Nimekaa nikatathimini kuhusu ustaarabu naona tunasafari ndefu sana!, na hili ni moja kati ya swala nyeti maana linagusa katika kila sehemu!.
iwe ni maendeleo,siasa,michezo,tamaduni,imani n.k hauwezi ukawa binadamu mwenye akili timamu kama hauzingatii ustaarabu!.
Naghafirika sana pale napoona...
Kufuatia matukio ya kikatili yaliyofanywa na mamlaka ya Tanzania kwa maandamano yaliyotokea baada ya uchaguzi wa rais na wabunge wa tarehe 29 Oktoba 2025, mashirika ya kiraia yanaitaka jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua ili kuzuia unyanyasaji zaidi.
Katika barua iliyotolewa leo, mashirika 30...
TEC huwa wanajifanya wanamifungo ya ajabu ajabu huku wao wenyewe hawawezi hata kuwakanya watu wasiibe Mali za watu, wasichome moto Mali za watu, wasiharibu miundombinu yetu, wasifanye vurugu nchini, wakati wao wenyewe wamejaa roho za mifarakano, roho za vurugu, roho za kutowaheshimu viongozi...
Hati ya kukamata ikishatolewa na ICC intepol wanamamlaka ya kukamata.
Kama alivyokamatwa Rodrigo Durtete aliyekuwa Rais wa uphilipino kwa makosa dhidi ya uhai wa binadamu. Ndivyo hivyo wahalifu wengine watakamatwa na Interpol.
Rodrigo Durtete mpaka sasa yupo the Hague ananyea ndoo.
Wananchi wenzangu, poleni sana kwa unyama tunaoupitia kabla na baada ya uchafunzi mkui.
Bila kupoteza muda nawaomba tuwataje wale wote wanaohusika na uvunjwaji wa haki za Binadamu. Lengo ni kiwasaidia wanasheria na watetezi wa haki za binadamu kuwajumuisha kwenye kesi inayotarajiwa mahakama ya...
Kuua watu na kutupa kwenda kuzika bila kuwapa miili ndugu zao. Nyie ni wanyama hata wanyama wana ustaarabu kuwaliko.
R.I.P Robati na wengine wote mliodhulumiwa nafsi.
Hivi kweli polisi wetu ni binadamu au mashetani yenye sura za binadamu? Natamani nao walipwe hivyo hivyo na si kwa kungojea Mungu bali kuwalipizia kisasi bila kujali nani alihusika wala hakuhusika. Sijui kama hawa viumbe wanastahili kuishi hata sekunde moja.
https://www.amnesty.org/en/petition/demand-accountability-for-the-repression-in-tanzania/
Taka Uwajibikaji Nchini Tanzania
Chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, mamlaka za Tanzania zimekuwa zikinyamazisha kwa makusudi sauti za upinzani kwa kulenga wakosoaji wa serikali, waandishi wa habari, asasi...
Usiweke mipango mingi ya maisha
Usiwe na mategemeo mengi maishani
Watu wanakufa na mipango Yao kibao
Furahia kila siku ya maisha yako
Tunaishi kila siku siku tunakufa siku moja
Huu ni ujumbe wa Mungu muumba kwa Watanzania;
Damu ya mtu ikimwagwa isivyo halali juu ya nchi (ardhi yenye mipaka rasmi na halali) nchi husika inanajisika.
Nchi ikinajisika hamna sadaka wala kafara iwezayo kuondoa huo unajisi ila damu ya huyo aliyoimwaga vinginevyo nchi itabaki najisi...
Kwa matukio yaliyotokea siku za karibu kuna maswali imebidi nijiulize
Mwafrika ni rational human being
What if wanaotubagua wako sahii kwa asilimia mia mkuu content ya character zetu ni ya ajabu sana
Kwa nini tusirudi kwenye utawala wa kifalme kama demokrasia hatuwezi
Hivi marekani ingekuwa ni...
Oktoba 31, 2025
Tumeshtushwa na vifo na majeraha yaliyotokea katika maandamano yanayoendelea yanayohusu uchaguzi nchini Tanzania.
Ripoti za kuaminika tulizopokea zinaonyesha kuwa angalau watu 10 waliuawa Dar es Salaam, Shinyanga na Morogoro wakati vikosi vya usalama vilitumia silaha za moto na...
Mimi mwenyewe jana sikujua kama nitatoka, ila nilitoka. Hiyo ni baada ya kuzima internet ambayo ilikuwa inanisaidia kufuatilia mambo live online.
Watu wakikosa taarifa ya nini kinachoendelea watafanya kila namna wafike eneo la tukio wakajionee live. Hiyo ndo inafanya watu waunge tela la...
Ndugu Raia wa Afrika Mashariki,
Tunasimama hapa tukiwa na wasifu wa utambulisho halali kama Raia wa Afrika Mashariki, tukiwa tunasukumwa na ukweli kwamba Jumuiya ni yetu sote.
Tunaendelea kushuhudia ukiukwaji wa haki za binadamu na uharibifu wa demokrasia katika eneo lote, na kama raia wa...
Tusipochukua hatua sasa. Tutaimaliza hii dunia wenyewe.. Kwako unaona ni mrija mmoja, amazing chupa moja ama kipande kimoja! Lakini umeshawahi kuwaza mkiwa 100,200 1000 na zaidi?
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema moja ya sharti la haki za binadamu ni kutowazuia wengine kupata haki yao ya kikatiba ikiwemo kupiga kura kuchagua viongozi na watakaodanya hivyo hawatavumiliwa.
Amesema CCM inaheshimu haki za binadamu, lakini...
Kama Binadamu ulieumbwa kwa mfano wa Mungu ukapewa akili na utashi, haupaswi kushindwana au kugombana na mtu hata kufikia hatua ya kupigana hadi kuuwana.
Kwasababu akili na utashi huo unao kupitia hekima(intelijensi) unauwezo wa kumudu changamoto au sintofahamu yoyote kupitia maelewano ya...
Wakuu hivi inawezekanaje kuku kumsababishia kifo mtu kwa kumdonoa tu? Au kuna mchezo mchafu umefanyika hapa?
===
Mamia ya wakazi wa mitaa mbalimbali ndani na nje ya wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wamejitokeza kuuzika mwili wa mtoto Josiah Benjamin Makelo (12) aliyefariki dunia jana kwa...
Haya mapicha yanasikitisha, hapa kuna link kwa yeyote mwenye uwezo wa kutoa misaada abofye akasaidie, hali ni mbaya, hadi nimekosa hata hamu ya kula...
Habari, za wakati huu wana Jf,
Mimi kijana mwenzenu mpambanaji nimekuja hapa kuomba kufahamishwa utaratibu wa kufungua duka la dawa muhimu za binadamu (DLDM). Kitaalamu mimi ni afisa muuguzi II, mahali nilipo nimeona fursa ya kufungua duka la dawa muhimu ila tatizo sielewi utaratibu ukoje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.