Usafirishaji Haramu wa Binadamu unatajwa kuwa janga linaloendelea kukua, hususan kwa Wanawake na Wasichana ambao ni wahanga wakubwa
Mapigano, Mabadiliko ya Tabia Nchi, Umasikini na Ukosefu wa Usawa vimeacha Mamilioni ya watu bila matumaini. Wanaofanya Biashara hii haramu wanatumia changamoto...
Pamoja na udhalimu wote ambao kuku anafanyiwa na bidamau bado kuku hajawahi kuuwaza Uhuru wake..!!
Sio kuku tu hata binadamu hajawahi kufikiria kumpatia kuku Uhuru wake ili akaishi mbali kwa amani pasi na hofu ya kisu chake..!
Kwa hifadhi ya mabanda machakavu pamoja na shibe ya masalia ya...
Kabla sijaenda kwenye mada, niseme tu ukweli, mimi ni kati ya wale wanaume wahongaji.
Nikiombwa pesa na mtoto wa kike, kama ninayo, nampa bila kusita.kwanini?, fatilia andiko langu.
Wiki kadhaa zilizopita nilisafiri kikazi ktk wilaya X inayopatikana mkoa flani hapa tz. nilifikia ktk lodge moja...
Picha na farming Africa.
UTANGULIZI
Nchi nyingi katika dunia ya leo hasa zile zinazoendelea zikiwemo nchi za AfriKa hasa katika ukanda wa Sahara ikiwemo Tanzania watu wake hutegemea sana kilimo kama uti wa mgongo wa uchumi wao kutokana na ukweli kwamba watu wake wanakaa katika maeneo ya...
DIBAJI
Katika dunia ya leo ambayo muingiliano wa shughuli za kilimo na maisha ya binadamu vinaongeza utegemeano ongezeko la magonjwa sugu linaongezeka siku hadi siku kutokana na hali kwamba , matumizi ya mbolea kutoka kwa wanyama na biandamu katika kilimo hususani kilimo hai yanaongezeka na...
Artemis program ni programu ya anga za mbali ambayo inakwenda kufanyia uchunguzi mwezi 🌒.
Program hii inaongozwa na NASA wakishirikiana kwa ukaribu kabisa na mashirika ya tafiti za anga kutoka nchi mbalimbali duniani Africa tukiwakilishwa na South Africa. Artemis program pia inazishirikisha...
Kwa Ulaya hilo ni kosa kubwa sana, yaani kuwanyima uhuru mashoga kuongelea hadharani uchafu wao!! Lakini hili la hangary linashangaza zaidi, iko hivi: Hungary ilipitisha sheria ya kuwalinda watoto chini ya miaka 18 dhidi ya propaganda za mashoga. Walizuia kuongea au kuwaonesha au kuwafundisha...
Mahakama ya Haki ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imesema zuio la Mtandao wa Twitter Nchini Nigeria mwaka 2021 lilienda kinyume na Sheria
Marufuku hiyo iliyodumu kwa takriban miezi 7 inatajwa kukiuka Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu, pia uliwanyima Wananchi Haki...
Shirika la Afya Duniani, (WHO) limeonya kuwa Afrika inakabiliwa na hatari ya kuongezeka ya milipuko ya Magonjwa, ambayo huenea kutoka kwa Wanyama hadi kwa Binadamu kwa asilimia 60 kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita
Kesi nyingi zimehusisha Virusi vya Ebola, Magonjwa mengine ya Virusi ya Kuvuja...
Ipo hivi mifugo wezangu, hivi kwanini Mungu hakutamka tu hivi "na awe binadamu mwanaume na mwanamke na wakaishi kwenye bustani ya edeni” ikawa asubui ikawa jioni, siku ya sita?
Mbona vitu vyote Mungu alikuwa anatamka neno tu na vinatokea lakini ilipofika siku ya sita kwenye kipengele cha...
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando amewataka wanahabari kuendelea kufanya kazi kwa bidii na ueledi zikiwemo za utetezi wa Haki za binadamu ili kuongeza tija katika kuwahabarisha wananchi taarifa zilizojitokeza na zitakazojitokeza.
Msando amesema hayo Mkoani Morogoro wakati akifungua...
Hivi sisi ni binadamu kamili kweli au bado tuko katika transition stage?
Huko Uganda binadamu wanakulana wenyewe kwa wenyewe kama wanyama pori.
Sikiliza clip hiyo hapo nimeiambatanisha.
Kulingana na ukweli kuwa iko starehe katika kufanya tendo la ndoa na ni starehe hiyo huwafanya binadamu na viumbe wengine kukimbizana usiku & mchana kusaka mbususu
Je ni mbinu gani angeitumia muumba kuwafanya binadamu & viumbe wengine kungonoka endapo kusingekuwa na starehe yoyote kama ilivyo sasa
Shirika la kutetea haki za binadamu nchini humo limetoa wito wa kuachiliwa mara moja kwa maelfu ya watu wa Tigray wanaozuiliwa katika kambi mbili katika eneo la kaskazini-mashariki la Afar tokea Desemba 2021 kinyume cha sheria.
Inaelezwa kuwa ukosefu wa huduma za kimatibabu katika kambi hizo...
Kwema Wakuu!
Leo sina mengi, kwenye maisha mambo haya unapaswa uyajue mapema Sana kuwahusu binadamu, hii itakusaidia katika harakati zako za kimaisha;
1. Usiwe na mazoea na binadamu.
Iwe ni kazini au unapoishi usiruhusu majirani au wanaokuzunguka kukuzoea zoea.
Heshimu kila mtu lakini...
Wanasayansi wa China wamejisifu ktengeneza super computer ambayo ina akili bandia na uwezo sana na akili ya mwanadamu.
Komputer hiyo ina storage na memory ya kutosha. Na wengine mmezoea quad cores hii ina 37 milion CPU Cores.
=
Today in "Skynet does Asia" news, Chinese scientists are boasting...
Maneno hayo yamesemwa ndani ya kikao cha baraza la senate nchini marekani na mwakilishi wa Maabara ya Pfizer akielezea changamoto wanazokutana nazo.
Inasemekana kwa sasa kumeanza kuibuka visa mbalimbali vitokanavyo na maudhi ya chanjo kwa wengi waliopatiwa chanjo hizo hapo awali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.