binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kusaidia binadamu ni kusogeza matatizo/kifo

    Yamenikuta mara kadhaa kila nilipojaribu kutoa msaada kwa ndugu na jamaa mabaya yalinipata. Nimehitimisha kuwa sio kila mhitaji wa msaada ni lazima kumsaidia. Wema unaponza!
  2. JamiiForums Tanzania Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) kufanya uchunguzi wa kifo cha Mwanafunzi wa UDOM

    Katika kipindi cha karibu wiki mbili, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imeona katika vyombo vya habari taarifa ya ajali ya gari iliyomhusu Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Afya), Mheshimiwa Dkt. Festo Dugange iliyotokea katika Jiji la Dodoma na...
  3. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa mijadala ya haki za binadamu kwa jamii yetu

    Habari zenu wadau wa JF, Kama kichwa cha habari kinavyosema, mijadala kuhusu haki za binadamu ni muhimu kwa sababu inawezesha kuchangia uelewa wa haki za binadamu na kukuza ufahamu wa maswala ya kijamii na kisiasa. Mijadala hii inawasaidia watu kuelewa jinsi haki za binadamu zinavyohusiana na...
  4. JamiiForums Tanzania Upo uwezekano wa binadamu wa sasa kurudi nyuma ya muda

    Peter Watson, aliyekuwa profesa wa Fizikia tangu mwaka 1984 katika Chuo Kikuu cha Carleton. Amefundisha zaidi ya kozi 25 tofauti, katika ngazi zote, na pia amesimamia wanafunzi wengi wa shahada ya uzamili na uzamivu. Kazi yake ya utafiti imekuwa zaidi katika fizikia ya nadharia, na amechapisha...
  5. JamiiForums Tanzania Chawa hakai kwa maiti, binadamu akifa chawa huamia kwa mwingine

    Watawala hawajui hiki kitu. Wanawakumbatia sana Chawa pasipo kugundua siku wakifa wale Chawa huangalia binadamu mwingine mwenye hali ya kuwakaribisha anahamia huko. Kama huamini Rais wa sasa ajidai amekufa kwa mwezi mmoja tu aone hawa alio nao sasa watasemaje akiwa amekufa. Wasiwasi wangu ni...
  6. JamiiForums Tanzania Aliyekutwa na Fuvu, Sehemu za Siri 5 za Binadamu afutiwa kesi

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemfutia kesi na kumwachia huru mshtakiwa Salum Nkonja (23) maarufu kama Emmanuel Nkonja, aliyekuwa anakabiliwa na mashtaka 11 yakiwemo ya kukutwa na vipande viwili vya mafuvu ya kichwa cha binadamu pamoja na sehemu za siri tano za mwanamke baada ya kesi hiyo...
  7. JamiiForums Tanzania Polisi, TMDA wakamata mtandao wa kutengeneza dawa feki za Binadamu Dar

    Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA), Kanda ya Mashariki likishirikiana Jeshi la Polisi wanamshikilia William Mwangile anayedaiwa kuzalisha na kusambaza dawa bandia kwa mfumo wa makopo. Mkaguzi wa Dawa wa TMDA, Jafari Mtoro, amesema Mwangile amekamatwa jana Ijumaa Aprili 14, maeneo ya Kipawa...
  8. JamiiForums Tanzania Hivi mtu mwenye akili timamu bado atasema tusiue nyoka Kwakuwa ni rafiki wa binadamu?

    Kwa hali kama hii, ameshindwa kuishi vichakani mbali huko, kaja mjini na kufanya uharibifu wa kuua kuku, kula mayai na kuua vifaranga! Bado mtu mwenye akili timamu, anajiita msomi wa wanyama pori anawatetea nyoka na kusema ni rafiki zetu tusiwaue.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii dhidi ya ukiukwaji wa Haki za Binadamu na utapeli katika vituo vya waathirika wa dawa za kulevya

    Salaam Mheshimiwa. Kwanza nikupongeze kwa juhudi binafsi unazoendelea kuzionyesha katika Wizara yako na Serikali kwa ujumla.Tunaelewa kusudi kubwa la Serikali kuimarisha huduma bora kwa wananchi wake hasa maendeleo ya jamii kiujumla. Lengo kuu la barua ni kukujulisha juu ya mambo ya kipuuzi...
  10. JamiiForums Tanzania Tulipofika: Hawa Siyo Binadamu Halisi, ni Future of AI and Nonprofit Growth in Web 3

    Kuna mjadara unaendelea space kutoka kwa wataalam wa teknolojia bunifu ya akili bandia, nimejiunga kupata kitu na nimelegea kiakili zaidi baada ya kuona mambo yanayokuja. Kwa mfano katika muundo unaokimbia sasa hivi ni Artificial Intelligence (AI) inaweza kufanya kitu unachowaza au kubuni kitu...
  11. JamiiForums Tanzania Binadamu anaenda kukosa ajira kabisa kwakuwa teknolojia imetawala, kama uwepo wa maroboti

    Tunapenda sana ushabiki ila bila kufahamu tunachokishabikia kina faida zipi na hasara zipi. Tuko na Watanzania ndezi wengi sana kila kitu kinaonekana ni bora. Any way... Tunalia na ajira kwa kiwango kikubwa kwasasa na bado robot sio nyingi nchini Tanzania je¡ zikishika atamu hali itakuwaje na...
  12. JamiiForums Tanzania Miss u wana Mmu, ramadhani hii ukiwa na ugumu wewe sio binadamu

    😂😂😂 kwanza nafuraha sana baada ya kutoka jela segerea mitaaa ya ban thanks mod Nikitambo sana ila kikubwa ni hiki jamani mwezi huu mtukufu (mimi ni mkrito) ila nipo pamoja na nyie jua kali sana mpaka genye haziji kabisa Nashangaa kuna vijana bado wanamizika sijui wanaitoa wapi mimi tu...
  13. JamiiForums Tanzania Binadamu walifanya Ibada hata kabla ya hizi Dini

    Mwanzilishi wa Dini ya ukristo na uisalam ni mtu mmoja tena ni kwa lengo la utawala na biashara, hakuna cha ziada kuhusu uisalam na ukristo. Maandiko na dini ni vitu viwili tofauti.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mtu anapata wapi ujasiri wa kumchinja binadamu mwenzake kama kuku?

  15. M

    JamiiForums Tanzania Huko USA huwezi kutenganisha haki za binadamu na haki za mashoga/LGBT!

    Hivi watanzania wanaelewa maana ya demokrasia na haki za binadamu kama zinavyofahamika na marekani? Kwa marekani demokrasia na haki za binadamu zinaambatana na haki za mashoga almaarufu kama LGBT!! Ukikubali demokrasia na haki za binadamu zinazoigiwa debe na marekani duniani kote maana yake ni...
  16. JamiiForums Tanzania Binadamu ni Mtumwa awe mweupe au mweusi

    Binadamu ni watumwa, ila wanyama na ndege,samaki wapo huru, wanaishi maisha yao. Ndio maana wanyama, ndege na samaki hawana shule, na hawaajiliwi ila wanakula maisha kama kawa. Asili ya dunia imemuandaa mwanadamu kuwa mtumwa wa kutekeleza malengo ya wale walio mtuma. Uwezo wake wa akili,ndio...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yapaswa kujirekebisha kwanza katika suala la haki za binadamu

    Hivi karibuni Marekani ilitoa “Ripoti ya Haki za Kibinadamu katika Nchi mbalimbali Duniani”, na kulaani baadhi ya nchi kwa kutofanya vizuri katika kulinda haki za binadamu. Marekani hutoa ripoti kama hiyo kila mwaka. Lakini ukweli ni kwamba, utekelezaji wa haki za binadamu katika nchi moja...
  18. JamiiForums Tanzania Aliens, viumbe wanaoaminika kuwazidi binadamu akili

    Vitabu vitakatifu vimeandika kuwa Mwenyezi Mungu aliumba vitu vinavyoonekana na visivyoonekana, inaaminika kuwa vitu visivyoonekana ni vingi kuliko vinavyoonekana. Viumbe hao wa ajabu waishio angani wanaitwa Aliens. Inaaminika wana muonekano kama binadamu isipokuwa hawafanani moja kwa moja na...
  19. JamiiForums Tanzania Elimu inaondoa akili ya asili, aliyozaliwa nayo binadamu

    Elimu ni kitu kizuri, ila changamoto yake inaondoa ule uelewa wa asili ulio zaliwa nao (geniusism) na kupandikiza mawazo ya watu wengine. Na hii inapelekea kupunguza idadi ya wavumbuzi kama enzi za kina Isack Newton. Tunaamini akili ulio zaliwa nayo, ndiyo yenye mapinduzi ya kweli kifikra na...
  20. JamiiForums Tanzania Binadamu na mitazamo yao, sisi na maisha yetu

    Jioni moja tulivu, siku ya tarehe 16 Mwezi wa 8 mwaka 1920 katika mji wa Andernach, Germany kilisikika kilio cha mtoto mdogo wa kiume ambae ilikuwa ni mara yake ya kwanza kuja duniani. Mtoto huyo alikuja kuwa Mfasihi na mwandishi bora wa mashairi wa kiamerika na kujishindia tuzo mbali mbali za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…