Mwaka huu). Ila Huwa napenda kufahamu chanzo, uandishi Hadi uwasilishaji wa kitabu kabla ya kuanza kukisoma kitabu hicho (Napima uzito). Na Hiki ndicho nilichogundua kwa upande wa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya No Reform No Elections iendane na kuyasihi mataifa yaliyoendela kuwawekea vikwazo viongozi wa Tanzania kwa ukiukwaji wa haki za wapinzani

    Mimi nadhani ni jambo la msingi kwa Chadema kuanza kukutana na wawakilishi wa mataifa ya kigeni, hususa za magharibu, na kuwatumia kuwashnikza viongozi wa Tanzania kufanya mabadiliko ya taratibu za uchaguzi na kuacha ukiukwaji wa haki za msingi za wanasiasa wa upinzani nchini. Kama ambavyo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Binadamu tulikuwa na makosa gani hadi tukaletewa Shetani huku duniani ?, tuanze kupambana kwenda mbinguni, kwa nini hatukuumbiwa huko huko mbinguni ?

    Vita ya Mungu na shetani ilianzia huko mbinguni, Mungu kashindwa kumuangamiza shetani akiwa nae huko huko mbinguni ila kamtupia huku duniani sisi binadamu viumbe dhaifu ndio tupambane nae. imagine mfano upo Baba unaishi na familia yako, ndani ya chumba chako baba anatokea nyoka ambaye...
Back
Top Bottom