bima

  1. Blasio Kachuchu

    Wapanda Mlima 22 wa ARiS na TIRA Wafika Kilele cha Kilimanjaro Kupitia Kili Insurance Summit 2026, wakiadhimisha Miaka 30 ya Mageuzi ya Soko la Bima

    Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro Wapanda mlima 22 kutoka kampuni ya ARiS Risk & Insurance Solutions Limited na Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) wamefanikiwa kufika kilele cha Mlima Kilimanjaro na kurejea salama, katika safari maalumu ya kuadhimisha miaka 30 ya mageuzi ya soko la bima...
  2. U

    Bima ya afya iliyo nzuri!

    Habari ya leo wanajf! Ninaomba anayeifahamu bima nzuri ya afya na gharama zake kwa mwezi ninaomba anijuze! Miongoni mwa bima hizo ninaomba NHIF isiwemo!!!
  3. M

    Tusisubiri ugonjwa utufundishe umuhimu wa bima ya afya. Tuchukue hatua mapema

    BIMA YA AFYA KWA WOTE NI WAKATI WA KILA MTANZANIA KUCHUKUA HATUA KULINDA AFYA NA UCHUMI WA FAMILIA YAKE Na GULATONE MASIGA Kuna mambo mengi ambayo mwanadamu anaweza kuyapanga katika maisha yake, lakini si rahisi kupanga siku atakayougua, aina ya ugonjwa utakaomkabili wala gharama atakazohitaji...
  4. Blasio Kachuchu

    TIRA na ARiS Waanza Kupanda Mlima Kilimanjaro Kuadhimisha Miaka 30 ya Ubora katika Sekta ya Bima Tanzania

    Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro MAMLAKA ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) kwa kushirikiana na kampuni ya ARiS Risk & Insurance Solutions wameanza safari ya kupanda Mlima Kilimanjaro, ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 30 ya sekta ya bima tangu kufunguliwa kwa soko la bima kwa ushindani...
  5. A

    KERO Malalamiko ya kukosekana kwa Dawa za Saratani (Chemotherapy) kwa bima ya NHIF, Muhimbili Mloganzila

    Mgonjwa wangu anasumbuliwa na tatizo la Saratani na kwa sasa yupo kwenye mzunguko wa matibabu ya Kemotherapy (Chemotherapy), Hospitali ya Taifa MUHIMBILI (MLOGANZILA). Hivi karibuni tumeelezwa na wataalamu kuwa Dawa za Chemotherapy anazotakiwa kupata mgonjwa wangu hazipo/zimeisha hospitalini...
  6. B

    KERO Watumishi wa Shule ya msingi Azimio, Mbeya hatujalipiwa michango ya Bima tangu mwezi Julai

    Sisi ni baadhi ya watumishi wa Shule ya Msingi Azimio, tungependa kulifikisha malalamiko yetu kwa mamlaka husika kuhusu kutolipwa kwa michango yetu ya bima ya afya tangu mwezi Julai, licha ya makato kuendelea kufanyika kwenye mishahara yetu. Hali hii imetusababishia usumbufu mkubwa, kwani...
  7. figganigga

    Bima ya afya kwa wote: Laki moja na nusu inakatia bima familia ya watu watano

    TUUMEWASHA MSHUMAA Tupo hapa Mtwara kwenye Uzinduzi wa Bima ya afya kwa wote awamu ya pili Viwanja vya sabasaba Awamu ya Kwanza ilikuwa Bima ya afya kwa watu wasio kuwa na uwezo kama wazee nk. Hii awamu ya pili inahusu watu wote mimi na wewe. Uzuri ni kwamba, bima hii ya afya, ukiwa na Laki...
  8. figganigga

    Mtwara: Waziri wa Afya Mchengerwa anazindua Bima ya Afya kesho. UVCCM hawataki niende kumsikiliza. Wananitishia

    Wakuu, Kesho Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Mchengerwa, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Bima ya Afya kwa Wote, Awamu ya Pili. Hapa nilipo nipo njiani naelekea Mtwara. Lakini nipo chonjo sana. Hawa UVCCM hawataki nihudhurie kisa niliandika habari ya wao kula Rushwa. Wanadai...
  9. Ntemi_Ntale

    Bima ya afya kwa wote iliishia wapi?

    Jan 26, 2026 Waziri Mchengerwa alitangaza kuanza rasmi kwa mchakato wa upatikanaji wa Bima ya Afya kwa wote nchi nzima kwa Awamu ya kwanza ,Mchakato ulilenga kaya 276,004 za wazee, watoto, wajawazito na wenye ulemavu ambapo gharama zote Serikali ndio italipa. Bima hiyo ilitarajiwa kugharamia...
  10. sepema

    Naombeni msaada kwenye jambo langu na Bima ya afya

    Salaam wakuu. Nilifunga ndoa ya kanisani mwaka 2022,baadae nikawa na migogoro na mke wangu jambo liliopelekea kutengana. Bila kuvunja ndoa nikapata mwanamke mwingne nikazaa nae mtoto mwaka2023 na nikafunga nae ndoa ya serikali mwaka 2024. Wakati wa kusajili ndoa kwa mkuu wa wilaya niliulizwa...
  11. Jannatul Firdaus

    Kero: Wananchi Walia na Mateso ya Bima Kutotumika Kwenye Vipimo, Wizi wa Dawa na Uzembe wa Wauguzi

    Kumekuwa na mambo ya kutoridhisha yanayoendelea katika hospitali ya MZENGA, katika Kata ya Mzenga mkoani Pwani, kufuatia malalamiko mazito kutoka kwa wananchi kuhusu utozaji wa fedha kinyume cha taratibu kwa watumiaji wa Bima ya Afya, uzembe wa baadhi ya wauguzi, na ubadhirifu wa dawa za...
  12. A

    KERO Malalamiko kuhusu huduma kwa wagonjwa wanaotumia bima ya afya katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi

    Kwa kuzingatia juhudi za Serikali za kuhamasisha mpango wa huduma ya afya kwa wote, ninajiuliza kuhusu hali inayoendelea katika Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi, hususan namna wagonjwa wanaotumia bima ya afya wanavyohudumiwa. Kuna siku nilimpeleka mgonjwa wangu aliyekuwa na jeraha...
  13. A

    Bima ya maisha

    BIMA YA MAISHA NI NINI Bima ya maisha ni mkataba kati ya mteja ( mteja binafsi au kampuni ) na kampuni ya bima ya maisha , ambapo mteja Kwa kulipa ada kidogo kidogo au Kwa mkupuo , anafidiwa ( kulingana na thamani ya bima ) endapo atapatwa na janga ( kifo au ajali ya kudumu ) ndani ya muda wa...
  14. H

    Watanzania wote tuingie kwenye bima ya afya. Tutaepukana na matatizo mengi sana ambayo tumeyatafutia majawabu ya dharura, - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu

    Watanzania wote tuingie kwenye bima ya afya. Tutaepukana na matatizo mengi sana ambayo tumeyatafutia majawabu ya dharura, lakini yanahitaji yapate majawabu ya kudumu
  15. Zack Abdul

    Bima ya Afya: Kinga kwa Watanzania Wote

    Watanzania wote tuingie kwenye bima ya afya. Tutaepukana na matatizo mengi sana ambayo tumeyatafutia majawabu ya dharura, lakini yanahitaji yapate majawabu ya kudumu
  16. Zack Abdul

    Dkt Mwigulu: Serikali kuendelea kutafuta vyanzo vya mapato kuongeza wigo wa wanufaika, Bima ya Afya si TASAFU kwamba kusaidia wasiojiweza

    Bima ya afya ni kwa wote. Maana yake, kila Mtanzania ashiriki kukata bima ya afya, na kupitia programu hii ndipo tutakapoweza kuwa na bima ambayo ni jumuishi, ambayo haitaacha mtu nyuma-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba. 📍Dodoma-Tanzania 🗓️ Septemba 03, 2026 Amesema hayo wakati akijibu swali la...
  17. Zack Abdul

    Bima ya afya kwa wote: Kaya 276,000 zasajiliwa

    Hadi Juni 2026, jumla ya kaya 276,000 zimesajiliwa katika mfumo wa Bima ya Afya kwa Wote, sawa na asilimia 100 ya kaya zilizolengwa katika awamu ya kwanza. Hatua hiyo inaendelea kuimarisha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi.
  18. DogoWaNjombe

    ACT Wazalendo: Utekelezaji wa ahadi za siku 100 na Bima ya Afya kwa Wote ni ahadi hewa

    ACT Wazalendo imesikitishwa na taarifa na kauli za Serikali zinazotolewa kupitia vyombo vya habari, majukwaa mbalimbali na Bungeni kuhusu mwenendo wa ugharamiaji wa huduma za afya nchini, hususan utekelezaji wa Bima ya Afya kwa Wote. ACT Wazalendo imefanya tathmini na kubaini kuwa, licha ya...
  19. E

    ACT Wazalendo Yaituhumu Serikali Kufeli Ahadi ya Bima ya Afya kwa Wote

    Dk Elizabeth Sanga Chama cha ACT Wazalendo kimesema utekelezaji wa ahadi ya siku 100 ya Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu Bima ya Afya kwa Wote umeshindwa kuwafikia wananchi wengi, huku kikidai kuwa watu maskini wanaendelea kukosa huduma muhimu za matibabu na vipimo vya kibingwa. Katika tathmini...
  20. Pfizer

    Katika kipindi cha miaka miwili ijayo asilimia 100 ya kaya zitakuwa zimesajiliwa katika Mpango wa Huduma ya Bima ya Afya kwa Wote

    Na Benny Mwaipaja, Addis Ababa Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khams Mussa Omar, amesisitiza kuwa katika kipindi cha miaka miwili ijayo asilimia 100 ya kaya zitakuwa zimesajiliwa katika Mpango wa Huduma ya Bima ya Afya kwa Wote ikiwa ni dhamira ya Serikali ya kuwekeza katika rasilimali watu...
Back
Top Bottom